SHEIKH RUSAGANYA: DUNIA IMEKUWA CHAFU SANA | HATA IBLIS HAJAFANYA MAMBO HAYA | WATU WANAMSACHI MAITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @zuwenaalesrizuwenaalesri7461
    @zuwenaalesrizuwenaalesri7461 2 ปีที่แล้ว +12

    Kweli shehe wetu mwenyezi mungu Akupe Afya njema Akulinde na mahasidi

  • @fatmayusuf837
    @fatmayusuf837 ปีที่แล้ว

    Ya Allah tunusuru waja wako ya Allah 🤲🏻😭

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 ปีที่แล้ว +4

    Shukran jakallah kheir Allah akuhifadhi 🤲🤲🤲

  • @abigaelnasir1698
    @abigaelnasir1698 2 ปีที่แล้ว +6

    Baarakallahu fiyka, Sheikh wetu shukran Wajazaakumullahu khayra

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukran
    Mashaallah tabarakaallah mungu akupe afya njema

  • @zainabusalum2365
    @zainabusalum2365 2 ปีที่แล้ว

    Naam ustadhi wangu Hashim Rusaganya uko vizuri enzi hizo masjidquba

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว +5

    Shukran shekhe. Nikweli tumesahau kuwa mali ya mja ni ilealio itanguliza kwa الله.

  • @mudymusa3613
    @mudymusa3613 2 ปีที่แล้ว

    Allah akujalie maisha marefu

  • @leilaathumani3611
    @leilaathumani3611 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah akujali jannah

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 2 ปีที่แล้ว +1

    Naam kabisa sheikh wetu Allah akulipeni 😭😭😭😭😭

  • @fatmayusuf837
    @fatmayusuf837 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah 😢

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 ปีที่แล้ว

    Shukran jazakallahu khair sheikh. ALLAH akuhifadh...🤲🤲🤲

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 2 ปีที่แล้ว

    Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu shukurani kwa darsa zako inshaallah ALLAH akulipe malipo duniani na akhera inshaallah

  • @salmah7500
    @salmah7500 2 ปีที่แล้ว +3

    😁😁msemq kweli mpenzi wa Allah shekhe unaongeq kweli kbsa Allah atupute mwisho mwemaa duniani n akhera inshaallah ,Allah akuhifqdhi shekhee wetu

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu akubariki

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli uko sahihi asante kwa wasia wako

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 2 ปีที่แล้ว +4

    Amin

  • @farijallahfilsko4730
    @farijallahfilsko4730 2 ปีที่แล้ว

    Salam aleykum Wareham tulillah wabarakatul ! Tu'aomba namaba she wetu huyu

  • @mchumukwema8597
    @mchumukwema8597 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 2 ปีที่แล้ว

    Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe hashimu Mimi nimedhurumiwa na nilipo mdai akanicheka na nikamtumiya mtu aliyenipeleka kwake kwa ajili ya amdi akamblok nifanye nn

  • @hissienmbala7461
    @hissienmbala7461 2 ปีที่แล้ว

    Mash'allah

  • @hajrahally7230
    @hajrahally7230 2 ปีที่แล้ว

    Hadija naomba namba yashekh

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 2 ปีที่แล้ว

    Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe hashimu naomba kama naweza pata no Yako ya simu

  • @mohamedmasoud677
    @mohamedmasoud677 2 ปีที่แล้ว

    Uzi huohuo dini si poa kama wanavyofikiri makafiri na hata wauslaam.Haqi imekuja kuweka sawa bila ubaguzi wowote Mtume Muhammad saw ksema hakuna ubora wa muarabu na muajemi wala hakuna ubora mweupe juu ya mweusi Illa taqwa llah

  • @mohamedmasoud677
    @mohamedmasoud677 2 ปีที่แล้ว

    AsalaamAlykum warahmatullahi wabarakatuhu

  • @mwatimeabdallah3523
    @mwatimeabdallah3523 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha jazba shekhe

    • @aichaminani396
      @aichaminani396 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akubarike shekhe wetu

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 2 ปีที่แล้ว +1

      shukran sheikh

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha sheikh aongee ukweli au wataje ww?

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 2 ปีที่แล้ว

      Sheikh hana jazba bali ukweli lazima usemwe..na kwakukataza maovu pia lazima yakemewe.so respect plzz

    • @biada7298
      @biada7298 2 ปีที่แล้ว

      Wewe uliesema shekhe anajazba ulitaka aongee kama anakubembeleza au

  • @zainabusalum2365
    @zainabusalum2365 2 ปีที่แล้ว

    Naam ustadhi wangu Hashim Rusaganya uko vizuri enzi hizo masjidquba

  • @mohamedmasoud677
    @mohamedmasoud677 2 ปีที่แล้ว

    AsalaamAlykum warahmatullahi wabarakatuhu

    • @hajrahally7230
      @hajrahally7230 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yashekh hashim kusaganya waislam wenzangu