Da nabarikiwa sana mziki na mwonekana najisikia kupata afya nimebarikiwa sana, ikiwezekana niombeeni na mm ije iwe hivyo kwenye ndoa yangu yaani kama ilivyo kwenu ( mziki mtamu eeeeeee) .Amina sana!¡!!
Habari kaka naitwa Diana mkilima nilibatizwa hapo kimara mwaka 2013... Naomba kupatiwa barua ya uhamisho... Ikiwezekana naomba nipe namba ya mshirika wa hapo niwasiliane nae... Kwa sasa nasali Mang'ura sda wilaya ya ifakara
Dah mmenikumbusha mbali sana miaka karibu 38 iliyo pita Graduation Parane secondary tuliingia kwa mwendo huo bwana Ijumaa jioni, Jmosi mpaka sku ya Jpili iliyo kuwa sku ya Graduation yenyewe 🤝
Mbinguni tutatembea kwa mwendo wa asteaste Yesu akiwa Bwana arusi Mkuu.
Da nabarikiwa sana mziki na mwonekana najisikia kupata afya nimebarikiwa sana, ikiwezekana niombeeni na mm ije iwe hivyo kwenye ndoa yangu yaani kama ilivyo kwenu ( mziki mtamu eeeeeee) .Amina sana!¡!!
Mungu aibariki ndoa yenu irimpate kuzaa matunda nayo matunda yadum siku zote. Amina😊❤
Hakika imependeza sana Mungu aibariki ndoa yenu.
Habari kaka naitwa Diana mkilima nilibatizwa hapo kimara mwaka 2013... Naomba kupatiwa barua ya uhamisho... Ikiwezekana naomba nipe namba ya mshirika wa hapo niwasiliane nae... Kwa sasa nasali Mang'ura sda wilaya ya ifakara
Mimi sio msabato ila nimeipenda ikimpendeza mungu nitaolewa na SD
KARIBU SANA LILIAN.. FIKA KANISA LOLOTE LA WA- SABATO LILILO KARIBU NAWE, UTAPEWA MAELEKEZO YOTE. MUNGU AKUTIE NGUVU. UBARIKIWE SANA.
Karibu na Mungu akusaidie
Karibuu
Wabarikiwe san
Ongera sana mungu awatunze muishi naamani ktk ndoa yenuu
Hongereni sana waimbaji mungo ainue huduma yenu amina ❤❤❤❤❤
Mungu awaogoze mdumu ktk maombi na ndoa yenu.
Kuna mambo mengi sana nayapenda kwa wasabato
Mungu bariki ndoa iwe na furaha tele
🎉wow what a wonderful ceremony may God keep burning till He comes to take us home 🏡
Ongereni sana mungu awatangulie daima
Mlipendeza ndoa yenu ikastawi ktk jina la yesu kristo
Mungu awabariki❤❤❤❤❤
Oh hareluyaaaaa kimala barikiweni sana
Hongereni sana, Mutu watunze mpaka muone uzee mwema
Waooooo!! Unapendeza sana mungu awatangulie Katika ndoa yenu
Dah mmenikumbusha mbali sana miaka karibu 38 iliyo pita Graduation Parane secondary tuliingia kwa mwendo huo bwana Ijumaa jioni, Jmosi mpaka sku ya Jpili iliyo kuwa sku ya Graduation yenyewe 🤝
Kwhiyo mlitembea siku mbili mkafika ya tatu
Ndoa ni shule soma kwa makini
Hiii beet naitafuta sana siipati aisee😮
Unapatikana wapi?@ Eddahtz...
Nakumbuka ndoa yangu hapo Kimara SDA church mwaka 26 September 2015. Kimara ni kanisa la kiroho sana
Jaman hii instrumental naipenda naipataje?
TUPATIE email adress YAKO AU KARIBU KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO - KIMARA TUTAKUPATIA. ULIZIA OFISI YA MAFUNDI MITAMBO..
Ameni
❤❤❤❤❤
Amina
Safi kabisa Hakuna manjonjo mengi Safi kabisa
Nimependa aswa jamani
Amina kumbwa mkabarikiwa
Hatimaye kwenye kiti cha Enzi hukumu ina anza kuishi ni milele zote.
Mungu awe bariki nimeipenda ikiwezekana name muniombee
Hakika mmependeza adi raha
Waooo nmependa
WOW 👍👍👍♥️♥️♥️
Duu!nimekumbuka enzi hizo
Waooo inapendeza Sana jaman❤
MUNGU awabalika Sana
12:58
Jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ aaaaaameeeeeeeeeeen
Ndio hawavalishani pete
🌹
Ndy hawavishani ahadi inatosha
Nace
❤
Kuulza cyo ujnga jamn kwani wasabato hawavishani Pete?
Ata mimi Ndio nazoom nikiuliza kwan Akuna Pete 🤔
@@elizamwende9257hapana hatuvishani pete.
Pete hapana
Na je vigelegele hawaruhusiwi?
@@annastaziakilangi4552Hakuna vigelegele ndani ya kanisa. Mpaka mkitoka nje
Powerful
Ongeleni
❤🎉
Ndiyo hawavishani pete
Hongeleni Sana mmejitahidi mungu awabariki
Ndio nikwasababu ss wasabato uwa tunaamini uwaminifu wa mme au mke uwa upo moyoni kwaiyo ata ukivaa Pete kama siyo mwamnifu waweza kuzn
Soma mwanzo 32 utajua mapambo gani si mazuri ndani ya lbada
Ndiyo hawavishani pete