AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 459

  • @amosmahwago6496
    @amosmahwago6496 11 หลายเดือนก่อน +159

    Ukisikia fungu la kukosa ndio hilo, hakuna kinacho sumbua hapo ni tamaa iliyopo ndani ya wadada wa siku hiz, uaminifu hakuna ukute mshikaji alijiweka hali ngumu ili aangalie upendo wa kweli upo wapi, ni bora ametumia njia hiyo japo inauma kwa Mwanamke ambaye ulikuwa unamuwazia kwenye future yako, lakini ni bora kujua uchafu wake mapema kulikoni maumivu ukiwa kwenye ndoa, Big up sana @kiredio kwa kufanya kazi kwa uaminifu,

    • @davicekombe4932
      @davicekombe4932 11 หลายเดือนก่อน +8

      Uko Sahihi kabisa kaka yani siku izi hakuna mapenzi ya kweli tena kama unavyosema jamaa kajimake kwa muda ili amnunulie demu wake gari lakin the end of the time mtu unategemea utatajwa kumbe dem anakuja mtaja mtu mwingine je kama angekurupuka na kumpa gari si ingekua ni pressure kila siku na ugomvi usioisha ndani ya nyumbaa dah ladies punguzeni tamaa jamani

    • @gedrickgerazi210
      @gedrickgerazi210 11 หลายเดือนก่อน +8

      Dah kweli Nimecheka sana yaani dem unashindwa kumjua boi wako mwenye hela

    • @dreamer123.
      @dreamer123. 11 หลายเดือนก่อน +8

      Hahaha huyo atakuwa nao wenye hela kibao....😅

    • @gedrickgerazi210
      @gedrickgerazi210 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika ila Si wakumpa gari ila udsm 🙌🙌😂

    • @immanueljoseph7190
      @immanueljoseph7190 11 หลายเดือนก่อน +2

      Dah imekatika kama umeme!!??

  • @nadomkalikwanza5550
    @nadomkalikwanza5550 11 หลายเดือนก่อน +33

    daah huyo manzi anaweza kwenda kujinyonga ebu mfuatilieni 😂😂😂

    • @NicemonFrancis
      @NicemonFrancis 11 หลายเดือนก่อน

      Hahahahah

    • @juliethmoshi2923
      @juliethmoshi2923 11 หลายเดือนก่อน

      Afe kabisa

    • @rehemasamwel7785
      @rehemasamwel7785 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kwakwel apewe ulinzi

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 11 หลายเดือนก่อน +1

      Malaya ajinyongi bado kuna sponsor mzee apo😂😂

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 11 หลายเดือนก่อน

      Bora age mapema ili asituachie mbegu mbaya ya unafki wake,,

  • @wilonderby
    @wilonderby 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dah na unakuta mwana alikua yeye ndo boom mpaka anamaliza Chuo aise nimesikitika kama kiredio aisee 😔 kiredio kabaki kujilaumu Tu maskini dah.

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 11 หลายเดือนก่อน +13

    sasa kama umlfanya nae challenge nashindwaje kumjua nyie msitifamye watoto sisi mmeskia..japo mm ndo ningekua mzazi wa huyo binti kaul ingekua n bora ache vyet uko lkn bira gar asirudi nyumban 😂😊😂😊😂

    • @teddyemmanuelyemailteddyemmanu
      @teddyemmanuelyemailteddyemmanu 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Officalnaph
      @Officalnaph 11 หลายเดือนก่อน

      Ni uongo ni usanii

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yan hata mm nilijua naweza sn ivo ikiwa wanaume wameshamtumia sn alafu ameishiwa t kupata hela ya Chipsi leo kashaoata gari mtego umemnasa mame inakwambia asa ukija huku uje na gari laaa sivyo huku ucje umbwa ww😂

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 11 หลายเดือนก่อน +1

    Haka kamalaya kanaongea... Aibu naona Mimi mamake 😂😂

  • @chrisstemba
    @chrisstemba 11 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah kumamakee msenge huyo ukute uyo beny ni mpiga tofali anaacha ndinga

  • @medyelira
    @medyelira 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ukute bro alkuwaga hajionyeshi anapesa mbele ya dem🤣🤣🤣kamtaja sponsor BEN ye hana huo mdaaa. Ndo ujifunze🙄

  • @JohnShelukindo
    @JohnShelukindo 11 หลายเดือนก่อน +4

    Good job kiredio 😂

  • @southernkid6932
    @southernkid6932 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi tokea jana nilijua tu lazima atakosa tu ikifikia time unaona kabisa mpaka mwanaume anajitoa ivoo anajua kabisa kitacho tokea

  • @jabirkhamis5301
    @jabirkhamis5301 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nimecheka ki KU###### "ETI KWENYE MA BOYFRIENDS ZAKO UNASHINDWA KUMJUA MTU MWENYE HELA MWANANGU"😂😂😂😂😂😂😂

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 11 หลายเดือนก่อน

      Hiki kisa kifatilie vizuri unaambiwa huyo jamaa mwenyewe anaishi life la kawaida sana tu kama bwege halafu sio kwamba anamkwanjaa saaana

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 11 หลายเดือนก่อน +2

    uhun mbay😂😂😂😂 kakos tako la nyani 😂

  • @yusuphchiputa4809
    @yusuphchiputa4809 11 หลายเดือนก่อน +1

    Au alikua na mabahasha wenye Hela wengi daah..😂

  • @fredricksabick-hi1fl
    @fredricksabick-hi1fl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Usha haribu graduation ya mtu hapo😅

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 10 หลายเดือนก่อน

    Uaminifu kitu cha msingi sna😂😂😂😂

  • @thomasisombe3243
    @thomasisombe3243 11 หลายเดือนก่อน +1

    Du! Hatari hapa uhakika wa wachumba umepatiwa dawa yake kiredio

  • @faridakhalifa5231
    @faridakhalifa5231 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan mungu anipe mwanaume kama huyo ningemuheshimu San jmn

  • @ibrahimumbedulwa130
    @ibrahimumbedulwa130 7 หลายเดือนก่อน

    Basi anamabwana wenye hela wengi mpka hajui amtaje nani kakosa gari

  • @kelvinDeclanTiba
    @kelvinDeclanTiba 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kmmae dah aisee awa raia awa mwanangu Mungu aliiona akasema tuishi nao kwa akili, Mtu tunastruggle ili tuwe na pesa tupate kuwatunza lkn bado hawajui wanachokitaka, haloooo😢😢😢😢😂

    • @DavidMido
      @DavidMido 11 หลายเดือนก่อน

      Akili yenyewe ndo hyo ss

  • @emanuelmaeda7809
    @emanuelmaeda7809 11 หลายเดือนก่อน +3

    Reality at it peak

  • @ConsolataJohn-u1k
    @ConsolataJohn-u1k 11 หลายเดือนก่อน

    Ben popote ulipo kumbe wew ndo unapendwa ungepeleka gar wajamen mdada ametoka amelooooowaaaa

  • @zamzammohd00
    @zamzammohd00 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba na huku znz afike tu kwakweli

  • @Jonah_lee.
    @Jonah_lee. 11 หลายเดือนก่อน

    Eti kirediooo 😂😂😂😂 tamaaa mbaya sana

  • @witnessinary7807
    @witnessinary7807 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wadada wa chuo😃😃😃😃

  • @ramatzrama5714
    @ramatzrama5714 11 หลายเดือนก่อน

    😀😀😀😀dah hii imeenda

  • @kitapondatv8709
    @kitapondatv8709 11 หลายเดือนก่อน

    Kabisa uwe na mpenz anasoma chuo ujue umekwisha

  • @Future335
    @Future335 11 หลายเดือนก่อน

    Hizo k tumeziskia😂😂

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni Malaya atataja mchimba chumvi anao wengi

  • @devothaalfredy3803
    @devothaalfredy3803 11 หลายเดือนก่อน

    He jaman umalaya huu kah ebu nipeni hilo gari jaman mnarudishaje kwamfano

  • @hassanjecha5069
    @hassanjecha5069 11 หลายเดือนก่อน

    yaan mnasema lazima muwe 2

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo aliyempa anajua kama sio kweli ndo maana akamjaribu kwa Gari tu ila huyo Hana uwezo wa gari

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 11 หลายเดือนก่อน +2

    kwel au igizo

    • @ernestsebai737
      @ernestsebai737 11 หลายเดือนก่อน

      Hiyo kweli kaka

  • @Adye255
    @Adye255 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ng'ombe wa masiki hazai huyo dada ateseka yake yote

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 11 หลายเดือนก่อน

    Umalaya sio kitu kizuri kweli

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 2 หลายเดือนก่อน

    AWEZA KUFANYA MKUBWA MTU USIE MDHANIA HAPO NDO UNAPO AIBIKA

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaaaaah wanawake jmn

  • @kingthedon508
    @kingthedon508 11 หลายเดือนก่อน

    Hy dada malaya afu ubongo wake unavuja

  • @philemonlasway2721
    @philemonlasway2721 11 หลายเดือนก่อน

    Dah sijui tutaoa wakina nani kwa hali hii

  • @hatcrow309
    @hatcrow309 11 หลายเดือนก่อน

    Inaonekana dem alikua anatumiwa sana na mshikaji mpaka mhuni kmnunulia gari basi alikua anampenda sema tu dem alikua danga sanaaa

  • @abdiasmanzekele7770
    @abdiasmanzekele7770 11 หลายเดือนก่อน

    I love this game😂 e😂😂

  • @asiaathuman8737
    @asiaathuman8737 11 หลายเดือนก่อน

    Yan wanangu kinachotakiwa sasa hv kuwa na mboo Nene kulanina, Ili wawe na mashimo 😬

  • @FarhaMud-cp3ng
    @FarhaMud-cp3ng 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaume tujifunzekituapa

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 11 หลายเดือนก่อน

    Ndo waachage umalaya

  • @Teeh-vi1zw
    @Teeh-vi1zw 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah cku ake iliisha vibaya 🚶🚶🚶 kwa msoto wa UDSM af akoxe 🌝

  • @pau_listo
    @pau_listo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kiredio mm ni fun wako since hii clip

  • @cassabinojuniortz
    @cassabinojuniortz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kila mtu sku hzii ana cheat bhna😂, ila kuna grade kulaninaa 😂

    • @edmundmzungu1182
      @edmundmzungu1182 11 หลายเดือนก่อน

      Xema unachit wewe xio wote

  • @lovebondtarimo2942
    @lovebondtarimo2942 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 ben 😅😅😅

  • @clarangowi4402
    @clarangowi4402 11 หลายเดือนก่อน

    Yeeethuuuuuu,

  • @KimbinyikoLimited
    @KimbinyikoLimited 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni Malaya mm ndyo maana wanawake weupe siwapendi coz wengi wao ni malaya siyo waaminifu rangi yao inawadanganya kwamba wao ni wazuri na hawanaga mtu mmoja yani ni malaya.

  • @qinakimaka5308
    @qinakimaka5308 11 หลายเดือนก่อน +44

    Daaaaah nimeumia sana kama mimi ndio nimekosa hiyo gari, unaweza ukafa wallah. Daaah wanawake tujifunze kutulia hujui nani atakuja kukutoa kimaso maso. Uksikia fungu lakukosa ndio hii jaman.

    • @edgarndoleki8827
      @edgarndoleki8827 11 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kama ni wew kwer

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 11 หลายเดือนก่อน

      Na hakuna atakae kuja kukununulia gari aiseee,

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂uyu mtangazaji eti kumamake daaaaa amejisahahu kama Kuna camera

  • @KingoBoniface
    @KingoBoniface 11 หลายเดือนก่อน +12

    Daaaaaaaah uyo mwanake hatari malaya uyo hafai kbs 😂😂😂😂😂😂😂😂😂, kiredio hongera sana unafanya kazi vzr sana

  • @murielchikoko1165
    @murielchikoko1165 11 หลายเดือนก่อน +8

    Umalaya umezidi kashajiona mzuri kila bwana wake akome😂😂😂😂😂

  • @Moses.Waszczykowski
    @Moses.Waszczykowski 11 หลายเดือนก่อน +40

    USIKUTE BENN NDO ANAMLETEAGA SANA AHADI ZA UWONGO ZA KUMNUNULIA GARI ILA HUYU DADA USHUHUDA HUU HADI KWA WAJUKUU😂😂😂

    • @nazarenamode8584
      @nazarenamode8584 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @SuzyDanieli
      @SuzyDanieli 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅

    • @jacquelinemichael3928
      @jacquelinemichael3928 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣 kwanza siku yake imeshaharibika dadeq zake

    • @elyg8550
      @elyg8550 11 หลายเดือนก่อน

      Fact.

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 11 หลายเดือนก่อน

      Ben ni tapel maskini kamuaminisha dada wa watu😂

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 11 หลายเดือนก่อน +14

    Nimehisi mm roho imeniuma😢😢😢😢😢😢 ndio maana mm nakuaga na wanaume mmoja Tu hata usingizini ukiniamsha namtaja 😢😢😢😢kakosa ndinga naumia mm😂😂😂😂😂

    • @abuumayunga3349
      @abuumayunga3349 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 Unakuaga na WANAUME MMOJA?.. NDIO NYINYI NYOTE

    • @GsmtzUnlock
      @GsmtzUnlock 11 หลายเดือนก่อน

      Elewa neno wanaume 😂😂😂😂

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 11 หลายเดือนก่อน

      Hahahah mbona kama keyboard imekusaliti vile "wanaume mmoja" au sio😂

    • @ibn__ibn
      @ibn__ibn 11 หลายเดือนก่อน

      WANAUME MMOJA ..it's plural 😂😂
      We ni walewale wakina ..irine magari😂

  • @ShijaBugumba
    @ShijaBugumba 11 หลายเดือนก่อน +9

    Yote Tisa inshallah kumi mapenzi shikamoooo

  • @7Ammy69
    @7Ammy69 11 หลายเดือนก่อน +12

    Katika kazi zako hiiii ndio nimeikubal sana 🎉

  • @aliaboud9202
    @aliaboud9202 11 หลายเดือนก่อน +6

    Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni jamaniiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu demu anaachwa na wote

  • @KidawaSilayo
    @KidawaSilayo 11 หลายเดือนก่อน +13

    Kuna la kujifunza kwa wanawake wasiotaka kutulia na mwanaume mmojaa😢❤

  • @sein.208
    @sein.208 11 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani ndiyo kamaliza chuo alafu akili ziro hatari

  • @clarangowi4402
    @clarangowi4402 11 หลายเดือนก่อน +8

    Hii imeenda, msisahau ku like tafadhali??

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 11 หลายเดือนก่อน +82

    Udism malaya wakutosha sana,Hongera kiredio rudisha gari langu yard kaka! Vijana tunajitolea sana kisa hizi nguruwe lkn hawanaga akili kabisa

    • @KHABISIBRAH
      @KHABISIBRAH 11 หลายเดือนก่อน +4

      Mbona usinipe mm nifate tu iringa

    • @najimafaustine1881
      @najimafaustine1881 11 หลายเดือนก่อน +4

      Pole sana

    • @Linner-f7s
      @Linner-f7s 11 หลายเดือนก่อน +4

      Nipende mm kaka😂😂😂😂

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 11 หลายเดือนก่อน +3

      Si ujege huku baba

    • @nnieraudhwa8611
      @nnieraudhwa8611 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ni wewe seriously polee sanaa kaka but Kila kitu huwa ni mipango ya Mungu amini katika yeye na atakupa mwanamke anae kustahili🙏🙏

  • @yahayamjenga1996
    @yahayamjenga1996 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka achana na content zako zote, shikilia hapa hapa unafanya kazi ya kijamii 😂

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 11 หลายเดือนก่อน +7

    Ningekua mim najijua nnamabwana wengi ningeondoka ata singeotea

  • @johnmdee7963
    @johnmdee7963 11 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂 nmeipenda hiyo kwanza mapenzi shikamoo

  • @SalmamathiasatanasSalmamathias
    @SalmamathiasatanasSalmamathias 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaume na wanawake wote malaya tuu sikuizi, ubahatishe saana kupata mwenzi atakaetulia kwenye mahusiano

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 11 หลายเดือนก่อน +5

    maigizo yako mazuri kijana hongera unajua kuzipanga

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ishu sio kiki huu ni uhalisia kabisa coz reaction za hawa watangazaji baada demu kuondoka is genuine, kwakweli hii mbini nimeipenda san ni rahisi kumjua gal anaekuchiti na asokua na mapenz kwako

  • @deomaster77
    @deomaster77 11 หลายเดือนก่อน +16

    Yani kiredio kaumia utadhani yeye ndy alikuwa anapewa hilo gari😂😂😂

    • @issaadinaniissa6487
      @issaadinaniissa6487 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana we kama mwanaume utahisi anachohisi mshua huko home au kazini anapambana kwa ajili ya huyo mwisho anadhihirsha alivhokua anamficha cku zote

    • @restjaca82
      @restjaca82 11 หลายเดือนก่อน

      Itakuwa mume wa mtu alafu awajazoeana we angemzoea asingebabaika

  • @Jovina-x6s
    @Jovina-x6s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma Sana..lakn kapata funzo lake,,tulia na mpnz 1tu hayo mambo ya kuruka ruka tuwaachie wasio na malengo ya kuwa future wife💞,,jamen tuacheni ss wadada wa udsm sio sote vicheche jamen malaya wapo kila sehem huyo asituchafulie wengine kila mtu na tabia yake.......Ila dah! Kakosa gar😂 +💔

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo msichana hamtaki huyo jamaa ndo maana kaacha kila kitu na yeye anampenda ben😂

    • @MASAWE302
      @MASAWE302 11 หลายเดือนก่อน

      Ben mwenyewe ametajwa kashaka na yeye yupo Rehan

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 11 หลายเดือนก่อน

      Ben mwenyewe utakuta muuni zaid yake😂

  • @oshenifrank614
    @oshenifrank614 11 หลายเดือนก่อน +16

    #kiredio hii kityu sijawahi ona Kwene channel yoyote Toka niache kumiliki smart Leo ndo Kwa mara ya kwanza naona kwako big up broo

    • @Keyjop
      @Keyjop 11 หลายเดือนก่อน

      Ooh! Wana Fanya saana wa Nigeria mpendwa 😂😂😂

    • @SarahChambo-p9e
      @SarahChambo-p9e 11 หลายเดือนก่อน

      Kenya wamejaa kibao wakina kiredio wanavunja hadi ndoa za watu kiredio ameiga tu

  • @NichorausRichard
    @NichorausRichard 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 kiredioo wewee n fundiiii, umeshajua mnashare na Benny tiyar huenda yupo na mwingine maana mdada mdada wa watu kajikanyaga kanyaga mnoo duuuuh aloooh hii dunia buanaa?!!

  • @MaryBeauty-ck8ne
    @MaryBeauty-ck8ne 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani Kuna watu Wana bahati iv mm nipate mtu wa kunipa gali bdo nachet kama ameweza kununua gali ni bingo anampa ila Wanawake muwe na uruma na wanaume jaman

  • @philipocharles8507
    @philipocharles8507 11 หลายเดือนก่อน +4

    Uskute ben ni mme wa mtu😅

  • @Nyamko-christmas
    @Nyamko-christmas 11 หลายเดือนก่อน

    Hii video ni imepangwa ni fake huyo mdada anvyo kuita kiredio sio kama mtu asiye mfahamu ila ni good stunt video imeenda ila hakuna uharisia ni stage kila kitu

  • @boythenuru4125
    @boythenuru4125 11 หลายเดือนก่อน

    Hivo videmu vya chuo vinazingua saana alafu vimalaya kishenzi kwanza videmu vyote vya mjini ndo maana haviolewagi sababu ya tamaa zao

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo dada alikuwa ataki iyo zawadi kutoka ka uyo mtu tyu ndo maana ajataka maelekezo mengi

    • @yustodavis1653
      @yustodavis1653 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ndo ahenyeke vile. Aibu ndo imemfanya aondoke

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa mabinti wa University wanakuwaga hivyo yani mahusiano kwao ni kama thamthilia anakuwaga na msururu wa wanaumwe lukuki kwa hiyo hakuna la ajabu hapo 😂😅

  • @fridakimwanya1158
    @fridakimwanya1158 11 หลายเดือนก่อน +2

    Duh umekosa ivi ivi hahah benny popote ulipo mpo wengi kwa uyu dada😂😂😂

  • @MaryamSuleiman-xs5ph
    @MaryamSuleiman-xs5ph 11 หลายเดือนก่อน +1

    Inavoonekana huyo kaka alioileta hyo gar hpo anampenda huyo dada .. na huyo dada akipambana hyo gar inakuw yake 😂 xx ajifikirie hpo kwny kupamban na huyo sponsor wke😂😂😂

  • @fkimwaga
    @fkimwaga 11 หลายเดือนก่อน +15

    kazi yako njema kaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linetnyiro9374
    @linetnyiro9374 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mamee irudiwe kiredio naomba mwendelezo please yahurumisha jamani siuwe na mmoja jamani mambo gani sasa

    • @michaelezekiel4297
      @michaelezekiel4297 11 หลายเดือนก่อน

      Angekuwa na mmoja si angekuwa na ben ambae asingempa gari ko bado angekosa tu 😂

  • @mathiassakwa1551
    @mathiassakwa1551 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kiredio msenge sana et Kumamae😂😂😂

  • @abdallahmkwizu6185
    @abdallahmkwizu6185 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo kiredio nimeipenda na ndo inatakiwa iwe ivyo bro👊👊, hata kama mwanamke ana act basi atleast aitambue thamani

  • @paulmalula8590
    @paulmalula8590 11 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kuanguka kwa presha maana hata huyo aliyemtaja sijui nae atamchukuliaje duuuh

  • @FezzaDrums
    @FezzaDrums 4 หลายเดือนก่อน

    jamaa kalipwa afanye kazi kaitendea haki namimi ntafanya kama hivyo alafu naweka live

  • @merceleky9436
    @merceleky9436 2 หลายเดือนก่อน

    Et kiredio anachekelea Yuko sasa eeehh eheee kwaiyo daaah yeyeyeyee

  • @Zlfa-y2p
    @Zlfa-y2p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umalaya kuoitiliza😂😂 kiredio safi sana ni shabiki wako omani

  • @Enitha-gv8ub
    @Enitha-gv8ub 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimelia mwenzenu

    • @RahmaMusa-fi2ft
      @RahmaMusa-fi2ft หลายเดือนก่อน

      Pole mpenzi.nilichomuhurumia nikua maisha yalivyo magumu mtaan baada ya kuhitimu😢ukute alitoa Gali kisha apatiwe na kaajira maskini ona Sasa Binti mdogo kamaliza chuo na gundu maana huo ni mkosi mpenzi japo ningumu kunielewa kwa haraka

  • @jaeleeomarion1226
    @jaeleeomarion1226 11 หลายเดือนก่อน

    Aaaa sas mbona hua zinaishia njian broo tunatak tuone mpak destiny

  • @ayk20
    @ayk20 11 หลายเดือนก่อน

    Tusiwakandie sana wadada uaminifu haupo kwa kila jinsia nani hapa jinsia ya kiume anamwanamke mmoja?hajawahi piga nje au kumchiti mpnz wake tuwe wakweli tuu

    • @Sakaboytz
      @Sakaboytz 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi apa

  • @Zenygoldsuperwoman
    @Zenygoldsuperwoman 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hamupendi ndo maana kataja jina lingine nakuondoka ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂clip hiyi nipeipenda duuui wadada wadogo mambo makubwa

  • @abdul-hamidali6534
    @abdul-hamidali6534 11 หลายเดือนก่อน

    Kwani hawa wanaume wanaohonga magari huwa wanakutana na utamu wa aiana gani

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wanaume wawili kwa wakati moja hpo ndio niishindwa kwenye hii dunia

    • @AngelAbbah-wc5un
      @AngelAbbah-wc5un 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wawil hapo ukute ana zaid ya wawil lkn huyo ben ndo anampenda sana hlf ukute hana maajabu yeyote huyo alomtaja

    • @رضيهتنزانيا
      @رضيهتنزانيا 11 หลายเดือนก่อน +1

      Usishindwe Tupo wanawake nunaoweza kulidhika na mwanaume mmoja ilahyu kauwa jaman😂😂

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 11 หลายเดือนก่อน

      @@رضيهتنزانيا 😀😀😀 umala kiwango cha juu kashindwa kutofautisha baba na boyfriend 🙄😏

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 11 หลายเดือนก่อน

      @@AngelAbbah-wc5un 😃😃😃😃 my na wewe hna kweli majabu yoyote yle

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ila kiredio wewe 😅😅😅😅

  • @JimmyVictoria-j3l
    @JimmyVictoria-j3l 11 หลายเดือนก่อน +15

    Daaaaa ndo maana halisi ya uaminifu, adi moyo umepasukaaaa 💔💔💔

  • @samwelisaack7453
    @samwelisaack7453 11 หลายเดือนก่อน

    Wadada wengi wanafail,sababu ya tamaa za kijingajinga tu..

  • @Laughter_man
    @Laughter_man 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hio kmmk ya mwisho umesahau kuitoa mbonaa😅😅😅😅

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 11 หลายเดือนก่อน

    Kiredio inakuwaje jamani account yako ya tiktok😭😭

  • @SophiaSalvatoryLucas
    @SophiaSalvatoryLucas 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂msifanye hamjaskia kama kiredio katukana

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mazafaka koku saka bichi
    Watoto wa chuo ni malaya malaya wa mwisho