Mwili wa Hayati Magufuli ukiwasili Ikulu ya Chamwino Dodoma, utashangaa ilivyo kubwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @mamaafricankenya2501
    @mamaafricankenya2501 3 ปีที่แล้ว +20

    Baba yetu ni moja kwa moja PEPONI, kama a unaamini gonga like rip Dady

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +5

    Duh jmn hii ikulu mashaallah RIP Daddy kazi kubwa umeifanya😭😭😭😭😭

  • @valeriaally4770
    @valeriaally4770 3 ปีที่แล้ว +9

    Kwel umejua kutunyoosha baba. Ulisema tutakukumbuka kumbe ulijua utatuacha njian. Ungetusamehe tu kama kuna sehem tulikukosea. Tutapata wap kama ww. Daaaah! Ww magufuli jaman kwa nn lakin amka uone Afrika nzima inavyolia kwa ajil yako. Nilifikir tuko peke yetu kumbe unapendwa hiv. Watu sehem mbali mbal wanaombeleza na kukuimbia, cha ajabu raia wa nchi nyngne za afrika wanalia kama waliish na ww, kumbe ulimfikia kila mtu baba. Kila mtu aliona mkono wako. Nenda baba, nenda kipenzi chetu, nenda kapumzike, kazi yako umeimaliza, kama tusipojifunza kwako tutarud tulikotoka na kukulilia zaid. Nenda shujaa wetu,najivunia kuwa mwanao ktk nchi yako

  • @sophianyange3655
    @sophianyange3655 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Baba mungu akupumzishe kazi kubwa umeifanya duniani

  • @fadhilalukindo1659
    @fadhilalukindo1659 3 ปีที่แล้ว +18

    Dah baba uliondoka ukiwa mzima alfajiri leo unarudi ucku ukiwa umelala khaaaaa😭kifo kimejua kutunyoosha jamani

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 ปีที่แล้ว +2

    ikuru ya kwanzaa afrika. Rip jpm

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +14

    Rip my favorite président 😭😭😭😭😭😭😭

  • @Supernovaz12014
    @Supernovaz12014 3 ปีที่แล้ว +8

    RIP! Baba la Ma Baba hakika tutakukumbuka daima. Mungu ndio anajuwa kwanin ameyaruhusu haya yote. Pengo lako halitazibika kabisa mbele naona kiza kinene, mwenyezi mungu atusaidie. God is always right RIP Daddy.

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaah geti la Ikulu lipo Ubungo Raisi unamkuta Msamvu!!! Magufuli hukuwa wa kuishi baba nenda mwanaume nenda kama hatutojifunza kupitia wewe basi sijui atatufunza nani. Wewe ni mawaidha tosha

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah nani kaona Magufuli Annex😥😥😥

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 3 ปีที่แล้ว +1

    One of the best State House ever. R.I.P JPM we miss you Dady

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 3 ปีที่แล้ว +3

    Ikulu kubwa hadi raha pumzika kwa amani baba yetu 🙏🙏🙏😭😭😭

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 ปีที่แล้ว +3

    Pakubwa huku dahhh, pumzika kwa amani baba kazi alizofanya🙏🙏

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 3 ปีที่แล้ว +11

    Daaah hiii sio ndoto bhn... Ndoto gani ndefu ivi 😭😭😭😭😭😭😭

    • @fetty1571
      @fetty1571 3 ปีที่แล้ว

      Wew acha tu kaka

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว

      Pole mpendwa hakika si ndoto ni kweli 😭😭😭😭😭

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

      Atuamini aliye leta korgona imalize watu 😭😭😭💔💔💔

    • @kelvinbernard7120
      @kelvinbernard7120 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli yaani hatuamini bado mana kaenda mapema

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว

      @@kelvinbernard7120 mno bado tulikuwa tunamuhitaji 😭😭💔💔

  • @kelvinbernard7120
    @kelvinbernard7120 3 ปีที่แล้ว +4

    Ikulu sio mchezo ni kubwa kinoma Magufuli dah😭😭😭

  • @khamisinyandikila7199
    @khamisinyandikila7199 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh hii ikulu cjawah ona ilivyokubwa kias hk

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว +14

    Ukipata bahat ya kuongoza nchi ni vzur uongoze kwa nidham mzur sana ili wanachi hata ukifa waumie zaid hata ukiwa baba wa familia pia ni vzur kuongoza nyumba yako kwa nidham bora

  • @rispernyakaka8442
    @rispernyakaka8442 ปีที่แล้ว +2

    Kila siku namsikiliza baba nikipitia maumivu makili mnooo nimepakua hotuba zake nyingi ili hata nikikosa bando nisikie Tu nimepakua nyimbo nyingi ili nikishindwa niendelee Julia kweli ninamsiba mkubwa wa BABA uyu nimeumia zaidi ya ujumbe huu ninayoandika nilimpenda nilimwelewa nilitamani hata kugusa pindo lake la vazi lake kweli nimeumia

  • @shafiirashid4852
    @shafiirashid4852 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli hukuwa na baya katik kupginia nchi yetu 😭😭😭

  • @franciscojackie5256
    @franciscojackie5256 3 ปีที่แล้ว +5

    Pumzika salama baba machozi ayaishi hatuamini Kama umeondoka baba it's hard for us daaah

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Sns asanteni kwa kutuonesha kila kitu kinachoendalea atizama nikiwa Qatar 🇶🇦 R.I.P JPM M/Mungu akulaze pema peponi amen 🙏🏾

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว +13

    Sijawahi ona hii ikulu jamani kubwa hadi raha

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว

      Cos ujatembea zaidi ya TZ

    • @seuryanael3518
      @seuryanael3518 3 ปีที่แล้ว

      Hii ikulu mpya kubwa sana

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭💔💔🇹🇿🇹🇿RIP naba Magufuli lazima wakasorike mabeberi ikulu kama hiyo hawana huku ulaya Mashallah Mashallah umeondoka kishujaa kweli son of Arica wa Tanzania 🇹🇿 tuna lia na African nzima baba 😭😭😭💔💔pepo yako imeanzia hapa hapa dunia buruani baba yatu mpendwa mtetezi wa wanyonge nani kama Magufuli ???😭😭😭💔💔💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว +6

    Nawaomba Maraisi wote wa Africa na kwa jumla dunia zima huu uwe mfano kwenu na kukga tabia za Ayati Raisi mzee magufuli alivyotendea wananchi wake TZ.Kiukweli mnaona watu walivyokua wamempenda kwa matunda ambayo amewaachia,vilio vimetanda kote inchini TZ.Jee itatokea kwako hivi??????????.Sitaki jibu.jijibu wewe mwenyewe💔💔💔🌞🙏🇰🇪.

    • @stellaloves9879
      @stellaloves9879 3 ปีที่แล้ว +1

      Tutakumbuka vile walikuwa na vitambi vikumbwa 💔💔💔🇰🇪🇰🇪

  • @muthoni5608
    @muthoni5608 3 ปีที่แล้ว +3

    Kubwa kweli

  • @gidosalapion8222
    @gidosalapion8222 3 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P baba

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 ปีที่แล้ว +5

    Hili eneo la Ikulu ya Chamwino toka Getini hadi Magufuli annex ni safari yaTarafa Zima!Posta-Mbezi kimara.

  • @mussacharles6862
    @mussacharles6862 3 ปีที่แล้ว +4

    Kubwa Sana hiiii Ikulu

  • @kajanjabrand3637
    @kajanjabrand3637 3 ปีที่แล้ว +6

    DAH NOMA HII IKULU

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba kwel umefanya kazi

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 3 ปีที่แล้ว +10

    Kajenga bwana lakini sasa ndio tulikua hatuoni sasa ivi ndio tunakubali sasa kuwa kazi alifanya

    • @fadhilalukindo1659
      @fadhilalukindo1659 3 ปีที่แล้ว +5

      Nikweli ni moja ya ikulu kubwa duniani,na inahadhi ya kuwa makaxi ya rais,Mungu ampe pumziko baba huyu kazi amefanya miaka mitano kama 20

  • @zurisana8068
    @zurisana8068 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani dereva hapajui khaaa..Rais wetu mbeba maono..Ulale salama Magufuli😢😢

  • @fetty1571
    @fetty1571 3 ปีที่แล้ว +4

    R.l.P Baba Magufuli

  • @mahijamasukuzi9246
    @mahijamasukuzi9246 3 ปีที่แล้ว +7

    Ikulu kubwa kuliko ya Dar

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว +2

      Inaweza kuwa ndio ikulu kubwa africa ni zaidi ya km 21

    • @Skomi-0nedayyes
      @Skomi-0nedayyes 3 ปีที่แล้ว +4

      Kuliko ikulu zote duniani sio ya dar tu

    • @seuryanael3518
      @seuryanael3518 3 ปีที่แล้ว +1

      Inaurefu wa km 60

  • @neemabakari7061
    @neemabakari7061 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah!!!nenda baba nenda umejua kutuumiza pumzika kwa amani

    • @boscokoteda6491
      @boscokoteda6491 3 ปีที่แล้ว

      Siku zote kizur hack dumu lala jembe lala ntinga tinga

  • @williamsjonh2463
    @williamsjonh2463 3 ปีที่แล้ว +4

    mwamba wa afric kwakweli umeumaliza mwendo

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 3 ปีที่แล้ว +4

    Kubwa mnoooo

  • @StanleyMnobwa-oz9nz
    @StanleyMnobwa-oz9nz ปีที่แล้ว

    Camon

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kama magufuli

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 3 ปีที่แล้ว +1

    💔💔💔

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 ปีที่แล้ว

    Why this😭😭😭😭😭

  • @hellenylife8043
    @hellenylife8043 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭 eee mungu baba ulisemakitenda yaliyome utaona ufalume wa mbinguni tuomba upokee raisi wetu

  • @amanistarz1234
    @amanistarz1234 3 ปีที่แล้ว

    R.i.p

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye maono yangu inamaana mbaya sana wanajeshi kufanya kazi usiku huku Wana msiba yani tz Sasa unatembea gizani

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว

    Daah😭😭😭😭😭

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭 sikuwa naamini naanza kuamini kidogo kidogo dah 💔💔💔💔💔💔🇨🇭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika tuamini tu ndo kulichobakia..

  • @richyoung29
    @richyoung29 3 ปีที่แล้ว +3

    🇹🇿🙏

  • @aishadjumaphones8877
    @aishadjumaphones8877 3 ปีที่แล้ว

    😭🙏🏼

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭💔💔

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 3 ปีที่แล้ว

    Chendem wamekuja disk

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว

    Kufa ni ibada

  • @mimidennice205
    @mimidennice205 3 ปีที่แล้ว

    Alafu eti hii nindogo kuliko hiyo inayo jengwa

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 ปีที่แล้ว +2

    mutu waMungu

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 3 ปีที่แล้ว

    Duu io ikulu dah