BARNABA; DIAMOND NA ALIKIBA SITAKI | AMTUPA. NANDY,WOLPER WATULIE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #instafans

ความคิดเห็น • 383

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 3 ปีที่แล้ว +13

    Ila barnaba nimekuelewa vizuri sana unaakili za kujiongezea. Nakukubal sana ingawa mm ni team mond.

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 4 ปีที่แล้ว +128

    Nmekuwa wa kwanza nipeni like zangu kabla sijawafokea😂😂nimependa apo kwa kiba na mond umetia mgomo kuchagua atari

  • @shumatagirl2767
    @shumatagirl2767 4 ปีที่แล้ว +7

    Umefanya vizuri sana kutochagua kati ya kiba na mond wangepata pakusemea

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 4 ปีที่แล้ว +1

    #barnaba boy kagoma mzee baba unahekima kwakweli duh mbaka umeeleweka upo vizuri sanaaa

  • @mbayakhamisi3542
    @mbayakhamisi3542 4 ปีที่แล้ว +37

    Nimepanda sana barnaba alivyo goma kwa Simba na kiba

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +10

    Kimsingi yeye sio rafiki wa alikiba wa diamond, changamoto ilikuwa ni huko insta kwa mashabiki wa msanii aliyem cancel, wangem CANCEL pia

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza jikuta kwenye wakati mgumu bora kawa kimya 😂😂

    • @innocentmgumba5743
      @innocentmgumba5743 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa

    • @chawalive
      @chawalive 4 ปีที่แล้ว

      Katumiaaaa akili saanaa mi ni team mond angechagua kiba nilikuwa na muunfollow na yeye

    • @hassansaid9925
      @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 ปีที่แล้ว

      @@chawalive hata mimi angepita na mondi afanaleki ningemu unfollow huko Instagram harakatu bila kuwaza bora kaweka ndita , #kiba4life

  • @suleyhaji5313
    @suleyhaji5313 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa ata mm ningegoma ao jamaa wachonganish sana

  • @rukiamwakinyo5324
    @rukiamwakinyo5324 4 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣Mond vs Kiba hii ni hatar sana

  • @ama7742
    @ama7742 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee kaona mashabiki wa Diomond na Alikiba wanaweza kumuhaki akichangu mtu😂😂

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣ukweli ataoga matusi wananzengo wanasubiri

  • @michaelmdoe9368
    @michaelmdoe9368 4 ปีที่แล้ว +6

    Akili mingi Sana Barnabas Lukas

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว +3

    Barnaba akili nyingi broo,,,, ni jokes but inasababu nyuma yake if you choose one,,,, huu uhasimu tumwachie Mungu tu

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 4 ปีที่แล้ว +8

    This guy is real man

  • @pendominja7302
    @pendominja7302 4 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣Apo pa moto nakukubali Sana bboy maana ungeshambuliwa Leo wewe so kwa Wana dsm hawaaa

  • @kudrahalfan5767
    @kudrahalfan5767 4 ปีที่แล้ว +10

    Eeeeeenh!!! Sijibu wote wanangu mtanisamehe nimesema sijibu.Hahahahahh

  • @joycekayibamiriam1922
    @joycekayibamiriam1922 4 ปีที่แล้ว +6

    Ukitaka kujuwa barnaba kamchaguwa nani kimoyo moyo, hebu angalia vizuri kwenye macho yake ni pic ipi anaivizia sana

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii channel ni ya kichonganish wallah😌😌

  • @nusrathmohamedy6253
    @nusrathmohamedy6253 3 ปีที่แล้ว +1

    Umefanya vizuri sanaaa

  • @emannueljohn3502
    @emannueljohn3502 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda kwa kila k2

  • @mussajeremiah715
    @mussajeremiah715 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapo kwa mond na Kiba pamoto mzee! 😂

  • @salukabunda4049
    @salukabunda4049 4 ปีที่แล้ว +7

    Barnaba ungejbu tu hilo la kiba na mondi tungekuweka kwenye mabano bora ulivyolikwepa,🤣🤣🤣

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 2 ปีที่แล้ว +1

    hapo kaogopa mafanikio chagua mmoja acha mwengine upate tabu

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว +3

    hik kipindi kizur lkn kwa mtu asie elew anawez kufikiria vibay mchezo wa uchonganishi huo

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 2 ปีที่แล้ว

    Barnaba daah

  • @hebertotanaely6607
    @hebertotanaely6607 4 ปีที่แล้ว

    Wee mnafiki tu..yaan wee msanii wa clouds ushindwe kuchagua kat ya kiba na mondi..mbn kwngne umechagua ..

  • @sniper93999
    @sniper93999 2 ปีที่แล้ว

    Jamaaa anamaakili sana

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 ปีที่แล้ว +2

    Ukosee kidogo collabo pia itakosekana 😂😂😂

  • @anethjaochimu3169
    @anethjaochimu3169 4 ปีที่แล้ว +2

    Anampenda mondiii ila akutakaaa tuu

  • @monicaphilimon8804
    @monicaphilimon8804 2 ปีที่แล้ว

    Maamzi mazuri

  • @haxkhabaisa9433
    @haxkhabaisa9433 4 ปีที่แล้ว

    Kwa jux umetisha

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 4 ปีที่แล้ว +2

    Apo zimen screen #Barnaba 😂😂😂😂

  • @merykisara5715
    @merykisara5715 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbn me najua barnaba ni mtu wa morogoro

    • @mussachitemo
      @mussachitemo 4 ปีที่แล้ว

      ni wa moro ila asili yake chuga uyo

  • @elidadinyalemaelidadinyale3686
    @elidadinyalemaelidadinyale3686 2 ปีที่แล้ว

    Akili mingi Sana barnabas

  • @iwenikigodiiwenikigodi4817
    @iwenikigodiiwenikigodi4817 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiba atulie twende na mond

  • @davidkishome2352
    @davidkishome2352 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaakili sana broo

  • @rahelimbaluka1929
    @rahelimbaluka1929 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijibu imeisha hiyo

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 4 ปีที่แล้ว +2

    Pic zenyewe zinamtisha 😂😂😂😂

    • @opk3943
      @opk3943 4 ปีที่แล้ว

      Hataki uchonganishi😂😂😂😂😂

    • @laurentchimbirani5990
      @laurentchimbirani5990 4 ปีที่แล้ว

      hahaha kiba na mondi wana mashabiki wengi sana ujue na ndo mashabiki haohao wanawasapoti wasanii wadogo au chini, so wangemfokea endapo angeegemea upande mmoja wapo! barnaba upo vzr kaka

    • @marthastephen6600
      @marthastephen6600 4 ปีที่แล้ว

      Yaniiii nmecheka sana na kweli picha zao zinatetemesha kwakweliii bora kukaa kimya tu

  • @bakermiles2866
    @bakermiles2866 4 ปีที่แล้ว +3

    Wenye akili tushajua umempa nani kulingana na sifa tu umewasifu tofauti..umeogopa tu kumtaja.mbwa😎😎😎😎

  • @christophernyamwale5886
    @christophernyamwale5886 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @inagongabyjavarofficialvid9166
    @inagongabyjavarofficialvid9166 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @athumanilihike2097
    @athumanilihike2097 3 ปีที่แล้ว +1

    Ditto na amin wote brother hahahaha

  • @sevenday77tz28
    @sevenday77tz28 4 ปีที่แล้ว

    Billnass

  • @irakozekurusum8116
    @irakozekurusum8116 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda😘😘😘😘😘

  • @cephasjiwe6080
    @cephasjiwe6080 2 ปีที่แล้ว

    Kali

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว

    4:07 Diamond vs Kiba

  • @jacquelineadrian7642
    @jacquelineadrian7642 4 ปีที่แล้ว +7

    "Hapa pazito"

  • @rukiamale6644
    @rukiamale6644 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣hii sijibu yan sijibu😂😂zmeni screen🤣🤣💯💯

  • @montanaprime
    @montanaprime 3 ปีที่แล้ว

    EMA the boy yuko wapi?

  • @rahmashabani1978
    @rahmashabani1978 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @jaffarmagawa3245
    @jaffarmagawa3245 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahah kagoma😃

  • @opk3943
    @opk3943 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchebe achia hapo😂😂😂😂

  • @gannzy-tvoline9277
    @gannzy-tvoline9277 2 ปีที่แล้ว

    Huu mgomo Kwa Mond na Kiba uko Sahihi Barnaba

  • @chichamusiq1498
    @chichamusiq1498 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha tumekusamehe

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 4 ปีที่แล้ว

    Mbona unajieleza sana

  • @saidisulley9397
    @saidisulley9397 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiba

  • @josiahmeivukie3246
    @josiahmeivukie3246 2 ปีที่แล้ว

    Ckujua barnaba n was kaskazi

  • @nestorystanslaus5245
    @nestorystanslaus5245 4 ปีที่แล้ว +1

    Me nipo kwa Mond 😂😂😂😂

  • @kasianmbangkasianmbang6957
    @kasianmbangkasianmbang6957 4 ปีที่แล้ว

    Iki kipindi kizur lakin kina chonganisha baadhi ya wa2

  • @pallangyotelevision5642
    @pallangyotelevision5642 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha Fala unachecheka tu

  • @khamiswaje2mussa848
    @khamiswaje2mussa848 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa Anaakili sana kafanya kitu kizuri kuto kujibu swali ilo

  • @sulleymtown6409
    @sulleymtown6409 3 ปีที่แล้ว

    Kwel bora kagom mobasa

  • @sevenday77tz28
    @sevenday77tz28 4 ปีที่แล้ว

    Marioo

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 4 ปีที่แล้ว

    Safi balnaba upo makini bola usijibu

  • @seifblack3705
    @seifblack3705 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha barnaba umetisha

  • @shedyplatinumz4853
    @shedyplatinumz4853 4 ปีที่แล้ว

    Mkn Sana barnaba

  • @mwambamgaya2744
    @mwambamgaya2744 4 ปีที่แล้ว +1

    Bola ulivyo goma chamoto ungekipata

  • @majidmbegu8120
    @majidmbegu8120 4 ปีที่แล้ว

    kanifulaisha jamani

  • @sevenday77tz28
    @sevenday77tz28 4 ปีที่แล้ว

    Nandy

  • @sevenday77tz28
    @sevenday77tz28 4 ปีที่แล้ว

    Dulvani

  • @ayubayub6295
    @ayubayub6295 4 ปีที่แล้ว

    Mond atulie kwanza

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 ปีที่แล้ว

    Maneno mengu chagua acha uoga

  • @chrismwanakwetu5250
    @chrismwanakwetu5250 3 ปีที่แล้ว

    Kw mond na ally ndio patam zaid achague

  • @nasibupascal1889
    @nasibupascal1889 4 ปีที่แล้ว +1

    Iyo ya kiba na diamond 🤣🤣🤣

  • @zubedajamuhur6467
    @zubedajamuhur6467 3 ปีที่แล้ว

    Yaan barnaba amenifanya namm nichecheke tu km yy

  • @alfanimussa8279
    @alfanimussa8279 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣kaka mkubwa barnaba nimecheka sana walai cjibu saf sana mkubwa

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 4 ปีที่แล้ว +47

    Hongera saana barnaba umefanya vizuri kwa Diamond na Ali hukutaka kumchagua mtu

  • @mrschoty1632
    @mrschoty1632 4 ปีที่แล้ว +29

    Hahaha mi sijibu, hvyo vchwa viwili vyaheshimika diamond na alikiba ni 🔥🔥

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 4 ปีที่แล้ว +70

    Huwa na puuzia hichi kipindi kumbe kitamu du😂naomba msinifokee

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 4 ปีที่แล้ว +73

    Alikiba hana mbwembwe lakini level yake haishuki...angekua nazo Mond angekosa usingizi

  • @isackhassan6551
    @isackhassan6551 4 ปีที่แล้ว +11

    Nimecheka sana alivogoma kuchagua Simba Na King

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +11

    Leo ndiyo nimekuona barnaba
    Una akili nyingi sana sana upo vzl
    Kwenye D vs A ulikuw makin sana

  • @cardinal0016
    @cardinal0016 4 ปีที่แล้ว +14

    Diamond vs alikiba sijibu✋🙈🙈🙈🏃🏃

  • @jebagang1534
    @jebagang1534 4 ปีที่แล้ว +51

    Kati ya kiba na mond mi naenda kwa kìbawise mondi atulie

  • @Amanaoman
    @Amanaoman 4 ปีที่แล้ว +15

    Umewakomesha kak nakupendaga htr 😂😂

  • @franksole2281
    @franksole2281 4 ปีที่แล้ว +21

    Jaman japo nimechelewa kdgo Barnaba katisha, Naombeni likes zenuu 🙏

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 4 ปีที่แล้ว +8

    Hii kitu itajenga chuki na watu, sio nzuri kabisa. Niuchonganishi

  • @sarahtony3937
    @sarahtony3937 4 ปีที่แล้ว +5

    Barnaba nimekupenda bure kwakugoma dai na ally wasikuchonganishe babaaa

  • @fatumamfaumeilawatafulia834
    @fatumamfaumeilawatafulia834 4 ปีที่แล้ว +13

    Kwa mond na kiba 😁😁pomoto harmonz unakazi kaka😂😂

  • @jjdamimi7234
    @jjdamimi7234 4 ปีที่แล้ว +8

    Kwa mond na kiba daaaah sijawah ona skip ila barnaba kakaza

  • @YOBOYSADIO
    @YOBOYSADIO 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni

  • @marijanimsola6700
    @marijanimsola6700 2 ปีที่แล้ว +1

    WEKENE SOUND TRANK KWA CHINI ...KIPINDI KINAPOAAA----BUT HATUA NZURII

  • @jaysamjaysam1050
    @jaysamjaysam1050 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahah mbona kwa mond na kiba umekataa kujibu

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅😅sijibu msinitetemesheee ase,, kama laizer anatoa jiwe mgodini ase

  • @naslee1010
    @naslee1010 4 ปีที่แล้ว +8

    Barnaba ungekomaaaaaa🤣🤣🔥

  • @Billcriss254
    @Billcriss254 2 ปีที่แล้ว +2

    Barnaba ungechangua kati ya mond na kiba ungeacha breaking news ‘’BARNABA KAMPIGA CHINI KIBA MBELE YA MONDI’’ hahah

  • @aframomavocha2702
    @aframomavocha2702 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii inaonesha ni jinsi Barnaba n mtu wa watu coz maswal meng kwake yalikuwa na uzto hakuwa na wepec wa kuchagua haraka.Saluut kwako we love you bro

  • @superdywz1668
    @superdywz1668 4 ปีที่แล้ว +3

    Sema katumia akili xn swal la simba na kiba libaweza kukugawa na mashabiki

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 4 ปีที่แล้ว +8

    Kwa kutulidhisha ungechagua tu ALIKIBA BROTHER😂😂😂 Mbona kwa billnass vs janjaro wote ni wanao ila umechagua janjaro just kwa kuturidhisha tu? au ndo tuseme pale kwa Kiba Vs Mondi ni PAGUMU SANA KAMA ULIVYO TANGULIA KUSEMA?😆😆🤔🤔

  • @officialInchakali
    @officialInchakali 2 ปีที่แล้ว +2

    Sana kaka barnab upo vzuri kabsa apo kwa Alikiba na Diamond🙌🙌💯💯👊⚡⚡⚡

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwa mondi na kiba

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +14

    Umejibu kwa akili ,love you Barnaba 😍