TUNDU LISSU APIGWA NONDO NZITO NA WAANDISHI WA HABARI | ATIKISA AKOSE MAJIBU HADHARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 158

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 28 วันที่ผ่านมา +16

    Du'huu 🥱‼️Muandishi wa kwanza, ni kweli ulijipanga bila woga. (Angalia kama hayo maswali magumu, usiyaulize upande wa pili au Watatu. Tunakupenda sana) 14:45

  • @BushurJoel
    @BushurJoel 5 วันที่ผ่านมา +3

    Isee huyu mwandishi wakwanza kampiga nondo nzito sana isee au alitumwa😂😂😂

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 29 วันที่ผ่านมา +9

    Muandishi wa habari upo vizur ila usije kuuliza upande wa pili tutakupotezaa kaka tunakupenda sana

  • @EliasMwakibete-s7q
    @EliasMwakibete-s7q หลายเดือนก่อน +23

    Nimepanda sana tundulisu
    Kwa misimamo yake inaweza kututoa hapa tulipo.tundulisu hongera sana

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 หลายเดือนก่อน +13

    Aise swali la ukomo umelijibu vyema sana mh:Lissu.

  • @RashidMngumi
    @RashidMngumi 19 วันที่ผ่านมา +5

    Asante mwenyekiti mtarajiwa

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 29 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu anayeuliza ni Agent wa Ccm

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 21 วันที่ผ่านมา +3

    Ninavyompenda Lissu nawaza akipewa chawa watammalizia

  • @LeonardMwamluti
    @LeonardMwamluti 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoto ya chadema ni Lissu!!!!!!!!mimiNaLisu damdam

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu 9 วันที่ผ่านมา

      @@LeonardMwamluti ndiyo ya Chadema ni kufa chama msambaratiko.

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 หลายเดือนก่อน +9

    Usiseme risu Hana busara .risu anabusara sana kuliko kiongozi yoyote kwa sasa

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii หลายเดือนก่อน +5

    Kwahio mnavoona kuna wakumpiga nondo Tundu Lissu hapo...kichwa chahabari kizitoooo

    • @AlexJohn-z3b
      @AlexJohn-z3b 3 วันที่ผ่านมา

      😀😀😀

  • @AthumanmMbunga
    @AthumanmMbunga 29 วันที่ผ่านมา +6

    Akuna mwandishi apo ajui kuliza swali kabisa sijamuelewa

  • @titokalinga1245
    @titokalinga1245 28 วันที่ผ่านมา +1

    JAH IS LOVE ALWAYS nmeona hakikaa siasa safi Iko Kwa @Tundulisu Maana waandishii wenyewe Wana uhuru wa kuuliza maswali mengi bila woga hakika huku ndiko kwenye kutuvushaa Tanzania salama! swalii langu ni jee?? kwaninii hawa waandishii Huwa hawapewi nafasii na Huwa hawaulizii chama tawalaa???

  • @makutimalubu
    @makutimalubu หลายเดือนก่อน +4

    Demokrasia Ni lazima ionekane na kutamalaki Tanzania. Big up Chadema vyama vingine viwaige iwapo Demokrasia itakuwepo katika uchaguzi. Siamini Kama Mbowe atalazimisha kuendelea kung'ang'ania kuongoza Kama Kagame.

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 27 วันที่ผ่านมา +1

      Demokrasia haina maana yyte chapeni kazi mmfikishe hiyo nchi mahala, hakuna nchi duniani ilijengwa na democrasia

  • @pravdomirnsiegfried6564
    @pravdomirnsiegfried6564 หลายเดือนก่อน +2

    Freeman ni mtaalamu sana wa siasa chafu. Hakuna anayeweza kuhoji yanayotokea nchini badala yake Mbowe anaulizwa au kuwekwa kwenye kana kwamba alikuwa kiongozi Mkuu wa nchi

  • @ChachaChachamura-zx4zl
    @ChachaChachamura-zx4zl 29 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana Kwa majibu mazuri

  • @MwangaSA
    @MwangaSA 22 วันที่ผ่านมา +2

    Jitahidini msibomoe chama Asbert Ngurumo

  • @ArnoldAloyce-k1l
    @ArnoldAloyce-k1l วันที่ผ่านมา

    Ccm ndio Baba na Mama wa siasa Africa

  • @MwanduMachiya
    @MwanduMachiya หลายเดือนก่อน +4

    Mwandishi nimekupenda sana mwandishi

  • @kamleshbedui8369
    @kamleshbedui8369 23 วันที่ผ่านมา +4

    Lisu ulishabikia ushiga na
    usagaji ,je ukipata uraisi utapinga vipi hii tabia ambayo mungu Haipendi?

    • @agnettakamugisha4984
      @agnettakamugisha4984 13 วันที่ผ่านมา

      Nani amekwambia Mungu apendi? Si wote ni viumbe vya Mungu??

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu 9 วันที่ผ่านมา

      @@kamleshbedui8369 huyu hafaa upo kama bendera kuifuata upepo

  • @MauAgent
    @MauAgent 28 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuh huyu mwandishi kweli anagonga nondoo😅😅😅

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 29 วันที่ผ่านมา +4

    Ana faa kuwa mwenyekiti

  • @Pharessotiph
    @Pharessotiph 27 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri pambana

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 28 วันที่ผ่านมา +2

    Tundu lissu ni kibaraka wa wazungu anataka kuhalalisha ushoga tanzania

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kilamuwambangoma huvutia ngozi kwake swala la mtu kunanga chama .A. alichohama hiyo nikawaida pia kusifiachama.B.alichohamia hiyo huenda nisayansi yasiasa wanasisawenyewe wanaelewana ndiyo maama mwanasisa yoyote anawezakuhamiachamachochote na akapokelewa bilakuulizwa sababuzozote kujitoa huko..

  • @SaleheSambula
    @SaleheSambula 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yupo sahihi lisu ,haki yake kugombea,na apewe tuu,

  • @BensonMwabwagilo
    @BensonMwabwagilo หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana shida maswali nimengi sana Bensoni_Mwabwagilo kyela_mbeya

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 หลายเดือนก่อน +8

    Umejibu vizuri sana mwenyekiti mtalajiwa

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 หลายเดือนก่อน +12

    Hayo maswali yaulize kayaulize ccm.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga wewe hukwenda shule maccm yamefanta kosa gani huo ni mdahalo wa kati ya Waandishi na Tundu kwa tiketi ya Chadema

    • @luppydeusdedith5186
      @luppydeusdedith5186 หลายเดือนก่อน

      AHMED ALLY SABABU YA KOCHA NYUMA MWIKO 🐸 KUFUKUZWA.
      "Kwann Gamooo kafukuzwa??!
      Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo
      Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi
      Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa
      Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi
      Gamoo amekua hafurahishwi na kitendo cha Mganga kupewa heshima kubwa na klabu kuliko yeye, Anasema timu ikishinda Bonus na sifa anapewa Mganga ila ikifungwa analaumiwa yeye
      Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko," Ahmed Ally🎉

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 หลายเดือนก่อน +2

      Unaonekana hufuatilii siasa za Tz. Huju jamaa (John Marwa) maswali anauliza popote pale na bila ya kupepesa maneno kwa sisi tunaefuatilia tunamjuwa. Mara ya mwisho alimuliza maswali magumu katibu mkuu wa CCM.

  • @ChachaChachamura-zx4zl
    @ChachaChachamura-zx4zl 29 วันที่ผ่านมา +3

    Chadema tuwe makini na waandishi wa habari.mbona kwenye mikutano ya CCM hawajitokezi kuuliza maswali

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE 27 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu nakuombea sana

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 หลายเดือนก่อน +4

    Hatumnyimi kura kwa maneno ya msigwa wala msekwa😮

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu 9 วันที่ผ่านมา

      @@ahmedalkiyum7592 nyinyi kura mtamnyima wenyewe pale Akili zenu zitakapo kurudieni.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +8

    Mbowe aondoke tu kwenye Uwenyekiti wanachama wamemchoka haiwezekani awe yeye tu kila siku

    • @yonahizza-o8z
      @yonahizza-o8z หลายเดือนก่อน

      @margarethpolpole
      Mh,mbowe ndio mwenye kit lisu nimakamo mw/kit
      Ila Kwa sasa ana gombea/anakitaka hicho kit

    • @franckmaya4068
      @franckmaya4068 29 วันที่ผ่านมา

      Viongozi wa ccm wanamuogopa sana lissu ndoamana wanataka mbowe aendelee kuwa mwnyekit

    • @CharlesLobulu
      @CharlesLobulu 28 วันที่ผ่านมา

      Hayupo pale Kwa amri yake Bali yupo kikatiba Kwa kupigiwa kura.

    • @RobertMpangile-k7j
      @RobertMpangile-k7j 28 วันที่ผ่านมา +1

      Mwanachama yupi kamchoka??

  • @yovinampale4873
    @yovinampale4873 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama chama limeamua sana, basi si vema kumdharau na kumdharirisha mwenye kiti Mbowa, maana amefanya mengi yaliyopelekea chama kujua.

  • @user-sy7fz9lz9p
    @user-sy7fz9lz9p 28 วันที่ผ่านมา +1

    Hii sura ya mwandishi ni noma

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 29 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu ana weza kabisa

  • @Selemannick
    @Selemannick 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kwli lisu hana busara mana cheki hata kampeni zake ni za uvunjaji wa Amani sasa mkitaka chadema kife mpeni huyo lisu

  • @tazilunjalale5523
    @tazilunjalale5523 29 วันที่ผ่านมา +4

    Maswali ni mazuri na ya msingi je ingekuwa huo ni mkutano wa ccm mngepata ujasiri wa kuuliza maswali hayo?

  • @GiftNyapa
    @GiftNyapa 20 วันที่ผ่านมา +1

    uongozi nikitu chema.. hila wengi ubadilika wakisha kuwa viongozi...Sura halisi ya mtu ni hawe kiongozi2...

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j หลายเดือนก่อน +4

    Msigwa mchumia tumbo sio mpinzani.kwanini kaenda ccm kwa majambazi watu wasiojurikana angeenda upinzani ninge muerewa.msigwa piter

    • @PeterGeorge-m9u
      @PeterGeorge-m9u หลายเดือนก่อน +1

      Msigwa ndio kitu gani mwandishi uchwara

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE หลายเดือนก่อน +6

    Mbona la kufukuzwa kwa Zito na Kitila hatujawahi kulisikia?

    • @CristofBota
      @CristofBota หลายเดือนก่อน

      Peleka hoja hapo upewe jibu

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania hatuna wasoni kabisa kama maswali ni haya bado tunasafali ndefu sana

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 หลายเดือนก่อน +2

    Usalama wa Lisu na kutibiwa ulipatikana kwa juhudi za Bowe ,hivyo Lisu ni mtoto wa Mbowe hastahiri kuwa kinyume chake kugombea umakamu ni sihihi

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 28 วันที่ผ่านมา +2

    Keshajuwa mhusikika wa risasi alizochakazwa Dodoma...muda c muda ataropoka

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 หลายเดือนก่อน +5

    Ccm wasiongee maana hawana chaguzi za viongozi wa juu maaana Rais ndo m/kiti ambapo cheo cha umwenyekiti taifa ccm hawachagui na huyo m/kiti ndo anateua wenzie.

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 8 วันที่ผ่านมา

    Hii ni atari jamaa anajitambua vibaya sana

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwandishi ana maswali mengi na marefu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 28 วันที่ผ่านมา +1

    KUSOMA SIO KUWA NA AKILI

  • @ArnoldAloyce-k1l
    @ArnoldAloyce-k1l วันที่ผ่านมา

    Pia ukisikiliza apo unaona kuwa ukweli ulipo na wazi afai kuwa kiongozi na fani yake ya sheria aishi nayo anaifaamu sheria namba kuitafsiri sio kuishi na kuitenda

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mbowe kawahi kumzuwiya mtu asigombee au unataka kumchafulia jina aonekane dikteta ili umshinde kirahisi kwenye uchaguzi wenu

    • @AliRubeiya
      @AliRubeiya 29 วันที่ผ่านมา

      Kamuulize Zitto alipotia Nia Kama hii

  • @LerwenceokuloMolle
    @LerwenceokuloMolle 29 วันที่ผ่านมา +2

    Sawa basi Kama jaji wa habari chunga sana huyo ni mukubwa wetu tena

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 หลายเดือนก่อน +4

    Na Samia lazima amejificha sehemu kumsikiliza

  • @DenisGodwin-uu6zz
    @DenisGodwin-uu6zz 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli mawazo mapya ni muhimu sama

  • @NizarJemedary
    @NizarJemedary 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hatukupingi tatizo letu tunapenda viongoz wepesi ili tupate kuwaCHALLENGE

  • @PembaOnline
    @PembaOnline หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa ana maswali kapu zima😅

  • @PeterGeorge-m9u
    @PeterGeorge-m9u หลายเดือนก่อน +3

    Jamani ulizeni maswali acheni kubwabwaja

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 21 วันที่ผ่านมา +3

    Tumpe Lissu Jamani ameponea kufa kwa kukosa uoga.

  • @songeza
    @songeza 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli wa mambo mbiwe ni kifaa huyo lissu jaziba tupu na tamaa ya tumbo we mbiwe ebu mpatie nusu ya ng'ombe aisee ananjaa sana huyo tundu aaah kuchukua nafasi ya rafiki mwenzie aliyempigania kwa mambo mengi huna maana u unajipalilua tu ukweli umeloja yaani umetia aibu moja kwa moja tamaaa

  • @protassilayo4200
    @protassilayo4200 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kitu CHADEMA mlifeli...Mngewarudisha kina h
    Halima mdee mwaka Jana kwakuwasamehe af muwape nguvu ya kutikisa bunge wakiwakilisha CHADEMA Mngetisha sana kwasahv.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa waandishi wa habari wengine ni chawa wa ccm Hawana jipiyia maana nimewaona huogopa kupiga yenye maswali ya taifa maswali ktk uongozi wa ccm ila upinzani wanakuwa ktk maswali ya kuzalishwa na Hawa waandishi chawa wa ccm

  • @Trv23-005
    @Trv23-005 หลายเดือนก่อน +3

    18:41
    Pacha mambo

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 หลายเดือนก่อน +2

    Upinzan unaenda kufa aisee, wote walio jaribu kum challenge mbowe ktk ufalme wake walienda kufa kisiasa. I am standing to see how this conflict is going to end.....aiseeeee

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli

    • @CristofBota
      @CristofBota หลายเดือนก่อน

      Si kweli lete hoja ya kupinga hili.

    • @TzkwanzaKilimanjaro
      @TzkwanzaKilimanjaro 29 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi

    • @AliRubeiya
      @AliRubeiya 29 วันที่ผ่านมา

      Upinzani hautakufa labda Chadema ndio itakufa maana wao sio upinzani pekee

    • @TonyTrans-xw3bb
      @TonyTrans-xw3bb 27 วันที่ผ่านมา

      huyu jamaa kama kasahau msaada wa mbowe kwake basi binadamu hanashukran sio tu kwania ya kugombea uenyekiti sio hilo tu juzi alikuwa na mbowe sasa kesho yake anafanya press sasa je hayupo upande wa pili

  • @CharlesMasali
    @CharlesMasali หลายเดือนก่อน +2

    Huyo katumwa maana anasema wanataka kujua yeye nanani?

  • @NizarJemedary
    @NizarJemedary 21 วันที่ผ่านมา +3

    Good LEADER

  • @protassilayo4200
    @protassilayo4200 28 วันที่ผ่านมา +1

    Shida wafuasi wa UPNZANI hawajajiandikisha kupiga kura kwasabb hawaoni umoja na ushirikiano thabiti wakuongoza hii nchi...Kwa masikitiko makubwa kama upinzani hamtahamasisha watu wajiandikishe mtaishia kujaza viwanja kama kpindi Cha lowassa lakini Bado ccm wataingia madarakani kwakishindo

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 หลายเดือนก่อน +2

    uyo ndio anamtuma mchunguji ayatoe yote ya nkulunzinza

  • @MustafaChiumbwe
    @MustafaChiumbwe หลายเดือนก่อน +2

    Ooh maswali yako mazuri ila fupisha maswali

  • @Edka-kr5ds
    @Edka-kr5ds 24 วันที่ผ่านมา

    Hakika nimeamini Lisu ni mwanasheria nguli majibu yako ya maswali 5 ya kwanza umejibu kiufasaha sana maana maswali yenye msingi ni ya kwanza tu

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 19 วันที่ผ่านมา

    Waandishi upande wa CCM huwaga hamhoji maswala ya msingi

  • @BATHROMEOKAJUKA
    @BATHROMEOKAJUKA 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ndio maswali yenye akili kijana

  • @NoregaSirincha
    @NoregaSirincha 27 วันที่ผ่านมา

    Wakwetu mwandishi huyoo hongera mura kwa ujasiri huo

  • @ChutazIddi-ep6gs
    @ChutazIddi-ep6gs หลายเดือนก่อน +2

    WEWE ni mwongo sana tena mnafiki mbona A C T wazalendo kinaumri mdogo kuliko vyote lakini kuna ukomo wa mihula hali ya kuwa kina wanachama wachache kuliko chadema?

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 29 วันที่ผ่านมา

      Umri mdogo ila kikubwa kuliko UDP, na CUF, Chama kinaunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar unakchukulia poa?

  • @bongo39
    @bongo39 หลายเดือนก่อน +8

    Njaa wote hao wamenyimana pesa hao wote wapo hapo kwa maslahi yao binafsi na wake zao tuu hamna mtetezi wa wananchi

  • @allyndunda514
    @allyndunda514 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mawali yooote hovyooo

  • @RajabuLanda-t2e
    @RajabuLanda-t2e หลายเดือนก่อน +1

    Hayo maswari niyawandishi tuu wahabari tunaomba pores ya wananchi tunamaswari na tundu

  • @ferrotechafricaltd
    @ferrotechafricaltd 29 วันที่ผ่านมา +1

    Our next #Tz president lissu

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 25 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi waandishi mnatakiwa kuwaonya hawo wanachadema wasitumiye Lugha chafu katika majukwaa,waonyeni kwanza hawana Uwezo wa kutapika maneno machafu katika Taifa hili ,wasitudhalilishe kilugha sisi ni Wastaarabu wa Lugha kama wanajifunza Lugha wasiharibu ustaarabu wa Lugha ya Watanzania sisi siyo wote ni wahuni ,kama wawo ni wahuni watumiye Lugha ya ustaarabu,hata hivyo mtu aliyetoka Porini siku zote ustaarabu wake ni mdogo,kuweni wakujifunza Lugha ya Kiungwana msilete Lugha chafu ya huko mlikotoka tumechoka na uchafu wenu wa Lugha,na mkiendelea na uchafu huyo tutaomba mnyamazishwe mpaka mtakapo jirekebisha Lugha yenu chafu Aibu kwa Taifa la waungwana.

  • @ChutazIddi-ep6gs
    @ChutazIddi-ep6gs หลายเดือนก่อน +1

    Tundu lisu,haujajibu maswali unayoulizwa na mfumo ulionao wa kujibu maswali sio mzuri kwanin unatumia tafsida?

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j หลายเดือนก่อน +8

    Mbona maswali mengi wewe.ni police ????au umetumwa na.mama.abduli au??lissu anafaa killa sehemu

  • @MzeeKagambo
    @MzeeKagambo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Nuru mpya mbona sioni picha ya Mbowe

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 หลายเดือนก่อน +6

    Chama Cha wachaga ww sio mchaga hauwezi PATA uenyekiti

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 หลายเดือนก่อน

      Mmh we nae hebu fanya utafiti vizur

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba หลายเดือนก่อน

      Mbn Akina sumaye hawakuweza? Au walikuwa waha

  • @songeza
    @songeza 23 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo lissu ana tamaa kwann atamani nafasi ya mwenzie??? Hana sela huyo yann mwenzie mchaga aisee anajua kutafuta sio kuiba haoni aibu juu ya uenyekiti wake kulima kubeba mavi ya ng'ombe kupeleka shamba hasa we lissu singida sio kwenu na sio mtanzania wewe ukweli wa mambo ndio maana unatamani nafasi ya mwenzio badala ya kukaa pamoja wawili kwa makunaliano sio kuongeleana hovyo hovyo hasa wewe lissu acha uomgo

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu 9 วันที่ผ่านมา

      @@songeza ni mchonganishi sana na Hana Aibu huyu ni ugali wa mtama namlenda fitina mkubwa huyu na ana wivu binafsi.

  • @BahateabacarQuebula
    @BahateabacarQuebula 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kama mkimpa lisu uyenyekiti mmeuza chama

  • @allyndunda514
    @allyndunda514 18 วันที่ผ่านมา

    Naswali matango poli hayo

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 19 วันที่ผ่านมา

    Muuliza maswali kichwa kigumu kma jiwe mweusi tiiiii😂

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mpaka hapo ni msaliti

  • @pravdomirnsiegfried6564
    @pravdomirnsiegfried6564 หลายเดือนก่อน +1

    Investigative journalism bado sana. Maswali yamekuwa personal zaidi ya maswali ya kimkakati

  • @mussa704
    @mussa704 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo maswali ynaweza kuulizwa hapo tu sio upande mwingine pls tunakupenda asee

  • @MedardMushobozi
    @MedardMushobozi หลายเดือนก่อน +2

    Naye amezijibu kibabe

  • @emmanuelkorosso7533
    @emmanuelkorosso7533 29 วันที่ผ่านมา +3

    Keshajua ni nani aliyemtumia wale waliompiga risasi.....👀👀 # 2024 The Age of Aquarius where the Truth is more Disturbing than the Lie!!!!!

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka หลายเดือนก่อน +2

    Nasamia muwe mnamuuliza ivyo

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona ni maswali bila majibu?

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwandishi ni kibaraka wa mbowe

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwandishi anajua kazi yk sijui ni jambo tv huyu

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 28 วันที่ผ่านมา +1

    Upumbavu mtupu masuali sita kuulizwa na mtu mmoja

  • @EvodiusJohn-f9p
    @EvodiusJohn-f9p 26 วันที่ผ่านมา

    Mi napita tu

  • @samirshabani-yu4xu
    @samirshabani-yu4xu 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mpasuko

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 หลายเดือนก่อน +4

    Unataka kugombea nini😂😂😂😂 katiba ya cdm ibadilika lin, au ni mapinduzi ya kipumbavu. Katiba ya cdm ulishiliki kubadili sasa unasema maujinga tu. Au unataka ukaepo milele.

  • @lukabekatundu8136
    @lukabekatundu8136 หลายเดือนก่อน +1

    Comedi ni nyingi sana

  • @katapaj2336
    @katapaj2336 29 วันที่ผ่านมา +2

    RISU BEBA KITI