Kauli hii ya MAZINGE imewaumiza sana waumini wa dini ya KIKRISTO Dah inaumizaaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • #nyundotv #Mazinge #ndacha

ความคิดเห็น • 177

  • @CastrbBizzo
    @CastrbBizzo 12 วันที่ผ่านมา +16

    Ishi miaka mingi shekhe mazinge allah akufanyie wepesi inshaallah

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 11 วันที่ผ่านมา +10

    Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman,, vipenzi vya Allah..tuko pamoja mkono kwa mkono had pepeni.. amiin 🤲

  • @user-np4om6hz4m
    @user-np4om6hz4m 6 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 ostadh masha allah❤❤❤

  • @user-ve3wu5jn1l
    @user-ve3wu5jn1l 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mashalaa Mashehe wetu Mwenyezi Mungu awape maisha marefu . Awape Leo na kesho Ahera Kwa huruma zake na uwezo wake .

  • @ibnuqassim1614
    @ibnuqassim1614 20 วันที่ผ่านมา +30

    Mwenyezimungu akufanyie wepesi mzee wetu mazinge Allah akuzidishie umri uzidi kufanya daawa 🎉

    • @Elecovid
      @Elecovid 16 วันที่ผ่านมา

      Shaf umeshindwa mudaharoooo😅😅😅😅aibu

  • @HenriNkurunziza
    @HenriNkurunziza 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mansha allah Mungu akizidishie umuri mwingi Mazinge wetu

  • @mms9158
    @mms9158 19 วันที่ผ่านมา +14

    Shekhe mazinge wewe poa kwenye masuala Alla akupe afia yako daima

    • @Elecovid
      @Elecovid 16 วันที่ผ่านมา

      Mazinge hamna kitu

    • @davisadawson14
      @davisadawson14 15 วันที่ผ่านมา

      @@mms9158 kama unaamini mazinge ana kitu umekwisha ...binafsi mi nikimpa challenge hapa ndani ya hyohyo Quran yenu atabaki kuduwaa tu...we mfatilie vema kuna siku nimewah kumsikiliza hadi alijikuta amewasapoti wakristo pasipo yeye kujua...ila akatengeneza mazingira ya kuipamba hoja, ila siku hyo alilemewa

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 14 วันที่ผ่านมา

      Nani ana kitu hapo!au ushabiki Tu WA kikristo!

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 10 วันที่ผ่านมา

      Aamiiin

    • @Hassanwario1
      @Hassanwario1 8 วันที่ผ่านมา

      Amiiiin

  • @taimurali3718
    @taimurali3718 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ustadh Shafi Allah akulinde na akupe nguvu ulinde uislam
    Ameen

  • @user-oq2wp8oh1f
    @user-oq2wp8oh1f 18 วันที่ผ่านมา +6

    Shafi ni hatar walahi nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh shafii

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 12 วันที่ผ่านมา +3

    Shafiii ❤❤❤❤ nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 2 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe umri mrefu shekh mazinge

  • @user-jo9fb7df5z
    @user-jo9fb7df5z 8 วันที่ผ่านมา +1

    nakuaminia mazingeee auna bayaa we ni kiboko umesoma unajua allah akulipe kheri

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 20 วันที่ผ่านมา +7

    Mazinge shehewetu. Kwani kofia zako unanunuawapi😂 ilamaashaallah nawapenda waadhili Allah akupeni uri mlefu wenye heri nanyi

  • @jumahyaache
    @jumahyaache 20 วันที่ผ่านมา +7

    Allah akbar ❤

  • @manigatz5271
    @manigatz5271 19 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂 ety mchez wa kukimbia anao sana

  • @abyolafadhili5734
    @abyolafadhili5734 19 วันที่ผ่านมา +12

    Swali zuri sana Mazinge 'Wakati Yesu yupo tumboni Mungu alikuwa nani?'

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@davisadawson14hilonalo swali Gani? Mizimu ndio vitu Gani! Bado TU unaamini ujinga

    • @davisadawson14
      @davisadawson14 15 วันที่ผ่านมา

      @@mussamalekela2107 ...Wacha niamini ujinga,ila kuna wakati Mungu yeye mwenyewe atatuonesha ukwel uko wapi..Yani Mimi nkwambie kwa.hyo.imani yako..kama hujui sabato,hujui maana ya Chukizo la uharibifu,hujui maana ya Alama ya mnyama.. nakwambia ukweli una safari ndefu ya kusafiri kiroho,,,bisha Hadi upige mieleka ila ukweli ndo ulivo

    • @Visitezavecramso
      @Visitezavecramso 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@davisadawson14hueleweki tatizo cjui umeuliza nn halafu mungu kaumba majini sio mizimu,sio mapepo wala shetani kwahyo jipange utajibiwa

    • @SuleimanMtumweniAli
      @SuleimanMtumweniAli 14 วันที่ผ่านมา

      Pia kumbuka kwamba majini wanaishi hapa hapa duniani maeneo ya baharini, mapangoni,kwenye miti mikubwanamajengo yalio hamza na wao ndio manzoni Allah kuwaleta duniani kabla ya nabii Adam na mkewe bibi hawaa kuletwa

    • @davisadawson14
      @davisadawson14 14 วันที่ผ่านมา

      @@Visitezavecramso...:: Hapa tutabaki kubishana tu maana nachoamini Mimi siku zote Imani kwa mtu asietaka kujua ni lazima iwe na nguvu kuliko ukwel halisi,,ko wewe endelea kuamini uanchokiamini,,sababu hujanielewa,,au labda nikuulize kwa njia rahisi,Je majini ndiyo SHETANI/LUCIFER.?...Ikiwa jibu lako ni ndyo Basi utakuwa umeelewa kule juu nmemaanisha Nini,lakini kama jibu lako ni hapana basi Imani unayoiamini bado haijakusaidia kitu na Wala hatutaelewana Hadi Siku ya kiyama

  • @Emmanuel-q8l
    @Emmanuel-q8l 11 วันที่ผ่านมา +2

    Wakati alikua tumboni yesu mungu alikua naini ivi munajua kuwa miezi 9 sio kidogo 😂😂😂😂 mungu gani alikua akiongoza ulimwengu na ndoman Ndacha akakukimbia safi san Ustath Mazinge

    • @fidelissayejo5856
      @fidelissayejo5856 10 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo una maanisha Mungu akiwa tumboni hawezi kuwa mahali nyingine.

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 9 วันที่ผ่านมา

      @@Emmanuel-q8l uma amuma umeharibu watu Sana ,sayansi ya Kiroho ni tofauti na kimwili au kiakili zako ,Roho unaweza kufanya lolote kwa wakati wote ,labda mfano huu utakusaidia mchawi anao uwezo wa kusafiri na kitandani kaacha mwili na kule alikokwenda anawaloga watu Sana na kuwachanja chale ,na ameingia ndani kwa watu bila hodi na milango imefungwa ,hapo inakuaje ,haya mambo yanawatatiza Sana kutokana na Mungu wenu mmemfanya kua dhaifu Sana ,hamjui uwezo wake , kama mchawi anajigeuza kua paka ,mbwa ,nyoka nk inamshinda Nini Mungu wa kweli kua au kufanya apendavyo? Yaani Hilo swali lako hata mazinge analipendaga Sana na hiyo inaonyesha kua ufahamu wako na yeye ni mapacha.

    • @SandeSandeMure
      @SandeSandeMure 9 วันที่ผ่านมา

      Angalia huyu yesu ni mtoto wa mungu au mtume ndiyo maana maandiko yanasema kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu ndipo akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminie asipotee

  • @user-ds8kq8ov6l
    @user-ds8kq8ov6l 20 วันที่ผ่านมา +6

    Allah akibr

  • @RashidiMngujini
    @RashidiMngujini 6 วันที่ผ่านมา

    jazaka llah lkhair❤❤❤

  • @AhmadijumaJuma-fq2td
    @AhmadijumaJuma-fq2td 15 วันที่ผ่านมา

    Shafi wewe ni moto ndacha Hana hoja analuka Luka maneno awezi uyoo mashekhe zetu Allah awajalie maisha malefu maisha mazri apa duniani kabrini nakeshi akhera tunawapenda sana mashekhe zetu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 9 วันที่ผ่านมา +1

    We shekh humuwezi ndacha we boya mno

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 20 วันที่ผ่านมา +6

    Subhanallah

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 14 วันที่ผ่านมา +2

    FROM BURUNDI: VITABO HIVYO NIVYA ZAMANI SANA, IMEKUWA HISTORIA TU. HADI LEO MWENYEZIMUNGU YUKO KAZINI, ANAONGEA . ILA VITABU HIVI VYA ZAMANI, VINAWAPA FAIDA WAKU WA DINI. KAMA MAFARISAYO NA WAKU WA DINI, WALIKATA KU MWAMINI KRISTO KWA FAIDA YAO. ACENI BYASHARA HIYO, TAFUTENI NI NINI MWENYEZIMUNGU YKO ANAONGEA LEO NA ANATENDA ...

  • @user-ex2id7sw4x
    @user-ex2id7sw4x 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mola akuongoze shehk wetu daima

  • @AndersonNketa
    @AndersonNketa 19 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli Shaffih mbugila mbugila

    • @user-uy5ue2tz6g
      @user-uy5ue2tz6g 9 วันที่ผ่านมา

      Wanamacho lakin hawaoni Wana maskio lakini hawaskii nyoyo zao Zina vizibo

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mwongo wewe Mazinge,Ndacha ni kichwa humwezi

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 20 วันที่ผ่านมา +2

    Shafiiiiii...Kwahiyo Unatuambia Kwamba Ukishasoma Maandiko Ya Mtume Paulo Ndo Tayari Umeshasoma Utume Wake?

  • @user-ep1pi5pw3k
    @user-ep1pi5pw3k 14 วันที่ผ่านมา +2

    UZEE NI SHIDAA MAZINGEE.HEBU WAACHIE VIJANAA

    • @Egidiomussa
      @Egidiomussa 12 วันที่ผ่านมา +1

      Alah akbar

  • @saidmohammed1458
    @saidmohammed1458 11 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah awafanyie wepesi

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 20 วันที่ผ่านมา +3

    Kila mwanadamu ataenda kumwabudu mungu kupitia dini yake na si kulazimishana bila faida yoyote.

    • @ShabaniRehani-i4h
      @ShabaniRehani-i4h 20 วันที่ผ่านมา +1

      Hujalazimishwa.kua muelewa.

    • @user-es4uf6gj7u
      @user-es4uf6gj7u 20 วันที่ผ่านมา +1

      Umepata wapi hiyo kila mwana Adamu afuate dini yake na wote wafaulu wewe nikipofu wa moyo

    • @zahorsuleyman7617
      @zahorsuleyman7617 15 วันที่ผ่านมา

      Sasa kama ingekua hivyo inamaana gn M/mungu anamaana Gani kuumba pepo na moto??Wakati kila anaefuata dini yake yupo sahihi?Amefanya hivyo ili akawachome wale wote waliokwenda kinyume na dini yake nayo ni UISLAMU. "Wala usiseme jambo ambalo huna ujuzi nalo,Hakiki ya masikio macho na nyoyo hivyo ni vyenye kuulizwa".so,kua makini ndugu yangu puumzi zisikuhadae.

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 14 วันที่ผ่านมา

      @@zahorsuleyman7617 Dini kitu gn!? mwatetea dini zlozoja wazinzi,wezi,waongo,waabudu sanamu na kila aina ya uchafu🤔😥.. Ili uweze itetea din yako,hakikisha haina mtenda baya hata m1.. Kwa Mungu hakna din.. Kna KUTUBU NA KUIAMIN INJILI(hbr njema),baas..!

    • @MohamedDhidha
      @MohamedDhidha 14 วันที่ผ่านมา

      A fool reasons like you, if the missionaries didn't bring Christianity to Africa or Muhammad dispersed the Swahabas to different destinations of the world . ..... How would have these reached us?

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallh allh awazidishie mashekhe wetu namshauri mchungaji ndacha nawenzako musilimu tu

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 20 วันที่ผ่านมา +7

    Ndacha mjanja mjanja tu ila hajui dini yeye anabase ktk philosophy ambayo imeandikwa na binadam(wazungu) ila sio mandiko ya mungu.

    • @fredykiluka6606
      @fredykiluka6606 18 วันที่ผ่านมา +2

      Moton wew

    • @davisadawson14
      @davisadawson14 15 วันที่ผ่านมา

      @@jamesgasper6764 umekwisha wewe

    • @YusuphMbwilo-xh9mu
      @YusuphMbwilo-xh9mu 11 วันที่ผ่านมา

      Ko nyiee mnasoma alicho andika mwalabu

    • @davisadawson14
      @davisadawson14 11 วันที่ผ่านมา

      @@jamesgasper6764 Biblia siyo phylosopy kaka,ni wewe tu huelewi,,,Mi niseme tu ukwel hata ningekua mjinga wa mwisho kwenye hii Dunia,,siwezi kumtafuta Mungu kwa lugha isiyoeleweka,Yan Mungu kweli nimtafute kwa lugha za watu zsizoeleweka na Hapo ndo mlipigwa,,,ila kwa vile tyr ni Iman Iko ndani yenu,,endeleeni kuamini,mi nachoamini ishara za mwisho wa dunia ztawathibitishia anachokisema ndacha,,mf: Alama ya mnyama,,,Yan hapa mtanielewa anachokisema Leo hii

  • @ManjorSufo
    @ManjorSufo 11 วันที่ผ่านมา

    muenyezi mungu afanyeni wepesi amina

  • @fidellujo8362
    @fidellujo8362 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amin amin nawaambieni hakuna mtu ataiona mbingu kwa kushabikia dini au mitume kwa kumlidhisha mwanadamu mwenzio...........

  • @dansonmketi4827
    @dansonmketi4827 11 วันที่ผ่านมา +1

    Sioni ugumu wa swali hilo,,swali ni wakati Yesu alikuwa tumboni mwa Mariamu Mungu alikuwa wapi??.Sasa na mimi naomba niwaulizeni swali(ikiwa mnakataa kuwa Yesu sio mwana wa Mungu ✍️basi kwa nini Yesu alizaliwa na mwanamke ambaye alikuwa Bikira hakuwahi jua mwanamume katika maisha yake mbona asingezaliwa kama mitume wakawaida walio pita??

    • @yusuphmruma1771
      @yusuphmruma1771 11 วันที่ผ่านมา

      Unaweza kupima akili yk km kuzaliwa kw nabii issa bila baba kwko imekua miujiza kiasi cha kuona ni mungu ss ww unamtazamaje adamu na eva tuazie apo ndugu unayepima mamb kw akili kisodo afu angalia mbigu na nanchi afu zipo miaka yote amna nguzu na zimepoa wee mjinga embu fungua akil afu uje ujibu haya maswala

    • @hassanKaku-to7kd
      @hassanKaku-to7kd 11 วันที่ผ่านมา

      Adam Hana baba Wala mama hao vip nao

  • @thomasbussa5301
    @thomasbussa5301 3 วันที่ผ่านมา

    Mazinge wewe ni mpuuzi tu
    Ndacha hajawahi kushindwa na swali lolote lile.

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona mmehoji upande mmoja? 😂😂😂😂😂

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ningependa kusema mazinge unakutuna na watu wasio jua ningependa nimuweke kwenye meza moja na DK Shamon au aje hapa uingeleza kwenye sehemu inaitwa Debate corner

  • @byamashshaban9246
    @byamashshaban9246 20 วันที่ผ่านมา +4

    Mazinge mwongo sana

  • @chuseboy
    @chuseboy 21 วันที่ผ่านมา +4

    Ndacha mtt mdogo sana kwa mazinge kielim labda wajiomgeze ukoo mzm pamoja na nyie wote makafir na bado amfikii😅

  • @KamandaStiv
    @KamandaStiv 6 วันที่ผ่านมา

    Amini unacho kiamin dini zote zimeletwa sio zetu

  • @HamisiJumaJuma-i7g
    @HamisiJumaJuma-i7g 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mzee hunakazi yakufanya kitabu Gani kimeandika kubishana mambo ya dini

  • @MuslimuAbdukahari
    @MuslimuAbdukahari 12 วันที่ผ่านมา

    Allah awalipe malipo makubwa walim Aamin 🙏

  • @user-to9lz8oi6i
    @user-to9lz8oi6i 15 วันที่ผ่านมา

    Tatizo sio kusoma ,tatizo kuelewa.wengi hatuelewi ila tunajua kusoma.. mfano neno mungu na neno mungu mwenyez au baba kuyatumia hatujui

  • @BernardChesoli-rj3nw
    @BernardChesoli-rj3nw 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nasi ni wingi NAMI ni umoja. Shaffi, nasi tumekutuma na Allah ni shahidi, nasi ni akina nani

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe kama walimu wako wamekubali wewe simbumbumbu tu

    • @AssumaniBavumiragiye
      @AssumaniBavumiragiye 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe kasome kwanza.Mungu akijisema hutumia wingi kwa heshima yake.

  • @AbdullBuilding-m4y
    @AbdullBuilding-m4y 8 วันที่ผ่านมา

    Alhamd lill alah sifa zote tukufu ni za mwenyezimungu

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 11 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi kuelewa Uislamu hubishia nini Ukristo ukizingatia huo Uislamu umekuja miaka 500 baada ya Kristo.

  • @GlobalTalentTv-mq6mr
    @GlobalTalentTv-mq6mr 19 วันที่ผ่านมา +2

    Huu mdaharo upo maeneo gani

  • @erickashindi2666
    @erickashindi2666 7 วันที่ผ่านมา

    Yaani duniani kuna wa pumbavu wengi ila wa Africa tumezidi, kipi kigumu kuelewa kwamba kila mwanadamu ataukumiwa kutokana na Kitabu chake na matendo yake pia. Sasa huo usumbufu wa kila siku unasaidia nini? Fanyeni Kazi ongezeni Kipato cha taifa

  • @saidomar567
    @saidomar567 11 วันที่ผ่านมา

    Assailants alaykum Niko naswali

  • @manigatz5271
    @manigatz5271 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wana fanyia sehem gan huo mdahalo?

  • @hadijawara1403
    @hadijawara1403 14 วันที่ผ่านมา

    Allah Akibar

  • @MwajumaAlly-x4j
    @MwajumaAlly-x4j 9 วันที่ผ่านมา

    Kaswida

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 19 วันที่ผ่านมา +1

    Maswali mepesi yanakosa majibu kwa ndacha.....dah

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ukabila udini sio sera ztu zatanzania.Hyo aliyasema nyerere tunayaishi mpka leo.Bishaneni nje yabox.Nanyie waandishi wahabari tafute hbari zamsingi zakuhoji watu,mnatuchanganya tu.

    • @binseif2216
      @binseif2216 20 วันที่ผ่านมา +1

      Nyerere mwenyewe yupo motoni hakufa katika dini ya sahihi

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe jidanganye ivo ivo, ivi unafikiria umeumbwa Uje ufanye ujinga hapa duniani, amba nyerere kasema ushindwe kuelimika kwa maneno ya Quran,uelimike kwa ujinga.

  • @YusuphMbwilo-xh9mu
    @YusuphMbwilo-xh9mu 11 วันที่ผ่านมา

    Jibu lake Yesu alivo kua tumbon mwa malia mungu alikua nimungu baba ila mung dunian alikuja kupitia mwili wamwanaee yesu christo ku komboa ulimwengu kila amfataee apate kukombolewa nakila ampingaee mota wajeanam niwake kama wew mazingee nawafas wakowote wakufatao kufata

    • @MambaNassor
      @MambaNassor 10 วันที่ผ่านมา

      Hv ww unamuona mungu km bongo movie hyo cinema umeisoma wap...

    • @athmanshauri7871
      @athmanshauri7871 9 วันที่ผ่านมา

      Tena unajiita yusuph hehehe

    • @rehemawanjala-bu5oq
      @rehemawanjala-bu5oq 9 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo Mungu haonekani yesu hawezi kuwa Mungu ila ni mtume kama wengine

  • @HafidhAlly-i1c
    @HafidhAlly-i1c 8 วันที่ผ่านมา

    Utasikia eee baba yesu ...asa yesu ni mungu au baba yenu???huyo ni issa bin maryam mtume wa ALLAH

  • @emanuelkitiku690
    @emanuelkitiku690 11 วันที่ผ่านมา

    Kweli wenye macho tumeona
    Waisilam hamwezi kujibu
    Ya wakiristo

  • @JimWaro
    @JimWaro 10 วันที่ผ่านมา

    Ndacha ni mtu anaweza kushindwa kujibu unavyotaka.YESU anabaki kuwa BWANA wa Mabwana Mfalme,njia kweli na uzima.AMEN👏👏👏

  • @swalehsalim5576
    @swalehsalim5576 10 วันที่ผ่านมา

    Ndacha hajawahi kumkimbia mtu acha unafiki

  • @HafidhAlly-i1c
    @HafidhAlly-i1c 8 วันที่ผ่านมา

    Hawa mabwege nawauliza na mimi ivi waty wa mwanzo kuumbwa duniani alikua akiabudu nini? Namaanisha adam na hawa ....baaada ya majibu kutoka nawaambia waache ujinga waache upotovu ....nawakaribisha kwenye uislamu

  • @Egidiomussa
    @Egidiomussa 12 วันที่ผ่านมา

    Alah akbar

  • @onlyYanga-e1p
    @onlyYanga-e1p 10 วันที่ผ่านมา

    Yaaan nyie wote siwaelewi hv mnajadili vitu vilivyokuwepo au vilivyopangwa hata kabla ya kuumbwa ulimwengu mnafikiri majibu yenu niyakweli? Ishini vema2 mtabarikiwa mnaweza kuwa na majibu yenu lkn msiishi kile mnachokizungumza.

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 10 วันที่ผ่านมา

    wakati YESU yupo tumboni kwa mama yake MARIA....MUNGU ALIKUA NANI,,,,,,,,,Mazingeeee mungu anakuona ujue......hahahahhha Yaani hilo swali halihitaji hata aliekuwa darasa la saba

    • @SandeSandeMure
      @SandeSandeMure 9 วันที่ผ่านมา

      Wewe na huyo mazinga hamueleweki yesu ni mtoto wa mungu au mtume,ndiyo maana maandiko yanasema kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 19 วันที่ผ่านมา +1

    mazingeee

  • @henrychiriba9354
    @henrychiriba9354 13 วันที่ผ่านมา

    Uliza maswali ya kiroho ulizingatia dini huwezi uliza eti Yesu alipokuwa tumboni Mungu alikuwa nani
    Hiyo ina maana tayari humtambui Mungu wakati yt? Ndo kaumba dunia
    We ni mjinga sana

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 16 วันที่ผ่านมา

    Maznge👍

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 11 วันที่ผ่านมา

    Hivi mfano wakristo wa Sasa ingetokea wameishi kipindi mama Mariamu Ana mimba ya YESU, halafu anatokea mtu anakuuliza MUNGU wako yuko wapi? Ungenyoosha kidole kwenye tumbo la mariamu au Ungenyoosha kidole chako juu kuhashiria MUNGU yupo juu?

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 13 วันที่ผ่านมา

    Siku nyingine tunaomba mtupe sisi audience kuwauliza maswali maana sisi tunamaswali mengi tofauti na hivyo mnavyojadiliana.

  • @user-ub4ub8fw1c
    @user-ub4ub8fw1c 11 วันที่ผ่านมา

    Uyo mtangazaji wenu vp anashanga Shanga sana mskilize unae muoji Kenge wewe

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona duniani kuna imani nyingi why kupinga uKristo tu, mti wenye matunda ndo wapigwa mawe nimekubali

  • @milashalladba
    @milashalladba 12 วันที่ผ่านมา

    Naomba jibu kwa swali langu.,Je mkristo Ndacha anaamini Quran?kama anaiamini asilimu.Kama haiamini Quran...awache kutafuta usaidizi kwa Quran kusaidia mada zake.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 11 วันที่ผ่านมา

    Mazinge kwa uongo bhana , siku zote mmeshindwa hoja na wala hamuwezi danganya watu kua eti mmeshinda mjadala,

    • @user-uy5ue2tz6g
      @user-uy5ue2tz6g 9 วันที่ผ่านมา

      Tatizo lako unafata mkumbo huna hoja kwasabbu huna elimu

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 9 วันที่ผ่านมา

      @@user-uy5ue2tz6g hivi unajuaga maana ya elimu Nini??

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 20 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa anabwetabweta tu. Ndacha kiboko braza. Hamumuwezi huyo. Ukweli you ndani ya Biblia takatifu tu.

    • @binseif2216
      @binseif2216 20 วันที่ผ่านมา +1

      Soma yote sio kuchaguliwa pakusoma kanisani yule pastor wa Nigeria nawafuasi wake walisilimu,ingia youtube utafute wale wachungaji walikuwa na ndacha mchungaji WAZIRI namwenzake alokuwa mwalimu wa ndacha wamesilimu baki ww na ujuha wako

  • @HamisiJumaJuma-i7g
    @HamisiJumaJuma-i7g 8 วันที่ผ่านมา

    Nyie kama akilizenu nikukaa nakubishana mambo ya dini hamna kazie kalimeni muongeze Pato lata ifa
    pumbavu

  • @HijaNyange-f1y
    @HijaNyange-f1y 15 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @SamwelMtasiwa-ok2qz
    @SamwelMtasiwa-ok2qz 10 วันที่ผ่านมา

    Hii midahalo kuna wakati anasimamia shetwani tena nikupotoka

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 10 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 mazinge pia 😏😏😏😏 hana kiti anajua 😂😂😂😂

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 17 วันที่ผ่านมา

    Sisi kazi yetu kutoa mawaidha ni juu ya wasikikizaji.kuamua.

  • @user-ei4fv6pl5n
    @user-ei4fv6pl5n 9 วันที่ผ่านมา

    Ndacha kila NCHI anaxo enda hukimbia Tu Hana majibu kulingana na maswali ya waislam

  • @davidlintari8504
    @davidlintari8504 12 วันที่ผ่านมา

    Mazinge ni muongo mkubway

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 11 วันที่ผ่านมา

    Waislam ni makafiri

    • @sleyumngolo
      @sleyumngolo 10 วันที่ผ่านมา

      Hee asa wakristo watakua nani

    • @ismailirachidi8359
      @ismailirachidi8359 9 วันที่ผ่านมา

      Kafiri ni wewe usiye Enda chooni bila Maji.. Uchafu wa Moyo na Uchafu wa tabiya Munayo.. kwaKufuru kwenu MwenyeziMungu, ina wafanya Mukuwe watu Wasiyo jieelewa

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 13 วันที่ผ่านมา

    ❤🙏🏽

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 16 วันที่ผ่านมา

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 16 วันที่ผ่านมา

    Ukiacha mpira napenda sana miadhala

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 19 วันที่ผ่านมา

    Sasa io abari ya shaffi mimi sielewi😊

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 21 วันที่ผ่านมา +2

    Humuwezi Ndacha wewe

    • @OsmanDembele-z7h
      @OsmanDembele-z7h 19 วันที่ผ่านมา

      Ajui chochote uyo ndacha wako sule kam buluza.aongei chochote

  • @AwesoMohammed
    @AwesoMohammed 14 วันที่ผ่านมา

    Huyo ndacha kelelezote mwisho namuona akisilim,

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 16 วันที่ผ่านมา

    Labda umeumia wew sio wakristo

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 15 วันที่ผ่านมา

    NDACHA NI mwalimu wa waislamu wote duniani. Ila nampendaga MAZINGE kwa sababu ni mtu ambaye hakimbii miadhara kama SHAFII na anakubali vitabu kusomwa ijapo ni comedian😂😂😂😂😂

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂.....Sasa Yesu sio Mwalimu wako ni ndacha sio 😂😂 Ayaa nenda akuoe maana mnarusiwa kuowana😂😂

  • @MichaelDonaldnchingaMichaelDon
    @MichaelDonaldnchingaMichaelDon 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umasikini wa ufahamu ni mubaya

  • @swalehsalim5576
    @swalehsalim5576 10 วันที่ผ่านมา

    Waislamu hawawezi kujibu hoja za wakristo acha uongo mzee. Waliomtuma Muhammed awe mtume Mungu akiwa anaangalia ni akina nani ❓❓

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 13 วันที่ผ่านมา

    Kaeni kwa kutulia hamna hoja nyie

  • @pharesmitarya4892
    @pharesmitarya4892 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe Mazinge ni mjinga,sasa Bar yesu ndio Bwana Yesu?ebu irudie hiyo Matendo 13:6-11

  • @BashiruWaziri-p7p
    @BashiruWaziri-p7p 13 วันที่ผ่านมา

    Saivi walokole kazi mnayo inapo endea tutawasilimisha hata kiulazima kama hamtaki kusilimu kwa hiyarii asee

  • @chrisonbwanasua4007
    @chrisonbwanasua4007 15 วันที่ผ่านมา

    Kuna yesuu kristo n'a yesuu yusto na Bari yesuu kwanini kupoteza watu

  • @gigimarco2592
    @gigimarco2592 12 วันที่ผ่านมา

    Kuna vitu vingi sana havikuandikwa kwa kuruani.Lakini yote haya ni Warabu na Wazungu ndio wanaacha Wafrika wahubiri wa kislamu na kristo kukosana.Na wataendelea kukosana coz Wafrica hawajielewi ndio nama mpaka sasa wanatawaliwa na Wazungu na Warabu.

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 10 วันที่ผ่านมา

      Kwenye kutawala weka wazungu, mkoloni alikuwa mzungu na ndio alikuwa mkoloni ! Muarabu hakufanya ukoloni

  • @SudiKiwanga
    @SudiKiwanga 6 วันที่ผ่านมา

    Lusekelo

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 14 วันที่ผ่านมา

    Ndacha debe tupu.

  • @kabialomsn
    @kabialomsn 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu anatapatapa tu, Ndacha hawamuwezi kabisa, ni kiboko yao

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂...Emu mwabie uyoo ndacha wako aseme Mathaoo et Madhayooo😂😂😂 sas uyu ndo unamuita Mwalimu 😂😂