MimiStories
MimiStories
  • 24
  • 15 921

วีดีโอ

Mumewe alimsomesha chuo ili aje amnyanyase.
มุมมอง 37821 วันที่ผ่านมา
#simulizinasauti #tanzania #kenya #swahili #love
Mume aliemuacha mkewe akiwa kwenye uchungu akaenda kwa mchepuko .
มุมมอง 390หลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #kenya #swahili
BINTI ALIYEMTAPELI BABA YAKE MILLION 10 KUPITIA TIKTOK
มุมมอง 644หลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #swahili #kenya #love
Binti alieapa kuvunja ndoa ya aliyekua mchepuko wa baba yake
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #kenya #love #swahili
MAMA MKWE KUTOKA KUZIMU: PART 1
มุมมอง 222หลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #kenya #love #swahili
Rafiki yangu wa miaka minne alivyotaka kunitoa uhai kwa kuficha dawa zangu za kisukari.
มุมมอง 2582 หลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #kenya
Mama yangu wa kambo ni sugar mummy wa boyfriend wangu
มุมมอง 3582 หลายเดือนก่อน
#simulizinasauti #tanzania #kenya #love #swahili
Nimefanyiwa ukatili na msusi kisa anahisi namuibia bwana yake 😭
มุมมอง 2722 หลายเดือนก่อน
Msusi alinichanganyia cream ya kunyolea nywele kwenye dawa ya nywele ili kunikomoa kisa anahisi namuibia bwana yake. #simulizinasauti #tanzania #kenya #love #swahili
Nilimsaidia hadi kuchagua shera, kumbe boyfriend wangu ndo bwana harusi wake
มุมมอง 7712 หลายเดือนก่อน
Joan alikua kwenye duka la vifaa na nguo za maharusi akimsaidia Ray kuchagua shera na mapambo mengine ya harusi kwa ajili ya ndoa yake itakayofungwa miezi miwili ijayo. Ray bi binam wa jack, boyfriend wa joan…kwa maelezo ya jack lakini. Baada ya kumaliza kuchagua, wakaenda nyumbani. njiani walipofika nyumbani, ray akaamua kumuonesha joan mume wake mtarajiwa. Joan na kiherehere chake akanyakua s...
Boyfriend wangu anatoka kimapenzi na "HOMEBOY" wake😭..msaada jamani😭
มุมมอง 1.5K2 หลายเดือนก่อน
Joan alikua anajisifia kwamba yeye hana cha kuhofia kuhusu boyfriend wake jack, maana kwanza anamuamini sana, kingine ni mtu ambae hana mazoea na wadada. Jack alikua anamwambia joan kwamba yeye haamini katika urafiki wa jinsia tofauti, kwahiyo hana kabisa marafiki wa kike, kwahiyo hategemei kumuona joan na marafiki wa kiume vilevile Kumbe bwana, jack hana mazoea na wadada sawa, ila..ilaa…anatok...
Aliuzwa na baba yake awe mtumwa wa ngono, akaja kua mfanya biashara tajiri
มุมมอง 2512 หลายเดือนก่อน
Aliuzwa na baba yake awe mtumwa wa ngono, akaja kua mfanya biashara tajiri
Nilimuaga boss kwamba naumwa ili niende kwenye interview ya kazi nyingine, nikakamatwa mchana kweupe
มุมมอง 2.8K2 หลายเดือนก่อน
Nilimuaga boss kwamba naumwa ili niende kwenye interview ya kazi nyingine, nikakamatwa mchana kweupe
Boyfriend wangu alijisingizia kifo ili aniache, aoe mwanamke mwingine kwa amani
มุมมอง 1502 หลายเดือนก่อน
Boyfriend wangu alijisingizia kifo ili aniache, aoe mwanamke mwingine kwa amani
Wifi yangu alijaribu kuniwekea sumu kwenye chakula nikiwa mjamzito, kisa hataki niwe na kaka yake.
มุมมอง 1252 หลายเดือนก่อน
Wifi yangu alijaribu kuniwekea sumu kwenye chakula nikiwa mjamzito, kisa hataki niwe na kaka yake.
Mume wangu alianzisha tabia ya kua anatumia muda mrefu chooni, nilipokuja kujua sababu sikuamini.
มุมมอง 4.6K3 หลายเดือนก่อน
Mume wangu alianzisha tabia ya kua anatumia muda mrefu chooni, nilipokuja kujua sababu sikuamini.
Rafiki yangu alinisema sana kisa nimeolewa na mstaafu, lakini baadae akaanza visa na wivu
มุมมอง 1523 หลายเดือนก่อน
Rafiki yangu alinisema sana kisa nimeolewa na mstaafu, lakini baadae akaanza visa na wivu

ความคิดเห็น

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 20 วันที่ผ่านมา

    Looo lafudhi ya kigosi, jamani ee fani imee

    • @mimistories31
      @mimistories31 20 วันที่ผ่านมา

      Nani ana lafudhi ya kigosi

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 22 วันที่ผ่านมา

    Wakwanza❤❤❤

  • @user-dz7rs1bs5p
    @user-dz7rs1bs5p หลายเดือนก่อน

    🤎🤎🤎

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

    Jumbe anajua matumizi ya pesa... anapata raha kwa pesa yake

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa หลายเดือนก่อน

    Atariilaamekomababawaovho

  • @MarthaCyprian
    @MarthaCyprian หลายเดือนก่อน

    Wanaume mnatutesa sana

  • @SofyYussufali
    @SofyYussufali หลายเดือนก่อน

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😢😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน

    Mwosha huoshwa ingawa siyo vizuri kulipa kisasi mwachie Mungu atalipa yeye kwa wakati wake

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f หลายเดือนก่อน

    ❤❤asante mummy kwa simulizi

    • @mimistories31
      @mimistories31 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana 🤗

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c หลายเดือนก่อน

    Mashaal asant sana kwasimurinzi ❤🎉🎉🎉❤😢😂

  • @AminaAeshi-jv5cb
    @AminaAeshi-jv5cb หลายเดือนก่อน

    Tuntk chombeZo

    • @mimistories31
      @mimistories31 หลายเดือนก่อน

      Chombezo sisimulii kwenye hii channel.

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza ❤❤❤

  • @KakuleAnicet-jo8vy
    @KakuleAnicet-jo8vy หลายเดือนก่อน

    Asante kwa fundisho hiyo

    • @mimistories31
      @mimistories31 หลายเดือนก่อน

      Karibu 🙏🏾

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri na inamafunzo pia🥰

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefika❤❤

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 2 หลายเดือนก่อน

    Nimengoja sana hii simulizi wacha ni enjoy mm

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana ❤️

  • @user-dz7rs1bs5p
    @user-dz7rs1bs5p 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥wacha ni enjoy

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @AhaziSimwakwenda-ju8wd
    @AhaziSimwakwenda-ju8wd 2 หลายเดือนก่อน

    Dada sauti presser

  • @AhaziSimwakwenda-ju8wd
    @AhaziSimwakwenda-ju8wd 2 หลายเดือนก่อน

    Ongeza sauti dada napenda simulizi uanajua kinoma

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Usijali nitaongeza

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti yako jaribu iwe juu ukiongea please

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Usijali

    • @annakinyi218
      @annakinyi218 2 หลายเดือนก่อน

      @@mimistories31 usijam mm hupenda simulizi zako sana nko saudia natumia earphones but sauti yako tu nimeskia simulizi zako zote napenda sana na hh stress ya uku na enjoy dear kazi mzuri

    • @user-ul8bt6yi8f
      @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

      Better late than never...

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Nikiona notification tu mm huyo😂❤❤

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Woow, karibu sana❤️

  • @raymrash
    @raymrash 2 หลายเดือนก่อน

    You seem to be a good story teller

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Thank yo🙏🙏

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefika❤❤

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Karibu🙏🙏

    • @user-ul8bt6yi8f
      @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

      Nasubiri muendelezo🥰

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Usijali

  • @hassanally446
    @hassanally446 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana..ila dada usinyamaze sana nimemiss story zako

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      Usijali..sema nilikua nimebanana kidogo

  • @MRS_KABOLE
    @MRS_KABOLE 2 หลายเดือนก่อน

    Mawifi 😢

  • @user-ul8bt6yi8f
    @user-ul8bt6yi8f 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂anakuywa uji

  • @user-zb1uu6wi4q
    @user-zb1uu6wi4q 2 หลายเดือนก่อน

    Nimelisoma yote ,kilichomo humu kimenitokea. Mimi hakika siku za mwizi ni 40

  • @rafeefimraan3498
    @rafeefimraan3498 3 หลายเดือนก่อน

    Story nzuri lkn ulituacha roho juu mana hukutuarifu jee alikua amemfanyia ubaya mwanawe Amana?

    • @mimistories31
      @mimistories31 3 หลายเดือนก่อน

      Hapana, ila mama yake asingeondoka huenda angemfanyia

    • @user-hi4kt7sg1k
      @user-hi4kt7sg1k 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeypeda

    • @mimistories31
      @mimistories31 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-hi4kt7sg1k karibu sana

  • @SofiKamando
    @SofiKamando 3 หลายเดือนก่อน

    Next please

    • @mimistories31
      @mimistories31 3 หลายเดือนก่อน

      Full story ipo tayari nishapost