Sheikh O.Maalim hakika ya muujiza lazima huendane na asili(nature) Uislam Ni dini ya maumbile pia. Bahari Ina kupwa na kujaa kwa maji pia bahari Ina milima,mabonde,tambarare n.k. Hivyo kunyoosha fimbo(hata njozini fimbo Ni alama ya uongozi. ) baharini iikuwa Ni maagizo ya kuwaongoza wafuasi wake kikamilifu ktk njia za bahari hata kwa maji ya ugoko au kongo mbili za miguu wavuke kabla maji kujaa mbele ya Firauni .Baada ya kitambo kidogo jioni Firauni na wafuasi wake walipofika ufukweni waliingia na kuwafuata watangulizi wao waliowaacha umbali mrefu Kisha wakiwa umbali bahari kutoka ufukweni maji yalianza kujaa kiasi zile njia hawakuziona ikiwa Musa as) na umma wake wakiwa sehemu salama kuvuka huku nyuma maji yaliyojaa na kuzidi yaliwasomba akina Firauni. Hii ndio falsafa ya asili inayopatikana ktk Qur'an na Islam na siyo simulizi za alfu hureira na hadithi za mama na mwana RTD eti bahari inachanuka Kama chanuo njia 12 Kisha panakuwa kweupe pee sijui pakavu Kisha panajifunga laa hasha hakuna ujuha huu Kwenye Islam hii Ni Hali au simulizi zisizowashawishi wale ambao wanadai hakuna huwepo wa mungu. Uislam Ni mantiki na haupingani na kanuni za maumbile na asili. Mwenyezi mungu ameweka angalizo kitabuni hatobadili kanuni zake .
Ndiyo uislamu ulikuwepo na ndo maana Allah alimtuma Nabii mussa kwenda kumlingania fir auni na watu wake wawe waislamu yaani wanynyekee kwa Allah pekee na kuhusu kwa mtume muhammadi yeye aliletwa kuja kuendeleza uislamu uliokuwa upo kwa karne za waliopita kwahiyo uislamu haujaanza kwa mtume muhammadi Bali ulikuwepo enzi na enzi
Sheikh Othman mungu akulinde akujalie heri inshAllah
MASHA ALLAH ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA NA MSIMAMO WA KHEIR
Allahu Akbaru. Shukran sana Shekhe
Sheikh Othman Maalim Allah akulinde na kila shari
Amiin yarabi ❤
Mashaaallah Allah akupe umri mrefu na wenye barka ndani yake🙏🙏🙏
Shekhe Othman mwenyezi mungu akujalie Maisha malefu uendelee kutufundisha
Alhamdulillah, Allah akujaaalie kila la heri kutokana na niya njema
Mansaha allah, mwenyezi mungu akujaarie afya njema.
Allah atakulipa kheri inshallah maana watoa daawa ya kueleweka mashallah ❤❤
ALLAH awalinde masheikh wote na kila shari na ALLAH awabashirie pepo
Sh.othman MwenyeziMungu akupe umri mrefu
MashaAllah ❤❤❤
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
Maashaallah
Subhaanallah walikuwana roho ngumu mno eewee Allahu tunusuru wajawako Allahumma Amiiin
Wallah wenzetu waliopita walipata mitihani ya kila namna
Amin
Amin 🤲
Ameen
Ameen 🙏🏻
Inshaalah Allah Karim atujaalie wote tuwe waja wenye kusujudu na kumtegemea Mwenyezi Mungu Aaaamin Yaarabilaalamiin.
Sheikh othumani Allah akuhifadhi
Mashaallah mashaallah swadaktaa ❤️ ❤❤❤
Asante sana kwa kutupa elimu hii
Mashaalah Allah akulinde
Sheikh Napenda nasaha zako sana mungu akujaalie inshallah
Mashaallah shukurani kwanasah nzuri tu ustadhi
Sheikh othman jazakallah kher
Alhamdulilah mungu akujalie afya njema shkhe
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚
Jazaqallahu kher
MashaAllah May Allah bless you Ameen
Jazaka llahu kher shekh
Maasha-Allah shekh wangu napenda sana jinsi unavyoisoma Quran nilikuwa nataka pia quran tukufu urushe mtandaoni
Amina dhuma amina mungu atupe mwisho mwema sote
Shukra jazakallahu kheir sikujua hizo phenomena zote ni hiyo tu ya majoka waallahi allah barik
Jazakaallah kheir al habib
Allah akulinde
Mashallah Jazakalah kher
Mashaallah
Maashaalah
Allhamdullillah shukran mungu akubariki inshaallar
ALLAHU AKBAR ❤SUBHANALLAH ❤AS❤
MASHAALLAH
Mashaallah shekhe othumani
Mashallah Allah akbar
tabaraka allah
Mashallah mungu akupe afya njema
Ya Allah niepushe na matamanio ya dunia
AS ❤SUBHANALLAH
Allah akuhifadhi shekh wetu
Shukran sana sheikh kwa ukumbusho allah akubarik inshaallah pamoja na waislam wote
Ma sha Allah
Mashallah❤
Masha Allah
Masha ALLAH
Subhanallah mtihani huo
Ameeen
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
Alhamdhulillah
Ma Sha Allah Sheik Othman Maalim
Mashaallah akulipe kinachostahili
Mashaa Allah Sheikh Athman Allah Akujaalie Umri Wenye Afya Njema Uzidi Kutuelimisha.Ameen
Alauakbar ❤
Mashallah
mashallah ❤❤❤❤
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
SubuhanaAllah
Sheikh O.Maalim hakika ya muujiza lazima huendane na asili(nature) Uislam Ni dini ya maumbile pia. Bahari Ina kupwa na kujaa kwa maji pia bahari Ina milima,mabonde,tambarare n.k. Hivyo kunyoosha fimbo(hata njozini fimbo Ni alama ya uongozi. ) baharini iikuwa Ni maagizo ya kuwaongoza wafuasi wake kikamilifu ktk njia za bahari hata kwa maji ya ugoko au kongo mbili za miguu wavuke kabla maji kujaa mbele ya Firauni .Baada ya kitambo kidogo jioni Firauni na wafuasi wake walipofika ufukweni waliingia na kuwafuata watangulizi wao waliowaacha umbali mrefu Kisha wakiwa umbali bahari kutoka ufukweni maji yalianza kujaa kiasi zile njia hawakuziona ikiwa Musa as) na umma wake wakiwa sehemu salama kuvuka huku nyuma maji yaliyojaa na kuzidi yaliwasomba akina Firauni. Hii ndio falsafa ya asili inayopatikana ktk Qur'an na Islam na siyo simulizi za alfu hureira na hadithi za mama na mwana RTD eti bahari inachanuka Kama chanuo njia 12 Kisha panakuwa kweupe pee sijui pakavu Kisha panajifunga laa hasha hakuna ujuha huu Kwenye Islam hii Ni Hali au simulizi zisizowashawishi wale ambao wanadai hakuna huwepo wa mungu. Uislam Ni mantiki na haupingani na kanuni za maumbile na asili. Mwenyezi mungu ameweka angalizo kitabuni hatobadili kanuni zake .
❤ mashallah
Masha Allah ❤️❤️❤️
❤
Mashallah kisa kizuri muno san
💯
Maashallah kisa kizuri
سلام عليكم
💐💐💐
Jazakalah haira
Masha Allah 😢so much love yaaah sheikh 🤲🏿
Tuleteeni kisa cha Mussa AS na Khidhir
Niwe mcha mungu kweli kweli cha ajabu kusali cjui ni uxito gani upo kwangu nikianza kusali mara nasixia nasahau nilifikia wapi
Jitahidi kupenda kufanya Ibadan utakuta mwili mzima unahitaji Ibada na kisajau kunatoka bila kupenda
Allah akusaidie
Mungu akulinde na 👹👹👹👺👺👺
Maalim mm naomba msaada
Hi
Shehe naomba kuuliza kwani wakati huo wafiruni na musa uisillam ulikuwepo? Mbona uisilam umeanza mwaka miasitaa baada ya muhamadi kuwepo?
Ndiyo uislamu ulikuwepo na ndo maana Allah alimtuma Nabii mussa kwenda kumlingania fir auni na watu wake wawe waislamu yaani wanynyekee kwa Allah pekee na kuhusu kwa mtume muhammadi yeye aliletwa kuja kuendeleza uislamu uliokuwa upo kwa karne za waliopita kwahiyo uislamu haujaanza kwa mtume muhammadi Bali ulikuwepo enzi na enzi
@@jihadishabani4158 walitumia rugha gani wakatihuo kitangaza dini hiyo? na musa nikabila gani au niwanchi gani?
nchi ya kwanza ni qatar foreigner wakiondoka jeuri zao kwisha ,,,,maana hawataki kufanya kazi wao ni maboss 😂😂
Nchi za zote za kiarabu Mana wanatutuma vibaya 😅😅tukiondoka kitamramba
Amina Amina
Mashaallah
Mashallah
Natamani moyo wangu ukinai na vitu vya dunia
❤
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashallah
Mashallah