Mamshukuru Mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye njia ya khaki uislamu nasikitika sana kwa ndugu zangu ambao bado hawajaukubali ukweli wa uislamu naumia sana nawambia uislamu ndo njia ya khaki ya kufwatwa na Mungu
@nelson-cd7fr amina ndugu yangu katika imani tumwombe Allah awaongoe majuzi nimefiwa na baba yangu mzazi khaki nimelia sana kama mtoto mdogo nimeliya sana kwanini nikiona baba mzazi wangu amefia akiwa ktk imani ya kikristo na kuzikwa kwa kaburi limejengewa na cement kweli nimelia sana
Allahu Akbar jazzakallahu kheir nimepata funzo hapo Allah akujaalie afya njema na umri tuindelee kufaidika na darsa allahumma amin
Allahu Akbar tunamuomba Allah akujaalie umri na afya njema kwa kutangaza La illaha illala
Sheikh Rusaganya Allah akuifadh
Allahumma Amiin
Mamshukuru Mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye njia ya khaki uislamu nasikitika sana kwa ndugu zangu ambao bado hawajaukubali ukweli wa uislamu naumia sana nawambia uislamu ndo njia ya khaki ya kufwatwa na Mungu
MashaAllah wewe endelea kuwafanyia daawa na kwa idhni yake Allah hakika watafunguka macho insha'Allah
@nelson-cd7fr amina ndugu yangu katika imani tumwombe Allah awaongoe majuzi nimefiwa na baba yangu mzazi khaki nimelia sana kama mtoto mdogo nimeliya sana kwanini nikiona baba mzazi wangu amefia akiwa ktk imani ya kikristo na kuzikwa kwa kaburi limejengewa na cement kweli nimelia sana
Mashallah sheikh rusaganya Allah akuifadh akupe jannah
Jazakallah...illah .. shekh napenda...ukisoma ..qurani ivyo..eka SKU ukisoma tu...japo surati yasni..inshaa Allah..
Kweli ya sheikh Allah atupe nusurulkhatwima 9:26 9:30
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Jazzaka Allahu Kheir 🤲
MaashaAllah Allah awalipe kila kheri
Jazakarwahu. Khaira
Manshaalah
Mashalla