ipo neema kumjua Mungu.. asante Mungu kwa kujijulisha kwangu kupitia matendo yako makuu.. hukati tamaa juu yangu. unanisitiri, unanihifadhi, unanibeba.. NAKUPENDA BABA
Mungu akubariki sana mtumishi kwa utuzii huu mzuri,ukizisikiliza unana kabisa Roho mtakatifu alivyo kungoza ni nyimbo zenye kugusa mpaka mtu wa ndani Ameni.
Amina Ubarikiwe kaka yangu mpendwa, maana nyimbo zako zinanibariki sana sana, siishi kuzisikiliza na zina uvuvio wa Roho Mtakatibu. Mungu akubariki sana na aendelee kukupa ufunuo zaidi na zaidi.
Yesu Atukuzwe Sana,wimbo huu ulinisaidia nikajifungua salama mwka 2017 mwez 9 ,ulikua wimbo wangu,ulinijenga kiiman kias kwamba nilijifungua kama mwanamke wa kiebrania,Amina Sana nawapenda sana
Jaman jaman Yani sijui hata nn kilifanya mkatengana ila nilikuwa nikiskia wimbo huu najua mungu anakuja kesho sijui ata nn kilifanya Kaka ukawakimbia wenzio daah
Bravo brother mgogo nyimbo hizi Zinanivutia, zinanitia moyo na zinanifariji pia usichoke kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo be blessed and through your songs I will be blessed too .
mungu akubariki sana kupitia wimbo huo akupe nguvu na sauti zaidi ya iyo wewe ni mkali wa nyimbo za injili kaka yangu mungu akubariki sana sana nimeguswa na wimbo ninamjua ni kweli akuna kama mungu
Mungu ni mwema sana kwetu nami nasema ninamjuwa Bwana wangu ubarikiwe sana brother Emmanuel Mgongo nyimbo zako zina nibariki kila leo Mungu akuzidishie nguvu mpaka mwisho Amen!
Thank you Jesus "uwezo wake wa ajabu, nguvu zake za ajabu" oh yes, " Mungu haogopi, Mungu hatishiki, anatisha hajawai kushindwa" "sitaogopa mabaya sitakata tamaa, maana ninamjua aliye mbele yangu ni mwaminifu sana"🙏 words speaking to me in 2023 n now🙏🙏🙏🙏may God bless this ministry 🙏
I heard this song on Matatu i had to search for it on youtube,,i must say its a very nice song it speaks to my soul..Let God's name be praised forever and ever
Mungu akubariki sn sn kwa utumishi uliotukuka mbele za Mungu albam yko ni tamu sn endelea kujishusha mbele za Mungu utafika mbali sn hatimae umilele wetu. am proud of you bro!
Hii album ilivyotokaga tuu nilikuwa naupenda saanaaa wimbo wa msikilize mungu 😍😍😍 ndo ilinifanya nikapata nyimbo zako zote barikiwa saanaaa 😍😍 ninamjua aliye juu
Haleluyaaaaaa!! Ninamjua Mungu wangu wangu wa kweli aliye Juu na ni Mwaminifu kwangu, Ubarikiwe Brodher Mgongo Uzidi kusonga mbele na nabarikiwa kwa nyimbo zako
mungu anaketi mahali penye sifa kwel kaka Emanuel kwa nyimbo zako tunamwona mungu kwenye maisha yetu namwomba mungu azidi kukupa maono uendelee kumtukuza yeye kama unavofanya kwenye Nyimbo zako
I've never liked this kinda songs or even listen to them, but this one it hits me every single time! Ninamjua🙌 and I surrender... Ametamalaki mataifa yanatetemeka😊
Wow! This is a powerful song initia nguvu mungu akupe neema mtumishi wa mungu, God has a big😂😂😂 reason nami sitakata tamaa maana mungu ni mkuu juu yangu kupitia for this song.😃😄😄
ohhhhh my God this song is beyond my explanation, this song plucks off my hair i feel like flying to heaven and meet my lord ---ohhh i wish ------------ barikiwe sana kaaka yangu the heaven is happy angels do appreciate the good Work.
Wanaomjua mungu anatamalaki mpaka sasa ktk maisha yao pasipo kukata tamaa,shalooooom!!
Jamn nkisikiliza wimbo zake Emmanuel nafarijik sana
Jamn hiz nyimb mpk leo zinaishi na ujumbe wak unadumu
HUYU KIJANA NYIMBO ZAKE ZOTE ZIMEJAA AKILI NYINGI ZA ROHO MTAKATIFU...NYENYEKEA TU EMANUEL... BARIKIWA MTUMISHI WA MFALME KRISTO BWANA WETU
Mitume wa zamani na manabii walimjua Mungu walitetea imani maana walimjua Mungu anaweza kutenda
2024 bado nasikiliza, 2100 mkiona comment yangu mjue nilikuwepo.
tupo p1 2024
Huu wimbo naupenda sana jaman unanibariki
ipo neema kumjua Mungu.. asante Mungu kwa kujijulisha kwangu kupitia matendo yako makuu.. hukati tamaa juu yangu. unanisitiri, unanihifadhi, unanibeba.. NAKUPENDA BABA
Wah this Song .
Am here watching 2024 still powerful
2024
2020 kama bado unasikiliza huu wimbo gonga like
Najua ipo miungu wanadamu wanaimini lakini sio kama MUNGU eee MUNGU wangu
Mungu wangu ni mungu wa kweli
NinamujuwaMnguwangu Amen 🙏🙌🙌
Ninafarijika sana ninapo isikiliza hii nyimbo asa nikiwa kipindi cha magumu ila ninamjua bwana ajawai kushindwa na jambo 😍😍😍ninamjua×2bwana wangu
Nakupendaga kaka anguh pamoja na nyimbo zako barikiwa sana
Amen 🙏 Munguametambalakimataifananatetemeka
Kiukweli kumjua Mungu kuna raha yake na Amani ndani ya moyo.
Nawapenda wote na huyu Dada popote ulipo nakupendaa uko rohoniii
Ninaupenda sana huu wimbo kuliko nyimbo zotee ambazo nimewahi kusikia mpaka sasa
barikiwa mnoo
Izi nyimbo zinaupako wa mungu mwenyewe hakika❤❤❤❤
Amen Kaka Ang mng aww nawee siku zote nyimb zako zinanibarik San huwa zinanifarij pia napend kuimba nataman kufika uko na me mtumishi niombee
Daaah namjua kama unaangalia 2020 usisaau kugonga like 🥰
Barikiwa Sana sayuni band
Nabarikiwa nikisikia huu wimbo jamani nashindwa kusimulia
MUNGU awainue zaidi
Mungu akubariki sana mtumishi kwa utuzii huu mzuri,ukizisikiliza unana kabisa Roho mtakatifu alivyo kungoza ni nyimbo zenye kugusa mpaka mtu wa ndani Ameni.
Nawapenda sana,nataman siku moja muimbe pamoja tena.
Oooo hallelujah..hakika ninamjaa...Nani yupo nami kwenye huu wimbo ndani ya 2022---------mwisho
Amina Ubarikiwe kaka yangu mpendwa, maana nyimbo zako zinanibariki sana sana, siishi kuzisikiliza na zina uvuvio wa Roho Mtakatibu. Mungu akubariki sana na aendelee kukupa ufunuo zaidi na zaidi.
Ninamjua Mungu wangu 🙏🙏🙏
Yesu Atukuzwe Sana,wimbo huu ulinisaidia nikajifungua salama mwka 2017 mwez 9 ,ulikua wimbo wangu,ulinijenga kiiman kias kwamba nilijifungua kama mwanamke wa kiebrania,Amina Sana nawapenda sana
Jaman jaman Yani sijui hata nn kilifanya mkatengana ila nilikuwa nikiskia wimbo huu najua mungu anakuja kesho sijui ata nn kilifanya Kaka ukawakimbia wenzio daah
yaani samahani hivi kwaya ya hawa wadada inaitwaje
Mungu akubariki mdogo wangu
Amina sana, wimbo unanikonga moyo Wangu, nauwangalia kila siku.
Hata iweje hanidanganyi mtu Mungu wangu ninamjua, Ametamaraki Mataifa yanatetemeka, Ahsante sn Mtumishi wa Mungu wa Mbinguni Emmanuel Mgongo 🙌🙌🙌👏👏👏👏
Bravo brother mgogo nyimbo hizi Zinanivutia, zinanitia moyo na zinanifariji pia usichoke kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo be blessed and through your songs I will be blessed too .
Wimbo nimzur san yani unanifanya nimjue mwenyez mungu vizur mbalikiwe san
I know your miracles my living God, sitaogopa! Mungu hutishiki hujawahi kushindwa.mtetezi wangu upo hai
Amen
mungu akubariki sana kupitia wimbo huo akupe nguvu na sauti zaidi ya iyo wewe ni mkali wa nyimbo za injili kaka yangu mungu akubariki sana sana nimeguswa na wimbo ninamjua ni kweli akuna kama mungu
Who still listening to this song after so many years!
This was “Fire …”
Can you say “AMEN “
AMEN
Hakika nina mjua mokozi wangu mtetezi wangu Mungu wangu Yesu kristo Amen
2019, ninamjua Mungu wangu mtetezi wangu. Jamani unanitetea Mimi na nyumba yangu na ndugu zangu.
Ninamjua Mungu mtetezi wangu mmmmh! Bila Wewe Mungu sijui ingekuwaje.
Mungu awabarki Waimbaji wote kwa huduma nzur ya uimbaji, NAWATAKIA J PILI NJEMA YENYE BARAKA.
hat iweje hanidanganyi mtu kwa habar ya huyu Mungu,ninamjua alivo hakika ninamjua barikiwa watumishi
Twend sawa2019July 28
Neno la mungu linasema hivi mjue sana mungu sitaogop mabaya dah😍😍😍
Naupendaga sana huu wimbo!!
Wimbo unanibariki sana ,Namjua Mungu wa matendo makuu
Unapenda sana wimbo huu, unabariki sana moyo wangu.
ninamjua Yesu anipendaye, anihurumiaye
Asante Yesu kwa kunifanya niwe wako,wewe ni mtetezi wa maisha yangu ya sasa na ya ufalme ujao
🙌🙌🙌🙌
kazi njema sana
Amen 🙏🇧🇭🙏🇧🇭 ametamalaki mataifa yote ,am blessed with this song ,,,Nina mjua Mungu wangu ,amenipigania sana 🙏🙏🙏
Napenda saana nyimbo hi mungu akubariki na wale wasio penda kwa kweli naona kama ni watu wagiza kwa kweli
Raysa Love yaani zote zinabariki hazichoshi kusikiliza Mungu ampe viwango vya juu
Daah braza unajua mpaka bac... Mbeya mmejaliwa jmn
Praise God 🙏🙏🙏🙏,I know him
Mungu ni mwema sana kwetu nami nasema ninamjuwa Bwana wangu ubarikiwe sana brother Emmanuel Mgongo nyimbo zako zina nibariki kila leo Mungu akuzidishie nguvu mpaka mwisho Amen!
Thank you Jesus "uwezo wake wa ajabu, nguvu zake za ajabu" oh yes, " Mungu haogopi, Mungu hatishiki, anatisha hajawai kushindwa" "sitaogopa mabaya sitakata tamaa, maana ninamjua aliye mbele yangu ni mwaminifu sana"🙏 words speaking to me in 2023 n now🙏🙏🙏🙏may God bless this ministry 🙏
Real nice, hata nikiwa nimechoka napata nguvu kwa nguvu za hili song. Thanks God for this team.
nimeguswa sana na wimbo huu emmanuel mungu akubariki sana jamani
Hata mimi namjua Bwana wangu aliyenieousha kwa ajali ya barabarani mara mbili.
Ubarikiwe Emanuel Mungu akutie nguvu kazi yako mungu anaijua ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa nyimbo zako zinamgusa mpaka mungu mwenyewe amina
Zinamgusa mpaka mungu jaman
UBARIKIWE mtumishi kwa wimbo huu, sisi tunamjua Mungu wetu aliye mbinguni. Hatufwati mashetani MacKenzie wala Ezekiel
And those who knows there God, Daniel 11:32
I heard this song on Matatu i had to search for it on youtube,,i must say its a very nice song it speaks to my soul..Let God's name be praised forever and ever
The same happened to me
KWa kweli hakuna jina takatifu kama hili Yesu kristo ,ninamjuwa niache nimtumikie tu
Mungu awabariki. kweli namjua Mungu wangu.
Khisa Abraham amina
Ameeen. Ipo miungu lakini sio kama MUNGU WANGU. Barikiwa mno mtumish
Mungu hawezi kunyamza mpaka haki yako ipatikane! Mbarikiwe kwa uumbaji!
Hakika unanibariki kaka emanueli nakupendasana unafanya nibarikiwesanaa Mungu akubariki azidikukuinua juuuuuu
Mashallah 💓
2021 ,Mataifa yanatetemeka.
Mungu akubariki sn sn kwa utumishi uliotukuka mbele za Mungu albam yko ni tamu sn endelea kujishusha mbele za Mungu utafika mbali sn hatimae umilele wetu. am proud of you bro!
Hii album ilivyotokaga tuu nilikuwa naupenda saanaaa wimbo wa msikilize mungu 😍😍😍 ndo ilinifanya nikapata nyimbo zako zote barikiwa saanaaa 😍😍 ninamjua aliye juu
🎉🎉sichokagi kuusikiliza huu wimbo leo ni 2024
Haleluyaaaaaa!! Ninamjua Mungu wangu wangu wa kweli aliye Juu na ni Mwaminifu kwangu, Ubarikiwe Brodher Mgongo Uzidi kusonga mbele na nabarikiwa kwa nyimbo zako
mungu anaketi mahali penye sifa kwel kaka Emanuel kwa nyimbo zako tunamwona mungu kwenye maisha yetu namwomba mungu azidi kukupa maono uendelee kumtukuza yeye kama unavofanya kwenye Nyimbo zako
Mungu ni mwaminifu san...ananguvu..sana ..anatisha...yuko juu san nmemuon kwenye maisha yang...amenihurumia hivo amenihudumia
huu wimbo mnzur sana...naupenda sana ulinivusha kwenye changamoto
I've never liked this kinda songs or even listen to them, but this one it hits me every single time! Ninamjua🙌 and I surrender... Ametamalaki mataifa yanatetemeka😊
Wow! This is a powerful song initia nguvu mungu akupe neema mtumishi wa mungu, God has a big😂😂😂 reason nami sitakata tamaa maana mungu ni mkuu juu yangu kupitia for this song.😃😄😄
After so many years...this song still the best.
Nakupenda sana mungu
Mubalikiwe sana
vizuri sana kaka Emanuel
Namjua Mungu wa kweli awezaye kuniokoa
Nabalikiwa nanyimbozako hatarii wekakaMungu akutuze zaid
Hakika ninamjua Mungu wangu maana yeye hatetewi anajitosheleza kwa maajabu yake....
Nyimbo nzuri sana inabeba ujumbe mzuri
Wimbo huu unanibariki sana......... mungu awainue waimbaji hawa!!!!!!!!!!!!!!
Nikisikiliza nyimbozako nabarikiwa sana🙏
2021: Ninamjua Bwana wangu. Glory to God for this song.
MUNGU azidi kukuinua nabarikiwa sana na izi nyimbo Hasa NINAMJUA sichoki kuusikiliza.
Dada uliyeimba nae kaka nae anajua naipenda sana nymbo ya ninamjua
Uendelee kustawi mteule wa Mungu
Mungu akupe kiu ya kumtumikia daima.. Ameen
antiokia
Emmanuel mgogo ludi muendeleze kundi lenu jmn nawapenda sana
Barikiwa sana Emmanuel napenda sana nyimbo zako coz zinainua imani yang
Naupenda sana wimbo huu maan unanibariki na kunitia moyo katika yote niyapitiayo
Mungu azidi kukuinua...nabarikiwa sana Na nyimbo zako...Emmanuel Mgogo
Waooh I like this spiritual song
Barikiwa kwa ajili ya nyimbo hizi zote zitokazo enzi ya mbinguni.
ohhhhh my God this song is beyond my explanation, this song plucks off my hair i feel like flying to heaven and meet my lord ---ohhh i wish ------------ barikiwe sana kaaka yangu the heaven is happy angels do appreciate the good Work.
Lincon Tayebwa
Waoh appreciate you bro ema ,namjua kwa mengi maishani mwangu
So wonderful Ametamalaki mataifa yanatetemeka du!Mbinguni ni raha here Yesu nisaidie
Mungu anatisha jamani nabarikiwa sana
Jaman emmanuel pamoja sanaaaaaaaaa
Kwakweli MUNGU wetu hashindwi...hakika ninamjua Bwana wangu kwakuwa ni mtetezi.Barikiwa sana