REV. DR. ELIONA KIMARO: IWENI NA UNYENYEKEVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2022
  • IBADA YA JUMAPILI 28/08/2022
    SOMO: IWENI WANYENYEKEVU
    Mathayo 23 : 32 - 35

    Mathayo 23 : 32 - 35
    32 Kijazeni basi kipimo cha baba zenu.
    33 Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum?
    34 Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji;
    35 hivyo ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili, yule mwenye haki, hata damu ya Zakaria bin Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maoni na ushauri:
    Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    e-mail: rev.kimaroe1@gmail.com

ความคิดเห็น • 78

  • @schoollife5813
    @schoollife5813 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hekima na maarifaa aliyokupa mungu tunamshukuru.akuinue viwango vingine.akupe uwemfalme watanzania

  • @veonicaanthony-pn9nu
    @veonicaanthony-pn9nu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, ubarikiwe sanaaaa Baba kwa ujumbe, nabarikiwa nikiwa mkoa wa Ruvuma

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +4

    "Kwa kuwa umejisifu namna hii mbele ya MADHABAHU hii, basii ...." mwimbaji mwenye kiburi alitamkiwa na mchungaji. Naye haku perfom completely anywhere
    ....ooooo kama yuko aje kuomba msamaha kwanpastor. Ndiyo salama yake.

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki mtukufu ulietukuka Rv Dr Eliona Kimaro mheshimiwa mpakwa mafuta ww peke yako ni mfano wa kuigwa Nakufuatilia sn Mungu kaweka kitu ndani yako kwaajili ya wengine. Binafsi salut kwako

  • @bernadethabenangodi
    @bernadethabenangodi ปีที่แล้ว +7

    Asante mch. Mbona kama napata hisia ya muimbaji fulani...
    ILa kiburi Mungu atuondolee jamani

  • @lilianchepotibin1323
    @lilianchepotibin1323 ปีที่แล้ว +10

    Asante baba Eliona Kimaro kwa mahubiri ya mafundisho kweli. Umenifundisha jambo nzuri sana , kunyenyekea !nafuatilia kutoka kenya

    • @gracedamas5883
      @gracedamas5883 ปีที่แล้ว +1

      Kwer mie na kiburi hasira dharau
      Du!Mungu anifungue aisee

  • @ndeningayakimaro7906
    @ndeningayakimaro7906 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho yako yamenipeleka hatua nyingine kwa kipindi hiki kigumu cha ugonjwa,namshukuru Mungu wetu aliekuona kama alivyomwona Daudi machungani

  • @bhokeshinta5140
    @bhokeshinta5140 3 หลายเดือนก่อน +2

    yaan natamani hili fundisho wangesikiliza hawa wararabu labda wangejua umuhimu wa kulea.l
    huku mtoto anaogopewa hapigwi hafokewi
    ee Mungu nipe unyenyekevu

  • @loveme6056
    @loveme6056 ปีที่แล้ว +1

    Wakati nasikiliza nilikuwa nasinzia sinzia ila habari ya uyo muimbaji imenikata usingizi wote na kujisikia vibaya sn, Mungu awasaidie waimbaji wote, waache kujiinua

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Mungu niondolee kiburi 2024

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe baba nimejifunza juu ya unyenyekevu.....Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu

  • @JuliethKalukwa-iz1nx
    @JuliethKalukwa-iz1nx ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana kwa Neno la uzima kamwe halita futika katika maisha ya msikilizaji barikiwa sana mtumishi

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchj
    Duuu

  • @stanleymsenga9444
    @stanleymsenga9444 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @jecintakurraru472
    @jecintakurraru472 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Padre....Ubarikiwe sana kwa kunijenga kiroho

  • @user-kx2ni3ff1p
    @user-kx2ni3ff1p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana🙏🙏

  • @carolinewawira719
    @carolinewawira719 ปีที่แล้ว +6

    We love u and your true preaching 👏 be blessed and live long .🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +1

    Mbavu zimekosa gris, shauri kiburi sasa WENGINE wanapumua kwa shida! Duu MTU asijiinue kana kwamba wewe ni wewe tu, jamani. BABANGU nakushukuru kwa somo hili. MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA utufunike kwenye mbawa zako zako BABANGU.

  • @jemimak5360
    @jemimak5360 ปีที่แล้ว +1

    Aksante kwa mafundisho

  • @mcharoamani8524
    @mcharoamani8524 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi unafundisha vizuri

  • @RebeccaMosha
    @RebeccaMosha 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kunyenyekea mbele zako bila kuyatafakari ya wanadamu yanayoturudisha nyuma na kuiacha kwel yako, Mungu azidi kukupandisha utukufu hadi utukufu mtumishi wake nas tuzidi kujifunza

  • @fridahpaul897
    @fridahpaul897 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza Sana hapa, Asante sana baba kwa mafundisho yako

  • @user-gi5ny7nu3j
    @user-gi5ny7nu3j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa baba mchungaji naomba nafasi ya kukuona

  • @obeidynyambele2678
    @obeidynyambele2678 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe kuishimiaka mingi sana

  • @doreenmoshi6062
    @doreenmoshi6062 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nifundishe unyenyevu

  • @prospermushi5596
    @prospermushi5596 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu skulinde mchungaji

  • @yustermunuo6153
    @yustermunuo6153 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saana mch.

  • @kdv6959
    @kdv6959 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nmekua n kiburi sana lakini leo hii umeniponya baba kwasababu nimepoteza vingi kwasababu y kiburi tangu leo nmbadilika kweli

  • @singiradandunguru5088
    @singiradandunguru5088 ปีที่แล้ว +1

    Eeee Mungu nijalie unyenyekevu Asante mtumishi wa mungu

  • @aikaassey6198
    @aikaassey6198 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa amina

  • @sabrinawakesho4542
    @sabrinawakesho4542 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Mungu akubariki sana. ni ombi langu Mungu aniondolee kiburi🙏🏼🙏🏼

  • @shikfaith6021
    @shikfaith6021 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni jaze unyenyekevu maishani mwangu

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mchungaji Mungu akubariki sana na hio neema ya ufunuo mafundisho mazuri sana Amen Amen

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni

  • @estharlovely6202
    @estharlovely6202 ปีที่แล้ว +2

    Amen na ubarikiwe Mchungaji

  • @BerthaYakobo
    @BerthaYakobo หลายเดือนก่อน

    Asante mungu akubariki

  • @princejeffwakigooco
    @princejeffwakigooco ปีที่แล้ว +1

    Mungu niondolee kiburi

  • @fransiskammassy6173
    @fransiskammassy6173 ปีที่แล้ว +2

    Amen mchungaj napokea kwa jna la yesu

  • @angelambanga351
    @angelambanga351 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki. Asante baba kwa mahubiri yenye mafunzo.

  • @emmanuelruwanja3814
    @emmanuelruwanja3814 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @bernadethabenangodi
    @bernadethabenangodi ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Sana na hili

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 ปีที่แล้ว +3

    Thanks for the word of GOD and good teachings that we may overcome unyenyekevu utuongoze. Be blessed father of the church.

  • @jacksonmollel9206
    @jacksonmollel9206 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli mungu atausaidie

  • @esthermodestus7649
    @esthermodestus7649 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa asiyejua kupata kapata, nimebarikiwa sana.

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nifundishe niwe na unyenyekevu katika maisha ya Kwangu

  • @esmilykipele4008
    @esmilykipele4008 ปีที่แล้ว +3

    May the Lord help us 🙏🙏🙏

  • @bupemwakiteleko1608
    @bupemwakiteleko1608 ปีที่แล้ว +1

    Mungu na atupe kunyenyekea siku zote

  • @asta.tanotdoor7
    @asta.tanotdoor7 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana ujumbe mzuri mmmno nimebarikiwa AMEN. AMEN

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 ปีที่แล้ว +4

    Eeeh Mungu Tusaidie tuwe wanyenyekevu nipo Darasani Mchungaji najifunza kila siku kwako kila siku inayoitwa leo!Eeh Mungu nipe uvumilivu!

  • @janewathiru5358
    @janewathiru5358 ปีที่แล้ว +1

    I love your sermon, they are a blessings to me.
    It was King Belshazzar who saw the hand not Nebuchadnezar
    Daniel 5:5-12.
    God bless. Mungu atupe unyenyekevu

  • @lucresacareen8332
    @lucresacareen8332 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @dadarehema
    @dadarehema ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu neno lako limetufikia kwa wakati.Stay blessed Pr.

    • @aminapius4753
      @aminapius4753 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi wa mungu umetufudisha

  • @brianketon9898
    @brianketon9898 ปีที่แล้ว +1

    Very true,,May God's grace be there for us

  • @ElizabethGastor
    @ElizabethGastor 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji

  • @atuenemsalilwa2548
    @atuenemsalilwa2548 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa somo hili

  • @amissiking2335
    @amissiking2335 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana tena sana mtumishi wa Mungu

  • @lucymukhavi1405
    @lucymukhavi1405 ปีที่แล้ว +2

    God,help us to get rid of any pride in ourselves, let us yearn to be humble in and at all times. God bless you Rev. Kimaro.

  • @nangatv9218
    @nangatv9218 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji dunia ya mazombie confusion era ... Yaani malezi uozo ukiwaambia watu wananuna

  • @edwinkimambo7592
    @edwinkimambo7592 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi kwa somo

  • @esthermodestus7649
    @esthermodestus7649 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +1

    Kiburi kaburi!

  • @dancun217
    @dancun217 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto ana Allergy 🤣🤣🤣,mayai mayai

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU alimtengua Yakobo mguu, alishindana na NABII wa MUNGU lkn akabadilishiwa HATA jina akaitwa Israel. Ee MUNGU NISAIDIE juu ya wanangu Allan na ANGELA.

  • @nangatv9218
    @nangatv9218 ปีที่แล้ว +2

    Ndio ujue jinsi wanawake hawapendi kuambiwa ukweli kwa maana mada inagusa kila kona. Vigelegele hamna...

    • @dadarehema
      @dadarehema ปีที่แล้ว +1

      Message/sindano imeingia nguvu ya kushangilia tutoe wapi 🤦🤦🤦

    • @sarahwawuda5164
      @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว

      @@dadarehema tumeuchuna🤣🤣🤣

  • @user-gi5ny7nu3j
    @user-gi5ny7nu3j 4 หลายเดือนก่อน

    0

  • @beatricemalisa3132
    @beatricemalisa3132 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye nayo watsap pls share

  • @aminapius4753
    @aminapius4753 ปีที่แล้ว +1

    Ebeneza

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 9 หลายเดือนก่อน +1

    wimbo number wimbo number wimbo number..nimecheka mno