RC CHALAMILA "SIMUOGOPI BASHUNGWA KABISA UHUNI UMEZIDI MSITHUBUTU KUWAPA HIZI NYUMBA WAHUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #rcchalamila

ความคิดเห็น • 40

  • @venancemartin6734
    @venancemartin6734 หลายเดือนก่อน +5

    Hana heshima hata kidogo, inabidi atumbuliwe chap

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y หลายเดือนก่อน +3

    Watu sasa hivi hawampendi kwa kauli zake ndio maana anasema oyee watu kimya

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 หลายเดือนก่อน +3

    Kauri mbaya sana charamira

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles หลายเดือนก่อน

    Ila ikitokea huyu mwamba akawa waziri wananchi wataikumbuka vita ya Uganda make hanahuruma kabisa viongozi kama hawa ikitokea ametumbuliwa lazima akimbilie kanisani ajifanye mwema kumbe hakuna k2 ahsante mungu kwakuweka hukumu

  • @Andres-qt6kp
    @Andres-qt6kp หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Dar hapamfai wamrudishe kwao huwezi ukajenga gorofa kama yale ukaweka Mitaa moja ya maji watu wachangie bills ni upigaji naamini magorofa yale yangekamilika Chuma akiwepo yangekua na ubora zaidi

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kaongea point sana za msingi msikilizen vizur msichukue vipande tu ki ujumla hata mim ningekuwa rais ningebomoa baadhi ya maeneo ningejenga magorofa wananchi wakae Kwa Kodi nafuu najiji linakuwa vizur dunia Iko ivyo

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 หลายเดือนก่อน

    Daraja ni uraisishaji, huna mawazo mshamba

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 หลายเดือนก่อน

    Siku zote ukweli huwa ni mchungu.Kwenye hilo hana shida.

  • @user-wl3sv2xn9e
    @user-wl3sv2xn9e หลายเดือนก่อน +2

    Sijapenda kaulinya kibaguzi ya aliyenacho na asiyenacho kiongozi kubainisha ubaguzi kama huu tena hadharani ni mbaya sana

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 หลายเดือนก่อน

    Kaongea ukweli mtupu,sema watz waliishazoea kubembelezwa na ndio maana tumekwama tena

  • @mohamedyngagala-5590
    @mohamedyngagala-5590 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia huyu kwako ni nani mbona anakauli za hivyo sana

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu หลายเดือนก่อน

    KWANI DARAJA LA KIGAMBONI NANI KAJENGA NA NI FEDHA ZA NANI NA DARAJA LA SALENDER NA NI AMEJENGA ACHENI KUONGOPEA WANANCHI

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 หลายเดือนก่อน

    Muhuni anamaanisha watu maskini kafichatu ya moyon

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 หลายเดือนก่อน

    Ujenzi huo magu alisema maskini kwanza

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 หลายเดือนก่อน

    Kauli ya Rc siyo kiongozi anajisahau kuwa cheo ni dhamana na hao anawqongeatena kwa dharau ni wananchi tena mwenye ownership ya nchi yao; kiongozi kuna njia ya kuongea na kila mwanqnchi akakuelewa Unaweza kuwa na quality za uongozi ukakosa kauli kumbuka kila unachotoa mdomoni kinachukua nafasi kubwa saaaana kwa wale wanaopokea!!! Viongozi kuweni makini kwa jinsi ya ku covey msg kwa wananchi!!!

  • @IbrahimShabani-uc8ce
    @IbrahimShabani-uc8ce หลายเดือนก่อน

    Bashungwa nikiongozi making sana namwamini sana

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hiyo wewe unafikiri wote wanauwezo wa kulipa? Au unamfundisha kazi waziri? Mbaguzi wewe.

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 หลายเดือนก่อน

    Wewe Chalamila Huna Mawazo Mbadala Wa Ubunifu Kwenye Ujenzi Wa Miundo Mbinu.

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 หลายเดือนก่อน

    Wahuni ni wale wasionacho haka kajamaa kana dharau sana sana

    • @allyhasani3750
      @allyhasani3750 หลายเดือนก่อน

      Nilicomet ivyo kabla sijasoma ciment yako uyu mshamba sana

  • @Sangaadam
    @Sangaadam หลายเดือนก่อน

    Huyu kaisha lewa madaraka!!

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 หลายเดือนก่อน

    RIP Magu

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro หลายเดือนก่อน

    Mimi namsapoti chalamila anacho sema ndio maendeleo ya jiji

  • @ashrafrushaka2358
    @ashrafrushaka2358 หลายเดือนก่อน

    Hilo daraja limejengwa kwa kodi za wananchi...pia chunga hizo kauli zako za dharau ,we unatakiwa umfuate nape

  • @user-uo7vz4ji4u
    @user-uo7vz4ji4u หลายเดือนก่อน

    😢

  • @pwaniseries
    @pwaniseries หลายเดือนก่อน

    Hao wahuni sindio huwa mnakula na kunywa nao

  • @mohamedyngagala-5590
    @mohamedyngagala-5590 หลายเดือนก่อน

    Madalali ni wahuni kumbe

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro หลายเดือนก่อน

    Ujenzi holela ndio Dar huwa chafu

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 หลายเดือนก่อน

    Jamani kauli za kutokuogopana ni za nini?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

    Umesema ukweli wako..ila serikali hawataki ukweli..wanataka uwadanganye mf samia hapendwi kwa sababu ya dini yake,

  • @Jal210
    @Jal210 หลายเดือนก่อน

    Huyu atatumbuliwa tu tena

  • @ambassadorkatemeambassador2840
    @ambassadorkatemeambassador2840 หลายเดือนก่อน

    Nilichogundua watz wengi hatupendi ukweli, mbona Kiongoz amesema ukweli. Ifike sehemu tuambiane ukweli ili nchi yetu isonge, sasa kuna ulazima gani mtu ug'ang'anie kweny ghorofa wakt uwezo wako bado?

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa kitamkuta Cha Nape

    • @mkwejonathan361
      @mkwejonathan361 หลายเดือนก่อน

      Hakuna cha Nape hapo jamaa kazungumza ukweli. Weng wetu wa watz hatupendi kuambiwa ukweli. Maneno kama sisi ni wanyonge sijui nini ni upuuzi mtupu! Ishi kwa hadhi yako usizeeke mapema!

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 หลายเดือนก่อน

    Yeye mwenyewe ni mhuni sasa sijuwi anaongea nini?

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo wewe unafikiri wote wanauwezo wa kulipa? Au unamfundisha kazi waziri? Mbaguzi wewe.

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo wewe unafikiri wote wanauwezo wa kulipa? Au unamfundisha kazi waziri? Mbaguzi wewe.