Wimbo mzuri sana tunajivunia wewe Tanzania kaka Mgogo wewe ni level nyingine kabisa sio zile za kurukaruka dakika2 wimbo umeisha msg haieleweki gospel song ni injili wewe na Mch. Abiud Misholi👍👍👏
Kaka mimi nikisikilizaga nyimbo zako mwili husisimuka naamini ni nguvu au mafuta uliyonayo,Mungu akubariki sana,msikilize Mungu siku zote maana Bwana asipokua upande wetu........NAOMBA KUSHAURI JAMBO SAUTI YAKO TAFADHARI USIIIBADILISHE SANA , ni sehemu chache sana endapo mtu anasikiliza wimbo huu atajua kuwa huyu ni Emmanuel Mgogo.Asante
Amen ndugu endelea hivyo muimbie Mungu katika roho na Kweli maana hizi ni nyakati za mwisho.....usijichanganye kama wasanii wengine maana wamepoteza upako na injili ya Kweli haimo ndani yao tena.....Mungu akupe upako na neema zaidi. ...naomba utoe wimbo wa Harusi unaosimulia uzuri wa Mungu na kumshukuru kwa kunifunikia aibu...barikiwa sana nitausubiri niutumie...asante
Ujumbe wako una matumani katika Bwana Yesu Kristo barikiwa mtumishi wa Mungu.nauichuchumilie neema ya Mungu ulio juu yako Amina nabarikiwa rohoni nikiwa mji wa Lebanon 🇰🇪
Siwezi Mwenyewe siku1 bila Mungu ni sawa miaka mingi jangwani Duu ubarikiwe m2mishi naamini hata Mbinguni utaimba mbele za Baba Mgogo upo juu ubarikiwe sn
Waooo congratulation man of God'"always utakula mb zangu coz nyimbo zako huwa zanigusa sana.Mungu azidi kukuinua uasi ukatengwe mbali nawe,usijeleweshwa na kipaji ukamtenda Mungu kama baadhi wafanyavyo.Mungu akutunze katika Imani.Amen
bila wewe Mungu wangu akika siwezi nena nasi Mungu twakuomba ,my God bless you man of God ...natamani siku moja tupatane uko juu mbiguni tukisifu pamoga pia nakuabudu Mungu aliye tumba kwa mifano wake napenda sana nyimbo zako zinakuaga na upako wajabu .
wanadam bila Mungu hatuwezi lolote ,,,,,,nenda nasi Bwana kama ulivyo enda na Musa ,,,,asanteee kwa ujumbe mzr mtumishi Mungu akuubariki na uzidi kumtumikia ktk roho na kweli
Daaah brother sichoki kuusikiliza huu wimbo kwakweli MUNGU azidi kukuinua katika kazi zako tunashukuru kwa mahubiri mazuri lkn pia unafariji sana be blessed mtumishi wa MUNGU
Si wewe utungaye nyimbo hizi Ila ni nguvu ZILE za Mungu Alizoweka ndani yake. Nahelewa namna Mungu amewapa watu wake si kawaida kujaza maneno ya nguvu za Mbingu
Hongera Mtumishi wa Mungu, Emmanuel Mgogo. Anointed gospel song. Huwezi amini, Mungu aliutumia wimbo wako kuongea na mimi moja kwa moja mwezi uliopita nilipokuwa nimepoteza mwelekeo katika safari yangu ya kuukulia wokovu.
Amen and Amen brother Emmanuel blessed to be a blessing greater annointing to you..Siku moja bila uwepo wa Mungu ni sawa miaka elfu jangwani.More of Him I need.
Naheshimu sana mungu alichokiweka ndani yako Brother Emmanuel be bless nimesikiliza wimbo huu naona kama mbingu zinafunguka roho mtakatifu yundani yako
Shida gani mtumishi wa mungu kwakukaha kimwa mwaka kaririya mwaka mzima awahikahagi hikahagi kimwa kiasihicho mtumishi tuna kuwa tuna miss nyimbo zako ila kwa huu wimbo kweli unabariki moyo kwa wa 👍🇹🇿🇨🇩🌐
NANI BADO ANAUSIKILIZA HUU WIMBO 2024
Mwanadamu bila Mungu siwezi lolote, kama tupo pa1 gonga like hapa Mungu akubariki sana Mgogo
Jamani uyu wimbo uwa unanibariki kiramara nnapo usikiliza kama nawewe uwa unakubariki kama mimi gonga like hapa
Sana
Kama unamtukuza Mungu ubarikiwe na gonga like hapo
ama kweli umesema na maisha yangu na wewe pia unayesoma comment hii kama huyu mtumish amekugusa mahali em gonga like yako amen
Tunaorudi mara Kwa mara kucheki hebu tujuane
Wimbo mzuri sana tunajivunia wewe Tanzania kaka Mgogo wewe ni level nyingine kabisa sio zile za kurukaruka dakika2 wimbo umeisha msg haieleweki gospel song ni injili wewe na Mch. Abiud Misholi👍👍👏
Nimebarikiwa sana na hii nyimbo;kama nawe umebarikiwa pamoja nami basi basi gonga like yako hapa au comment yako,tuone uponyaji wa Mungu,Amen
in
Ujumbe wa elimu ya juu hakuna kupayuka bila mpangilio
Nimebarikiwa sana. God. Bless this guy
Enda nasi in 2023 Bila wewe hatuwezi Bwana, tuongoze tufike salama 🙏
Jamaa katembea na vocal za southafrica yan kiukweli Mtumish anajua sana aisee
Kaka mimi nikisikilizaga nyimbo zako mwili husisimuka naamini ni nguvu au mafuta uliyonayo,Mungu akubariki sana,msikilize Mungu siku zote maana Bwana asipokua upande wetu........NAOMBA KUSHAURI JAMBO SAUTI YAKO TAFADHARI USIIIBADILISHE SANA , ni sehemu chache sana endapo mtu anasikiliza wimbo huu atajua kuwa huyu ni Emmanuel Mgogo.Asante
Aki jamani huuwimbo wanisisimua wanitoa machozi,, barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana kaka Emmanuel Mgogo wimbo huu unaupako wa ajabu
Mahali hapo nipale penye uwepo wa Mungu penye uso wa Mungu baba😭
Napata faraja sana kuusikiliza huu wimbo hakika ninabarikiwa
Nyumbi nzuri sana ya kumwabudu MUNGU barikiwa sana ,
Daaah,nabarikiwa Sana!!wimbo unazungumza namimi.nampenda mtumishi huyu,kwa unyenyekevu wake.nahii ndiyo Siri yakuinuliwa na Mungu.
Absolutely .🎉🎉🎉
Hakika napenda sana nyimbo zako mtumishi wa Mungu mana ni Injili tosha maishan mwangu barikiwa sana Emmanuel Mgogo na mkeo mzidi kuwa juuuu
Kuna mahali natamani kufika...Mungu tusaidie tufike salama..Mahali hapo ni pale penye uwepo wa Mungu,Penye uso wa Mungu.
Tembea nasi Baba Mungu katika hili jangwa la Corona...
Tusaidie Baba wetu.
I love the song from Nairobi Kenya.
You are a blessing.
God bless you
So me
Kàbisaa mungu utuondolee balaa hili la Corona
@@joshuakelly411 0
Ndugu zetu Watanzania mmebarikiwa kwa sauti nzuri na mtiririko wa maneno....barikiweni ktk Nakuru, Kenya
Kesho watabadilika watakuwa kama wanamzuki Wa dunia wewe subiria nyimbo zinazokuja,huyu ameshavuruga wimbo mmoja wamekata mauono mpaka basi
Amen
Kwel nabarikiwa na huu wimbo ila kaka umepotea san
Sophie Mwero Amina
Sophie Mwero Mwenyewe siwezi kwel MuNGu Shuka utuponye
Amen mwenyewe siwezi bila Mungu
Haya ni mahubiri tosha nimebarikiwa sana kazi ya ni njema Mungu akutie nguvu katika kazi yake kama tuko pamoja gonga like yako hapa
Mungu akuongezee nguvu katika karama yako
Uso Wangu Utakwenda Na wewe na wewe! Mwenye Si Wezi Siwezi Mungu Siwezi
Mtumishi mtumishi
Nakuelewa Sana .Barikiwa Sana Tena Mungu akujalie afya njema ili utangaze Injili Kaka.
ambao hatuwezi bila Mungu gonga like hapaaa
Amen ndugu endelea hivyo muimbie Mungu katika roho na Kweli maana hizi ni nyakati za mwisho.....usijichanganye kama wasanii wengine maana wamepoteza upako na injili ya Kweli haimo ndani yao tena.....Mungu akupe upako na neema zaidi. ...naomba utoe wimbo wa Harusi unaosimulia uzuri wa Mungu na kumshukuru kwa kunifunikia aibu...barikiwa sana nitausubiri niutumie...asante
Brenda Rhoby, Ha ha haaaaa, barikiwa sana
Naupenda sana huu wimbo
Wimbo mzuri Sana, una maneno yanayogusa moyo, Mungu akubariki kaka yangu Emma Mgogo.
Mm ni muislam ila napenda sana nyimbo zako Mgogo barikiwa sana
Amina. Dada Rahma
muziki wako mtumishi wa mungu wanibariki sana.Jehovah akuzidishie neema.AMEN
Barikiwa sana Mtumishi WA Mungu!
Kweli mwenyewe bila Mungu siwezi I like the Song Mungu akuinue
Ujumbe wako una matumani katika Bwana Yesu Kristo barikiwa mtumishi wa Mungu.nauichuchumilie neema ya Mungu ulio juu yako Amina nabarikiwa rohoni nikiwa mji wa Lebanon 🇰🇪
Dada naomba nisaidie KUSUBSCRIBE channel yang ya Nyimbo za injiri inaitwa MWAKANIEMBA SIFA
Vbbvhhjrrrr@@sifamwakaniemba443is a vbvfyfggfhn88 is a great place
Nabarikiwa Sana mungu aendelehe kukuweka dunian ili umutumikie amen
Nimerudi kuutafuta wimbo huu2024 baada ya miaka Tano.♥️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwel pasipo mungu hatuwezi mungu akubariki mgogo
Mwenyewe siwezi .Emanieli mungu akutie nguvu katika kazi yako.💪💪💪💪💪
Nashukuru mungu kwa kutupea mtumishi anayejenga na kutuhubiria kupitia nyimbo,barikiwa sana mtumishi wa mungu,nko Nairobi kenya
stellah wakali mungu amubariki sana napenda sana kusikiriza nyimbo zako baba mungu akubariki sana baba !!!!!!!!!!!!!!
Amen
uso wako Bwana uende nami ,Be blessed mgogo you blesed man of God
Mungu amubariki ndugu yangu, all the way from Zimbabwe
Hakika mungu Ni mwema
Mwenyewe siwezi ,,,ined you lord...very blessed thanks you braz
Wimbo huu umenitoa machozi, Baba Yesu nisaidie ktk wokovu wangu
Barikiwa milele
Mungu awatie nguvu waimbaji.
Alex upo sahihi. Kweli Mungu Awatunze
nausikiliza zaidi ya mara tano! duh i love this song
Who is with me 2022 from Kenya the song is really a blessing
Siwezi Mwenyewe siku1 bila Mungu ni sawa miaka mingi jangwani Duu ubarikiwe m2mishi naamini hata Mbinguni utaimba mbele za Baba Mgogo upo juu ubarikiwe sn
mahali pale ni pale penye uwepo wako, hakika bila Mungu ni hasara, Mungu akubariki sana
Hallelujah, Hallelujah and Hallelujah!!!! Waaaa, Mungu Utukufu wote ni Wako. More grace Bro Mgogo.
Waooo congratulation man of God'"always utakula mb zangu coz nyimbo zako huwa zanigusa sana.Mungu azidi kukuinua uasi ukatengwe mbali nawe,usijeleweshwa na kipaji ukamtenda Mungu kama baadhi wafanyavyo.Mungu akutunze katika Imani.Amen
LINNA MLAY .💑💑💑💑💑💑
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Bwana asifiwe ndugu kweri sana
Nenda nasi bwana katika ii safari ya wokovu🤲🙏
Ujumbe safi sana👏🏽
Barikiwa Muno Kwa utumishi Wako..🇬🇧🇰🇪
Bila wewe mungu wangu Mimi siwezi chochote
Namna hii haiwezakani bila Roho mtakatifu kuhusika,may the Lord increase your boundaries.
Nami nakuombea USO wa MUNGU alive hai uende nawe daima. Maana peke yako hutaweza. Umenibariki sana wimbo mzuri, na umefurika nguvu ya MUNGU.
Amen ndugu Barikiwa
Hii ni real gospel tunayoihitaji , inajenga akili, inafanya mtu Umwabudu Mungu
bila wewe Mungu wangu akika siwezi nena nasi Mungu twakuomba ,my God bless you man of God ...natamani siku moja tupatane uko juu mbiguni tukisifu pamoga pia nakuabudu Mungu aliye tumba kwa mifano wake napenda sana nyimbo zako zinakuaga na upako wajabu .
Amina mtumishi Mungu azidi kukutia nguvu ktk huduma yako zidi kumtumikia Mungu wako
Hakika bila Mungu ni bure.
Always sijutii kusikiza nyimbo zk.
Nakupenda,Nakuheshimu na Mungu aendelee kuitangaza kazi yako Vyema na Uzidi kuwa na Vyeo Rohoni Na mwilini in Jesus Christ Name Amen.....Be blessed
Big up kaka good job, Jina la bwana libarikiwe
napenda sauti nyororo za kumuabudhu MUNGU kama hizi .hallelujah
Amina
Good
Siku moja bila yesu ni sawa na siku elfu jangwan nenda nami yesu
JEHOVAH bila wewe siwezi...naomba uso wako uende nami🇰🇪🇰🇪
Amina sana
Nenda nami yesu peke yangu siwezi
HEAVENLY PRINCESS be bessed
Ee MUNGU simama upande wangu bila wewe siweziii
mungu akubariki mtumishi WA mungu Wala usijute kuitenda kazi yake Bali akufanyie wepesi juu huduma yako maanyewe hauwezi
wanadam bila Mungu hatuwezi lolote ,,,,,,nenda nasi Bwana kama ulivyo enda na Musa ,,,,asanteee kwa ujumbe mzr mtumishi Mungu akuubariki na uzidi kumtumikia ktk roho na kweli
Team heaven Gonga Likes tuandae safari ya kwenda Mbinguni
Huu wimbo unabariki sanaa MUNGU akupiganie kaka
Me To
One day we will be with our Dady
Hallelujah hallelujah jina la BWANA MUNGU lihimidiwe. Asante kwaifanya siku yangu kwa chakula cha Roho yangu. Asante Emma
Kwa kweli nimebarikiwa sana kaka kwa hii nyimbo,mungu azid kukuinua
Am bless man of God
Nimeuwelewa Sana wimbo woko? Naomba utoe nyimbo kali nyengine zaidi ya iyo
Daaah brother sichoki kuusikiliza huu wimbo kwakweli MUNGU azidi kukuinua katika kazi zako tunashukuru kwa mahubiri mazuri lkn pia unafariji sana be blessed mtumishi wa MUNGU
Wimbo mzuri umenibariki sanaa
Safi sana
kaka mimi nilishaga sikrizagasana ila wewe nihatali sana
gud
Wimbo mzur Sana
Si wewe utungaye nyimbo hizi Ila ni nguvu ZILE za Mungu Alizoweka ndani yake. Nahelewa namna Mungu amewapa watu wake si kawaida kujaza maneno ya nguvu za Mbingu
Amen, uzidi kubarikiwa
Nyimbo nzuri sana kaka ubalikiwe sichoki kuangalia
usiache kutumka kwa unyenyekevu tuko nyuma yako kukuombea nakukubar
Hakika mtumishi wa MUNGU una mafuta ya Roho Mtakatifu barikiwa sana.
Mungu ailinde huduma yako Mgogo,Barikiwa
Mwimbaji wangu bora wa muda wote
Mwenyewe siwezi,,,bila wewe Mungu siwezi lolote... Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu.... Ujumbe mzuri sana
Kama unamtukuza MUNGU gonga like hapa tujuane
OBJs TV online kiukweli hii nyimbo imetulia sana sana ubarikiwe ndgyangu na mtumishi waMungu my roll modo
Ubalikiwe
Gooooood
Wimbo mzuri sana unagusa moyo barikiwa sana
Safi kaka nani kamelamani?
Hongera Mtumishi wa Mungu, Emmanuel Mgogo. Anointed gospel song. Huwezi amini, Mungu aliutumia wimbo wako kuongea na mimi moja kwa moja mwezi uliopita nilipokuwa nimepoteza mwelekeo katika safari yangu ya kuukulia wokovu.
Mng akubariki sana mtumish kwa wimbo mzur
Hongera sn my brother my God bless you abundantly
Baba mungu nenda nami siezi bila wewe uso wako uwende nami na ili niombi langu. Amen. Barikiwa sana mtumishi wa mungu.
Mary Kibali 😘😘😘😘😫
balikiwa sn bother
Amen and Amen brother Emmanuel blessed to be a blessing greater annointing to you..Siku moja bila uwepo wa Mungu ni sawa miaka elfu jangwani.More of Him I need.
Why I can't get enough of this song?🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️ ubarikiwe sanaaa
Naheshimu sana mungu alichokiweka ndani yako Brother Emmanuel be bless nimesikiliza wimbo huu naona kama mbingu zinafunguka roho mtakatifu yundani yako
Tafuta sana kuwa na Mungu ,tunza sana uwepo wa Mungu powerful message
Gud
Eimen
@@menasehliula6194 Ujumbe kamili,
Amina
Neema Marco Ochieng Kabisa
Siwezi lolo bila wewe mungu wangu uwe nami katika duniahi yathiki ni shida namateso Ee mungu mbariki mtumishiwako mungu akubariki kaka 🙏 from America
Neema Sabuni, Ameen
Shida gani mtumishi wa mungu kwakukaha kimwa mwaka kaririya mwaka mzima awahikahagi hikahagi kimwa kiasihicho mtumishi tuna kuwa tuna miss nyimbo zako ila kwa huu wimbo kweli unabariki moyo kwa wa 👍🇹🇿🇨🇩🌐
Mungu tembea nami siwezi kutembea pekeang nahitaji msaada kutoka kwako Mungu wangu
Hiyo kaka umeweza, kajaa neema na upendo
Mwenyew siwezi🙌🙌 wenyewe 🇹🇿 hatuwezi Yesu enda nasi
Sitoanza wala kuendelea pasi na USO wa Mungu...nitatunza sana uhusuano wangu na Mungu.Hili ni dua langu Leo.Amen
Amen in juses. Name ❤❤❤❤🎉🎉🎉
be blessed my brother I love you and I appreciate your work
whaoooooo! God bless you Emanuel
Wimbo mzuri Sana uso wa Mungu ukienda nasi hakika mafanikio tutayafikia ubarikiwe Mtumishi
Yani huu wimbo unanifanya ninahisi nikama siko duniani, yani naona niko tayari kwa mwenyezi Mungu, ubarikiwe sana, jinsi nasi tunavyo barikiwa,.
Nyimbo zako zinachoma kama moto ....I swear narudi kwa MUNGU WANGU ambako kuna furaha isiyo na kikomo ..
lulu sande
lulu sande karibu
Nikisikiliza hii nyimbo ghafla tu napata amani moyon
Huu wimbo faraja yangu
Nakukubali sana mtu wa Mungu,nyimbo zako zina upako wa kipekee mno
Glory To god,,.barikiwa
Sanaaa
Nenda nami baba usinitenge na uso wako bwana yesu
Najivunia huyu Yesu fahari yangu siwez bila yeye ubarikiwe had ushangae
Very uplifting.. God bless you servant of God
Kwakweli wimbo huu huwa nikiuangalia au kuusikiliza nafarijika sana na mungu akuinue sana brother
Hakika bila kwenda nami Yesu pekee yangu cwezii
Bila wewe siwezi yesuuuuu..I will lift ur name higher and higher Jehovah thanks my Redeemer
Nzuri sana