namkumbuka sana JD siku ya kwanza ulinipa tshirt ya East Afrca radio pale slypWay hotel kwenye uzinduzi na tena nilikusumbua sana then nikawa never miss Bills aka kwa KAKOBE
DAZ DILLINGER NI COUSIN WA SNOOP DOGG, NATE DOGG ......WEST COAST MZALIWA WA LONG BEACH CALIFORNIA NDIE ALIYEKUA AKINASIBISHWA NAE KWA HILO JINA ........
The best si and presenter of all time DJ JD the legend himself 🔥🔥
the best ever Dj of all time, those days where really good, I wish him all the best
Bilikana si old school people tulikuwa tunaita mbowe enzi hizo Empire cinema, Empress cinema, Chox and Avalon cinema, TZ Dar City one love from States
Jamaa yupo smart sana natamani angekua mentor wangu❤
Moja kati dj na mtangazaji mkali sanaa nimemsikiliza sanaa miaka ya nyuma! Mondi angemchukuwa huyu jamaa angeisogeza wasafi mahali
Yah I like this guy I promise to visit his club soon.
namkumbuka sana JD siku ya kwanza ulinipa tshirt ya East Afrca radio pale slypWay hotel kwenye uzinduzi na tena nilikusumbua sana then nikawa never miss Bills aka kwa KAKOBE
My ever lasting Dj💥💥
DJ from the past.present and the future
Interview nzuri inafundisha, inspiring na kuburudisha pia..
Nice and inspired interview especially tulio kwny game ya entertainment s/o dj jd the legend👏👏 and sky
Very interesting... may Almighty God bless you all. Legends are legends
Noma sana... nimependa hii interview
UMETUTENDEA HAKI KUMPA NAFASI LEGENDARY ........ANASTAHILI MAUA YAKE
DAZ DILLINGER NI COUSIN WA SNOOP DOGG, NATE DOGG ......WEST COAST MZALIWA WA LONG BEACH CALIFORNIA NDIE ALIYEKUA AKINASIBISHWA NAE KWA HILO JINA ........
Diamond angemchukua mshkaji ni fite sana ❤❤❤
Great conversation. Big up 👋
this is very interesting, sky i think you should have legendary show,
JD UMESAHAU KUMTAJA FARIDA MASOR DJ MACKAY
Hapo kwenye THE CRUISE ya sasa kuwa butu pazingatiwe
Rong time,namiliki radio yangu Rising saa 12 jioni nimwendo wa scrutch
Sky umetisha
sky tuletee na dj tass wa magic fm
Keep up good work Sns 🫡🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Madini ya kutosha sns
🖐️