Ila wa Africa jaman tutabaki kuwa waafrika Yani hii simulizi yumeview watu elfu hamsin na nne ila tuloppngeza kaz hata elfu moja hawafiki ...mpeni simulizi like zake😢
Mama Aisha mchonganishi kweli yani yy na huyo mama Frank wahovyoo kweli. Na plot kama hixo mm huziogopa sana mm Bora niwendani kwangu tuu.hongereni hawa wajina wawili wameoana lkn hilo chumba sina Amani nalo
Nyumba yakupanga ishapita na Wakina wako jamani pole ila nyumba tunazoishi ni Mungu tuu atusimamie mana nyumba nyingi ziko na watoto washule wengi tuu kulala tabu
Nyumba za kupanga mtihani kweli. Amani hutoiona ukipitapita humo na wanawake wakukaa bure kazi yao ni masengenyo wakishukana nywele na kupiga midomo 🇰🇪. Nyumba za pwani za kupanga zile za kale hasa Mombasa hatari sana kwa mazingaumbwe na maajabu
Mmh! Ihiii simulizi ninzuri sana na inafundisha san🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hongera sana kwasimulizi tam sana yenye mafunzo ndani yake asante dada 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako hayo❤
Ahsante dada simulizi nzuri sana
Shukran. Sana. Kwasimurinz
Tam❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂
Watatu jamani naomba like zenu
Daah..yaani hii simulizi imenichekesha sana jamani maan Kilaninavo isikiliza bc nikicheko tu nashindwa kujuzweia.
❤❤❤naipenda sana
Sauti ya msimulizi tamu sana❤
Waoooo binti B 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽💐💐💐❤️
Ni Kali sana❤
🥰🥰🥰🥰 jamani wewe dada nakumpenda sana😅😅😅😅❤❤❤
mimi wapili 🥰🥰
Ila wa Africa jaman tutabaki kuwa waafrika Yani hii simulizi yumeview watu elfu hamsin na nne ila tuloppngeza kaz hata elfu moja hawafiki ...mpeni simulizi like zake😢
Umetisha san
Jamni ❤❤💃💃
Mimi leo niwa tano nipeni liké ❤❤❤😂😂😂
❤❤❤
Mh atariii
Wakwanza jamani ❤❤❤
Mm wa ctaa
Mimi hapaàa,,,wa mwisho Hila naombeni likes zenu wenzangu
Mama Aisha mchonganishi kweli yani yy na huyo mama Frank wahovyoo kweli. Na plot kama hixo mm huziogopa sana mm Bora niwendani kwangu tuu.hongereni hawa wajina wawili wameoana lkn hilo chumba sina Amani nalo
Jaman hadi naogopa kupanga nkienda chuo😂😂😂
Nyumba yakupanga ishapita na Wakina wako jamani pole ila nyumba tunazoishi ni Mungu tuu atusimamie mana nyumba nyingi ziko na watoto washule wengi tuu kulala tabu
Jamani wapi kukatwa makofi
Wa nne mimi nikiwa kenya
Jamani nyumbazagupanga nimutihani mukubwa😂😂😂😂
❤
Leo nimewai❤❤🎉
Nyumba za kupanga mtihani kweli. Amani hutoiona ukipitapita humo na wanawake wakukaa bure kazi yao ni masengenyo wakishukana nywele na kupiga midomo 🇰🇪. Nyumba za pwani za kupanga zile za kale hasa Mombasa hatari sana kwa mazingaumbwe na maajabu
😂😂htr
Watisa mimi nikiwa buja
Mm wakumi nasita jamani
Story nzuro sana ila mwishon imeanzakuwa inatisha sasa
Nipo mie nambie
Mhh
Sasa hiy ndio shida yaani uwende choo na maji ila mzingo ukatae kwenda 😂😂😂ata ukitumia ndoo mbili tatu tatizo hilo😂😂
Jamni ❤💃💃
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤