MKULIMA ANAYEVUNA MILIO 30 KWA MITI 120 TUU YA PARACHICHI,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @astolbenson
    @astolbenson 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana .Hii inatia MOYO🥂 KILIMO KWANZA 🥂Parachichi 🥑🥑 🥑 🥂 WAKULIMA 🥑🥑🥑NJOMBE 🇹🇿

  • @jasper849
    @jasper849 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mkulima...

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mbolea gani bora kwa miparachichi ili iweze kutoa mazao bora

  • @gracekawiche
    @gracekawiche 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano nimependa Sana juhudi zako mafunzo yako natumaini Sana kupata shamba huko njombe

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana je Miche nitazipata vipi mi Niko Zanzibar

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa hali ya hewa ya Zanzibar sidhani kama yatasitawi vizuri

  • @DianaLyimo-be7yp
    @DianaLyimo-be7yp 10 วันที่ผ่านมา

    Mbolea inawekwa marangapi kwa mwaka

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 10 หลายเดือนก่อน

    Maswali sio mazuri Mzee ana ujuzi mwingi

  • @EmmaDanfody-gj5mi
    @EmmaDanfody-gj5mi 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee nampata vizuri nikweli mkulima mkubwa sana wa parachich hapo kijijini anapata pesa nying sana

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 10 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wenzangu mimi nimekwama mtaji wa kilimo naomba mnichangie japo nipate kianzio kidogo nitashukuru 🙏

    • @MfizoCrypto
      @MfizoCrypto 10 หลายเดือนก่อน +1

      Cha kupeewa huez kukuza Anza na ulicho nacho

  • @RaymondJosephMtui-ob2gq
    @RaymondJosephMtui-ob2gq 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hali ya mvua iko je hapo?

  • @zawadiluvanda8162
    @zawadiluvanda8162 11 หลายเดือนก่อน

    safi sana nitauuliza mkurugenzi nikutembeleee

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 10 หลายเดือนก่อน +3

    jichanganye uchukue mkkopo ulime uone

    • @Salumchiwili2023
      @Salumchiwili2023 4 หลายเดือนก่อน

      Wew ogopa wenzako wanapiga hela mzee

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 10 หลายเดือนก่อน +1

    ira kwa muli 30 kwa mwezi iyo siyo kweri

    • @carlosmzena548
      @carlosmzena548 8 หลายเดือนก่อน

      Nani kasema mwezi 😅😅

  • @frankmsigwa9385
    @frankmsigwa9385 11 หลายเดือนก่อน

    Karibuu

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 4 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba no za huyo mzee

  • @rajabtunu6336
    @rajabtunu6336 10 หลายเดือนก่อน

    Hebu fungamdomo ruto ataku pandishia ushuru

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 11 หลายเดือนก่อน +3

    Milion 30 mnaijua nyie?

    • @judithkahwa6828
      @judithkahwa6828 11 หลายเดือนก่อน

      Na wewe Dhahabu ya kijani unaijua wewe

    • @augustinjoe3733
      @augustinjoe3733 9 หลายเดือนก่อน

      Nampenda kujua Je hiyo inatokana na miti ya kuunganisha (grafting)? Unapokata nusu futi unabaki mti Gani?

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 8 หลายเดือนก่อน

    Uongo

  • @rajabtunu6336
    @rajabtunu6336 10 หลายเดือนก่อน

    Yuajuamilioni huyu