Kiredio Wanaume wa saivi siyo wanaume kabsa mnalumbana mda mrefu hivo kwa sababu ya mwanamke anakazana kuuliza nani huyo mi ningeshakata simu mda sana😅😅😅😅
Challenge hii mwanamke wangu ukinifanyia jua ndio bye bye saabu sito amini Kuna wengine wanawea kukufanyia hivyo akakwambia Challenge kumbe kweli yani hapo ukija no msamaha ya bye bye 😂kila mtu atakua single
Hahaaaa dada kanipa raha jmn akiniacha❤❤❤
😂😂😂 dada mpaka kaogopa ..akiniacha je 😂😂
Mademu sasa iyo mtaitumia kama chance mkifumaniwa mnaanza mara chalenge 😂😂
jamn challeng zako zinanifanyaaa nivunjike mbavu zanguuu
Mpenzi wangu popote ulipo ukikutana na kiredio challenge hii kataa natafuta sababu ya kukuacha ivo usijichanganye sitaeelewa kama ni challenge 🙌🙌🙌
😂😂😂Saw nimekuelewa
@@stayupethan6216 🤣🤣🤣 ukae kwa kutulia sawa baby
@@allymachejo2996 saw my nimekuelewa Me nakuskiliza wew tuu😌🤣🚶♀️
😀 😀 😀 😀 😀 😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiredio Wanaume wa saivi siyo wanaume kabsa mnalumbana mda mrefu hivo kwa sababu ya mwanamke anakazana kuuliza nani huyo mi ningeshakata simu mda sana😅😅😅😅
one day utakuja kuvunja ndoa za watu🤣🤣🤣
Mara ngap?
kiredio ungemwambia subiri kwanza yuko chooni anaoga 😆😆😆😆
Mpe simu🙄
Fresh san
Baba Roby akiiona hii mdogo wangu 😂 umeisha
Yaan siku nikimuona unyayo nisamehe nitakanyaga mpaka chupa heri maumivu yakukatwa sio kiredio😅😅😅
Dadek unaweza achwa ety kis hii challenge
😂😂😂😂we hii challenge inabidi umlipe m2 uwi
maskin kanaogopa kuachwaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afu uyu demu wangu wa sekondari naona kapendeza sana
Na wewe tena unachoma sasa kama kiredio😂😂😂😂😂😂
@@verobecamfipa8655 mimi ilikuwa kitambooo sana
Hapo hamna kitu mwanamke kajichora kila mahali
😂😂😂😂 kiredio ningekua tz ningekusaka aisee naenjoy sanaa ❤❤
Kiredio ukomagiii😂😂😂😂😂 wew
Ila huyu beans ake Ni mstaarabu sana
Challenge kwa mnyantuzu unaachwa asubuh kweupeeee😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂kieedio ujye n ucku huu
Siwez kumrusha roho mwanaume wangu never 😢😢😢
Wawooh hongera mwaya kwa kulitambua ilo
Naipenda sana ila duuh
🎉🎉🎉🎉
Napenda mno hizi challenge 😊
Usiombe yakukute😂
Sebureni ni sehemu ya kupikaa 😂😂😂 sawa bwanaa 😂😂
Chumba na Seble
🤣🤣🤣🤣 yan ukimpigia huy wang hat elew ni challenge ataongea yoteee
Kiredio akili huna hata kidogo😂😂😂😂😂
Brother iyo ilinikuta kabisa hiyoo daah ilikuwa siku mbaya sana
Poleeee
Kiredio knatengeneza fweza alafu unavuruga Wenzeo😢😂😂😂😂
😅😅Kiredio umebakiza kupigwa😂😂😂
Eti akiniacha 😂😂😂😂
napenda san challenge zako
❤
Huu mchezo sio mzuri.
Hiii tabia so poa mjue mtakuja kualibu ndoa za watu kwa ujinga wenu wa challenge😂
😂😂😂😂 yalaaaa
❤❤❤❤❤
Challenge zako nazipenda xna kinyam
Challenge hii mwanamke wangu ukinifanyia jua ndio bye bye saabu sito amini Kuna wengine wanawea kukufanyia hivyo akakwambia Challenge kumbe kweli yani hapo ukija no msamaha ya bye bye 😂kila mtu atakua single
Unyama sana kaka
Dadequuuu 🤣🤣🤣
Hapana kiredio kaa mbali na Mimi 😢
Mm nataka namba yak huyo Kaka
Ila uyu kiredio njoo moshi basiiii
Ety mwanajeshi🤣🤣🤣🤣🤣
Kiredio jau wewe 😂😂
kuna watu wataogopa kwenda mlimani citu
Kiredio kwa staili hii utaachanisha ndoa na chumba za watu wengi sana
Uyo manzi ni pc kali
🤣🤣🤣😂ww utafanya watu wachane
Mh msifanye hivyo
Huu usengeee staki mm
Dogo kiredio
Hunasumbuwa sn hujuweeh
Daah
Ww 🫡🫡🫡
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
wengne ikitokea hyo tutafurah maana tunataguta xababu ili tuwaache
Mapenzi
😂😂😂😂
Wanawake chukuliajwe
Utakuja kuuwa watu ww 😂😂
Huyu jamaa Hana wivu
Daah
Demu kasema eti akiniachaa
Et akinicha wee subir uachike mapenzi ya Sasa tunatafutiana sababu
Hahahahahaha
Duuh
Huyu kiredio huyu hii sio kenya waiiiiiiiii mtakuja achika
Yani ww kiredio ww kenge kweli 😂😂😂😂😅
😂😂😂we kiredio utatuharibia ndoa madako yako.
Huu ufala mzee
😂😂😂😂😂 kiredio ndowa zawat hazikai kisa yeye
✌️✌️
Wewe utavunja ndoo za watu
Demu kachola tatu ya msalaba manake alixhafaliki😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅khaaaa jamn nimecheka huwiii
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂
Ety nakufuta sebuleni
Sms kubwa sana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
🤣🤣
Unyama mwing👎👎👎👎
Demu yuko sebureni anapika
Natamani sana siku kiredio ukamatike na chalenge jinsi unavowakamata watu aseee😂😂😂
Afu wewe kiredio ipo siku utapigwa na huo msweta wako hutaamin
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂