jamani ebu tumjadili uyu jamaa Alie Ludia kipande Cha verse ya ngwea Ile ya tupo juu aisee ameleta balaa naitaji kujua uyu ni fresh rapper au ni mm tu nimeishia kuwafatilia country,monicetrozone,younglunya, coniboi,salminswags, msamiati na dedy namaliza kwa kusema Aya jamaa ndio wanao ipaka rangi ya rap ya bongo mungu awapiganie waipeleke international🙏🙏🙏🙏🙏
Si tunajua wanakunja sana rohoni kwao, TunaBaang tunatamba mbaka mtaani kwao, Kila dem kila gaame tunapiga bao, Na tuko fresh iwe kwa ngumi hadi paw paw, Tukikutana nao sina story naoo, Hi, Laabda saizi yao Tofauti kubwa kati ya wanangu na wanao🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ukipata jamaa anaflow kwenye kiingereza Ina maana bars zinaezasikizwa na mmarekani anaeishi Texas...Yani conboi ndio kaua vinoma group lote liko sawa Ina con hataree❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Natamani nisitaje mtu coz wote wameupiga mwingi na napenda hii game of coz ila nikiacha pia kuwataja Deddy na Teria walivyoua humu zitakuwa dhambi mtu wangu👊
Like za con boy ap🙌
Con is doing music for fun 😅 he’s a potential to be a star
Huyu Jamaa aliechanganya na kakiruga hataree💥💥
msamiati, mnyakyusa huyo
Kanyoosha Anaitwa Msamiati
Hii Chorus ina Aura ya flexing 10000000%
Salmn kiboko wazee msikilizeni tena hii kauwa
Nilikuwa namsubili conboi tu nilijua atakiwashaa 😮😊😊
wote credit kwao ila MSAMIATI anawakilisha sana green city
Mwaisa katupa jiwe salmin karudi na majibu 🎉
Country wizzy 🎉weee ni noma sana kwakubadilika ila salmin swagy bila ya uchoyo wote mko poa sana mpaka kiluga ndani ❤❤❤🎉🎉
Msamiatii umeuwaaa sanaaaa mwaisaaa 🔥🔥🔥
Kete ya kwanza kwa Salimin Swaggz mbili kwa mwaisa alaf centrozone nampa❤❤🎉
salimn huwa anaingia tofaut kbsa mnyamaaa
Noma jamaa uyo
dedy kaua sana kwenye chorus
Mambo ya House party tuwaachie wakali wa Jiji.... @moni👊🏿👊🏾
Salmin swagz kawaua wote 🔥
wakiulza Dom vp nawaambia Dodoma jiji😂😂🔥
Moni Centrozone flow ya kinyamwez sana mamen..🥶🔥🔥🔥🔥
Salmin Swagg kawakalisha
Cannabino💥
Aliyeona County wizzy kaswitch flow zaidi ya 3...yaani verse moja staili zaidi ya 3 tujuane
Mwaisa noma sanaaa 📌📌📌 wizzy we ndio mnyamwezi wa hip hop bongo na sio watia kelele na majingambo kma mtot wa kiwaran
Con ana hasira sana 😅
ndio maana kaekwa mwisho 😂
Cetrozone EST zuu malume ones again 🔥🔥
MANN SALMIN SWAGGZ NEVER DISAPPOINT KABISAAA...anavoswitch flows na bars zake ni elite pia hatumii nguvu sana...for me ameua kuliko wote. 🙌🙌🙌
Kila mmoja kauwa kipande chake big shout out to cannabino
Bora niende tabata kwa mwanangu bad weed
Nomaa sanaa😍🌍 serikali kuu namzuka
jamani ebu tumjadili uyu jamaa Alie Ludia kipande Cha verse ya ngwea Ile ya tupo juu aisee ameleta balaa naitaji kujua uyu ni fresh rapper au ni mm tu nimeishia kuwafatilia country,monicetrozone,younglunya, coniboi,salminswags, msamiati na dedy namaliza kwa kusema Aya jamaa ndio wanao ipaka rangi ya rap ya bongo mungu awapiganie waipeleke international🙏🙏🙏🙏🙏
Tony cousin
Uyo anaitwa teria sio cousin budaa
Teria mnyama kabisa
Teria na con boi hatali
Oya kafanya balaa sana huyu mwamba nashangaa kwanini hasikikii na wakati anaonesha dhahiri kuwa ana kipaji kikubwa sana
Conboi na country is 🔥
Aliyekaa kwenye kiitikioa kaua, Mwaisa na Salmin
Canbino and salmin killed it💥💥💥
Ukifunga moja Mungu anafungua door 4,,, umekiwasha salmin🔥
After listening like 100 times nimegundua jamaa wa Full Black #Teria ndio kawakimbiza kwamba voice la kinyamela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Upo sahihi ...jamaa silent killer..yupo vizuri sana
Teria waheshimu mabroh zako bhana kwanini umewakimbiza namna hiyo😅😅 ila huo mchorus🙌🔥🔥🔥
Country naqbali kk🎉
Bishara ilikuwa kuuza vitu hahahaaaaaaaa😂😂😂😂
country ameua kiniumaaa
Sema deddy kwenye chorus anakuaga mchafu Sana
Wizzy kaonyesha ubaba humu
MALUUMEE &CON🔥🚬
Sema salmin swaggz always best kwangu jamaa ana style flan ivi Atari sanaa guys tumeimis OMG
Kaanza lunya kat salmin mwisho conboi wauni wanajua🙌🏿
@@onesmoshayo7880 wanajua sana sema con boy kaua sanaa
Daah swagz mnyamwezi sana ujue
🔥🔥🙌🙌👑👑💯💯
Si tunajua wanakunja sana rohoni kwao,
TunaBaang tunatamba mbaka mtaani kwao,
Kila dem kila gaame tunapiga bao,
Na tuko fresh iwe kwa ngumi hadi paw paw,
Tukikutana nao sina story naoo,
Hi, Laabda saizi yao
Tofauti kubwa kati ya wanangu na wanao🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Cannabino 🙌🙌
Daaah mm ni shabiki wa salmin swag ila hapa leo msamiati kaua sana yani
Con boi✅️
Oyaa hili ndo group la rap nalikubali Tanzania ❤❤
Salmin 🎉
Cannabino 😂 nakubr br unaeza
Hii nchi apewe country boy 😂😂😂😂
Kweli kbs
Malume🙌🙌
...OMG on top again. Yoooh we flex
Bongo Cypher🔥🔥💯
Ukipata jamaa anaflow kwenye kiingereza Ina maana bars zinaezasikizwa na mmarekani anaeishi Texas...Yani conboi ndio kaua vinoma group lote liko sawa Ina con hataree❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Salmin swaggz huyu nimnouma😮
Salmin swaggz
Salmin kawakimbizaaa mwaisa unafanya poa na unyaki kwenye beat
swagz on fire 🔥🔥🎉
Malume ni Namba za manamba 🔥
No argument, so far this is the jam of the year. 🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️
Country 🙌🏿🔥
Nilijua nyandu ndani
Hii corus nyookoo sanaaa 🔥🔥
Country boy 🔥🔥🔥🚒
Malafyale kaua na kawakilisha Green city ipasavyo
Mwanangu Dedy Ishi sana mkubwa
Teria kafunika humu ndani
Familia 601 Burs never kama wayne najiona mbali sana
Msamiati hatarii 2024
Serikali kuu ya mizuka vibe sana
Salmin × Msamiart 🙌🏿
Deddy Chorus killer🙌🏾🙌🏾
1.teria.2.bid wizzy 3.msamiati hip-hop alive
Malume🎉
BINNo🔥
Nakubali
Ngoma kalii but huyo full black kaua sana ana Rap nzuri sanaa
Anahitaji chemistry flan na county boy kuna kitu hapo
Black on black ...uyo ni hatariiiii sanaaaa ...ngwea mtupu
Salmin swagg💥💥💥💥
OMG mjengoni kama zile days,hii trio 🔥🔥📳
Ngoma ingepata video Vixen na online pushing🔥🔥🔥
Chorus iko juu ya hizo flow...kimya 1 & conboi kamalizia
Wote wameua ila Salmin Swagz katisha zaid
Imetisha sana
KAZI INAONEKANA ♨️
Humu Young Lunya kafunikwa hadi na Salimin Swaggz 🔥🔥 Malume proud alaf Canabino ni unyama sana
Salmin mwaisa na centrozone
OMG majengo sokoni
Malafyaleeeee
Alimuweka mwisho uyo jamaa daah😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Familia zetu zije kuishiiii
SWAG BINNO🙌💥
Aliepiga huo mchorus ni Bomboclaat✈️
MALUMEEEEEEEEEEEE
Ded hii chorus ni incredible 🎉🎉
MALAFYALEEE MSAMIATI YOU KILL IT BRUH🔥🔥🚀
Walioua ni Country, BINO ,Msamiart , Lunya na mpiga chorus
Country wiz shkamoh 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
TERIAAAAA🔥🔥🔥🔥
Unajuw mziki sana
Natamani nisitaje mtu coz wote wameupiga mwingi na napenda hii game of coz ila nikiacha pia kuwataja Deddy na Teria walivyoua humu zitakuwa dhambi mtu wangu👊
Rapcha angekaa humu
Moni centrezon..,Salute