Najua comments ni nyingi maoni ni mengi humu ya busara na ku katisha tamaa but niskize mimi Benson yani kiukweli mziki wa makelele wa kuchezeka tumechoka..say noo to mziki wa ma bomu...stand tall and say "HAUZIMIIIIIIIIIIII"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..👏👏👏👏👏👏👏👏angamiza kabisa mziki wenye vurugu takataka nyingi...sema hauzimiiiiiiiiii🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃💃
we jamaa fundi xana yani huu wimbo naukubali sana nilikuwa nashindwa kuupata hata nikienda google mbwanda ila leo nafsi imekaa mahala imesuuzika #benson uko vizur nina imani utafika mbali nakuombea mema ndg yang.
Yaan hii nyimbo mpaka nalia nikisikiliza yaani ina feeling za ajabu kila kitu kwenye hii nyimbo ni kizuri na pia unamuonekano wa kistar nakuona mbali sana keep it up #benson
mwenyezi mungu onyesha mwangaaa Kwa huyu kijana sabab sina tabia ya kukoment TH-cam Leo Mr hauzimi me kiivyangu nakukubali Sana kutoka team Mabantu sundi
duh kitu kitam Ni kitam tu,,nmeiskiliza zaid ya Mara NNE clouds FM,, sikio LA good music likawa linaniita xan nmefatilia nw nmepata TH-cam account yko keep it up #benson I see u so far
Wow I'm from Ghana. Heard this music by accident 48 hours ago and I've been PLAYING IT NON-STOP! I don't understand a word but it's Great Music. Benson, you've got a fan in West Africa!
@@Benwilltz benson vp rud bac tukuckie ndg maana huu wmbo unankumbusha mbali hasw nkmkumbka x by wang aliefanya nhame tanzania plz toa kt kngn,lyisa +54
Dah unajua bana natamani ningekua bongo ningekua video vixens wa hii ngoma free hio ingekua zawadi yang kwako keep it up.....your baddest tanzania 🇹🇿 we love #good music 🎶
kiukweli hii ngoma nimeiyelew kinoma umetisha Benson jiandae na intaviwe APA APA Baustas theboss Tv watazamaji kama mnata muwe MNA pata habali zangu bofya apo chin itakuja kengere APA utakuwa umetisha kinoma
ni bonge la nyimbo mwenye kujua nyimbo bc hii atakuwa kalielewa .umetisha sana Benson nimependa the way ulivyoimba hapa mwanzo kwa hisia yani umejua kuniteka .100percent sina ubishi
Nyimbo kali 2024 niko hapa bado❤
Kali mnoo🥳🎧
15-10-2024 Tuesday.
5 Dec 2024 ngoma kali sana
bonge la nyimbo kama umemuelewa benson gonga like twende sawa
Trump khan yuko poa
Good job nice god bless u ben
Atari sana
Nice boy
Huyu dada ana kosha tangia nyimbo ime toka sjawah ichoka iko gud sana
Nani mwengine yuko 2020 benson gonga like twende
Thank you all for the likes Asanteni
Sauti nzuri hiz ndo nyimbo za kusikiliza🙏🏻😍
Umeona
Hii ngoma uwa naiskirizaga kila mara yan daa ngoma kali km umeiyerewa km mm like twende sawa bg up benson huu ni mwazo mzuri kwako!!!
Of cz na kdmsh km kteeee
Naomb bs unitumie km unayo
Type vizuri kwanza
Najua comments ni nyingi maoni ni mengi humu ya busara na ku katisha tamaa but niskize mimi Benson yani kiukweli mziki wa makelele wa kuchezeka tumechoka..say noo to mziki wa ma bomu...stand tall and say "HAUZIMIIIIIIIIIIII"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..👏👏👏👏👏👏👏👏angamiza kabisa mziki wenye vurugu takataka nyingi...sema hauzimiiiiiiiiii🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Mama wa nyumba kumi Asante sana sana mumy kwa maoni mazuri asante sana...
nice
Uko vizuriii sanaaaaaa hatari HAUZIMIIIII BONGE LA SONG. ...............
Vizuri xana good song benson
Kwer
December 2023 but This Song Live Rent Free in My head 🙌🏾❤️❤️
the same way to i,, master
coz it is attached with some memories behind that's y become like
Km ukitaka kulala unasikiliza ngoma hii, gonga like twende pamoja
Kama umerudia kuangalia tena like hapa
Ngoma kali sana hii
18-05-2020 JUMATATU SAA 06:48 🇿🇦🇿🇦
Wachaga bwana kazi kidogo pesa mwingi dogo kasha tobowa hataki music tena
2024 daa nyimbo adi inasisimua
Nimetok wasafi straight to here....wow...nyimbo nzuri
daaaaaah viewers wanatakiwa ata milon moj ni wimbo mzur watu wankujaga na maboko yao wanapata views weng 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😬😬😬😬😬😬😬support good music
Anicia Kimaro ndo hvyo yan me mwenzenu huyu kaka ananchengua kweli watu wanaopita bla kuview n wajnga asee
Niko Tena hapa 2024 kuiangalia hii nyimbo inanikosha Sana
Bonge la ngoma hii...ungekua WCB ingekua one of the best bongo songs for a while trust me!!nice message...vocal on point👌!!big up Benson
It's 2021 am still listening to this beautiful song of all the time...🔥🔥
🔥🔥🔥
🥰🥰🥰
👋👋
👇 *BONYEZA HAPA UJIONEE* 👇
th-cam.com/video/B-UEwoGLaMg/w-d-xo.html
Do you still a live
Nice song broo nimesikiliza zaid ya mala tano uko vizur
Daaaah inauma na kuchoma
Daaah hii ngoma n kalii saaana nmeiskiza mara 24 ndani ya siku 7 Mzee unakipaji
still one of my favorite hit,..bado hauzimi 2024
Kiukwel m nakosa ata cha kuongea ,nashindwa nianzie wap niishie wap. Wimbo mzuri kaka angu Mungu akusimamie kwenye kaz zako
Dah huu wimbo naupendaga saaanaaa a yaani nimejikaza adi nikaupata
Duuu sijawai kuchoka sikiliza huu wimbo 😘😘😘kazi nzuri bro,, keep it up
Hii nyimbo inanikumbusha Ex wangu 😢 jaman alikuwa anaipenda nikimkwaza Victor popote ulipo nimekukumbuka sana 2024
Mimi nikajua ya lava lava kumbe kumbe jamaa mwana kwhii ngoma umewashind wakubwa APA umewakalisha
Bro anajua sana basi tu 2023
Almost 2022 and still this song rocks... Marry Xmas🎄🍾 and a happy new year GOD BLESS YA'LL 🙏❤
Wakati mziki ulipokuwa mziki, sijawahi kuchoka kusikiliza hili goma. Sept 16, 2024
Kutoka zero hadi hero sio rahisi pambana sana kijana kazi nzuri sitegemei kama utaniangusha kwakazi zijazo
2023 hii nyimbo naiskiliza mpk machozi
2022 and still listening this beautiful masterpiece
Yessirr
This song🫀
wewe umeshakua maalufu kamaukijipanga usikulupuke endeleza moto uu
Nice song, nice words, nice voice, amazing work ,mwaaaaaah!!!!!!
Kaka hii nyimbo inanikosha sana!
we jamaa fundi xana yani huu wimbo naukubali sana nilikuwa nashindwa kuupata hata nikienda google mbwanda ila leo nafsi imekaa mahala imesuuzika #benson uko vizur nina imani utafika mbali nakuombea mema ndg yang.
Duuh
Bado linanikoshaaaa🎉🎉 goma hauzimiii daaah nakumbuka mbali sanaaaaa nikisikisaga ili gomaaa
Yaan hii nyimbo mpaka nalia nikisikiliza yaani ina feeling za ajabu kila kitu kwenye hii nyimbo ni kizuri na pia unamuonekano wa kistar nakuona mbali sana keep it up #benson
angel sweety Thanks much mumy
unajua xana ,,,mungu akujalie
daaaa hiii ngoma nimeiplay mpaka simu imekata chaji nashida kuplay zingine umenibamba umenigusa mkaliii
Wale 2024 tuko sawa Ngoma nikaliiiiiiiiiii mm sichoki kusikiliza hiiii 🔥🔥
mwenyezi mungu onyesha mwangaaa Kwa huyu kijana sabab sina tabia ya kukoment TH-cam Leo Mr hauzimi me kiivyangu nakukubali Sana kutoka team Mabantu sundi
Salim Kalenga Asante sana ndugu yangu
me mwenzenu had nalia we kaka me stamn kusikia mabaya yako nahtaj mazuri tyyuuuuu
Unanikumbusha mbali sana boy kutoka Alachuga mpaka kuwa muhudumu wa bar na hatimaye leo ni Star.... ama kweli tusikate tamaa!
Mashairi mazuri,saut nzuri dooh keep it up unajua xana na utafika mbali
01:05-06 naisikiaga Mimi tu sauti ya producer akimwambia jamaa "Unga" My Fav. Song Of All Time
duh kitu kitam Ni kitam tu,,nmeiskiliza zaid ya Mara NNE clouds FM,, sikio LA good music likawa linaniita xan nmefatilia nw nmepata TH-cam account yko keep it up #benson I see u so far
Daud Mbwahali asante sana
Daud Mbwahali good
Atal 🔥
2023 ila bado naipenda sna hii song😢❤️❤️❤️
Nmefurahi kuickia hii nyimbo,I'm very happy👏👏👏👏👏👐👐👐
12__09___2024
NIMERUD KUCHEKI TENA HII KAZI KĀMÂ NA WEWE BADO UPO WEKA LIKE TUJUE
❤❤❤❤❤❤❤
nyimbo nzuri asee iyo lyrics sasa motooo nice work brah!!
Bonge la nyimbo
Ngoja niongee na benson nitolee crip za kutosha
Daah...hongeraaa aiseeeh umeuaaa yaaani big up sanaaaaa
Nyimbo tamuu
Apo Mr.Blue angeingizia Sauti Yake Kidogo Mngewafunika WASAFI...Nyimbo tamu hii
Me Nimekuja Leo Tareh 30/9/2024..🎼Nieleze Kitu Gani Sijafanya Au Nafanya Unahisi Nakosea??😢😢
Nguvu ya kutokata tamaa
Ulipotokea kuhudumu bar mpaka bonge la Star pongezi kwa Clouds Media Group
Benson umetisha sana bado kwenye chat Mpka 2030,,,,,,,,
amazing voice and talent... wish watanzania tungekuwa tunatambua vipaji vya ukweli sio kufuata mikumbo... safi sana kijana usikate tamaa utatusua tuu mbeleni
Hinton Great ingakuwa Tim Fulani ungeona misifa kibao na comments za kutosha
This is a timeless classic record . It still sounds fresh and new every time I play it .
🇿🇲🇹🇿
congralz broo Ur most talented nakuombea ufike unapostahili. keep it up broo
huu wimbo umejaa mashairi yenye uzani wa juu sana,yaliyobeba hisia kali.Like za huyu jamaa
Nimeipenda i nyimbo nic brother Ben kaza utafikia malengo yako
Nakumbka mkaka aluvonpa mapenzi nakuniamnsha kwel ananpda .kumbe dah!!! Nyie wanaume kwakwel
Wow I'm from Ghana. Heard this music by accident 48 hours ago and I've been PLAYING IT NON-STOP! I don't understand a word but it's Great Music. Benson, you've got a fan in West Africa!
Islesofhome thanks much
Islesofhome +255 674279858 WhatsApp
@@Benwilltz Umepotea sana Bro what's Up 🙂
Utaniuwa ww kk nimekupenda hadi nauguwa bonge LA song💕💕💕💕
hiingoma haijaimbwanamtuwakawaida hiiinafaa ukiwageto na demi lazima atoeyote
Hongera sana nyimbo ni nzuri nimekuwa nikiisikiliza ila sikujua history yake woooh kweli unamoyo kutoka bar mpaka hapa hongera sana jamani
hapa nilipo una mashabiki kama wote kila anaeisikia ngoma yako anaomba irudiwe, una mashabiki bwana benson ushindwe wewe.
mbumbuli comedians asanteni sanaaa
Benson Tanzania kaka fanya kwel nyimbo kali hii ux choke kaza wanao tupo tayar kukusaport
@@Benwilltz benson vp rud bac tukuckie ndg maana huu wmbo unankumbusha mbali hasw nkmkumbka x by wang aliefanya nhame tanzania plz toa kt kngn,lyisa +54
wabongo bana hizi nyimbo nzuri hazina views lakin yale matusi ni million of views dah
Huwezi amini nilkuwa na ickia kptia clouds FM juu juu tu lkn Leo nmepita kma bahat nmekutana nayo Big Yec kjna ,,Ringtone katixha xna....👍👍
Dah unajua bana natamani ningekua bongo ningekua video vixens wa hii ngoma free hio ingekua zawadi yang kwako keep it up.....your baddest tanzania 🇹🇿 we love #good music 🎶
Jemima Rasheed 0674279858 WhatsApp number
Benson Tisha sana maana naangalia kila siku wimbo wako
kiukweli hii ngoma nimeiyelew kinoma umetisha Benson jiandae na intaviwe APA APA Baustas theboss Tv watazamaji kama mnata muwe MNA pata habali zangu bofya apo chin itakuja kengere APA utakuwa umetisha kinoma
Good work benson... the song is truly wonderful and I never cease to appreciate the rhythm of the song. Good music
👇 *BONYEZA HAPA UJIONEE* 👇
th-cam.com/video/B-UEwoGLaMg/w-d-xo.html
Hata kama hautatoa tena nyimbo Kali kama hii...ila hii ngoma itaishi miaka ming sana...!!!!
Mzuka wa kuangali n kusikiliza hauzimii umeandika sana humu komaaa Utafika
Benson penda sana nyimbo zako mashallah
Duuh nlkuwa WAP kusikiliza hiii nyimbo Kali balaaaa!
Nimekuja hapa kwa ajili ya kiredio kumpost...😅
Binadamu Unakipaji Weye Wallah-Usije Ukalewa Sifa-Unaweza Bana Duh.Inshallah Ufike Mbali Zaidi 🙏🏾
Wabogojo Ford asante sana
oooooohhh nice work brother
Ngoma moja QQQAAAAALIII KINOMAAA. Bukoba town hii ngoma ina pigwa mitaani hadi imebidi niulize jina. Ndo nikaja straight hadi huku TH-cam 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
unajua unachokifanya boy,,,keep that fire up
Daaaaah kumbe ndo ww umeimba huu wimbo upo vizur sanaaaa jaman .utafika mbali Mtegemee sana Mungu
No way this guy deserves a lot of credits for his well organised work📌📌
Hit song all the time 🔥🔥🔥🔥2024 Bado n hit
"mwenzako moto hauzimi hauzimi"i like it watapata tabu sana
Tixha xana mzee
Tixha xana mzee
Bonge la ngoma nimeipenda Bure yaan hii nyimbo ikifikisha view million nitafurahi sana tumpige sapot benson nyimbo iwe juu zaidi
Huu wimboo any time naangaliah jamn.... Dah .. Xjui kwannn mapenzi ya upepo........ Dah......
kaza .nyingine iwesafi zaidi.
Duu. kwali kunawatu wana vipaji bonge LA songs
Mwamba imepotya wp ngoma kali 2024 bado lina hiti
Hongera sana dogo siku nimekusikiza clous hakika uliniumiza moyo wanngu komaa usirudi nyuma
Napenda sanaaaa huu wimbo mda wote nikiwa free nautazama good job
We jamaa unatisha...bwana ndugu unajua....hii nyimbo najikuta tu naiimba...saluti na vyeo kama vyoooote
daaaaaaaaaah we jamaa ulikuwa wapi??? we mbona uko fire kuliko huo motoooooo
sir Jingu asante sana brother
✌ nashangaa nazikata kisauti cha nandy kwa mbali😉😍
Great song Benson. More hits,more energy, more passion and one day, you'll be somewhere above your expectations.
benson benson benson hii ngoma umeua mzazi nakubali sana achia nyingine kaka kali kama hii au kali zaidi ya hii 🔥🙌
daaa bonge song nakubal kaz yko
ni bonge la nyimbo mwenye kujua nyimbo bc hii atakuwa kalielewa .umetisha sana Benson nimependa the way ulivyoimba hapa mwanzo kwa hisia yani umejua kuniteka .100percent sina ubishi
alaf utaskia kwangaru ngoma ya mwaka,, jaman kuna watu wanaimba
dah unasikiliza nyimbo mpaka vinyweleo vinasisimka this guy anajua asee good BENSON kimbiza kaka unajua..!!