Nyimbo za injili ni tamu sana god bless your life ukitaka amani ya moyo sikiliza nyimbo zainjili kaka umetisha sanaaaa! Mungu akubariki uendelee kutoa nyimbo nzuriii.God bless
Hongera Sana yaani mavazi ndiyo barua halisi hasa akina mama wakivaa mawigi na mahereni na suruali basi hapo wanaharibu uwepo kama huyo ni mkeo ubarikiwe amevaa vizuri mmependeza pia nayo nyimbo ni nzuri Sana
Wacha waje
Outstanding..
Kila mmoja anayetazama wimbo huu barakaa
Ameen
Ameen
Aaaaaamen
👏👏👏❣️
Sifa na utukufu vimrudie yeye simba wa kabila la Yuda..
Nyimbo nzuri hata mimi naitegemea ahadi yake Mungu🎉😢😮😂😮😅😮
Ameen
Tulio urudia mara mbili mbili tujuane maana da hauishi utam Waache waje na siogopi
Wimbo umenibariki mtumishi
Kaka mgogo napenda nyimbo zako sana mungu azidi kukuinua viwango vya juu sana kuchochea karama yako.
My favorite song 🎉🎉thank you servant of God for that good gospel song 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Wajeeee ameneeeeeeeee
Hakika Mungu wetu ni moto ulao. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amina,hakika huu wimbo huongeza imani juu ya mapambano ya ulimwengu huu.ukiwa na Mungu basi umebeba kila kitu
Blessed be Thy Name
Nilipokujua na ile wimbo ya: Mungu ana haja na wewe " niliona Mungu ndani yako
Keep listening from God
Aminaaaa. Jaman mkuje huku
Napenda sana nyimbo zako kwa kwel
Waache waje, 🔥🔥🔥Hakika ni wimbo bora,unarudisha jinsi ya kutowahofia wabaya wetu, Mungu alibariki mtumishi#Emmanuel Mgogo
Wimbo hiininzuri inanibariki najamalangu
Barikiwa xana nyimbo zinanipa faraja xana tena zaidi ya sana.
niishie kusema tu kwamba tunafunga mwaka na waache waje huu sio wimbo tu Bali niutukufu wamungu mwaka unaisha na waache waje
Aminaaaa
Mimi hata sijui nimeurudia mara ngapi huu wimbo jamaniiii
Good song in god we trust give you 🙏🙏🙏🙏🦂🦂
Sauti kama ya enock mubarikiwe watumishi wa mungu
Yaaan sijui kwann nafarijika sanaa nikisikia nyimbo zako
Ni kwa neema tu iliyo juu yetu, Ubarikiwe
barikiwa sana jamani machozi ya furahaa yanitoka Mungu ni mkuu kuliko tunavyowazaa.waache wajeee.
Amen mungu nione kwa hii nyimbo
Congratulations 🎉nice song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wachungaji kama Cassian ni wachache Sana duniani. Mungu akubariki na akulinde sana.
Confuse them God🙏
Ubarikiwe na bwana nyimbo nzuri
Amen ubalikiwe sn
Barikiwa sana mwanangu.
Mtumishi nyimbo inanibariki sana
Kaka nyimbo nzuriiiiii sana Mungu akubariki zaidi na zaidi
Thanks love this song .
Kaka nyimbo zako zinanibaliki sanaaa
Sna mengi ila mungu Akupe Miaka mingi ya Kuishi Kaka angu
Mungu azidi kukuongeza maarifa zaidi ya kututolea nyimbo zingine zaidi Tena zaidi
Don't dare GOD children are protected by HIM i love you GOD 🙏 GOD bless you pastor Emmanuel 🙏
Nyimbo za injili ni tamu sana god bless your life ukitaka amani ya moyo sikiliza nyimbo zainjili kaka umetisha sanaaaa! Mungu akubariki uendelee kutoa nyimbo nzuriii.God bless
Muda wa kukaa utumwani umekwisha🙌🙌🙏
Kuzimu imetaharuki
Wimbo huu unanipa matumaini sana
Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuriiii 🤝🤝🤝
Nabarikiwa nikiwa Karatu Arusha
Kila wakati umekuwa vizuri kwenye nyimbo zako, Mungu akubariki
Hacha waje wapigwe na Mungu
Namwamini xana huyu jamaa nataka cku Moja nimwone Kwa macho
SAWA.kabisa.mungu.niorijino.haleluyaaaaa
Wacha waje to the world 💥🌎🌎🌎🌎🌎🙌🙌 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukisonga 💖💯💖 Emmanuel mugogo never dissapoint
Huyu wimbo unanibariki Sana hongera mwanangu
Ahsante sana mtumishi wa Mungu hakika Mungu anatupiigania
Natamani kujiunga nawewe use mwl wangu napenda miondoko yako. Ila dk no nyingi jaribu kupunguza mpk dk 6. Ahsante mtumishi wa Mungu.
Mungu azidi kukuinua Sana Nyimbo zako zinanibariki sana
Habari yamapambo haiko kweke aendelevile
Amina mtumishi wangu tumebalikiwa sana 1:51
Amen ubarikiwe kaka mana nyimbo zako uwa zinanifarij🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇸🇦
Mungu wa Majeshi ndiye Mungu wetu
God bless you kaka iyo nyimbo napenda Sasa be bless forever.
Huu zaidi ya wimbo ni semena
Hii ni moto. Nahisi ikiniwasha kiroho!
Wimbo mzuri sana kaka mungu akubaliki
Asate yesu mutumishi wako niwakweli namungu akubariki mutumishi kwanyibo Zako mimi na mume wangu tumebari kiwasana Ila usikawe kutowe igine
Amen! Sana Mungu awabariki na kuwatunza
Wimbo mzuri
Nyimbo nzur zina nguvu ya mungu
Usichezee wana Mungu
Wewe nitofauti n'a wailbaji wengine
BABA JITUKUZE KWA MAISHA YANGU NA WATOTO WANGU
Waache waje Ameni kakangu Emma
Halelluya Yesu Ni Bwana Nimebarikiwa sana Mungu akubariki Mtumishi
Hallelujah mungu ni mungu mkuu, jitwalie utukufu mungu Simba wa yuda
Hata wakutupe geleza, usilalamike
Usichezee wana wa Mungu🎉
Kuimba kipaji mwache atue Kalam yak
Nzuri sana mungu akuzidishie
Kali sana 🔥 . Wacha waje Usiogope , nao watajua Mungu Tulie nae ni Bwana wa Vita.🙏👌
Schal#-
@@eddymaloba4432 Amen 🙏💖
Kali sanaaa ninoumaaa mnooooo
Amen
Moto sana hiyo si mungu akubariki mtumishi ndugu mgogo
Hongera Sana yaani mavazi ndiyo barua halisi hasa akina mama wakivaa mawigi na mahereni na suruali basi hapo wanaharibu uwepo kama huyo ni mkeo ubarikiwe amevaa vizuri mmependeza pia nayo nyimbo ni nzuri Sana
Ubalikiwe
Ubalikiwe sana kaka
Wates njoon ili muuone mkono wabwana naona bado hajajua Kama anae nitetea nimungu
Wimbo mzuri sana nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa Mungu hongera ubarikiwe sana
Hi
Yes brother mungu awe nawe
Wimbo ulio bora
Barikiwa sana mtumishiii Ili uzid kutubariki wengine
Uko juù.
Kabisa mimi sitaogopa maana Mungu ni mwema kwangu
Jamaa huyu gospol anaitendea haki
Hach waje wakutan na Mungu
Mina penda nyimbo zako sana , ufunuo mtamu sana
Kaka mi natamani nikuone ase be blessed with our God unanpa moyo wakufatilia injili ya yesu kristo
Barikiwa mtumishi wimbo mzuri mno umenibariki
Ubarikiwe sana kwa huduma ya uimbaji
Mbarkie watumshi was Bwana
Mchungaji ubarikiwe sana kwa kazi hii yenye upako.
Asante kwa wimbo mzur ubarikiwe
Amina barikiwa mtu Wa mungu ❤❤❤❤❤❤❤
Napenda Sana nyimbo zako zinanibariki
Ongela jitaidi
Wimbo huna vituu
Hawo wasichana nimapacha😅😅😅God bless🎉🎉
Nime barikiwa
Hakika amen wimbo unaupako wote ubalikiwe
Amen!