Pole sana mtumishi, ulitabiri kwamba, tarehe 11, saa 11, mwezi wa 11, mwaka wa 2024 kuna kitu kitatokea mimi sikukiona hicho kitu. ukipewa maono kaa KIMYA ombea. ukisema sana upande wa pili hutenda sana. mambo haya uyasemayo yalikuwepo na yataendelea kuwaepo mpaka mwenyedunia yake atakaposhuka. sisi tunaolijua neno tukae kimya na tuombe sana. MUNGU ATAIPONYA TANGANYIKA YETU. AMEN.
Huko sahii sisi kazi yetu ni maombi twawezasaidiwa km nyakati za Nuhu,kuingilia nchi sio kazi yetu,maana ht wakati wa Makonda alisema eti wakuu wako kwenye hofu nikadhani kafa,inabidi kuzipima roho pia ,pia yy anasema ni mwl sasa unabii unaofisi yake,kuna kuona na kunyamaza ili uombe tu ,nimengi tunayaona lkn tuko magotini tukiomba tuu.
Kuna shekehe Arusha amepewa na makonda range Rover sport makonda akasema imetoka Kwa mama sasa je unadhani uyo shekehe anaweza kumkemea Samia akifanya mabaya ?? Ulionyeshwa yametimia mtumishi
Ubarikiwe mtumishi kwa kusema kweli ,washindwe kwa Jina la Yesu
Mungu akulinde
Ameeni ikiwa mungu atasikia kulia kwetu na na jeuri ya wates wetu yeye mwenyewe atashuka kutoka mbinguni na kuusimika utukufu wake ..
Pole sana mtumishi, ulitabiri kwamba, tarehe 11, saa 11, mwezi wa 11, mwaka wa 2024 kuna kitu kitatokea mimi sikukiona hicho kitu. ukipewa maono kaa KIMYA
ombea. ukisema sana upande wa pili hutenda sana. mambo haya uyasemayo yalikuwepo na yataendelea kuwaepo mpaka mwenyedunia yake atakaposhuka. sisi tunaolijua neno tukae kimya na tuombe sana. MUNGU ATAIPONYA TANGANYIKA YETU. AMEN.
@@mwambaimara1950 bwana yesu akusaidie kukufungue macho..wewe huoni yanayotokea kuanzia tarehe hiyo na mwezi wote huu wa 11 wewe huyaoni
Huko sahii sisi kazi yetu ni maombi twawezasaidiwa km nyakati za Nuhu,kuingilia nchi sio kazi yetu,maana ht wakati wa Makonda alisema eti wakuu wako kwenye hofu nikadhani kafa,inabidi kuzipima roho pia ,pia yy anasema ni mwl sasa unabii unaofisi yake,kuna kuona na kunyamaza ili uombe tu ,nimengi tunayaona lkn tuko magotini tukiomba tuu.
@@annabyekwaso-wt7oi Biblia haisemi vyote ni vya kuombea vingine ni vya kusema
Mungu akafanye kama alivyo kusudia ameee
Unaeleweka vema sana. Watanzania kamateni na shikilieni hiyo
Noted ❤
Kampeni 🥱
Kuna shekehe Arusha amepewa na makonda range Rover sport makonda akasema imetoka Kwa mama sasa je unadhani uyo shekehe anaweza kumkemea Samia akifanya mabaya ?? Ulionyeshwa yametimia mtumishi
Mm
🇹🇿😪
Mungu akulinde