#TBC1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site ukajionee uwekezaji mkubwa unaofanywa katika eneo ya Kisarawe 2 Kigamboni Mkoani Dar es Salaam ambapo Kuna Kiwanda pekee kinachozalisha Syringe (SINDANO) Cha Medical Dawlia Limited.
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK
mashaallah