Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2024
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camSalamaNa
    Fatma Abeid Amani Karume ni mtoto wa kwanza wa rais wa sita wa Zanzibar na pia ni mjukuu wa rais wa kwanza wa Zanzibar na kiongozi wa mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 na pia ni mwanasheria hodari, na siku za hivi karibuni amekua mstari wa mbeeele kupaza sauti kwenye masuala ya kisiasa hapa nyumbani Tanzania na ni kitu ambacho kimempa umaarufu mwingi kwa wananchi na kupachikwa jina la Shangazi, yeye ndo SHANGAZI wa Taifa.
    Kuzungumza naye imekua kama mtihani kiasi maana yeye ni wakili na sote tunafahamu jinsi ambavyo mawakili wanavyojua kuongea kwahiyo ilibidi nitulize nywele kweli kweli ili tuweze kwenda sawa, mwanzo ulikua mgumu lakini tuliweza kutuwamisha maji baada ya muda kiasi na natumai utapata majibu ya maswali ulokua unajiuliza. Pia ilikua emotional kwa kiasi flani maana habari ya ofisi yake kupigwa bomu mwaka 2017 na kupigwa risasi kwa aliyekua rais wa chama cha wanasheria Tanganyika na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu siku kumi tu baada ya tukio la ofisi kutokea Dar es Salaam lilimfanya awe emotional. Na kama utakua unakumbuka vizuri Shangazi ndo aliyefuata kuwa rais wa TLS baada ya hapo.
    Zaidi mi nilitaka kufahamu haswa nia na madhumuni ya kupambana kwake na kutonyamaza kwake kwenye masuala yote ya uongozi na serikali. Na kama pengine na yeye ana ndoto za siku moja kuwa kiongozi, au pengine leo simu ikiita akapewa cheo, je atakichukua? Na nini anataka, nini angependa kibadilike? Huwa anapokea simu toka nyumbani na kuambiwa pengine apunguze kelele kidogo? Au yuko huru tu kuongea? Na mambo ya familia? Na je kuhusu Babu yake na enzi za ASP? Anazikumbuka hizo enzi? Na kuhusu shule je? Alisoma wapi? Alikua smart alipokua mtoto? Anamkumbuka Babu yake? Lini mara ya kwanza alijua kama yeye ni “special”? Na kuhusu mapenzi je? Mara yake ya kwanza kumpenda mtu? Alikua nani? Alikutana na mumewe akiwa na miaka mpingapi? Na kwao je wako wa ngapi? Na yeye ni wa ngapi? Shule ipi alienda?
    Kuna suala la yeye kuzuiliwa kufanya kazi pia, licence yake imezuiliwa hapa, pia nilitaka kujua sasa anashije? Na kama ana watoto? Yeye ni mama wa aina gani? Akiacha kuwa Twitter huwa anafanya nini? Kuna mambo anayopenda kuyafanya ambayo sisi hatuyajui? Na kama kuna uwezekano wa yeye kujikita kwenye siasa? Maongezi yalikua marefu na machachari rafiki, na matumaini yangu utapata majibu ya maswali ulokua unajiuliza juu yake… Tafadhali enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 408

  • @fra_nyuki
    @fra_nyuki 4 ปีที่แล้ว +80

    Honestly, Salama unahitaji pongezi mnooooo, Shangazi yupo mbali kidogo kwako, lakini nimejifunza kitu kwako Salama... Confidence is all that matters...

    • @martinseveina6306
      @martinseveina6306 3 ปีที่แล้ว

      43mins

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 ปีที่แล้ว

      Anajitahidi lakini hana kiwango as professional journalist (host) hasa ktk masuala ya kisiasa,.kiuchumi etc.

  • @Richard_Range
    @Richard_Range 4 ปีที่แล้ว +56

    I would really listen to Shangazi the whole year and I wouldn’t get tired😁😍❤️ one of the best interviews ever salama👍🏼

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +20

    I wish shangazi uje uwe raisi I know watu hawatarajii but uko bright and you deserve a Chance but guess what wabongo thinks mwanamke hawezi kuwa raisi SHANGAZI you are the bestest

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 4 ปีที่แล้ว +36

    Uwiii mpka nimeona muda mfupi Shangazi Black is Black ⚫ and White is White 🥰🥰🥰

    • @navojosephat656
      @navojosephat656 4 ปีที่แล้ว +1

      why anaitwa shangazi@onlymeruky

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 4 ปีที่แล้ว +15

    Shangazi is a strong, independence and intelligent woman..hopeful Tundu Lissu if elected is going to appoint her as AG of Tanzania.

  • @dofbills
    @dofbills 3 ปีที่แล้ว +23

    This woman is marvelous, smart, intelligent 🧠. More blessing to you Fatma Karume. I would love to meet her one day and get the greatest wisdom. More blessing once again. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janemack576
    @janemack576 4 ปีที่แล้ว +28

    My Darling... Shangazi is Phenomenal can't get enough of her. Asante Salama

  • @haji352
    @haji352 3 ปีที่แล้ว +11

    Masha Allah mko vizuri maongezi yenu ila jamani tusijisahau na hijab au kujisitiri as nyie ni wanawake wa kiislam Kuna leo uko hai also to remember na kuna kesho akhera Allah atatuuliza kuhusu kujisitiri.Nami pia ntaulizwa kuhusu kwanini sijawakumbusha?.Kwahilo nimetimiza wajibu wangu.

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว

      Kwani wapo uchi hapo? Unafikiri kufunika mwili mzima ndo kufika mbinguni?

  • @shumycamp8885
    @shumycamp8885 4 ปีที่แล้ว +23

    Nimeangalia this interview more than 3 times!! Wow shangazi hongera we need people like you (wanawake tunawezA sana sana and Salama hongera sanaaaaa...... Tunamsubiria M. Sarungi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯🙌🙌👌👌👌.. Unatupatia vitu tofauti sana sio kila siku wanamuziki, na wapenda kiki tumewachoka but tunashukuru sana Kutuletea Wasomi yani natamani niandike sana kusifu but wow! Well done Salama endelea hivi hivi.

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +9

    It's hight time Tanzania kuwe na independent candidate I really wish to see you in action shangazi

  • @dianajoseph6299
    @dianajoseph6299 3 ปีที่แล้ว +3

    am in lov with this comment section... looks like watu hapa ni wasomi na waelewa kinoma...... no negativ vibes ..... 👊👊👊..
    shangaz is a real a pacage✔

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 3 ปีที่แล้ว +2

    Shangazi is the best . Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri and best thing is that she is confident and free to speak whatever is in her mind.May Allah keep you long time Shangazi

  • @chuchubena7022
    @chuchubena7022 4 ปีที่แล้ว +20

    Salama you look soo exhausted when you end tha program this mother is tough

  • @funnyvideosandvichekesho.1862
    @funnyvideosandvichekesho.1862 4 ปีที่แล้ว +18

    I can't get enough of shangazi.Waliodislike wana vijiba ni wivu tu.

  • @itsyourmuse
    @itsyourmuse 4 ปีที่แล้ว +27

    Salama we need Hon.Jakaya Kikwete on this show

  • @Kazoba2011
    @Kazoba2011 3 ปีที่แล้ว +4

    So amazing, I like her reasoning abilities. She is next level. She is really independent na ndio maana kasifia hata maswala ya korosho...

  • @mongai001
    @mongai001 3 ปีที่แล้ว +4

    I really like this lady and I think she's deliberation of Tanzania huyu dada ni shujaa

  • @tummkwawa1148
    @tummkwawa1148 4 ปีที่แล้ว +10

    Yani your conversation is like a breath of fresh air wallah! I LOVE IT! 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 we stan your brilliance; you and shangazi!👏🏽🙌🏽 we love to see it

  • @bitegemurisho54
    @bitegemurisho54 3 ปีที่แล้ว +4

    Salama toka nimeanza kufatiliya yah stone town hii imevunja record kwa mimi naomba jaribu marakwamara kutuletea watu wengine kamahawa ,mana ameongeya mambo ambayo sikufkiria salutu shangazi kama anavoitwa natumai inchi imeelimika kwawaliyo fatiliya.
    From FRANCE.

    • @cliffrichard7uu789
      @cliffrichard7uu789 3 ปีที่แล้ว

      Shule hapo ni mwake mwake hapo salama umejitaidi hapo ni kilimanjaro na kichuguuu. Eeee mwanamke wa shoka.ila namkubali sana huyu shangazi napenda sana amekaa kishule zaidi. Siomropokaji manenoyake niyakisomi zaidi. Big up shangazi.

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 4 ปีที่แล้ว +14

    Itoshe kusema kwamba Nimependa confidence 🤣🤣

  • @msakatonge1
    @msakatonge1 4 ปีที่แล้ว +10

    I could listen to Shangazi all the day long....the fluency, the poise, the elegance, the thought process.....🙌🙌🙌🙌🙌. You are simply the best my darling

    • @Nyamisango
      @Nyamisango 4 ปีที่แล้ว

      Poise ?! 😐

    • @msakatonge1
      @msakatonge1 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Nyamisango yes my darling, you have any problem with that?

    • @Nyamisango
      @Nyamisango 4 ปีที่แล้ว

      Atieno Chimba 😂🤣😂😂😂 mambo ya darling na poise ni mengi .. njaa

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 4 ปีที่แล้ว +6

    Best Interview ever,
    Salama please tuletee, Halima Mdee, Zitto Kabwe, P.Funky Majani, Majizo na Ester Bulaya.

  • @lebronmuthandi
    @lebronmuthandi 4 ปีที่แล้ว +19

    Shule haidanganyi bhana! Hongera Fatma, hongera Salama, i know how difficult kum' interview laywer tena smart laywer kama shangazi! Bonge moja show! My notification bell is on, i cant wait for the next show!

    • @karimally5564
      @karimally5564 3 ปีที่แล้ว +2

      *lawyer instead of laywer

    • @lebronmuthandi
      @lebronmuthandi 3 ปีที่แล้ว +1

      @@karimally5564 Yoh the best browski! Asante!

    • @karimally5564
      @karimally5564 3 ปีที่แล้ว

      You are welcome brother 💪🏾🙏🏿

  • @barnabasmafuru6930
    @barnabasmafuru6930 4 ปีที่แล้ว +9

    Salama kazi nzuri ila leo umepatikanaaa she is a little bit difficult to dominate.

  • @marytemba883
    @marytemba883 4 ปีที่แล้ว +17

    She is soo smart! I don’t wish this interview to end 😘😘😘😘😘😘😘

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 4 ปีที่แล้ว +15

    Kweli Shangazi dharau Kwa wanawake TZ ni tatizo kubwa.

  • @nassoryussuf3639
    @nassoryussuf3639 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii interview ilikuwa ni ya wasomi tu. Kama mm apa hatupati kitu.

  • @mvanosabury5095
    @mvanosabury5095 4 ปีที่แล้ว +18

    Hi salama.!My take notes:: 1.. kipindi chako nikizuri na InshaAllah kitazidi kuwa kizuri but on the following conditions...(a) ukileta watu kama shangazi muda uongezeke na uanzishe utaratibu wa pre-advert ya mtu unaefanya nae interview ili watazamaji tupate nafasi ya kutuma maswali.( to make it more involving utakua unachagu ktk maswali swali bora na unaweza toa zawadi).
    (b) ktika maswali unayouliza tafuta segments ya sides ( like simba/yanga or chama tawala/ upinzani then toa quiz kuhusu upande atakao chagua eg Nani alikua mfungaji bora wa timu yako mwaka 1990).
    2.Tuletee viongozi wa dini kama sheikh ponda, kipozeo, gwajima na uwe na yale maswali tata kuhusu dini. Ni hayo tu..Nakupenda sana.

    • @queenseptember4640
      @queenseptember4640 4 ปีที่แล้ว +1

      Uliza maswali kwenye page yake IG, hua anatangaza before mtu atakayemleta kwa interview

    • @jujucapybara5004
      @jujucapybara5004 4 ปีที่แล้ว

      U HAVE A POINT. GOOD COMMENT

  • @jerrystephen7575
    @jerrystephen7575 4 ปีที่แล้ว +5

    Shangazi, you’re so knowledgeable! Much respect

  • @alexpatrick537
    @alexpatrick537 4 ปีที่แล้ว +21

    BEST INTERVIEW EVER

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 4 ปีที่แล้ว +11

    Shangani kasema instagram ni upuuzi ila kweli ni upuuzi kabisaaaa

    • @franktimothkisimbo5354
      @franktimothkisimbo5354 3 ปีที่แล้ว

      Instagram umbeyaaa tu vichambo vya kina juma lukole, au mwijaku

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 3 ปีที่แล้ว +8

    18:39
    salama: umesafiri nchi ngapi?
    shangazi: sipendi kusafiri kabisa, nimefika nchi 20 😁😁😁😁😁

    • @redpromediat.o.tstrongteam1679
      @redpromediat.o.tstrongteam1679 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha... umenena kiongozi.

    • @catherineswai5900
      @catherineswai5900 ปีที่แล้ว

      Mimi nilichoelewa kulingana fact alizozungumza..yawezekana amefika hizo nchi zote Kwa sababu ya kazi yake so imemladhimu kusafiri

  • @mercyndossi3689
    @mercyndossi3689 4 ปีที่แล้ว +5

    Salama mlete
    Halima Mdee,
    Ester Bulaya,
    Ester Matiko,
    Catherine Ruge,
    Jesca kishoa,
    Maria Sarungi,

  • @kennethmichael5758
    @kennethmichael5758 4 ปีที่แล้ว +3

    one of my best interviews period...... i really really enjoyed it...i was most impressed by Shangazi ....Salama thank you for this

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +4

    Fair country, fair justice, fair leadership, fair freedom of speech most of all love of the people not a love of a political party, that comes second.

  • @lokole22tv
    @lokole22tv 4 ปีที่แล้ว +7

    Shangazi yai lake linatufokea.... But one of the best show congole Salama

  • @yeslamahmad1986
    @yeslamahmad1986 4 ปีที่แล้ว +10

    You deserve to be a leader.

  • @nyakwesimusa1683
    @nyakwesimusa1683 3 ปีที่แล้ว +3

    What a brilliant interview! So much to learn...I love it!

  • @georgepima3250
    @georgepima3250 3 ปีที่แล้ว +4

    This is the best and enjoyable interview ever. Shangazi is awesome. ❤

  • @kelvintemba93
    @kelvintemba93 3 ปีที่แล้ว +3

    Wooh....greatest and marvelous interview, could i wish all woman in Tz have widely knowledge like you Ma'am...!

  • @kiwummulodavid6160
    @kiwummulodavid6160 4 ปีที่แล้ว +12

    Umejitahidi Sana Salama kwenye hii interview. Kwa kweli, nimejifunza mengi toka kwako.
    Huwa nafuatilia Sana, big up!
    David, Kampala.

  • @punguzauzitofurahiamaisha
    @punguzauzitofurahiamaisha 4 ปีที่แล้ว +9

    Kiukweli hii ni bonge la interview. Nimepata darasa la kutosha. Sasa tuletee Lissu, Maria Sarungi, Halima Mdee, Lema, Heche, Mbowe, Zitto, Sugu na Mnyika

  • @arqamkhamis1383
    @arqamkhamis1383 4 ปีที่แล้ว +14

    Shangzi mkubwa lakini mtamu

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Shangazi natamani kuwa Kama wewe ukubwani... Darasa huru na lenye madini adhimu.
    Hongera salama na kikosi kazi chako kwa kutuletea shangazi #akilikubwa🥰🥰🥰

  • @teddyklex6618
    @teddyklex6618 3 ปีที่แล้ว +4

    The best interview ever💪
    I can't get enough on it

  • @godifalsafa6956
    @godifalsafa6956 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni lecture room 😂🌍🔥🔥🔥🔥

  • @ericksamwel1657
    @ericksamwel1657 4 ปีที่แล้ว +13

    Mlete shangazi Maria Sarungi, Halima mdee, au Catherine Ruge...

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 4 ปีที่แล้ว +21

    Interview ni 50% english and 50% Kiswahili

  • @mussamsella5801
    @mussamsella5801 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama akiri mingi sana dada yangu ..Yaani nafurahi kila ninapoangalia vipindi vyako

  • @ashamgaya1210
    @ashamgaya1210 3 ปีที่แล้ว +1

    Aunt salama ahsante kwa kumleta shangazi...hahaa NICE ONE...very nice.

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama you are my ICON kwenye Interviews. You are excellent!

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 4 ปีที่แล้ว +29

    Huyu mama anafaa hata kuwa rais

  • @swaummboko8078
    @swaummboko8078 4 ปีที่แล้ว +1

    Shangazi I wish watanzania wote wakuelewe

  • @gidionlaizer3333
    @gidionlaizer3333 4 ปีที่แล้ว +3

    The best interview ever ....big up Salama...

  • @ali2lovely73
    @ali2lovely73 4 ปีที่แล้ว +4

    Was nice to have b hear live from shangazi she is the best yuko mbele dakika mbili

  • @gilbertybahati1614
    @gilbertybahati1614 4 ปีที่แล้ว +7

    hiiii ya leo salama wamekuonea sana ebuu naomba mtuleteee tundu lissu

  • @cleopatrasalha2964
    @cleopatrasalha2964 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi unajuaje vyote hvyo na miaka na nani ni nani🙌🏾shikamoo this is life

  • @Wachuoni
    @Wachuoni 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii Interview was very powerful for both us viewers as well as you hoster, Shangazi is one of the kind ... great work 👏 though it was very challenging we need more of this kind Interview that really helping us to develop further.

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 3 ปีที่แล้ว +4

    This is an amazing interview ever!

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 4 ปีที่แล้ว +2

    very good discussion enjoyed the talk

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada Fatma Karume kwa juhudi zako za kunufaisha demokrasia Africa na hasa Afrika mashariki.Nakupenda sana kwa misimamo yako thabiti hasa wa NEC.Kwangu naona Watanzania walitapeliwa wakati wa kuunda hiyo NEC.Nimefurahia sana hicho kipindi.

  • @carolanande1355
    @carolanande1355 4 ปีที่แล้ว +1

    This was lovely thank you. Salama hiki kipindi ni bomba sana endelea hivyo hivyo. Ntafurahi nikiona watu kama kina Mama Mary Rusimbi, Mama Mongela

  • @aliabraj688
    @aliabraj688 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda sana Salama wa Zenji mmekutana hata kiswahili chenu kipo so sweet.

  • @MICHAKATONOAH
    @MICHAKATONOAH 4 ปีที่แล้ว +2

    Shangazi na kukubali
    Huyu ni mjukuu wa karume na mtoto wa amani karume lakini ameamua kusimama kwenye mstari wa Haki

  • @Fauzia2090
    @Fauzia2090 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa aliposema anashona, anapika udi, anatengeneza sijui kitu gani. It's very inspiring, love you fatma.

  • @eikentertainment6606
    @eikentertainment6606 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow i love her she's a total package.....Tunajifunza mambo mengi sana Thanks Salama you're the Best......mlete Seven Mosha/Moshi pia

  • @kiakae1819
    @kiakae1819 4 ปีที่แล้ว +3

    I love this lady so interesting and very intelligent 🤓 ❤️❤️

  • @rebeccabrown8778
    @rebeccabrown8778 3 ปีที่แล้ว +3

    Powerful ladies and very smart.

  • @thabitalwiy1
    @thabitalwiy1 4 ปีที่แล้ว +6

    Shangazi hayuko Fair na hawezi kukubaliana na uwezo wa Rais wetu Magufuli. Hakujawahi kutokea Raisi kwa Tanzania ambaye anaewasikiliza wananchi wake na kiwafata walipo na kufatilia shida za wananchi wake. Dunia haijawahi tokea tangu kuumbwa wala haito tokea kuwa binadam matatizo yake yataisha yote. Kwa hio ifikie sehemu watu wajue ku appreciate kazi za viongozi wanaojitahidi na kuletaabadiliko kwa wananchi wao. Kama alivosifia mambo aliyofanya babaake wakati alivokua madarakani basi asifie na wengine kwa jitihada wanazozifanya. La mwisho ni sisi wananchi ndio tutakae amua kiongozi gani atatufaa.

  • @giftmalaki7609
    @giftmalaki7609 4 ปีที่แล้ว +1

    I love you shanganzi, napenda unavyowaza positive , Nimeona mda mdogo san kumsikiliza . Nic interview salama

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +3

    Hv Nan anatoa vyeo vya ustar ebu tuwape nafasi watu Kama Hawa tuwe na bright generation bingo ni Maliki and all sort of stupidity SALAMA THANK YOU FOR THE INTERVIEW DARLING

  • @Mipango_Na_Mbinu
    @Mipango_Na_Mbinu 3 ปีที่แล้ว

    The best interview so far. Shangazi yuko real na ana ufahamu mkubwa sana zaidi ya nilivyodhani

  • @saidoahmed5929
    @saidoahmed5929 2 ปีที่แล้ว

    Salama is on another level, I just love how she put u where she want you to be

  • @alexmwanyika3161
    @alexmwanyika3161 4 ปีที่แล้ว +8

    Shangazi kama shangazi lakini mtoto wa kishua😜

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 ปีที่แล้ว

    One of my great interviews ever..shangaz we love you 😍

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 3 ปีที่แล้ว

    Inaonekana kama Salama yuko in awe ya interviewee. Naye anajifunza yaani which is a good thing really 'cause ana grow professionally.

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndiye damu ya karume haswaa'siyo kama yule kakaye mchumia tumbo

  • @alikhamis9366
    @alikhamis9366 4 ปีที่แล้ว +6

    Hajakwepa,ila Kiingereza aisee! Nimeyapenda.

  • @evabiton7186
    @evabiton7186 3 ปีที่แล้ว +2

    The interview was great ❤

  • @winneslyaro5369
    @winneslyaro5369 4 ปีที่แล้ว +1

    Episode bora kabisaa na shangazi....kudos salama na team yako.

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 4 ปีที่แล้ว +1

    I looove Fatma, she is adorable Zanzibari Tanzanian

  • @ramadhanhamim6769
    @ramadhanhamim6769 4 ปีที่แล้ว +3

    The best interview ever 💪

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 4 ปีที่แล้ว +1

    Hungera shangazi ingefaa muda uongezwe bonge la interview salama unaweza na utafika😘😘😘😘

  • @annedavienyamhanga4738
    @annedavienyamhanga4738 4 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana shangazi,,,tuletee na Maria Sarungi,,,faraja nyalandu

  • @graceskitchen7382
    @graceskitchen7382 4 ปีที่แล้ว +3

    We need such kind of interview

  • @aishanassor8057
    @aishanassor8057 3 ปีที่แล้ว +1

    Love you so much Shangazi
    May Allah guide you more and protect you
    Amin

  • @glorymlay168
    @glorymlay168 4 ปีที่แล้ว +3

    Leo umekua kwenye lecture session!😄anyway it was a nice interview

  • @giselleramlah4320
    @giselleramlah4320 3 ปีที่แล้ว +2

    This is the best interview ever

  • @johnmamku872
    @johnmamku872 4 ปีที่แล้ว +7

    Shangazi you said it all 📌 thanks (I will change the judiciary)inshallah we are praying for that too🙏🏾😍 Salama Keep up the good job
    👏

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimefuraah san kuona crush wang wawil kuwa pamoja, nawakubli san na nawapenda san, nawatakia more success

  • @denislucas8952
    @denislucas8952 3 ปีที่แล้ว +3

    This is really A Huge interview.

  • @haroldtarimo342
    @haroldtarimo342 4 ปีที่แล้ว

    Nawapongeza sana wote interview nzuri sana ningemuomba shangazi aendelee kuelimisha umma wa watanzania ili sehemu kubwa waweze kuelewa au kujua haki zao za msingi kikatiba
    Big up Salama tuletee wengine wenye upeo wa uelewa caliber ya shangazi

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +4

    Thanks🙏

  • @soudybrown1494
    @soudybrown1494 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha yan huyu dada eti anamsifia baba yke alikuwa raisi mzuri

  • @komodeltz6701
    @komodeltz6701 4 ปีที่แล้ว +1

    Two G. O. A. T. S
    BIG OF ALL THE TIME SALAMA😍

  • @francismbode1055
    @francismbode1055 2 ปีที่แล้ว

    I love you so much shangazi kwa uelewa wako. Nimekupenda bure kwa hoja zako nzito. Kabla ya hapo nilikuwa simuelewi. Salama ubarikiwe Sana kwa kutuletea huyu mtu.

  • @salehabadsalehpur796
    @salehabadsalehpur796 4 ปีที่แล้ว +4

    26:20 yaani hapo kwenye mfano wa pressure cooker na maandamano ndio kanikosha sana Shangazi.

  • @kingj9346
    @kingj9346 4 ปีที่แล้ว +1

    Eagerly waiting to see Generali Ulimwengu

  • @kalobeflix
    @kalobeflix ปีที่แล้ว

    i really like the way Fatma ana respond with confidence

  • @farajishafii4625
    @farajishafii4625 4 ปีที่แล้ว

    Shangazi yuko vizur, Mungu ampe maisha marefu