Siri yafichuka, Kumbe hii ndio tabia nyingine ya Alikiba kwa ndugu zake
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2021
- Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต
Wewe mtangazaji naona hauna wisdom kabisa 👑Kiba ako right lazima awe na tension na family yake so huo ukale usielewe vbya
Yeah
Safi sana malezi mazuri
Sasa kama hakuwi mkali awa siwa taenda ovyo... Big up king kiba baki mkali waki leta mchezo chapa😁
Oya oya hiyo nyimbo ni 🔥
Oya oya 👌
Nampongeza mama kiba kwa malezi bora kwa wanawe..ni mfano wa kuigwa...ona zabibu alivyojibu maswali kiungwana na kwa heshima
Ukwel kabisa
Dada wa taifa
King
Kabisa heshima lazima kwa kaka mkubwa
Waooooo
👍👍👍👍
Ukali lazma kwenye familia ili eshima iwepo
Big up to king kiba...!! Ni good care taker Basi.!!
Huyu mtangazaji amedandia kazi!
Tayari
Yaani wewe sema hajatoa ngoma mbaya katika albam yake
Hii ni familia bora sn
Safi Alikiba kwa kuchukua nafasi ya kaka katika familia
Yaan verry
🔥🔥🔥
Safi sana Kaka mkubwa heshima kwako Mungu azid kukuweka 💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Safi kiba, laziba usimame kama mkubwa
Saf
Nakweli my.love
Kujipodoa gani kama kinyamkera...
Vizur king
saf
Mtangazaji una maswali ya uzushi.
King Kibaaa
Mungu anakuona ulimpakaa make up uyo zabibu
🤣 🤣 Mungu anamuhona huyo mtu
Kuwa mkali vyote ndugu yako ndio yuko hivi
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥♒♒🔥*
dadangu aliekupaka make usirudi kwake.🇰🇪🇰🇪
Hahaha
Umehona eeee
Yani make up kapaka yeye ila najifuta mm😂😂😂
😄😄😄
Kanaflow
😂😂
Hiyo mec up kama tope.
Acheni wivu wanawake
@@ashaali7154 bora umwambie pengine yy hajawahi hata kuipaka hta ya buku tano
Angekuwa mkali ungejistiri na usingeunganisha minywele yako, mnakimbizana na Dunia Dunia inamwisho itafute akhera yako ungeondpka ktk dunia hii ukapate malipo mema,
Wenzio hawajui hilo akhy
@@ummuhashbal3426 ni kwe ummuh kuwaombea Allah awabadilishe inshallah
Muombeee na usimsimange mungu hapendi pia
@@ashurahatibu5069 soma dini vzr utaelewa✍️
Kwani Kuna mtu amewaambia mje hap, kazi yenu kuhukumu tu, nyie sio mungu na sio wajibu wenu?
Hayo ma makeup hadi unatisha kaaah
Kumbe umeona😆😆a naogopa camera
Kama mdori hivi
Hahaha..watanzania hampendani kweli khaaaa hivi mkiongea vibaya mtabadilisha zabibu Kua dada ake ali🤪
@@sophiekambi7752 Alokwambia anammbadilisha kutoka weupe na kuwa mweusi nani?ukweli usemwe alompamba kamjaza . make-up
Wacheni roho mbaya na mpendane watanzania#254
Mikono na sura,hio rangi vepe?
Sikiza maneno wachana na rangi kijana tafuta kazi ama serikali ikusaidie 😁😁
@@nyash2542 🤣🤣🤣🤣
@@nyash2542 hahahhaha
Kwan huoni ni makeup hyo,,,, nini uschojua sasa
Ni makeup too much
Huyu bado sijamuelewa th-cam.com/video/OR5H7MsxROE/w-d-xo.htmlsi=gDKs183EZvKfwO8C
th-cam.com/video/HntQeYmtuz0/w-d-xo.html katazame diamond platnumz(Simba)alivyosema baada ya Alikiba kuzindua album yake
001 mombasani TEAM KIBA FOR LIFE,wacheni uzushi diamond nn