Mungu wangu awabariki Sana,mchungaji uwe na miaka ya kuishi umenitoa misiri asubuh ya leo,mme wangu kanikimbia na kazaa nje na kaweka wazi,Ila nashindwa jinsi ya kumtoa moyoni,
Dady mimi nafanya na ex wangu ķribu na anapenda wanawake sana akiwaabia anawapenda baka siku hizi aliacha kunipigia simu nilimuuliza ata kunitext uliacha akaniabia alichoka kutext lakini hapo mbeleni alikua ananipigia simu anatext siku hizi hakuna
Mungu wangu awabariki Sana,mchungaji uwe na miaka ya kuishi umenitoa misiri asubuh ya leo,mme wangu kanikimbia na kazaa nje na kaweka wazi,Ila nashindwa jinsi ya kumtoa moyoni,
Kujifunza ni kitu kizuri na hapa nmejifunza jambo Asante daddie
Asante kwa ujumbe nakutuelewesha.barikiwa
Kabisaa very powerful msg🙏
That's the problem i have sir thanks for that advice pastor
Nelly naomba contako ya whatsup
Nimejifunza kitu Asante pastor
Thanks for sharing I had experience this before 🤔🙌🙏
Mhh huyu dady etu anaupiga mwingi
Dady mimi nafanya na ex wangu ķribu na anapenda wanawake sana akiwaabia anawapenda baka siku hizi aliacha kunipigia simu nilimuuliza ata kunitext uliacha akaniabia alichoka kutext lakini hapo mbeleni alikua ananipigia simu anatext siku hizi hakuna
Msaada nimegombana nae na tunafanya Kaz pamoja nifanyaje jaman
Mmegombana tu bado hamja achana?
Me wangu nawaza hata nimsaliti tu maana anaongea na x wake mpaka na anaongea then anafuta
X anaweza kuwa mume au mke? Ambae mlifunga ndoa kabisa kanisani zikatokea sintofahamu mke akapita na zake mume akapita na zake Kuna hatari pia?
N kweli kbs
🙏
Daddy 🙄🙌