BABUTALE alivyokwepa KIFUNGO jela kwa KESI ya SHEIKH MBONDE ya madai ya 250m, MWANASHERIA afafanua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 11 หลายเดือนก่อน +5

    Maubili Yake Kama Yalikua Upande Wa Imani Nae Waislamu Wamfungulie Kesi Ajui Imani

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu mwanasheria anajua Sana kuelewesha mpaka mim nimemuelewa,,na itanisaidia

    • @aby.beka1630
      @aby.beka1630 11 หลายเดือนก่อน

      sijui umeelew kitu gn apo zaid ya uhovy wa selikakal yet ya unyanyasaj km mtu alikil kosa kilichotakiw ni mtu kulipw ela yake kishelia izo mambo za kufatilia mali za kampun wap na wap wao km selikal hajui km kampun ina mali ama hain mbon wanashupalia kod at ufanyie biashal choon alaf et mnasif uhovyo km huu~

  • @saduniissack
    @saduniissack 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana. Naamini kila mmoja ameelewa.

    • @erastongussa2334
      @erastongussa2334 11 หลายเดือนก่อน

      from hayo maelezo ya wakili yameishia nusu as mtu anapaswa kufanya nini baada ya hapo, so hii imetuacha njia panda as to what is next after the suit being dismissed.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 11 หลายเดือนก่อน

    nimegundua kesi ilianzishwa na muhuni bahati nzuri amekutana na wahuni vilevile

  • @sumambembati4322
    @sumambembati4322 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sheria ngumu sana aisee

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 11 หลายเดือนก่อน +6

    Haya mamb ya sheria kumamake unaweza achia haki yko njian 7bu ya hiyo mizunguko 7bu kwanza ina2mia hela.

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 10 หลายเดือนก่อน

    Aibu maneger mzima unakumbana na aibu za madenimadeni

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 11 หลายเดือนก่อน +1

    KAMA NI KWELI KALETA UJANJA,,ATALIPWA HAPA DUNIANI NA SIKU YA MWISHO.ATAONGEZWA..LABDA USIFE MILELE..

  • @Igauf3
    @Igauf3 10 หลายเดือนก่อน

    Pay him up …

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 10 หลายเดือนก่อน

    Mchawi wa morogori kaloga amna cha kesi hap9

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani Sheikh ndio mwenye hati miliki Ya Surat al fatiha?

    • @sakinaomary7207
      @sakinaomary7207 11 หลายเดือนก่อน +1

      ni mali ya waumini wote

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @bryanzeconfesor5476
    @bryanzeconfesor5476 11 หลายเดือนก่อน

    Hayo mahubiri yalitumiwa wapi

  • @NKIRABANKA
    @NKIRABANKA 11 หลายเดือนก่อน +2

    Akili kujiongeza

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 หลายเดือนก่อน

    Nikumbusheni jaman ilikuwa haki miliki gani?,..iyo?

  • @frankgavana9448
    @frankgavana9448 11 หลายเดือนก่อน

    Yan shekhe anataka utajiri wa ghafla

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sheria msumeno kikubwa ni kuheshimiana

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani mlidhani atafungwa? 😅😅 hii ndio Tanzania

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 11 หลายเดือนก่อน

    Mahubiri yanalipiwa hehe

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe mzima ovyo

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe ananjaa huyu

  • @aliadremanengolilo6378
    @aliadremanengolilo6378 11 หลายเดือนก่อน

    Uyo akimu ameagama upande wa tale tu. Bado ajasema😂😂

  • @Agath45
    @Agath45 11 หลายเดือนก่อน

    Kama huna mwanasheria na huna pesa 😂😂😂😂 uuuw haki huna

  • @aby.beka1630
    @aby.beka1630 11 หลายเดือนก่อน

    kunakitu gn apo zaid ya uhovyo tuu yan mtu anatumia nguv nying kuelewesh wat ujing km mtu alikil kosa kilichotakiw ni mtu kulipw ela yake kishelia izo mambo za kufatilia mali za kampun wap na wap wao km selikal hajui km kampun ina mali ama hain mbon wanashupalia kod at ufanyie biashal choon alaf et mnasif uhovyo km huu~

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 11 หลายเดือนก่อน

    HUYU SIO SHEYKH NI SHETANI ALIE ZEEKA HAGEUKI KUWA MUUMINI!

  • @erastongussa2334
    @erastongussa2334 11 หลายเดือนก่อน

    Mlipoweka tangazo ndio palikuwa na umuhimu kweli kweli kwa sababu sio tu wakili kaelezea vizuri bali alikuwa anahitimisha uzuri kabisa maraa paaah upawa, ha ha ha.

    • @hashimukasimu2716
      @hashimukasimu2716 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅hata Mimi nimeshangaa upawa

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba mwendelezo

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 11 หลายเดือนก่อน

      Inaonesha unapenda sn umbea😂😂

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 11 หลายเดือนก่อน +1

    Babu tale atia neno
    th-cam.com/video/JC840H6TLj0/w-d-xo.htmlsi=hgjlMjU8XamlPSpT

  • @vayeen
    @vayeen 11 หลายเดือนก่อน

    Memorandum of Association ni MoU? kama sio ulimi kuteleza basi wakili aombe umma radhi😊

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 11 หลายเดือนก่อน +3

      Hata ww unajua kateleza, sema unataka tu utuonyeshe kuwa na ww kuna kitu unajua,,

    • @abdukadiliissa8076
      @abdukadiliissa8076 11 หลายเดือนก่อน

      Memorundum and articles of associations

    • @abdukadiliissa8076
      @abdukadiliissa8076 11 หลายเดือนก่อน +2

      MoU ni Memorundum of understanding