Who is watching July 2020? Napenda kukusikiliza kukutazama shujaa wa Imani hata zaidi ..pumzika kwa amani kiongozi wetu tunaiishi injili yako mzee ambayo ilikuwa haina michanganyo!! Ujumbe,,kutii kutii
Naona raha tupu baba yetu kulola aliyepitia changamoto nyingi na Mungu akamvusha salama. Nakumbuka mwaka ule tulipokuwa tukimsubiri uwanja wa Nzovwe Mbeya akitokea mahabusu kuja kuhubiri injili. Uwanja ulifulika watu na wakalia sana! kaka Emmanuel Mwasota aliyeongoza sifa akawa baraka sana
Namshukuru Mungu sana kwa kuweza kumuona Bishop Moses Kulola. Nakumbuka alipokuwa anakuja kwenye kiwanja cha secondary yetu Dar-Es-Salaam, na nikaamua kuokoka. Na ata alipokuja London ilikuwa baraka sana. Mungu no mwema.
Kuptia mtumishi kulola aliniombea nkiwa mchanga nlizaliwa Sina uchi nlitakiwa kufanyiwa oparition ila mama miaka 96 aliposikia kulola akaenda kwenye maombi na kupitia maombi hakika nliweza kupona kabisaa na mama angu akaokoka mwishow akafata baba akaokoka na wazaz wangu Sasa ni wachungaji hakika Mungu alikuwa anamtumia Huyu mtu na kaokoa roho za watu nyingi
Ubarikiwe sana Pastor Daniel Moses Kulola kwa kutuwekea video hii ya mtumishi wa Mungu Baba Askofu Moses Kulola! Naomba uzidi kutuwekea zaidi video au mahubiri ya Askofu Moses Kulola maana tunampenda sana na mafundisho/mahubiri yake mazuri ... Ahsante sana na Mungu ambariki sana mtumishi wake, Amen!
Nina Imani Na nimehakikisha kupitia Mwokozi Yesu kristo Siku Moja Tutakutana Mbinguni na Mzee uyu Moses KULOLA Tutafurai pamoja Kwa Yesu Mbinguni
Maliwi hii injili pia waliipata mzee alifanya kazi ya Mungu kwa moyo , upendo, unyenyekevu,na kwa machozi.
Ningependa kila anayempenda Mungu na awe mwaminifu km mtumishi wa Mungu kulola
Who is watching July 2020? Napenda kukusikiliza kukutazama shujaa wa Imani hata zaidi ..pumzika kwa amani kiongozi wetu tunaiishi injili yako mzee ambayo ilikuwa haina michanganyo!!
Ujumbe,,kutii kutii
Barikiwaaaaaa Bishop Moses kulola
Mtumishi Wa Mungu ananena Neno LA Mungu linaloishi nabarikiwa sana.Natamani mwisho mwema kama Mtumishi wako
Nyimbo za hii kwaya jamani ..... Za miaka ile 2003 ..... Kama namjia Yesu , Samson..... Naomba mtuwekee
Naona raha tupu baba yetu kulola aliyepitia changamoto nyingi na Mungu akamvusha salama. Nakumbuka mwaka ule tulipokuwa tukimsubiri uwanja wa Nzovwe Mbeya akitokea mahabusu kuja kuhubiri injili. Uwanja ulifulika watu na wakalia sana! kaka Emmanuel Mwasota aliyeongoza sifa akawa baraka sana
Dah Mungu mwema
amen....... Ametangulia huku ameacha ameandaa watenda kazi shupavu....
Namshukuru Mungu sana kwa kuweza kumuona Bishop Moses Kulola. Nakumbuka alipokuwa anakuja kwenye kiwanja cha secondary yetu Dar-Es-Salaam, na nikaamua kuokoka. Na ata alipokuja London ilikuwa baraka sana. Mungu no mwema.
Nampenda sana, nizamu yetu kumtumikia Mungu kwa nguvu zote, najua tutaonana kwani nami nikimaliza kazi nitakuja huko, amen
Ni zamu yetu.
Utakumbukwa na wengi Baba umelala ila injili yako bado inatuponye.
He realy REV.MOSES KULOLA preached the true GOSPEL OF JESUS CHRIST!!! I always remember him.
DR MOSES KULOLA AMEKWENDA KUPUNZIKA! NAMI NIKO KWA KAZI YA BWANA! WATAKATIFU TUKAONANE MBINGUNI MILELE! YESU NDIYO BWANA WETU!
Th
gwamaka mwakyambiki, amina
gwamaka mwakyambiki Amen
ujumbe wa kweli na neno linalotia uzima,napata nguvu na kuhisi kumtetemekea Mungu
mzee kulola nisawa natingatinga amekata mikosi namabalaaa yote sasa sisi tuna pita kiulaini Mungu akubark sana
Kweli
Wimbo huu wa unabii wa MUNGU MKUU
amemaliza kazi amevalishwa taji.
Hakika uyu alikuwa mtumishi wa mungu
Shujaa wa Iman
Sijaona kama ww baba
Kuptia mtumishi kulola aliniombea nkiwa mchanga nlizaliwa Sina uchi nlitakiwa kufanyiwa oparition ila mama miaka 96 aliposikia kulola akaenda kwenye maombi na kupitia maombi hakika nliweza kupona kabisaa na mama angu akaokoka mwishow akafata baba akaokoka na wazaz wangu Sasa ni wachungaji hakika Mungu alikuwa anamtumia Huyu mtu na kaokoa roho za watu nyingi
Aminaa 0:49
Naitamani Injili hii lakini leo haipatikani jamani.
Ameeeen🎉
Nabii wa Bwana
Inatia moyo tuendelee na safara tusirudi nyuma Bwana yu pamoja nas
Haleluyaa
amina ! Ahsante BABA kwa huduma
Amina Baba,watumishi wa sasa wafuate utumishi wako
Mzee WA imani tanzania
Amen
Congrats
if is possible naomba mutumiye video ya Mzee huyu wakati alikua anahubili neno la Mungu uko Burundi
Pastor tunaomba video nyingi za Mzee kulola
nafurahia mahubiri haya,licha ya kuwa hatunaye duniani,alituachia msaada
Ubarikiwe sana Pastor Daniel Moses Kulola kwa kutuwekea video hii ya mtumishi wa Mungu Baba Askofu Moses Kulola! Naomba uzidi kutuwekea zaidi video au mahubiri ya Askofu Moses Kulola maana tunampenda sana na mafundisho/mahubiri yake mazuri ... Ahsante sana na Mungu ambariki sana mtumishi wake, Amen!
Mungu ampuzixhe xalama huyu mzee kazi kaimalz xalama, nasis tujitaid kufanya xawa xawa na maagizoya mungu ili tuimalize xafar xalama
mwendo umeumaliza imani umeilinda pumzika kwa amani.
mzee wetu waimani baba yetu waimani tukonyuma yako kwakazi uliyofanya atakaepotea hunalawama eeyesu nitienguvu niwekama mossi korola nampenda sana mchungaji wangu niko nyumayako
Hakika mzee alitumika sana
MZEE KAZI AMEMALIZA SALAMA JINA LA BWANA LIBARIKIWE JE WEWE UNAMAZAJE
haya nimaneno ya wenye hekima
One day tutakuwa wote mbinguni
Yesu Anaokoa watu
Huyu hajakufa.kumbuka amesinzia
Na ipo siku ataamka.
MUNGU naitaka Hii injili
Innocent Kyejo
Hakika,huyu,arikuwa,mtumishi,wa,mungu
God is good
Amen injili ya Mtakatifu wa Mungu haichoshi natamani kila saa umsikilize Mzee huyu maana ni injili ya kutengenezwa kuwa mkamilifu
mkutano
Mtumishi Wa Mungu ananena Neno LA Mungu linaloishi nabarikiwa sana.Natamani mwisho mwema kama Mtumishi wako
He realy REV.MOSES KULOLA preached the true GOSPEL OF JESUS CHRIST!!! I always remember him.
Amin