FUSE X FILES: UNDANI wa SYRIA! Ushindi wa 6 kati ya 7 kwa Netanyahu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 301

  • @Khatib-iv9pb
    @Khatib-iv9pb วันที่ผ่านมา +28

    Mashallah!!! Dah!! Dj SMA you're gifted mashallah, Allah akuzidishie ufahamu, fact and logic

  • @MessBaba-ms2ww
    @MessBaba-ms2ww วันที่ผ่านมา +19

    Nakubali Scott ritter wa Tanzania

  • @HusseinAli-g9w
    @HusseinAli-g9w วันที่ผ่านมา +13

    Mkali wa fact❤❤ bigup sana smaa👏👏🇹🇿

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Imeisha iyo DJ smaa..wenye d mbili tukuelewa.. Asante kw taarifa

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 วันที่ผ่านมา +11

    Mashalaah uko zaidi ya ukweli kulingana hadiths na nots.
    Mtume (saw) kasema kweli.
    Ufalme wa Mungu usimame.
    Amini

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 วันที่ผ่านมา +6

    mashaallah Mungu akubarik sanaaa djsma kwa elimu unayo tupa kaka ❤✊🏽

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 วันที่ผ่านมา +5

    Aisee Makala Imeshiba Sanaaa, Nimejifunza Mengi Sana Ambayo Nilikua Siyajui Mwanzoni, BIG UP DJ SMA

  • @HudheifaAthman
    @HudheifaAthman วันที่ผ่านมา +14

    Brother Allah akuhifadhi waelimishe wasiojua uhalisia wa mambo

  • @saidmohammed7220
    @saidmohammed7220 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    I like your analysis, you doing good job

  • @nkeshimanayuda1115
    @nkeshimanayuda1115 วันที่ผ่านมา +6

    Kadiri unavyotoa makala unazidi kunipa maarifa zaidi. Hongera sana Sma Mungu aendelee kukutunza.

  • @JustinSunzu
    @JustinSunzu 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Thank You so much Sma, You’re Best .

  • @Nurse-Suhaila
    @Nurse-Suhaila วันที่ผ่านมา +6

    Subhanallah i don't get it how a dj can be knowledgeable like this especially in deen

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 วันที่ผ่านมา +8

    DJ SMA nakukubali sana ❤❤❤❤

  • @frankthobias-ux7lj
    @frankthobias-ux7lj 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dj sma kwa fact & logic upo vizuri sana

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashallah aiseeh adi kiarabu unapiga mungu akuweke

  • @tchombakarimdjuma3845
    @tchombakarimdjuma3845 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Big up sana brother
    Alllah awe Nawe always

  • @HasanKisome
    @HasanKisome วันที่ผ่านมา +2

    Aisee Wewe Ni Next level 👏👏

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera sana @ dj smaa

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m วันที่ผ่านมา +15

    Mungu akupe maisha marefu kaka tunakuelewa

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o วันที่ผ่านมา

      Tumia akili yako fatilia elewa mambo.. hizi chambuzi za kishabiki zitakupoteza watu wanachambua mambo kwa maslahi yao na malengo fulani

    • @mrishoally55
      @mrishoally55 วันที่ผ่านมา

      ⁠@@GeorgeElias-p5o usinge comments ili kuto dumisha hayo maslahi unayo zungumzia wewe, na ushamba umekuzidi.

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx วันที่ผ่านมา

      Wew kumbe pimbi ​@@GeorgeElias-p5o

    • @augustinomathan4385
      @augustinomathan4385 วันที่ผ่านมา

      Kwani mwanzilishi wa Jihad war ni nani mchambuzi tusaidie

    • @Awatee
      @Awatee วันที่ผ่านมา

      ​@@GeorgeElias-p5oTafuta chanal yak uchambue acha ujuaji wakati elimu huna kubishana tuu kusoma aah hebu tuliza fuvu lako weye kutwa malalamiko ushabiki kwani nani kakuita hapa usitafute mambo usio kua na elimu nayo ukiona humpendi tafuta chanal yak uchambue sio malalamiko

  • @maulidomar9578
    @maulidomar9578 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Maa Shaa Allah ❤ such amizing peace of research

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv วันที่ผ่านมา +8

    Nondo kali sana hiz👏👏🔥🔥🔥🔥

  • @LittleLion-Tours-Safari
    @LittleLion-Tours-Safari วันที่ผ่านมา +5

    Facts and Logic ❤❤ & 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HamadJuma-kj5td
    @HamadJuma-kj5td วันที่ผ่านมา +5

    Nakubali sana fact zako bg up

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 วันที่ผ่านมา +5

    Dj Sma Mchambuzi wangu bora Dj Sma Ningetamani ufanye kazi Crown Media Big up kaka utafika mbali

    • @ajsmainde5138
      @ajsmainde5138 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwenye sns moja, unapata klauni midia ngapi.....?😅

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona Ameshafik mbali unataka mbali Gani Tena

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora ungesema awe na channel yake ili apande juu zaidi

  • @AmirIddi-y6e
    @AmirIddi-y6e วันที่ผ่านมา +6

    Dj sma nmefurahi sana nmekuckia

  • @KassimuTitu-nu6jn
    @KassimuTitu-nu6jn วันที่ผ่านมา +10

    Kujitafuta ni muhimu kaka sisi tunaelewa kazi yako kaka

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q วันที่ผ่านมา +4

    Nakubali kaka by idriss msakanoti

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM วันที่ผ่านมา +3

    Dj smaa 🧠👑 tulikusubili kinoma 🥇 MUNGU AWE NA WEWE ✊🏾

  • @VictorBandah-fj2ut
    @VictorBandah-fj2ut วันที่ผ่านมา +4

    Keep up bro ...

  • @IsmailJafary-ir8cv
    @IsmailJafary-ir8cv วันที่ผ่านมา +3

    Dahh we ni hatari kabisa nimekuelewa sana sana bro wape vitu wasioelewa dunia ikoje make mijitu inashangilia ujinga hayaoni mbele kabisa Allah ataleta kher na ataitetea Al aqsa na kaaba inshaallah☝️☝️☝️

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy วันที่ผ่านมา +7

    Nakukubali sana mkali akili nyingi sanaa mkuu.

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa unajua sana kuchambua kuliko mtu yoyote Tanzania

  • @JohnLemanya
    @JohnLemanya 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    kaka hbr mimi naitwa john lemanya leo umenikosha sana umepiga nondo za hatali huo niukweli mtupu anae bisha anitafute nimuongezee nondo zengine

  • @billskeez92
    @billskeez92 วันที่ผ่านมา +4

    Kweli Dj smaa ulikua umetutenga aise anyway ivi umerudi yote heri ❤

  • @khafidhabdi2502
    @khafidhabdi2502 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sma 👊🏻

  • @erickpetter5740
    @erickpetter5740 วันที่ผ่านมา +2

    Umetisha kaka

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ วันที่ผ่านมา +9

    Nakuelewa sana Kaka

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv วันที่ผ่านมา +3

    Mungu atunusuru Africa viongozi wetu wajitafadhari

  • @ChachaRichard-h1e
    @ChachaRichard-h1e วันที่ผ่านมา +4

    Pamoja sanaaa boy

  • @malikihusseinmbaga
    @malikihusseinmbaga 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka nimekufata kiundani zaidi Allaah Akuzidishiye

  • @shukranlugo3918
    @shukranlugo3918 วันที่ผ่านมา +8

    FUSE🔥🔥🔥🔥

  • @SIEGFRIEDMTEI
    @SIEGFRIEDMTEI วันที่ผ่านมา +3

    Nimeipenda sana smaa inafikirisha sana ndg zangu

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 วันที่ผ่านมา +3

    Kaka kweli ume inspire wengi

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 วันที่ผ่านมา +4

    Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪+254🇰🇪

  • @HeisBonii
    @HeisBonii วันที่ผ่านมา +5

    Oya tulimisss hii kitu mno🎉

  • @donaldsydney8574
    @donaldsydney8574 วันที่ผ่านมา +3

    Yan we bro ni Genius

  • @JumaMwanga-xd9gy
    @JumaMwanga-xd9gy วันที่ผ่านมา +3

    Masafii w kibongo Pia Wnapenda kujiita buu.. Fulan😢..

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv วันที่ผ่านมา +3

    Dj smaa unafikiri marekani wata weza kuangushwa maana wanafujo sana duniani

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 วันที่ผ่านมา +3

    Sanaa kaka

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 วันที่ผ่านมา +5

    Houth ni watu hatari sana wana hoffu kubwa na usaliti ni mdogo sana allah atajaalia kheri sana

  • @ibnujumanne4054
    @ibnujumanne4054 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Our bro Smaa tuweletee rawi ya hadithi hii tufaidike zaidi bro

  • @bishweko
    @bishweko วันที่ผ่านมา +10

    Umenifanya natetemeka Kwa uwogo Dj Sma ulivyo wachambua Kwa Hadithi Majina yao. Kweli Kwa kutumia majina ya Abuu. Wameteka nyoyo za wengi kuamini kuwa ni watu wema. Allah atunusulu na fitna zao .

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa วันที่ผ่านมา +9

    ⭐⭐⭐⭐⭐ the genius DJ sma

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 วันที่ผ่านมา +3

    I feel so sorry for Syria

  • @taraagire6176
    @taraagire6176 วันที่ผ่านมา +1

    Me 2 scott ritta says the mambo vile iko

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 วันที่ผ่านมา +5

    Cheers ✊️ 💪 🎉

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 วันที่ผ่านมา +4

    Leo wamejidhihirisha wenyew, hakuna Muisilam anawez kuchoma Moto Kaburi la Binaadam mwenzke tena Musilamu- wao wamefanya hvo kwny Kaburi la Baba yke Assad

  • @malikihusseinmbaga
    @malikihusseinmbaga 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nduguyangu naskiya umeikosha nafsi yangu kwa unavyo nichambuliya habari nakuaminiya

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dj Sma the best analyst....piga kazi kaka achana na wajinga wasiokuelewa jua unainspire weng mi mmoja wao

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 วันที่ผ่านมา

    Ok ,nazidi kuelewa mambo , asantee dj sma endelea kutupa ufahamu zaidi juu ya haya mambo ya duniani .

  • @doubleymkuu4267
    @doubleymkuu4267 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nilivimis Sana hivi vitu

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 วันที่ผ่านมา +2

    Tulikuwa tunakumbuka hiyi yakujifanana. Wewe pekeyako kwenye mike. Yote haya Mawahabi ndio wanayaleta. Kwanini hamuyasemi wambieni street Mawahabi aceni kupindisha maneno dj sma sema ukweli pls

  • @JustinSunzu
    @JustinSunzu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dunia inaenda ukingoni ,haya yalitabiriwa , Soma kitabu ca Yesaya 17:1 hadi 2 . Isaiah 17:1-2 .

  • @disanatv4485
    @disanatv4485 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Natamani hata watu wawe washauri wa Raisi, MUNGU wape hawa watu kibari machoni pa Raisi, Naona Tanzania ya kutisha.#DJ SMA🙏🙏🔥🔥

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 วันที่ผ่านมา +5

    Wale tulio anza na FUSE tunakuelewa mzee
    FUSE ndo imeizaa GPS na media nyingine nying kuanza kuongelea vita big up SNS SKY na FUSE

    • @ce-08
      @ce-08 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kweli Mimi ni mdau sana wa FUSE ni kweli FUSE ni bora lakini Kuna media zingine pia mfano Radio One Arusha kunamtangazaji anaitwa Alex Kuna IBM channel, Kuna yuhoma zipo nyingi sema zingine hazina wafuasi wengi na wengine wameanza kabla ya FUSE ingia TH-cam utamuona

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 วันที่ผ่านมา +1

    Dah nimemisi sana smaa

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua วันที่ผ่านมา +4

    Neema mpaka ikutoke ndio uijue watajua umuhimu wa Assad

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa วันที่ผ่านมา +3

    44:46 daaah sma wallah wewe nakupa maua 🎉 yako kbs umeshaga maliza kweli 🤭🤭🤭🤭

  • @Solomonnize
    @Solomonnize 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daaaaaa noumaaaaa,🔥

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa kwenye kununuliws kwa maafisa wa jeshi la hasadi ndo fitina iliyomuondoa hasadi na sio kweli eti ni uwezo wa hilo kundi

  • @losocarsoundsystem1133
    @losocarsoundsystem1133 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    So Good Bro..

  • @KaijageKaishozi
    @KaijageKaishozi วันที่ผ่านมา +2

    Kweli smaa yupo sahihi fuse ndio imezaa vitu na vipindi vyote vya tunavyo viona hadi sehemu nyingine., nakumbuka wakati wanaanza na kina jimmy na sky asee awajamaa watu wabadi sana, kwenye haya maswala🎉🎉🎉, ebu cheki vichwa vilivyo ongezeka mwamba Masubi, na Henry,. japo kuna mda wanakuwa na mapenzi lakini wapo smart sana, hongereni sana, Sky na wenzio.

    • @ce-08
      @ce-08 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna mtu ambae Hana upande wote wanapande zao maana na wao ni binadamu lazma wawe na hyo Hali sema tu linapokuja swala la uchambuzi inatakiwa tuangalie Kaz c mapenzi ya upande wako

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua วันที่ผ่านมา +2

    Ww mwamba nakukubali sana

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big up brother.

  • @basilintabw7037
    @basilintabw7037 วันที่ผ่านมา

    Good job brother, una madini haswa madini yamesheheni uh uhalisia kuntu

  • @muhsinmwamkunja9702
    @muhsinmwamkunja9702 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    @dj SMA iyo hadithi inapatikana kwenye kitabu gani?😢

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 วันที่ผ่านมา

    Kaka upo vizuri

  • @SuleimanMohommed
    @SuleimanMohommed 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allahu Barik Akili kubwa umetumia

  • @BUGAZANZIBAR
    @BUGAZANZIBAR วันที่ผ่านมา +2

    duh ! kaka ww ni noma

  • @khafidhabdi2502
    @khafidhabdi2502 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waarabu na waafrika tofauti yetu ni rangi ila akili tunafanana tu

  • @fauziaalmaamry8360
    @fauziaalmaamry8360 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Uchungu saaana

    • @fauziaalmaamry8360
      @fauziaalmaamry8360 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Tumeisha fika akheir dunia dj sma kila kitu allah kasema kwenye quraan ila cc warabu wametoka kwenye line yao uchugu sana tena sana

    • @fauziaalmaamry8360
      @fauziaalmaamry8360 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa nakupa bogezi dj sma wewe unajuwa kweli

    • @fauziaalmaamry8360
      @fauziaalmaamry8360 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huwezi kutowa habari izi isipokuwa umefaham dini yako yako islaam imesema hatuwezi kuwa salama cc warabu ila tufate mila yao mayahud wanafanya haramu sana tumefika fasi mbaya sana .

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekuelewa kaka ..ndo pale watu wanavyosema Kuna watu wanatumika vibaya kidini dhid ya watu wengine...ila kikubwa dunian tunapita Kwa yeyote alizurumu haki za watu kesho Kwa mungu atawaazibu inshallah..mana wanatuchezea akili zetu na wanadhurumu haki za watu damu za watu nakazalika...wanamchezea akili mungu mungu atadili nao awo wote kesho inshallah

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv วันที่ผ่านมา +3

    Ashad ata jipumzikia na family yake acha hawa waliobaki wauane wenyewe kwa wenyewe

  • @amansilayo6618
    @amansilayo6618 วันที่ผ่านมา +2

    Dj smaa sasa hao wakristu wanavyo zidi kupungua hujaendelea mwisho wake utaku ni nn?wata rejea au waislamu watakalia hayo maeneo ?

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 วันที่ผ่านมา +3

    Tusikilize ukweli huu...na sio tunakalilishwa uongo

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 วันที่ผ่านมา +1

    DjSmaa umesema kweli, FUSE imezaa vingi sana hata GPS imetoka a na FUSE

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b วันที่ผ่านมา +4

    😂 wasapot fuse wana potea hawaonekan😊

  • @SaidiChande-p4l
    @SaidiChande-p4l 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubali

  • @KibabiMtumbaClassic
    @KibabiMtumbaClassic 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mie najichanga hapa nilipie group nijiunge

  • @popiya2368
    @popiya2368 วันที่ผ่านมา +1

    Je Mungu atakubali watu waendelee kuteseka mpk lini

  • @OnesmoMgonja-w7p
    @OnesmoMgonja-w7p 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dj Smaa wewe ni nani wewe ni SUN TZU wa 001Bongoland tz

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ww jamaa upo nondo mnoooo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi Vikundi vya kigaidi vimeanzishwa na wamerikani kwa lengo lao kubwa kuuchafua Uislamu na waweze kupata vibali vya kuvamia inchi za Kiislamu

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 วันที่ผ่านมา +2

      Hivi Muhammad alitoka Marekani..?

    • @Awatee
      @Awatee วันที่ผ่านมา

      ​@@omondiowino7875Acha ufisadi kwani Muhammad alianzisha ugaidi?

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mimi ni muislam ila upumbavu mwengine tunawasingizia tu,kama usaliti tunautaka wenyewe,cha muhimu kwa usaliti wa kwanza ni waarabu wa pili ni waafrica.

  • @AliyKijangwa
    @AliyKijangwa วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki xna umetufungua xna akili asieelewa abak na ubishi wake

  • @AbdillahMnubi-vx8qx
    @AbdillahMnubi-vx8qx วันที่ผ่านมา +1

    DJ asma endelea kujifunza kiarabu maana ukijifunza lunga ya kiarabu na uka ijuwa hakika uta kutana na mambo mengi sana hata ambayo hukuwahi kuya juwa ila nakupongeza sana

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥💯

  • @KisimbiMalumbe
    @KisimbiMalumbe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oyaaa we jamaa noma sana

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Master dj smaaa,, nilisema yule jamaa wa HTs anasura za mayahudi wa Israel is a Jewish man from Israel.

  • @fikiriamisi8052
    @fikiriamisi8052 วันที่ผ่านมา

    Great fact.

  • @ilhamAboubakar
    @ilhamAboubakar 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unajitahidi kwa uchambuzi nakupongeza kwa hilo ila nakuhusia epuka kutafsiri hadith ao aya za quruan tukufu utakua unauzalilisha uislam nakuutia kasoro nahali yakua uislam umekamilika huna mapungufu .yoyote hujafikia level yakuchambua Hadith ao aya ya quruan tukufu kwanza hadith yenyewe hukutowa reference zake namalengo yake huyajuwi na hicho kitamba cheusi kilitumiwa na mtume na vile vile cheupe hiyo ilmu sio level zako kwakumaliza huyo alie ondolewa kweny utawala ni mshia huyo ni kafiri zaidi kuliko mchristo wala naswara na haswa ukizingatia alikua nafaida gani na waislam nasisi waislam ni dini ya amani hatuwachukiyi wachristo wala manaswara bali twapigana na yule anae tupiga vita natwajenga uaduwi na yule ambae anae tufanyia uaduwi (Albaqara aya 190 -195 quruan)