ALIKUWA ANAMSALITI MKEWE ANGALIA KILICHOMTOKEA | FAITH BEYOND FATE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- ⚠️CREDITS:
Watch Full movie on :
Movie name : FAITH BEYOND FATE
Genre : Drama
Year :
Follow us :-
Instagram-www.instagram....
Tiktok- tiktok.com/@e7bits
Follow KONKA on Social :-
Instagram-www.instagram....
Tiktok- tiktok.com/@izkonka
Uko vyema sana kaka,,,,sema matangazo usifanye katikati ya movie
Nilikuwa nakusubili konka Asante kwa huu mzigo mapema sanaaa
Wenye tuna enjoy kutoka Zanzibar naombeni like zenu
Tupo
Tupo 😅
Yokeni uko
Tupo
Tupo
❤❤ Sina hata cha kuandika we konka🔥🔥🔥🔥
Jamani naomba like kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
zitakufikicha wap ndugu acha ujinga pumbavu
Vai mboraa
From moz 🇲🇿🇲🇿
Tupewe mauwa yetu ❤❤❤
Wakwa like zangu😂😂
Me ndowakwanza naombeni like zangu🙏
Hatutaki
Sawa tunakupa mwaya
@@bitimovies12nakubali mwanangu
@@fatumamwaipopo41to CY lll😅😅0
kwani lazima?!!
Wana ndoa wote ombeaneni bila kukoma🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wapil mim😊
Nataka like yako konkaaaaa....
Nampenda uyu kak Jmn mm!!
WA kwanza like zangu plz
Nimeifumania wa kwanza leo 😂😂😂
Jamani leo wakwanza nipeni mauwa yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwanangu zee la kutyun umetisha🎉🎉😂
kunaw2 wn comment kbl y kuangalia ili waomb like 😂😂 okay xawa nikiwa kama mwn family wa E7 bt na E7 max like zngu ziend kw zee l town a k a KONKA.......🙌🙌
Wow nimekua Wa kwanza kuview
Sema mwanangu sahvi unazingua matangazo sema mwishoni bwana sio kati kati ya muv
Duuh wadau mnawahi 😮
Wa kwanza ni mimi leo
Naomba like zangu kk
Hii movie imeniliza😢😢😢 kiukwel eeh mungu niongoze mm mwanao🙏🙏🙏
Haya ndo ya daimond na zuchu na sara😂😂😂
KONKA AAA WEE SO MTU BANA MHH MBONA UNAHATAR IVI LAKN❤
Nakukubali sana kaka uko vzr
Wakwanza Leo nipeni like zanguh 🙏
Mungu naomba npe roho kma ya may😭
hapo mkuu nimejifunza kitu, Furaha yenye tumaini kwenye wakati mgumu ni powerful
Mungu anasikia na kujibu kweli🙏🙏🙏
Nipeni like from tete mozambique
Daah nimechelewa jamaniii haya mwamba tunainjoi tuuu ✌️✌️✌️
Wakwanza leo naomba like zangu
Wakwanza ohhh mupo wengi ebu nipe tu
Nimejifunza sana mwanamke kama mei awesome 😢
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
Napenda tu saut nainjoi hatar
Konkaa nakukubali snaa
Wakwanza ❤❤
Naomba Mwenyezi Mungu anisaidie nipate mke kama Maye
M ndo wa pili naomb like zang plz guys
Wa kwanza ❤❤❤
Nakukubali🎉
Me leo wa mwisho. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yangu.
Kwaiyo mshawaita tayari su leo zamu yanu😂😂😂😂😂
Nakubal san kaz zako bruh
All the way From Zenji#Marashi ya Karafuuu...🔥❤🙌
Daaah hii kali sana
Wakwanza Leo like mia tuu..😅
Kaka mbn matamgazo mengi unapungiza utamuuu😂
Why between the movie matangazo is passing around😂😂
Nimekuwa wakwanza leo jamani naombeni like
Mwwnyez mung azid kukuz kipaj chako❤
Kumpikia mumeo "aaaah" hii imenigusaaa😂😂😂😂😂 KONKAAAAAA😊😊❤❤
Huyu MUNGU wa kwenye tv co poa jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Wacha nicheke to maana Dah
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Wakwanza leo 😂🎉🎉🎉
Mwamba unajua kinoma wanawake kama hawa wapo tz kweli
Wapo wengi tu bahati yako haijafika tu
Aweeeee
We ni mkali tu kamanda keep the pressure up
🎉🎉🎉
Saut ya uyu mkak anae tafsil naipenda dah napnd San stor zako dah waooh
Wakwanza like please
Uuu mzigo umeenda Town nmekubal kooonk unabaya blood ♥️
Mungu awatiliye wepesi wanandowa wote kwamaa silahisi
Kuingia tu vyumban mwa watu kupika pilau aaaah🤣🤣🙌
Dah nimechelewa kweli yani
IKO VERY SMART SANA KWELI MUNGU NI MUKUBWA SANA 🙏💪💯 FROM RDCONGO UVIRA 🇨🇩
Dah we mwamba umejua kuniteka ufaham aiseee
We nomaaa
Daaaaah Aiseee movies kali sana🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupenda kinoma ❤
Weka movie mzee tunakaa muda sana mpaka tunakumic
Nakukubali sana mwanangu 👍
Hauna baya dj ❤❤❤
Sawa mkurugenzi
Wa pili 🎉
Daaa hili Ni somo kubwa sana
Soko huru matapeliiii kaka wakatae
Nilitaka niwapigie imagine
Matangazo ndio yanamfanya apete hela kwaiyo tulieni kama moja.au hamujaiyona ile interviews yake c
Waambie
🔥🔥🔥
Too emotional
Unatukata upepo matangazo Anza mwanzo
Huu unyama konka
Wa 51 leo nipewe like zangu
❤❤upewe maua yakoo broo
E7 naqubaliiiii san
❤❤❤❤❤
We jmaaa ni Nomaa
Nzuri sana
Good 🎉🎉🎉🙏🙏
Matangazo weka mwanzo kabisa ukiweka katikati inakuwa sio unyama kabxa😞
Tunatupwa mjini E7BITS
Na mm Leo nimewahi 💘💋😘
Bonge la story na pia linafundsh kinomaa
Ngoma inaanzia chumbani,,,,, kubabasenge iz konka
E7beat ndo top in town ❤❤❤
Umeua kabisa ani❤
❤
Nakubalii maniga funiko
Wai🥹 mpk nmelia😢
Amina