MAGUFULI - "JANUARY MAKAMBA ALINITUKANA, KANIOMBA MSAMAHA, NIMEMSAMEHE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • MAGUFULI - "JANUARY MAKAMBA ALINITUKANA, KANIOMBA MSAMAHA, NIMEMSAMEHE"
    Rais Dkt John Magufuli, leo Septemba 04, amehudhuria mkutano wa mashauriano wa mwaka wa AQRB, CRB, ERB na wadau wote wa sekta ya ujenzi nchini...
    Mkutano huo umeitishwa na Waziri mwenyeji wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Isack Kamwelwe, pamoja na viongozi wengine wa serikali.
    www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 78

  • @DrSanai
    @DrSanai 5 ปีที่แล้ว +8

    Rais wangu, ninavyokupenda......anajua Mungu.
    Uishi miaka mingi sana na akubariki sana sana

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 5 ปีที่แล้ว +4

    🙉 nikiangalia kiukweli uwezo unao na nguvu unayo na umeumia kwa kukutukana kwao lakini umewasamehe iyo ni ishara ya uchamungu,n'a Mungu muumba mbingu na Ardhi ndio mwenye malipo mazuri kwako Rais wangu , amesema tusamehe,tumshukuru,na tusimkufuru,Mungu akujaalie subira zaidi ya hiyo ulioionyesha Allahumma Amiin

  • @jaclecia3279
    @jaclecia3279 3 ปีที่แล้ว +7

    dah JPM wewe ni bora sana Mungu akupokee huko uliko ukawaongoze malaika wa mbinguni Tunakupenda sana JPM

  • @christophermulama2797
    @christophermulama2797 5 ปีที่แล้ว +7

    Kiongozi wa Viongozi. Anaitwa JPM. Mungu akulinde wewe na Wa Tz wote. Amina. Amina. Amina

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 3 ปีที่แล้ว

      Mwenyezimungu akuulaani kwa kuua makampuni na biashara pamoja na utaliii

  • @tilifozakikoti5046
    @tilifozakikoti5046 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sanaa kwa Rais wetu kwa moyo wa msamaha, ciku zote mti wenye matunda hupigwa mawe Mungu akuongoze kila hatua unayoiendea aweke ulinzi juu yako.

  • @imanuelmwaipopo9476
    @imanuelmwaipopo9476 5 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana mheshimiwa rais huo ndio moyo wa mungu, mungu akutunze

  • @allykhamese6512
    @allykhamese6512 3 ปีที่แล้ว +5

    Alimtukana raisi na leo hii mama amemchagua awe wazir wa nishat, so sad kwa kwel

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 3 ปีที่แล้ว +6

    Rip Magufuli😭🙏🙏🙏

  • @morefireministrychurch177
    @morefireministrychurch177 5 ปีที่แล้ว +5

    Aki ww Mungu akubariki

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Mh Rais kwa kuwa na Hofu ya Mungu

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 3 ปีที่แล้ว +4

    Uliwasamehe mashetani na majoka hukuwajua waliomba msamaha wa uongo wanafki sana

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole5535 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda mno Maguful

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 3 ปีที่แล้ว

      kalale nae CHATO tutajua kama kweli, mkale marungu ya moto pamoja

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe rais wangu usiposamehe umeweka ukuta kati yako na Mungu .asante sana Kwa kusamehe. Mlio omba msahaha hongera sana (obedience is a key ) Mungu amewasamehe pia Kwa hili .hats sisi watz tumesamehe na kusahau Amen Amen

  • @kaishazabengesi2971
    @kaishazabengesi2971 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakushukuru Raisi wangu kwa uamuzi huu wa utengamano katika Taifa. Tunapaswa kuponyesha si kutonesha. Hakika Vijana hawa ni " YOUNG LEADERSHIP MATERIAL", isingekuwa busara kuweka mbele visasi na hivyo kuzuia michango yao chanya kwa nchi yetu inayohitaji mbereko imara kutuingiza katika usasa. Vipaji hivi vitumike kikamilifu hata katika mazingira yakukubali kutokukubaliana. Mheshimiwa Raisi niseme nini basi isipokuwa neno la kimiujiza yaani ASANTE na Mungu akulinde kwa mabawa yake kimwili, kifikra na kiroho. Amina.

  • @kadashijunior2141
    @kadashijunior2141 3 ปีที่แล้ว +5

    Mhh,ww uliwasamehe Ila wao wametoa uhai wako

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP MH JPM MWENDO UMEUMALIZA IMANI UMEILINDA NAAMINI HUKO ULIKO UNAONA WANAFIKI WAKO LIVE

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani JPM duh upumzike kwa Amani Amna namna

  • @isibanianews1329
    @isibanianews1329 3 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee hii imenifanya tena machozi yanitoke.

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 5 ปีที่แล้ว +10

    Uongozi jalala, samehe 7x70 babaangu.

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 5 ปีที่แล้ว +2

    God bless you like it

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P MZEE WETU JPM

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli Jpm kilasiku r.i.p roho yako ikumbukwe Tz

  • @azizimangara9024
    @azizimangara9024 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuweke pema, panapo stahili, kiongozi wetu.

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 3 ปีที่แล้ว

      Allah? wewe mzima? tokea lini kafiri akaingizwa peponi? mwache ale moto kile upande wake

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mkuu unajua bado tuna wanasiasa ktk Ccm wanafiki sana, ila Mungu akubariki

  • @godwinmondpltnmrweyemamu560
    @godwinmondpltnmrweyemamu560 5 ปีที่แล้ว +1

    laisi Wang nakuk Bali sana kama ningekutan naww mungu akujalie laisi wangu kweli ww uliletw na mungu mengu akujalie Bab

  • @babyejames3398
    @babyejames3398 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu wa Mungu husamehe Naimani Mungu amekuweka mahali unapostahili

  • @augustinoshigela6329
    @augustinoshigela6329 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P mwamba JPM

  • @joakimamitai9722
    @joakimamitai9722 5 ปีที่แล้ว +6

    Well done JPM

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว

    Kisha wakazunguka na kukudhuru mzee ... Rest easy

  • @dinochamwene5332
    @dinochamwene5332 3 ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka hii voice,atari sn

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 หลายเดือนก่อน

    bado namuuliza MUNGU maswal yangu kwamba kwann umeruhusu hili kwa mtumishi wako John magufuli alale mapema..ila napata majibu ya kwamba MUNGU anakusud lake juu ya hilo japo imetuumiza wengi

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 2 หลายเดือนก่อน

    Ulitimiza wajobu WAKO MALIPO ANAYO MUNGU AONAYE SIRINI NA ANAYEYAJUA YOTE YA MBELE YETU

  • @abdallahmkomwa4091
    @abdallahmkomwa4091 5 ปีที่แล้ว +2

    Utakumbukwa zaidi ukifa ndo destuli yetu kumsifu marehem haswa wanaokupinga ila Mora akupe uhai mreeeeeeeeeeeeeeefu

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole mheshimiwa endelea kuwa mstahimilivu wasamehe wote mpaka ambao hawajaomba msamaha

  • @blessmerody7979
    @blessmerody7979 3 ปีที่แล้ว

    Hapo ndo ulipokosea baba hao ndo wamekufelisha kabisa uliwasamehe ila wao waliendelea na makosa hayo hayo

  • @masimayala7803
    @masimayala7803 3 ปีที่แล้ว

    Kama kweli mungu alikuita kwa mapenzi yake basi RIN JPM LAKIN KAMA SIVYO BASI KIVULI CHAKO KITEMBEE NA WATU WENGI

  • @joshuamniko6024
    @joshuamniko6024 5 ปีที่แล้ว +2

    Kusamehe ni dawa,hongera mh

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 3 ปีที่แล้ว +1

    uliwindwa bila kujua baba!!

  • @godfreymalema6434
    @godfreymalema6434 3 ปีที่แล้ว +2

    Leo hii kapewa wizara ya nishart

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

    Mh ulipo wasamee ndio wakawa wachungu kabisaa kwako kuna watu hawakuubwa kusamehewa ni kama ibilisi alipofukuzwa edeni baba tujajuta ulivyo wasamee IN SHALAH MUNGU AJILIPE KWA WALIYO MUUA JPM IN SHALA TUNAUMIA KUKUPOTEZA BABA

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja na kuwa samehe lakini😭😭😭😭

  • @mossesexavery9683
    @mossesexavery9683 3 ปีที่แล้ว

    Ongera magufuli

  • @jumakapesa726
    @jumakapesa726 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ndipo nakukubali zaidi

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 5 ปีที่แล้ว +1

    Wouldn't unleash the evil.... very nice...
    Wangebeba janga la ukoo....
    Well done Mr. President!
    Viva!

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 5 ปีที่แล้ว +1

    Raisi unakifua sana, tenda wema Mungu atakulipa na Atakulinda na maadui zako wote! Ameni!

    • @ashamsuya516
      @ashamsuya516 5 ปีที่แล้ว +1

      JPM tunakupenda walishazoea kuchota umewazuia wanakutukana tupo pamoja na ww

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu mkali,kuchukuwa katikati ya kukupenda kaacha madonda makubwa hayaponi haraka,buriyani Rafiki yàngu,Nakukumbuka Sana,nakuombea Mno hakuna siku imepita bila kukutaja,

    • @jafaryally2037
      @jafaryally2037 2 ปีที่แล้ว

      Zetu dua ,wanyama na ndege wote tunalia kwa kukuombea dua maanaJPM alikuwa walii aliyetumwa na mungu atuonyeshe haki na usawa wa kuishi .Ewe mwenyezimungu pokea dua zetu .amin

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo hii amepewa uwaziri at kweli?

  • @gidionkadaraja1403
    @gidionkadaraja1403 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP JPM

  • @musadosa4115
    @musadosa4115 5 ปีที่แล้ว +1

    sasa nape vpi ww umezamilia kumtukana na kinana wako mungu anawaona kumtukana rais

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +1

    ULIWASAMEHE BABA LAKINI WAO NDO NYOKA VICHWA 7 ,JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA JPM

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว

    aisee RAISI WETU ANA MOYO WA AJABU KWELI, NI MUNGU BABA NDANI YAKE SIO KITU RAHISI, MUNGU AKUONGOZE NA KUKUPA MAISHA HAYA, NAKUPENDA BABA MAGUFULI

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 5 ปีที่แล้ว +1

    Ninakupenda Rais wangu MUNGU akulinde

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 3 ปีที่แล้ว

    Rip

  • @davidmrema3179
    @davidmrema3179 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila kama waliomba msamaha bila microphone na wakasamehewa bila microphone pia leo kwa mtazamo wang haikuhitaji microphone na ndio tabia ya msamaha mm nnavyojua

    • @emmanueljengo8103
      @emmanueljengo8103 3 ปีที่แล้ว

      Ila rais hajawataja majina yao huo ni umbea wa mwandixhi wa hbr

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 ปีที่แล้ว +2

    January makamba walimtukana Rais lkn magufuli alimsamehe baada ya kuwasamehe wakamuua mtu aliyewasamehe walipomaliza kumuua wakafanya part

    • @kajembekajembe4393
      @kajembekajembe4393 3 ปีที่แล้ว

      Aziza Kila Nafsi ltaonja mauti.tunaogopa kutangulia. Hata wao lko cku watakufa

    • @azizaaziza9113
      @azizaaziza9113 3 ปีที่แล้ว

      @@kajembekajembe4393 hilo nalo neno

  • @charlesmeshack9023
    @charlesmeshack9023 3 ปีที่แล้ว

    Bado nayaishi maneno yako kiongozi

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Magufuli alikuwa dikteta. Alistahili alichokipata. Kilichomtuma kudokoa maongezi ya watu ni nini. Mwana kulitafuta mwana kulipata

  • @allykhamese6512
    @allykhamese6512 3 ปีที่แล้ว

    Mtu anafikia kutukana matusi rais halaaf unamchagua awe wazir kwel???

  • @gracechristopher237
    @gracechristopher237 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais kitu ninachokuomba ni kuhusu suala la mafao kwa wale ambao tulikuwa tunafanya kazi za mikataba, pengine mtu kaacha kulingana na masilai kuwa madogo
    na kuamua kuchukua mafao yake kwa ajili ya kujiajiri mwenyewe,PSSSF wanasema kulingana na sheria iliopitishwa mpaka miaka 55,Baba hio ela itakuja kuwa na thamani gani
    na wanaposema mpaka miaka 55 wao ndio Mungu,Mungu ndie ajuaye salio letu hapa duniani na si mwanadamu,tusaidie kwa hili watengue hio sheria kandamizi inatuumiza tena
    sana.

  • @emmysam1510
    @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว

    Walikuomba msamaha wa uwongo

  • @peteralfonce5848
    @peteralfonce5848 5 ปีที่แล้ว

    Umewasameha lakini hutowasahau

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa ulikosea sana wema umekuponza ungetumia vyombovyako kuwamaliza kabla hawajakumaliza wewe cndoulikuwa raisi?sasa umetuachiliza ukiwa wtz wote

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe wakweli magu wewe ni shupavu ulikuwa jembe

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 ปีที่แล้ว

    Hivi idd amini alikuwa anisamehe, Hebu weken vitabu vya kumbukumbu

  • @mossesexavery9683
    @mossesexavery9683 3 ปีที่แล้ว

    Hu9oo