- 164
- 27 640
Mazingira TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 29 ก.ค. 2012
Environmental Impact of Small Scale Mining in Geita, Tanzania
Welcome! In this video, we will explore the environmental impacts of small-scale mining in Geita, Tanzania. This project, implemented by the Lawyers' Environmental Action Team (LEAT), aims to shed light on the significant effects of mining activities on the local environment and communities.
มุมมอง: 46
วีดีโอ
A Blessing and A Curse: Effect of Coal in Ruvuma, Tanzania
มุมมอง 7114 วันที่ผ่านมา
This short documentary produced by Friends of The Earth Tanzania (FOE Tanzania) explains the environmental and Social Impacts of Coal to Ruvuma Communities.
Je Wazijua Safu za Milima ya Lyamba lya Mfipa na Sifa Zake?
มุมมอง 2114 วันที่ผ่านมา
Hizi ndio safu za milima ya Lyamba lya Mfipa ambazo mradi wa USAID Resilient Communities Governace uliozoeleka kama Mradi Usimamizi Endelevu wa Maliasili umejizatiti kuzilinda kwa kufanya mipango ya matumizi ya ardhi, kuhamasisha utungwaji wa sheria ndogo, na kutoa elimu ya usimamizi wa maliasili ili kupunguza kasi ya uharibifu wa safu hizo kutokana na shughuli za kibinadamu. Kwa takribani miak...
Wanafunzi Wana Nafasi Kubwa ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi
มุมมอง 15514 วันที่ผ่านมา
Mradi wa USAID Resilient Communities Governance umewezesha wanafunzi katika shule 18 za wilaya ya Nkasi na Sumbawanga, Kuanziasha Klabu za Mazingira kwa lengo la kufanya shughuli rafiki kwa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Shule ya Msingi Malongwe, Wilaya ya Nkasi ni shule kati ya shule hizo iliyofanikiwa kuotesha miti ya matunda na kuisimamia vizuri. Shule nyingine ni pamoja ...
Hati Zalinda Ndoa na Mali Zetu
มุมมอง 1714 วันที่ผ่านมา
Wanawake wa Kijiji cha Swaila, Wilaya ya Nkasi waelezea namna hati zilivyowasidia kulinda ndoa zao na mali za familia kwani hati zinatambua umiliki wa pamoja. Aidha, Wameshukuru mradi wa USAID Resilient Communities Governance unaotekelezwa na LEAT, RUSUDEO chini ya ufadhili wa USAID uliowawezesha kutambua haki zao za umiliki na kuwapa ujasiri wa kupata mikopo bank kwaajili ya maendeleo ya shugh...
Hati za Kimila Zapunguza Migogoro ya Mashamba Rukwa
มุมมอง 2114 วันที่ผ่านมา
Wanufaika wa mradi wa Resilient Communities Governance wameshukuru namna upimaji wa ardhi na utowaji wa haki za haki miliki za kimila ulivyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi. Wameelezea pia namna hati hizo zilivyowasaidia kupata mikopo ya benki kwaajili ya maendeleo ya shughuli za kilimo.
Hatimiliki Zatufungua Macho
มุมมอง 4514 วันที่ผ่านมา
Deus Kasanda Mkazi wa Kijiji cha Kisula asimulia namna hatimiliki ya kimila ilivyobadilisha maisha yake. Tangu apate hati ameweza kupata mkopo kutoka CRDB bank uliomuwezesha kuboresha shughuli zake za kilimo na kupata faida ya kuanzisha grocery na kununua hiace kama daladala inayopakia abiria wa kutoka Sumbawanga hadi kijijini kwake Kisula. Deus Kasanda ni miongoni mwa watu wengi waliopata miko...
Maafisa Misitu na Wahifadhi Waoongezewa Maarifa Katika Usimamizi wa Sheria ya Misitu
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
LEAT yaendelea kujengea uwezo maafisa misitu na wahifadhi kutoka katika taasisi mbalimbali ikiwemo TFS na Wizara ya Maliasili katika Usimamizi wa Sheria ya Misitu unaozingatia haki za binadamu.
Mafunzo ya Utekelezaji wa Sheria za Misitu kwa Kuzingatia Haki za Binadamu
มุมมอง 30หลายเดือนก่อน
LEAT yahamasisha Mafunzo Kujenga Uwezo kwa Ajili ya Utekelezaji wa Sheria za Misitu kwa kuzingatia Haki za Binadamu na kutoa Huma Bora Huduma Bora za Ugani
Hawa ndio Waliojengewa Uwezo Kuendesha Mashtaka
มุมมอง 33หลายเดือนก่อน
LEAT imetoa mafunzo kwa taasisi mbalimbali za kiserikali zinazosimamia sheria za usimamizi wa misitu namna ya kuchunguza na kuendesha mashtaka mbalimbali yanayohusiana na usimamizi wa misitu.
Warsha ya Uthibitishaji wa Nyaraka za Usimamizi wa Misitu Zilizorahisishwa
มุมมอง 33หลายเดือนก่อน
LEAT kwa kushirikiana na WWF Tanzania imefanya warsha ya uthibitishaji wa nyaraka iliyobeba kanuni, miongozo na sheria zinazohusiana na usimamizi wa misitu zilizotafsiriwa katika Kiswahili rahisi.
Chapisho Litakalo Wasaidia Wengi
มุมมอง 622 หลายเดือนก่อน
LEAT yakutanisha wadau mbalimbali kuandaa chapisho linalochambua sheria, kanuni na miongozo mbalimbali ya usimamizi wa misitu katika lugha rahisi ili kuweza kueleweka na wengi.
Have You Heard About LEAT? Discover Our Mission!
มุมมอง 652 หลายเดือนก่อน
Hello! We are LEAT (Lawyers’ Environmental Action Team), and we believe in the power of collective action to transform our world. Our mission is To contribute towards good governance and sustainable management of the environment and natural resources through public interest litigation, advocacy, strategic research, capacity building and networking. Together, we can create a legacy of sustainabi...
Resilient Communities: An Inspiring Journey
มุมมอง 494 หลายเดือนก่อน
Join us on an inspiring journey through the USAID Resilient Communities Governance Project. This breathtaking documentary showcases the incredible stories of communities overcoming significant threats such as illegal logging, unsustainable agriculture, the charcoal business, household expansion, and uncontrolled grazing. What You’ll Discover: Innovative Strategies: Learn how the project employs...
Bora Kukopa Kwenye Kikundi Kuliko Benki
มุมมอง 625 หลายเดือนก่อน
Regina Malema, Mkazi wa kijiji cha Itindi Nkasi aelezea namna kikundi cha uchumi kilichoajengewa uwezo na mradi wa USAID Resilient Communities Governance, kilivyomuwezesha kukopa hela na kuanzisha mashine ya kukobolea. Yeye binafsi ameona ni vyema akope kwenye kikundi chake kwa sababu anapata faida kubwa kuliko kukopa benki ambako bima ni kubwa.
Wanafunzi Wapambana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
มุมมอง 765 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi Wapambana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Usimamizi wa Sheria Ndogo Wapunguza Uharibifu wa Misitu Lyamba Lya Mfipa
มุมมอง 266 หลายเดือนก่อน
Usimamizi wa Sheria Ndogo Wapunguza Uharibifu wa Misitu Lyamba Lya Mfipa
Migogoro Sugu ya Ardhi Yatatuliwa Rukwa
มุมมอง 266 หลายเดือนก่อน
Migogoro Sugu ya Ardhi Yatatuliwa Rukwa
Mradi Ulivyosaidia Kupunguza Mauaji na Uchawi Kati ya Wananchi
มุมมอง 366 หลายเดือนก่อน
Mradi Ulivyosaidia Kupunguza Mauaji na Uchawi Kati ya Wananchi
Mapinduzi ya Ardhi: Safari ya Mwanamama Kuelekea Uhuru wa Kiuchumi
มุมมอง 356 หลายเดือนก่อน
Mapinduzi ya Ardhi: Safari ya Mwanamama Kuelekea Uhuru wa Kiuchumi
Jinsi Hati za Kimila Zinavyofungua Milango ya Mikopo kwa Wakulima-Rukwa
มุมมอง 366 หลายเดือนก่อน
Jinsi Hati za Kimila Zinavyofungua Milango ya Mikopo kwa Wakulima-Rukwa
The Resilient Communities Governance Project - Journey to Addressing Biodiversity Threats
มุมมอง 136 หลายเดือนก่อน
The Resilient Communities Governance Project - Journey to Addressing Biodiversity Threats
MKUU WA MKOA WA RUKWA ATOA PONGEZI KWA WAHIFADHI MAHIRI RUKWA
มุมมอง 966 หลายเดือนก่อน
MKUU WA MKOA WA RUKWA ATOA PONGEZI KWA WAHIFADHI MAHIRI RUKWA
KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2024
มุมมอง 667 หลายเดือนก่อน
KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2024
Ushirikiano Wachochea Uandaaji wa Mipango ya Ardhi na Hati za Kimila
มุมมอง 627 หลายเดือนก่อน
Ushirikiano Wachochea Uandaaji wa Mipango ya Ardhi na Hati za Kimila
Naomba formula ya kutengeneza hii dawa ya katani na jivu tafadhali. Unafanyaje?
Sad 😔 , that shows lack of corporate social responsibility, no one deserves to live in such kind of environment. Should not be a curse to be born in a land rich with mineral resources. Hopefully TZ government will listen, at least by mitigating the risk associated with coal mining activities by creating safer environment to those innocent local residents. My advice, local residents to form union and work collaboratively with human rights activists, starting lodging complaints against the miners, government and etc, as such should go as far as international courts. Otherwise if not get addressed accordingly, many innocent lives will be lost and few will get richer.
Tufahamishe
Good initiative
🔥🔥
Kongole sana ,maendeleo ya misitu maisha yetu.
Proud to see people engaging in conservation
Lugha nyepesi ni nguzo ya uwelewa
Jambo jema sana🎉
Kongoleni sana, mwenyezi mungu aendelee kuwapa NGUVU,uhai, na kuwajaza uwezo wa kutenda hayo muliyokusudia kuyafanya Kwa ufanisi mkubwa sana, Kiujumla swala la utunzaji wa misitu ni swala muhimu sana Katika jamii YETU ,na chapisho Hilo litawafanya wanaishi kujua miongozo,kanuni,taratibu,Sheria, na sera mbalimbali za utunzaji wa misitu yetu, kwani MAISHA NI MSITU NA MSITU NI MAISHA,,HAKUNA MTI HAKUNA MAISHA, Hivyo mm binafsi niendelee kuwashukuru washiriki kwa zoezi hilo na shirika hili la wanasheria watetezi wa mazingira tanzania kuendelea KUIBUA na kubuni mbinu mbalimbali Kwa kuandaa machapisho mbalimbali yanayozisaidia jamii kulinda raslimali za misitu Katika maeneo Yao, Tunatambua kuwa maeneo yetu yamekuwa ni maeneo korofi sana hasa kutokana na mabadiliko ya tabia za nchi na shughuli mbalimbali za kijamii ambazo zimekuwa kizungumkuti sana,, Ambapo nilikuwa naonelea kuwa baada ya andiko hili kukamilishwa basi lienende likasimamiwe kwa vitendo huko vijijini Kwa kuibua vijieneo vijijini na kupanda miti katika maendeo hayo tengwa Ili kuendelea kijani Tanzania. Pia kuanzisha MAKUNDI mablimbali ndani ya kijamii ya kuendelea kutoa hamasa mablimbali juu ya utunzaji wa misitu Kwa kuendeleza salsafa ya taifa juuu ya utunzaji wa MAZINGIRA. ASANTEEEEEEEEEEE LEAT....... ASANTEEEEEEEEEEE WASHIRIKI.
In generally congratulations all leaders of LEAT for good work that done in different places,for restance in rukwa, through program called USIMAMIZI ENDELEVU WA MALIASILI 🎉❤
🔥🔥🔥
Mbona inakataa
KEEP UP LEAT😀
Mwalim naomba namba yako ya sim
Mwalimu super
Kongole sana MWANAINCHI kwa kuripotisha taaarifa sahihi Kwa mradi huu mm nimekuwa mpima msaidi katika Kijiji HICHO Cha kisula , niukweli kwamba mradi huu umesaidia sana KUPUNGUZA migogoro ya ardhi na vifo visivotarajiwa , Maendeleo kama haya yanayofanywa na mradi huu serikali inapaswa kuwashika mkono kisawasawa na kuonesha upendo na MSHIKAMANO na hasa kwa kuendelea kuongeza furusa kwa WA Tanzania wengine kupata Huduma hizo.
Naomba namba ya mtaalam nahitaji miche
Naomba namba ya mzee nahitaji miche
Naomba namba ya mtaalam
nimemuona BFF
Asante bro🙏🙏@masindatv7285
Asante sana Kaka 🙏🙏🙏 @masindatv7285
Yasemwayo yapo na yanafanyika na taasisi ya LEAT Mm ni mmoja wapo niliyepata mafunzo hayo na kushiriki kama mpima msaidizi wa Ardhi na la zaid hadi kupima BARABARA za mitaa zinazohitajika kupimwa katika mitaaa ya VIJIJINI . Napongeza sana wanafundisha kwa moyo wao wa dhati, for porate language, na wakufunzi Wana skills kubwa sana. Kuusiana na program mbalimbali na wanawataalamu waliobobea kabisa, NAOMBA WAHISANI WAENDELEE KUWAUNGA MKONO ILI WAWEZE KUPATA RASILIMALI FEDHA TU. Maana wanao uwezo wa kupata rasilimali watu katika kuwapa mafunzo na kutumia utaalamu wao, Asante sana, sana, sana.
Asante sana kwa somo 🙏
Daudi Bakari🔥🔥
Yes,,,, brother Alex l know you well your super technologist boss unauwezo mkubwa sana huwa uko simple and slow but sure yaaani hufanya kazi kwa ueredi sana,,ulinifundisha na nilikuelewa sana katika kuwafundisha vijana kwa kutumia mfumo huo wa MAST, kuna advantage sana kwa technology hiyo kutumika katika halmashauri zetu mm nakushuru sana kwanza kwa uwezo wako binafsi kiutendaji. Pili ni kwa wafanya kazi wenzako wote na taasisi kiujumla Asante.
All the best Brother♥️
Asante sana mwalim
Mwalimu upo makin
Hongera
Je nitawezaje kupata miche,nipo Zaznzibar
Mwalimu unakitu cha ziada hongera sana
Nawakubali sana
Asante Sana
Kongole sana shirika la leat mungu awabariki
Amina. Asante sana
Super
Wao
Safi. Kazi nzuri LEAT
Tunashuuru sana
Asante sana!
Hongera Sana kwa kushirikisha jamiii
Tunashukuru!
Safi🎉
Congratulations sana leat & rusudeo kwa kuimalisha mazingira kwa vitendo najua linenwalo lipo na ndivyo lilivyo kongole sana .
Tunashukuru sana mdau wetu!
Ongereni sana wanankomolo tuuuuu
🔥🔥🔥🔥
We thanks God,for the caming of Leat in Rukwa Region
Leat ni shirika bora sana ambalo limesaidia,utunzaji wa maliasili mkoani Rukwa.
Safi Sana mtaalamu umeelezea kwa mapana zaidi 👏👏👏👏👏
👏🏽👏🏽
Kuna mbolea nzuri ya asili inayoleta wadudu wazuri wa ardhi kama wale wa maharagwe. initwa mycorrizahl fungi fanya utafiti. Udongo utabaki salama na mazao yatashamiri hata asilimia 15 hadi 30 zaidi kimatunda
Hongera
Ili mazingira yaweze kutuzwa kwa usahihi na umakini nimpamoja na kuanzisha shuughuli ya ufugaji nyuki na mpaka Sasa zoezi linaendelea na faida Kwa wanainchi ipo, Ushauri wangu nikuwa mkoa was rukwa ni mkoa ambao bado unauoto wa asili hivyo inahitajika nguvu kubwa ya serikali na Jamii usika ya Maeneo husika kuungana na mashirika haya, ,
Upo sahihi kabisa Kaka.