January Makamba: Namkumbuka Jakaya Kikwete Sana, Mange Kimambi atakuwa na Majibu Sahihi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @jahshijaafari150
    @jahshijaafari150 5 ปีที่แล้ว

    Yes January I think you will be the best leader of our country usikate tamaa unaposhambuliwa na mahasimu wako

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 7 ปีที่แล้ว

    Heshima yako Muheshimiwa Jan.upo vizuri nimeipenda hekima yako kisiasa.Mungu akuzidishe.

  • @magallahramadhani7879
    @magallahramadhani7879 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni bonge la kiongozi tatizo alikutana na watangazaji vilaza sana

  • @eng.thomasbobo6674
    @eng.thomasbobo6674 6 ปีที่แล้ว

    Thank you Temidayo for a good question

  • @alexwallace7151
    @alexwallace7151 7 ปีที่แล้ว

    mheshimiwa January nimekuelewa sn aisee

  • @awadhikanyawana4808
    @awadhikanyawana4808 5 ปีที่แล้ว

    Bro una utulivu wa hali ya juu sana unastahili kuwa kiongozi

  • @zahararajaburajabu2763
    @zahararajaburajabu2763 6 ปีที่แล้ว

    Baba makamba nakuona umbuje

  • @hunterrashid5251
    @hunterrashid5251 5 ปีที่แล้ว

    Baada ya kuuliza ni kwanini tukitoa vitu zanzibar kuleta bara tunavilipia kodi anauliza mambo ya mavazi angeruhusu text au sim wasikilizaji waulize maswali

  • @benedictkiteji5089
    @benedictkiteji5089 5 ปีที่แล้ว

    Kiongoziborasana ww makamba

  • @fadhiliramadhani434
    @fadhiliramadhani434 5 ปีที่แล้ว

    Watangazaji Hamna swaga kabisa ulizeni maswali yamsingi bac

  • @muhibuissa1163
    @muhibuissa1163 7 ปีที่แล้ว +2

    Kweli uyu mtangazaji amechemsha sana mana maswali anayo muuliza mhe ayasisimui na hayaeleweki nafikili hajajipanga

    • @maomkuhuranye470
      @maomkuhuranye470 7 ปีที่แล้ว

      Ndo utaratibu wao bana msiwe mnapenda kuuliza maswali yasiyo na misingi

  • @willymbwambo3478
    @willymbwambo3478 6 ปีที่แล้ว

    Kila jambo halikosi kelele liwe baya au zuri

  • @benny4345
    @benny4345 7 ปีที่แล้ว

    Dah huyu mtangazaji sasa, mbona anachanganya madesa! Mara mazingira, mara mavazi, mara chakula! Taabu kweli kweli!

  • @emmanuelmacha1222
    @emmanuelmacha1222 7 ปีที่แล้ว

    Barua ya sheha huwa inahitajika kama mtu anayesafiri kutoka Zanzibar kuja bara anasafirisha vitu na anasema sio kwaajili ya biashara bali ni vitu alivyokuwa akitumia kule anarejesha bara. Barua hiyo ya kutoka kwa sheha ni kwaajili ya kuthibitisha kwamba anamfahamu mkazi huyo na pia kuthibitisha kwamba vile vitu vilikuwa ni vya matumizi ya nyumbani na si kwaajili ya biashara.

  • @vallencmtui7606
    @vallencmtui7606 7 ปีที่แล้ว

    Ukishindwa kumuuliza mtu maswali ya msingi kutokana na nafasi ya mtu alonayo unakuwa umewakosesha watu haki yao yakujua.Mtangazaji hukujipanga vzr na ulikuwa unazungumza sentensi ndefu inayopoteza mwelekeo wa swali.

  • @fettylisheshassan1390
    @fettylisheshassan1390 7 ปีที่แล้ว

    dah mtangazaji zero Ana uliza maswali bila kiji jibu kichwani

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 7 ปีที่แล้ว

    Unajielewa makamba. Continue maintaining low profile brother.

  • @hajisasha850
    @hajisasha850 6 ปีที่แล้ว

    uwezo wake na wizara aliyopewa zamana kuhisimamia ni ndogo cn alistahili apewe wizara amabyo ni kubwa au inayotazamwa zaid yuko vizur katik kutumia Elimu aliyonayo

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว +1

    Watu walikuwa Miungu watu miaka ile.Wanaingiza magari ovyo ovyo na kuhonga wanawake na kuyaendesha hata miaka bila hata kuweka plate tag.

  • @makongorojulius4965
    @makongorojulius4965 5 ปีที่แล้ว

    Jilinde na ujitunze kwa neema za ALLAH 2025 ni wewe tu hamna namna

  • @ommarymzee1161
    @ommarymzee1161 7 ปีที่แล้ว

    mwaka 2025 my president

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว

    huyu babu sijawahi kumuona nywele

  • @mohammedmaalim6454
    @mohammedmaalim6454 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji ametumwa nini aache ujinga basi

  • @fettylisheshassan1390
    @fettylisheshassan1390 7 ปีที่แล้ว

    mtangazaji kafeli hata nenda kijijini utaona kuhusu mavazi, muheshimu kakujibu hata ajatumia akili nyingi, shem of mtangazaji

  • @fadhiliramadhani434
    @fadhiliramadhani434 5 ปีที่แล้ว

    Watangazaji Hamna swaga kabisa ulizeni maswali yamsingi bac