IKULU INAYOJENGWA CHAMWINO DODOMA, INAWEZA KUWA MIONGONI MWA IKULU KUBWA DUNIANI TAZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 146

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 4 ปีที่แล้ว +15

    Very nice ....tuombe mungu atupe uzima tuweze kuiona ya jayo yanafurahisha.....

  • @felixmwasongwe8043
    @felixmwasongwe8043 4 ปีที่แล้ว +15

    Naamini ikikamilika haitakuwa kwa mwonekano huo hapo du tuko vizuri ki usalama wetu Tanzania I LOVE MY MOTHER LAND

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +39

    Bila shaka hapa ndipo wajukuu zangu watakuja kufanya kazi mie nshachelewa nafasi zimejaa na uzee umekaribia nasibiri matunda ya ujana wangu

    • @gamc773
      @gamc773 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @dullabalozi4269
      @dullabalozi4269 4 ปีที่แล้ว

      Sawa

    • @merryjulius4098
      @merryjulius4098 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

      Insha allah

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 3 ปีที่แล้ว +2

      Majozi ya furaha yanatiririka ktk mashavu yangu. Haki ya Mungu hii ndo Tanzania yangu. Asante sana ndugu Magufuli. Wewe raisi na Askari wa kuigwa. Endelea hivo hivo ndugu ingawaje niko nje ya Tanzania naona mazuri unayowafanyia watanzania.

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 4 ปีที่แล้ว +20

    Amen amen. Mungu mkuu barikiwa Magufuli , Serikali yake,familia yake, MUNGU MKUU Barikiwa Afrika yetu, Tanzania yetu na wote wapenda maendeleo na amani .(Kura zote kwa Mzee Magufuli na kaka Mwinyi). Mungu mkuu atusaidie sote.

  • @jamallsengenge5058
    @jamallsengenge5058 4 ปีที่แล้ว +20

    Huyu jamaa ni nomaaaaaa

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 ปีที่แล้ว +12

    “🤩 Heri yao wapatanishi maana wao wata itwa wana wa MUNGU”
    “Magufuli ali takiwa awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 pindi tu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipo toka madarakani!”
    Magufuli Oyeeeeh 😲 💪🏾
    “MWENYEZI MUNGU m’bariki Magufuli”
    “MUNGU ibaraki Tanzania
    🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀”
    “Amen 🙏🏾”

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka mitano yamangufuli hiyo je mungu angemuweka hii miakamitanoo tena hivi tungekua wap?;🇹🇿😭😭😭😭

  • @blasiokajuna
    @blasiokajuna 4 ปีที่แล้ว +18

    Habari njema kwetu ni kwamba tutakuwa tunaingia humo kuangalia vivutio vya utalii

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 4 ปีที่แล้ว +8

    Proudly to be Tanzanian

  • @deborahmaturu5698
    @deborahmaturu5698 ปีที่แล้ว

    BABA MBONA HUKUSUBIRIA IKULU ULIYOIJENGA MWENYEWE HUJAITUMIA, BABA ULALE SALAAMA AKUPOKEE MAULANA AMEEN🙏🙏🕯️

  • @Getwisdomapplicationknowledge
    @Getwisdomapplicationknowledge 4 ปีที่แล้ว +30

    Bless up magufuli
    Watu wengine bwana eti jamaa una dislike izo effort izo ela ungepewa wew ama ulitaka ikulu ijengwe kwenu na baba yako
    Ela imeonekana inaenda wapi UNACHUKIA!!
    Aionekani inaenda wapi unachukia eti rushwa
    UTAKUTA HATA UJI ELEWI........

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +13

    Dubai inasubiri sana sio ikulu ya bongo so good Mashaallah hongera sana rais wetu JPM Mungu atuwekee Ameen Ameen Ameen

    • @jojikeneth9024
      @jojikeneth9024 4 ปีที่แล้ว

      Dubai ipi

    • @husnahassan6289
      @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว

      joji keneth ya mbwinde my

    • @jojikeneth9024
      @jojikeneth9024 4 ปีที่แล้ว

      @@husnahassan6289
      Ikulu nzuri atupingi ila Apo kwenye kusema Dubai isubiri niuongo mkubwa labda kwa Dubai ya Zanzibar

  • @sambae4829
    @sambae4829 4 ปีที่แล้ว +36

    Wow😍 miaka 10 haimtoshi huyu baba jaman aendelee hata 20 najivunia kuwa na raisi kama ww magufuli oyeeeeee

    • @happynicholaus6474
      @happynicholaus6474 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli endelee kutawala

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว

      Shida watu sisi vipofu kidogo huwa tunaona mabaya Mazuri hatuyaoni kabisaa. Malipo yapo kwa MUUMBA piga kazi Anko Magu kwa faida ya NCHI yetu.❤👏

    • @emmanuelreuben5014
      @emmanuelreuben5014 4 ปีที่แล้ว

      Sisi na magufuli tu,team magufuli.

    • @irenewile
      @irenewile 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimesema mpaka 2045,,hata akiwa dictator me sijali wala nini, dictator mleta maendeleo ni mzuri sana

  • @ashoramwanja3131
    @ashoramwanja3131 4 ปีที่แล้ว +11

    Tanzania yangu🇹🇿❤️❤️❤️

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 4 ปีที่แล้ว +8

    Good looking

  • @mussakasela1937
    @mussakasela1937 4 ปีที่แล้ว +13

    Noma sana Itakua kama peponi . Magu oyeeeeeeee

    • @fayezomar9391
      @fayezomar9391 4 ปีที่แล้ว +2

      usifananish na pep bro pep kit chngn

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +1

      Usifananishe pepo na vitu vya kidunia aisee hapo ulipo unaakili zako timamu fikiria unachokiandika kabla ya kukiwakilisha kwa jamii

  • @rajabmnyimwa3126
    @rajabmnyimwa3126 4 ปีที่แล้ว +8

    Hivi huu ukurasa Wakenya wapo kweli maana kila kukicha wanajifanya wao ni matajiri sasa waambieni tunazo ikulu mbili, wao ikulu yao sawasawa na kibanda tu haingiii hata mara moja

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว +2

      Wewe tosheka na yko wacha kulenga macho kwa jirani uchungu ya nini

    • @sometimes5621
      @sometimes5621 4 ปีที่แล้ว

      Wako lockup!

    • @TheMandela21
      @TheMandela21 4 ปีที่แล้ว +1

      @@millicentayangokunting3728 amewachokoza wakenya wangu!!!

    • @matthewjohn5108
      @matthewjohn5108 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuuh,,,,,kwakweli huyu baba acha tu mungu amjaalie maisha marefu

  • @delahvlogs
    @delahvlogs 4 ปีที่แล้ว +10

    🙌👏👏

  • @lucaspaul5834
    @lucaspaul5834 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaaa yajayo yanafurahisha sana

    • @johnpaschal6483
      @johnpaschal6483 4 ปีที่แล้ว

      Akili yangu inanituma huyu mtu aongezewe tuu muda

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 4 ปีที่แล้ว +4

    Barabara kuu ya kuingia chamwino kwenye kata ya buigiri kuna jengo la halmashauli nilipofanya kazi tangu kuanza kwake chini ya mhandisi MASANGIA najivunia sana chamwino yetu,ilianza kujengwa 2011 leo hii chamwino imebanda duniani kote

    • @givenmichael6177
      @givenmichael6177 4 ปีที่แล้ว

      hongeraa sanaa unakilaa sababu ya kujivunuaaa hiloo ✅

  • @annasuday1592
    @annasuday1592 หลายเดือนก่อน

    TUNAMSHUKURU MUNGU KUTU PENDA DODOMA CHAMWINO "+"

  • @emmanyambuya8920
    @emmanyambuya8920 4 ปีที่แล้ว +18

    Magufuli Jembe Jembe Jembe Jembe Tena Jembeeeeeee

  • @debom5346
    @debom5346 4 ปีที่แล้ว +14

    Hongera jpm

  • @andulilemwakihabha2931
    @andulilemwakihabha2931 4 ปีที่แล้ว +9

    Hakika tumepata kiongozi wa kurionyesha taifa letu mbele zaidi yani kama ulaya

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 26 วันที่ผ่านมา

    Sawa ni nzuri lakn wanaokaa ndan yake hawaitendei haki Tanzania

  • @samilaayomba4203
    @samilaayomba4203 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulinde baba mangufuli tumionajuhundi zako ccwanaichi wako tupo Omani lakini unasitahiki pongezi 👏👏👏👏💖💖💖💖

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 ปีที่แล้ว +6

    “🤩Haswa😍 👏🏾” 👇🏾
    “Ndiyo inavyo takiwa namna hii 💪🏾”
    “🤩 Haya ndiyo maendeleo ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ali sema kwamba”; 👇🏾
    “Wa Tanzania 🇹🇿 wana yataka ndani ya CCM, na waki yakosa tu, basi wata yatafuta nje ya CCM, ambavyo ni vyama vingi vya siasa” 👇🏾
    “Lakini sasa yana patikana ndani ya CCM! Kidumu chama cha mainduzi, CCM Oyeeeee 😲💪🏾”
    “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 😍🇹🇿🦚🌴🏝🌳🥀🌹❤️”
    “MUNGU Ibariki Afrika 🌍, Amen 🙏🏾”

  • @kizaanthony9162
    @kizaanthony9162 4 ปีที่แล้ว +6

    Duh jamani mbona patamu hapo

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaaaa jamani nimeshindwa chakusema,Magu mbele kwa mbele,Mungu akupe maisha marefu zaidi

  • @carenkachecheba5538
    @carenkachecheba5538 4 ปีที่แล้ว

    Wewe Ni Suleiman wa Sasa unayeijenga mji WA Mungu alone Hai.... Asante kuitimiza ahadi hii kwa Watanzania...... Mungu akutunze sana Rais wetu magufuli.... Kipekee nakupenda kwa uthubutu na ujasiri ktk mambo mwengi.... Keep it Up baba.... Amen

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 4 ปีที่แล้ว +35

    Kwa nini tusi muachi aendele hata myaka 20 mbele

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo katiba

    • @happynicholaus6474
      @happynicholaus6474 4 ปีที่แล้ว

      Kweli tumuache

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 4 ปีที่แล้ว

      @@mdzainb3722 katiba mmeaiandika wenyewe sio amri, badilisheni uyo dingi ni bora

    • @jumabilal573
      @jumabilal573 4 ปีที่แล้ว

      @@mdzainb3722 kwani katiba ni msahafu?

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

      Ingekua bora sana

  • @fidasjohn4700
    @fidasjohn4700 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana tbs

  • @josephmlela9757
    @josephmlela9757 4 ปีที่แล้ว +6

    Jambo zuri

  • @simonnzumi3575
    @simonnzumi3575 4 ปีที่แล้ว +6

    Hii ikulu itajiendesha yenyewe kwa sababu tutakuwa tunaenda kutalii tunalipa hela

  • @carenkachecheba5538
    @carenkachecheba5538 4 ปีที่แล้ว

    Wow Big Up Rais wetu kazi nzuri Sana.. Ubarikiwe

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @richardmkinga840
    @richardmkinga840 4 ปีที่แล้ว +6

    Haswaaaaaaa

  • @lucasjr5521
    @lucasjr5521 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuja baada ya kifo chake, R.I.P #JPM

  • @mariumkirungi3699
    @mariumkirungi3699 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Uncle magu daima tutakukumbuka baba duh so sad

  • @scottgeorge5677
    @scottgeorge5677 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante MUNGU kwa kutuletea Magufuri hatuna neno lingine zaidi la kusema

  • @NammanaMobile
    @NammanaMobile ปีที่แล้ว

    Mbona raman na muokano halisi ni tofauti

  • @julianamaadam8838
    @julianamaadam8838 4 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna Kama magu

  • @maikobaudy5979
    @maikobaudy5979 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante san raisi wetu

  • @gebodaines3838
    @gebodaines3838 3 ปีที่แล้ว

    Eee mungu mpe pumziko la milele magufuri wetu 🙏🙏🙏

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 ปีที่แล้ว

    KUDADADADEKI nikisema Tanzania is flying wow wow wow !

  • @manmachocarworks5442
    @manmachocarworks5442 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana magu maana ile ya kivukoni na shombo la samaki la pale feri ni aibu

  • @pancrasmwenda7307
    @pancrasmwenda7307 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee bhana 😂😂😂😂 Anajikuta sterling kubwa LA maadui wa nchi 😂😂😂😂
    *MAGUFULI* Hana mpinzani kwakweli

  • @francismagembe9400
    @francismagembe9400 4 ปีที่แล้ว +3

    JPM Oyeeeee

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyumban kwetu chamwino ilkulu,tereh 18/7 naenda kusabahi familia na kuona maendeleo ya chamwino.

  • @ramadhanihatibu1714
    @ramadhanihatibu1714 4 ปีที่แล้ว +1

    Ikulu

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว +4

    Ccm hoyeee JPM hoyeee Tz hoyeeee.

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +1

    JPM oyee tanzania oyeee

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +1

    Msimbanie JAMANI Pongenzi zake Mpeni na Mkishindwa nyinyi MUNGU anamtosha. JPM Mzalendo wa kweli.

  • @oliviamasao2891
    @oliviamasao2891 4 ปีที่แล้ว +1

    duuh kweli yajayo yanafurahisha.. huwa nakaa nawaza nani atakayekuja kuwa rais mzalendo kama huyu baada ya 5yrs

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      Tumuombee Mola azidi kutujaalia viongozi wazalendo na wapenda waendelee kama jpm na hata zaidi yake ndugu, kwani kwa Mola yote yanawezekana

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 3 ปีที่แล้ว

      Amekufa😩😪😪

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 ปีที่แล้ว +1

    Fisi tena

  • @eastafricanforever3457
    @eastafricanforever3457 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania mlipata kiongozi kweli,Rwanda walipata kiongozi pia, Kenya tulimpata Rais Kibaki lakini siasa mbaya,ufisadi na ukabila ulikaba ndoto yake kidogo,naomba Mola atujalie tena

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว

    Alafu mtu tena anasem Magufur ajafa kitu binadam sjuh tufanyiwe nn Pumzk kwa Aman Jpm

  • @manaseelias2351
    @manaseelias2351 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mnyonge mnyongeni haki take mpeni jpm kazi umeifanya ikulu tena

  • @hanifahassan9138
    @hanifahassan9138 4 ปีที่แล้ว

    Magu kweli moto lkni huu moto aupinguze sped tutateketea vibaya Hali ngumu nipo nyumba ya kupanga ile hela yakodi Sina watoto 4biashara zangu haziendi tusaidieni hata ajira jamani ila ni ccm kindakindaki

  • @shukuruexperius5035
    @shukuruexperius5035 4 ปีที่แล้ว

    Mashene Afrika Mashariki na Kati Magufuri Oyeeeeeee

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana hii

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว

    Ah..!...Fisi msimuweke humo’ ana njaa sana yule mjinga ‘ atawapeleka pwani wenzie wote ‘ halafu habakishi kitu mpk mifupa pwani..!..mtakua mnashangaa wanyama wanapungua kumbe kashawapitia...!

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimesema fisi mmh mchafu saana fisi nyoka simba Faru John hapana 🤣🤣🤣

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว

    Dadaaa mijinga

  • @victorsizya4470
    @victorsizya4470 2 ปีที่แล้ว

    I beg to differ, ni bahati mbaya sana sisi bado tunaangalia na kutafsiri maendeleo kwa vitu kama majengo. Hivi faida ya sisi kuwa na Ikulu kubwa Afrika au duniani ni ipi katika upande wa hali za wananchi na ustawi wa nchi?
    Tumekuwa programmed kuangalia marndeleo katika angle ambayo si sahihi. Mungu atusaidie tuamke.

  • @ashahamad6021
    @ashahamad6021 4 ปีที่แล้ว

    Halafu Hapo Eti Aende Akakae Tundulisu Na Chadema Yake Hiluuuuu!!!!? Hatakamaa

  • @kaimuulongo6004
    @kaimuulongo6004 4 ปีที่แล้ว

    Pendeza San ikulu

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 4 ปีที่แล้ว +1

    Mjengo wa baba !! VP wananchi na mshaara jamani kima cha chni

    • @barikilinus5274
      @barikilinus5274 4 ปีที่แล้ว +1

      Wenye mishahara hawabongi maana wanajua heri kusomeshewa watoto wao na kuwekewa huduma za afya zilizo bora,umeme wa uhakika na km hayo KWA WOTE kuliko ubinafsi wa nyongeza ya elfu 50.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Toshekeni na mishahara yenu

  • @hanifahassan9138
    @hanifahassan9138 4 ปีที่แล้ว

    Mm ni ccm lkni tunaumia ss wachini mana pesa hamna kazi hatuna biashara haziendi I

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +8

    Magu moto

  • @estarjuma7983
    @estarjuma7983 4 ปีที่แล้ว

    Hakika Tanzania 🇹🇿 Kumenoga

  • @swaggerizedninjagoseprocom8523
    @swaggerizedninjagoseprocom8523 4 ปีที่แล้ว +5

    Ila kumbukeni hii Ni ramani.
    Wana Dodoma tunaijua Dodoma yetu kwa undani

    • @rajabmnyimwa3126
      @rajabmnyimwa3126 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua

    • @sijalikifunyo912
      @sijalikifunyo912 4 ปีที่แล้ว +3

      Kijana kumbuka pia kuwa hiyo ni ikulu, itawekwa irrigation system ambayo hujawahi iona maishani mwako. Na wanyama watanenepa wa mikumi wakasome.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +1

      Wenzetu wajazeuza jagwa kijani tena kijani haswaa panapopatikana Kila kitu wewe wasemea dodoma yetu ya kijani special kw zabibu, ndugu yangu tuzidi kumwomba mala wetu azidi kutubariki na abariki viongozi wetu tutaona mengi mazuri Sana jua Mungu katujaalia nchi nzuri Sana iliyojaa rasilimali, hata reli ya kisasa ya umeme wapo waliosema haitowezekana ila ona Sasa mambo yanazidi kunoga

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 4 ปีที่แล้ว

      Ndio inajengwa na majengo baadhi yameisha

    • @danielnyamunura8208
      @danielnyamunura8208 4 ปีที่แล้ว

      Sasa bila ramani unawezaje kujenga

  • @kaimuulongo6004
    @kaimuulongo6004 4 ปีที่แล้ว

    Kwan tayal ixhaanza kujengqa au

    • @danielnyamunura8208
      @danielnyamunura8208 4 ปีที่แล้ว

      Ishaanxa kujengwa inajengwa na jeshi kupitia jkt

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

    tz
    tına mbuga za wanyama cıo chın ta 8
    maziwa makuuu dunıan matatu
    tuna mliöa kilimanjaro
    tuna bandar kuu tuna gwz asılıa tuna mıto ınayotırıka maj massa 24
    tuna madım almasi ,
    tuna ardh kubwa yenye ruthba
    hali ya hewa n mzurı
    lkn tuna madın ya TANZNITE
    amnayo dunıan kote hakuna ispokuwa n tanzanıa
    il kuwa ya tosha kabsaa tz ie n kama libya ya Omar gadaf
    yaan xx tuwe tunatoa mısaaa nch za njeee
    kuna nch mfano chına uturuk hawana ges asılıa lkn kıla myumba wanatumıa ges na ymeme kwao kukatıka n ndoto uchum wao n juuuu ! kwa sababu n vıongoz imara na enyewe uzalendo wa nchı yao lkn cıo tz
    tembeeen muone cıo kusema sema tu mnainıwa mawazo hamjıjuı tz bado sana ! vıongoz eana prıvate gaın za kısır sır halafu wanawaıbıa eanamch mawazo !
    mıska 2 kabla ya uchaguz e mdıo wanaanza kujenga barabara ıl akr aombee kula aseme amelzıe na watu n wajınga wanaosaema kıomgız bora hahahaha !
    mıaka 58 sas ya ıhuru lkn tz bado n chafu tu maısha bado mahumu mtanzanıa hafaıdinch yake !

  • @alexsimiyu8582
    @alexsimiyu8582 4 ปีที่แล้ว +2

    A poor country building one of the biggest state Houses in the world, and citizens are cheering? Tanzanians u must be mad!!!

    • @HASASON
      @HASASON 4 ปีที่แล้ว

      Itakuuma sana wala sio kidogo
      Wakenya mnateseka utafikiri pesa mnatoa ninyi

    • @ibrahimkambi9288
      @ibrahimkambi9288 4 ปีที่แล้ว +2

      YES! we are and few years later you will know how mad we are.THIS IS NEW TZ

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 4 ปีที่แล้ว

      Sisi siyo poor country labda Baba na Mama yako na ndugu zako ndiyo mko pua ila sisi nimstajiri ndo tunaenedea kuubadirisha utajiri wetu kutoka chini na kuwa kwenye mzunguko ko wew na wajomba zako ndiyo masikini

    • @alexsimiyu8582
      @alexsimiyu8582 4 ปีที่แล้ว

      @@canibalgazaboy8325 you are an incurable and iredeemable buffoon

    • @alexsimiyu8582
      @alexsimiyu8582 4 ปีที่แล้ว

      @@canibalgazaboy8325 imbecile!!

  • @paulisac8966
    @paulisac8966 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏