Boyfriend wangu anatoka kimapenzi na "HOMEBOY" wake😭..msaada jamani😭

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2024
  • Joan alikua anajisifia kwamba yeye hana cha kuhofia kuhusu boyfriend wake jack, maana kwanza anamuamini sana, kingine ni mtu ambae hana mazoea na wadada.
    Jack alikua anamwambia joan kwamba yeye haamini katika urafiki wa jinsia tofauti, kwahiyo hana kabisa marafiki wa kike, kwahiyo hategemei kumuona joan na marafiki wa kiume vilevile
    Kumbe bwana, jack hana mazoea na wadada sawa, ila..ilaa…anatoka kimapenzi na marafiki zake wa kiume..
    #simulizinasauti #tanzania #kenya #love #swahili
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 3

  • @MarthaCyprian
    @MarthaCyprian หลายเดือนก่อน

    Wanaume mnatutesa sana

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Nikiona notification tu mm huyo😂❤❤

    • @mimistories31
      @mimistories31  2 หลายเดือนก่อน

      Woow, karibu sana❤️