#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

ความคิดเห็น • 20

  • @KayomboSir
    @KayomboSir หลายเดือนก่อน

    Raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele awaangazie wapumzike kwa amani.

  • @fulgencesangawe3533
    @fulgencesangawe3533 หลายเดือนก่อน +1

    Raha ya milele uwape ee bwana, na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa amani..Amina.

  • @gereonmmole3828
    @gereonmmole3828 หลายเดือนก่อน

    Kweli ni majonzi na huzuni kubwa sana. Mungu awapkee katika makao yake ya milele mbinguni Amina.

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zetu MUNGU awapokee na kuwaweka mahali pa Raha Mille, mwendo mmemaliza ,Imani mliilinda pumzikeni Kwa amani

  • @LucilaMassawe
    @LucilaMassawe หลายเดือนก่อน

    Wapumzike kwa amani 😭😭😭😭😭 tutakukumbuka Sana binamu yang

  • @FerdinandWangwe
    @FerdinandWangwe หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi awapunguzie adhabu ya kaburi

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awatangulie mbinguni Amina

  • @berthamjawa
    @berthamjawa หลายเดือนก่อน

    Wapumzike kwa amani

  • @fransiscopaul935
    @fransiscopaul935 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu awajalie pumziko la Milele Mbinguni Amina

  • @CeciliaNkwabi-my7uk
    @CeciliaNkwabi-my7uk หลายเดือนก่อน

    Mungu awape pumziko la amani Amina

  • @KaloliPaul
    @KaloliPaul หลายเดือนก่อน

    Raha ya milele

  • @leahburchard3738
    @leahburchard3738 หลายเดือนก่อน

    Mungu awapokee katika ufalme wake wa milele🙏🏽🙏🏽

  • @KaloliPaul
    @KaloliPaul หลายเดือนก่อน

    Raha ya milele uwape ee bwana

  • @terezinhabernardo6203
    @terezinhabernardo6203 หลายเดือนก่อน +1

    Que Deus lhes conceda um eterno descanso e que não tenha em conta as suas faltas

  • @WilliamNestory-rn2wh
    @WilliamNestory-rn2wh หลายเดือนก่อน

    Nendeni salama tupo nyuma yenu dunian hapa tunapita laleni salama watawa wetu

  • @MagrethEvarist-n9w
    @MagrethEvarist-n9w หลายเดือนก่อน

    Wapumzike kwa amani kaka zetu Wabenediktini.

  • @JescaFrances
    @JescaFrances หลายเดือนก่อน +1

    Tangulieni kwa amani

    • @CrisMaurus
      @CrisMaurus หลายเดือนก่อน

      Jamani pius amembatiza mwanangu sakalani

  • @edefridalivigha6049
    @edefridalivigha6049 หลายเดือนก่อน

    Mung awapokee mbinguni

  • @IreneoKimario
    @IreneoKimario หลายเดือนก่อน

    Raha ya milele uwape ee bwana