NI VITA KATI YA RUBY ❤️MOSE IYOBO DHIDI YA AUNTY EZEKIEL ❤️KUSAH - BIG SUNDAY LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Ruby na mozeiyobo wanapendezana ❤️
Ila kule kwingine😅😅zero kabisa Hadi wanaogopa kutoka wote
Anafata nyayo za Nandy
Mnapendezeana sana
Ukiona unapenda sana kumzungumzia x wako nakumponda sanaaaa jua bado unachembechembe za kumpenda, bado unaumia🤭
Yap
Kweli mapenz Yana cr kubwa wotewanauguza majeraha lkn tuwaombee tu
Ye babaaaaa!!!!!huo ndoukwe
Na wahenga wakasema fimbo inayompiga mke mwenziyo iokote uitupiliye mbali maana kesho itakuchapa wewe wenye busara wamenielewa
Ttzo mnakalili sana .hizo chembe chembe uliziona kweny mioyo wako, don't talk km haupo kweny moyo wa mtu
Ruby umependeza san jaman ♥️
Wp ww
Mose safii Achana mzee yule hana ishu kwako c umeona mtoto modo mkali sana ant mzee tu
Wadada wameumbwaaa kwa ajil ya mapenzi2 ... Angaliaa wanavyocomment chin
Nampenda sana Ruby ,she is real a super woman ,she sings and dancing as well..she is a perfect woman for me..yeah bbyy
Mungu awaongoze hawa watoto nawapenda.
th-cam.com/video/rNNcqAooUpQ/w-d-xo.html
Llllllnnnnmm. V. Mi
,.
Amin
Mmependezana dah😍😍😍🥰
ukinmbia Dem gan hta mm nataman kuwa nae Ruby bhanaa😋😋 Asee mwanamke anaimba sanaaaaaaaaa.. #Tunakomaa nao
Aiseee tulimmic sanaaa!
Wamependezansana mungu awa bariki
Amin
Naipenda sana show
Huyu ruby anaonekana ana misimamo kweli
I love you ruby more prayers aloooot
Nawapenda
Daaah
Nampenda sana rubby
Najiulizaga hawa walibadiliahanaje huyu kaenda kwa huyu na huyu kawa na huyu
Ata mm ndo najiulza
Waaaaa tz kuna mambo
Usiwasikilize tizama mbele husitizame ulikotoka Yale yamekwisha.pitar yobo and Ruby
Moses and ruby mko vizuri sana
Mose hawezi angusha WCB yaani yeye ni mwanzilishi
Jamani nawapenda bule❤💚💚💚❤❤❤
♥️♥️♥️ruby Mose couple
Anafata nyayo za Nandy th-cam.com/video/U-DadqSN_XU/w-d-xo.html
Mnapendeza ❤❤❤
Mualike na aunt and kusah tuwackilize
Yaani hao wote wamevurugwa na mahusiano, sasa wanajifanya wanapendana kumbe hamna kitu Apo, alafu mapenzi ya kulipiza huwa wanaumia wanaolipiza siku zote
Jamani wamependezana mpaka naona wivu mungu awatunze sasa
Amin
Nakupenda sanaaaa ruby
Ruby ❤❤❤❤
Hapo sawa tu akuanzae mmalize
Ss rubi huko bumbuli si kwenu
Ndio hahah
Wamependeza
Nimemuona jeux au sio vizuri Kakaa huku kwa mafansi
Nawapenda sana
Very fantastic
1:11😂😂😂😂ndo itakua ivo ivo
Mnapendeza saana😍😍😍
Fireeee
Nice couple ❤
Mzid kupendana na mung awatangulie nawapenda sanaaaaaa
Nawapenda mno
Kabisa
Arooooh weeeh
Nawapenda sana mose na rubi nanendaga
Hey Ruby and moses a good day
Begup sana rubi penda sana ww
Muish milele
Tunakupenda saana
safiii sanaaaaaa nawakubaliii
Nimetokea kuwapenda jamani mdumu kweny mahusiano ynu
Naomba penzi lao lidumu jamani
Ruby nakukubali sana
Mnapendeza sana
Yn rub nimwimbaji mkubwa jmn sjui nyotayake imezibwa wapi lkn asikate tamaa iposiku atakuajuu sana Aid ya sana
Wow lovely
Jaribuni kuongeza ubunifu graphics ziwe Kali alfu iyo logo ya big Sunday jaribun kuifnya yatofaut ili kipnd kibadilike kdgo ongezen ubunfu
❤❤❤
Namupenda Sana rubi
Sanaa ♥️♥️💯💯💯🤞🤞🤞
🔥🔥🔥
good Moses and ruby
Kizazi sana
Lop u guys🥰🥰🥰
Ruby alipanda stage ya fiesta mwakajana kashika kifundo cheupe mwanzo wa show mpk mwisho wa show nlijuaga kitambaa cha kufutia jasho lakn haikuwa ivyo mpk anashuka alikuwa nacho
Kinaloga mpk leo
a good couple
Ruby umependez san my Nakupend san
Upuuzi tu,yaani Ruby ametoa wapi nguvu yakudate na Iyobo,mwanaume kulambalamba mdomo kama shoga,mara kujichekesha kama hawara! Dah bora ata angetoka na Enockbella.Mose hana tabia za kiume..
Acha ujinga,,mapnz popote kwani akilamba mdomo awezi kazi
@@florahamani5043 kazi na heshima bana,sasa huyu ataongea hivi mbele ya wazazi wa mtu eti mume,?
Mkwerii rubby i like
Ruby ❤❤❤
Mambo
💋❤️❤️
duah sana baba
Noma sana
a good love Ruby I love you
Moses ana machachari wewe
Mi naona kama n jimovie fulani hivi
Ruby nakupenda bure
Me ningewap 10 za kejeli😂
Yaani wewe utadhani uko kwa kichwa yangu, ningewapa 10 wakajiulize why?
Ruby et mose une couple très bien
À couple ❤️❤️❤️❤️❤️🌹Ruby elle très très belle mose très bon garçon 💐💍🧎❤️❤️❤️❤️ 🙏🙏🙏🙏👁️👁️🇫🇷🇹🇿
Ipo poa
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Acheni ma swari ya uchonganishi
Yani mapenz yetu wabongo bwan Ruby kwa moz leo kush kwa ant jaman inakela makombo yakuludia ludianaaaaa wabongo bwan
Hiyo jamaa iyobo lina ushabiki sana yeye wcb tu
cool
Mludie Mungu
Iyo saut ya mose
I looooooooov u my ruby❤️❤️❤️❤️❤️😂
No comment
Yani hawa watu walinishangaza kweli Yani waliamua kuchange
Hawa watu bado wana tamani kurudiana nama exs zao nawako pamoja kwa sababu ya wivu
Bora umeona naww
Umeona eee
Sauti ya mose xax
Yeah Kama mama kimbo
Its seems they are still hurt. How can you give them a 0 lol .
Acha zako 😂
Natamani angerudi Jonijo sababu hii kitu yeye ndo mwanzilishi
huna akili wewe jonijoo kaanzisha lini icho kipindi
Mmependezeana
❤️❤️❤️🙏😅🔥🔥🔥🔥
Rubby mwisho
😃😃
Game imeboa mnamaliza muda kwenye game kuchagua mipicha picha kumbe mlengwa picha ya mwisho si mngeiweka mwanzo? Acheni hizo
😀😀😀
Sauti ya iyobo
😃😃😃
Munapendezana
Ak hii n kubwa n nusu