🤯 ZUCHU APAGAWA VANESSA MDEE NA JUX | MAMBO MAZITO KWA ROTIMI NA LIZER
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Kwani mkijistiri zitachomeka hizo picha au ....jaman dunia imefika kileleni mwanamke jistiri dunia mapito duh .... sio kuwa tunawaonea wivu ila ghadabu ya mungu ni Kali sana....jistirini basi khaaa
Umeona eeh
Z nakukubal hatr
ALLAH akulipe
Ivi unazan akijifunika hiy biashar yk itanunuliwa na nan
@@awenamohd8603 wallahi mtihani mkubwa sana tunasahau lengo la kuumbwa mwanamke...nalengo la kuletwa Dunia....binaadamu nikiti duni sana hapa ulimwengu ...nakati vitu alivyo umba Mola wetu hii Dunia nisawa na changarawe isituadae....kesho tutakwenda ulizwa ...Jaman ebu tumkumbuke Alo tuumba binaadamu sichochote ...Leo upo kesho unarudishwa kwa mola wako....tujitaidi InshaaAllah
Vanessa mdee.🙌💞💞💞💞
The legend mtoto wamasakii wabongo wana mambo na mbwembe!!!!! At one havy part😂
Tatizo wabongo yes no zimezidi na nusu uchi sasa😏
Kabisa yan hizo yes no na kuvaa uchi wanaon ndo kupendeza mahananga hawa
Muache kutuongelea English yenu kama tuko Marekani subri ni nigombee uwaziri wa sanaa na michezo muowne katiba yangu mnakera🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ten hatuelewi ht ich kiengerez chao ch chekechea 😂😂😂
Ammygirl unavaa,yan unatupia you looks like a star
Nampenda Ammy gal ♥️♥️🥰
Yuko smart
Jamaniiiii aliesikia ubwabwa gonga like
Hio title eti nini?????😀😀😀😀😀
Zuchu hujapendeza
Kweli kbs
wanawake asilimia kubwa hampendani 😂 chuki wivu kavaa kujistili siyo kupendeza
Ah😂😂😂
Zuchu sijapenda uvaaj wako hujapenda
She is young and wasanii huvaa kisanii, kwani ulitaka avae suti?
@@graceamadi2141 eti avae suti
Nili uliza swali ulitaka avae suti?
🤣🤣🤣
@@graceamadi2141 ni msanii ndio BT nguo haijampendeza najua ni swaga BT hiyo nibbig no nguo nying za kisanii ht hyo haijampendeza mm ni mshabik wake BT naongea ukwer
Kila challenge this is not fair Kama kakarrshwa jaman
nyie noma by wiz sunny
Watu na nguo zao
Wala hujapendeza mwanamke mwenzangu
Hamna mbaya nyinyi
❤❤❤
Hatari xana hizi picture challenge
8:02 th-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/w-d-xo.html
here is a list of pregnant celebrities 2021... th-cam.com/video/xv98IMDsEh4/w-d-xo.html
Huyu dada apana
Ila iko kinguooo mmmh
Mimi sielewi jamani hivi vivazi
here is a list of pregnant celebrities 2021... th-cam.com/video/xv98IMDsEh4/w-d-xo.html
We Acha tu my
One heavy?
Mjuaji huu zuchu kwenye interview
8:02 th-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/w-d-xo.html
here is a list of pregnant celebrities 2021... th-cam.com/video/xv98IMDsEh4/w-d-xo.html
napenda hyoo sauti nzitooo adi raha
Hivi zuchu tako anaekaga wapi
Kabatini
Kwenye pochi yake
🤣🤣
Godoro tumeloweka maji😁🤣🤣
Oya vp
Lizer
sasa Mbona upo uchi
th-cam.com/video/cTi4vOt4Wys/w-d-xo.html
FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉🐉
alafu ulivyo kabaya vimiguu kama kangaroo
Hajajiumba, Mungu kamwumba na hawezi kujibadilksha, acha dharau issue kujikubali
Mbwembwe nyingi sijapenda
Namkubal sana liliyomy
Unaeandika title za video rudi shule...unachoandika hakiendani na content iliyopo kwa video. #USHAURITU.
Haaa
Ata mama yako arichukuwa Kwa bibi
Uzungu mwingi ovyooooo
Shida n unakaa uch mamii
Zuchu
🤣🤣🤣
Twende Kazi
th-cam.com/video/IvxL4Jxzfd4/w-d-xo.html
here is a list of pregnant celebrities 2021... th-cam.com/video/xv98IMDsEh4/w-d-xo.html
😂😂😂😂