Huu mwaka 2024 ni wa maumivu sugu sitausahau kamwe Imani yangu kwake upendo wake kwangu leeooooooooh 😭😭😭 kupoteza mimba,,nyumba,,,muda???? Sina namna ILA moyo ndio sababu😢😢
Back in 2020 after breaking with my baby daddy....😢😢😢it was worse but who is God??? If you believe everything you going through you can conquer biga like
I don't understand why this song is underrated it deserves more than 10 millions views by this time... 🤔🤔🤔 I usually revisit here daily it touches me alot 😌
Baraka mdogo wangu, jishushe ukubali katika maisha kuna kupanda na kushuka. Ukishuka usikubali kuzama mazima au kulaumu wengine. Jipange upya, bado una nafasi kwa mashabiki zako. Umetoa ngoma baada ya ngoma zinazokubalika mnoo. Soma soko urudi kwa nafasi yako. Una kila namna ya kuteka tena soko. Ila ushauri acha arrogance, huharibu sana karama ya mtu. Watu wanataka kufanya kazi na mtu humble. You can do it. Simama uendelee na mapambano.
Baraka,,, Where are you,,,,,,,!? You know what,,,,This song made me feel alive,,,,, Whenever I listen to it oooh, is like,,,,huuuuhh!!!!! It will remain the Best and on top!!! April 14 2022,,,
Daaah hii nyimbo wakati inatoka nilikuwa kwenye maumivu makubwa ni miaka sita Sasa mbaya zaidi aliyeniumiza na yeye anaitwa baraka 😭😭😭 alinifundisha mengi Sana na kunipa akili ya kiutu uzima namshukur Kwa kunifundisha maaan halisi ya mapenzi
Hii ngoma kal sana inanikumbusha alie kuwa mama mtt wangu anaitwa Rachel au mama Vivian nampenda sn na ctochoka kupenda ilove so much Rachel by David 💜💜💯💯
I love this song so much coz huwa inanikumbusha nilikuwa na msupa mwenye nilikuwa nampenda sanaaaaa but tukaachana i always remember her up to now i miss her so much
2024 tunaomsikiliza baraka the prince tujuane😊
tupo
Bado tupo😢
2024/4/19 nipo nausikiliza hapa allah akubless
Mm hapa Esther Joseph nikiwa Mombasa in ukunda
Niko ukunda pia@@EstherNajma-c3d
Hiyi ni kali kali kali kama umerudi huwu mwaka wa 2024 usipite hiyi Comment bila ku like
Wangapi wanaskiza SIWEZI 2023 AUGUST 🎉🔥
31 August
Niko Hapa Octo 2023 .This songs reminds me TBT
Mim hapa
Me here
October 2023🔥🔥🔥💯 fine tune
Kwa wale wote wamerudi hapa kuutazama wimbo huu ambao unawahusu tarehe 8 agosti 2024 naomba likes zenu 😄😄😄
😅😅😅
@@SalamaTaura 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂2024
@@LatitifaKaniki 😅😅
Jamani baraka unaomba vizuri sana ,moyo ndo unapenda,kwa walio jua huu wimbo ni wa baraka 2024 tujuane kwa like apo basi
The beginning of mwezi wa saba nani hapa anipe like zake hivi ndo tunauanza mwezi
Tukimoja
Walio mmiss baraka the prince kwenye tasinia ya mziki tugonge like tujuane
Katika watu. Walioimba tenzi za mapenzi kwa ajili ya kutendwa jamaa aliimba akamaliza wengine wanaiga huu wimbo huchoki kuusikiliza na utaishi
Sanaaaaa
0p
Naupenda Sana huu wimbo
Baraka da prince, Duuuh!!!!
Hisua Kali sanaaaa,dude kalii
Huu wimbo Never die Forever, utadumu miaka yote sijawahi choshwa na nyimbo za Baraka da prince
Baraka hii ni special dedication to me, wacha nilie na moyo wangu hapa .Its 2024 nimeanza vibaya na heart breaks, tu like tukisonga
Oooooooh poleeee..utakuwa sawa😢
Sorry
Nimekutana na hii comment leo March 2024 na nipo heartbreak 😢
wa Tz na mapenz mtakufa kwa heart break 😂😂😂
Pole sana
Nothing hurts more than ugojwa wa moyo. Hata afadhali kidoda cha mguu au mkono💔💔 kuliko moyo kuuma
True😢
😭😭😭😭😭
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
2024
Everlasting masterpiece🎉❤
Kabisa❤❤❤❤❤❤
Mwezi wa 7 2024 Tujuane ,,, siwezi kuacha kupenda
Wanangu wa 2024 tu like hapa tukumbkie mbali pamoja 🙏
Wangapi wanaskiriza sitopunguza mapenzi 2022 ❤👌
Hii ngoma haikupata heshima inayostahili 🙌🙌🙌
2024 Mwezi 6 Like hapa❤
Daaaah hii nyimbo mpka leoo 2024 naisikiliza stapunguza mapenzi na stafuta no yakoo kamwe 😢😢
Ngoma kali sana nakumbuka imewahi nitoa choz hii kichupa .... Hongra kwa kuchukua usingiz wangu 😭😭😭😭😭🔥
Kila mda naskiliza hiki kipande
@@latifaomary1769na mm pia yalinitokea sijawahi kusahau
sijui nn mbaya hi ngoma inatakana iwe like 100,000milions views hakuna mgoma tanzania inayo fikia hi walai my favorite song❤❤❤
Imjn kaka nakuelewa😘
🌟🌟🌟👈♥️
💯agree
Watanzania Wana wivu . Wanasaport WcB pekee .
@@vinniechymall9801 siyo kwelii wewe unachuki na dabrisibi. Why not king misivy
Wenye maumivu sugu mpaka tukapoteza hamu ya kupenda tena .like tukiendelea kuwa na matumaini❤❤❤
Tuko gari Moja hakuna kupenda
😂
Mapenzi akuna
😅😅😅😅😅🖐🏽🖐🏽🖐🏽
Mm siwezi penda sai mtoto wa mtu tna
Hii ngoma kwa ukubwa wake ilitakiwa iwe na billion viewers.....
We love your talent bro don't stop haijalishi magum gani unapitia....
🥰🥰🥰
Shida mashabiki tunaendlea kuwakuza kina kiba mond na wengine hawa tunawaacha
Saf sana
Uwumbo upo vizul mno
W
Baraka nimeumizwa sana mwaka huu 2024. Asante kwa kumwambia ex wangu hongera kwa kuchukua usingizi wangu. Wimbo huu wanituliza sana.
Polee mungu akutie nguvu
Nakumbuka rafk yangu alilia hii nyimbo,wanaume🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭
Pole
Hii wimbo ilinilizaga jmn enz hizo
Acheni tuu enzi izo
Nyie wanaume
😭😭😭
This song is special dedication for me I cried like a baby I was heartbroken thanks Pricence for this 😢😢2024 who is watching on Saturday 28
Wangapi tupo hapa 2024?😅❤❤
❤tupo pamoja
𝑰𝒎 𝒉𝒆𝒓𝒆😅
Tupo hapa
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤
najua ni heartbreak iliwafanya mgundue huu wimbo ... duuh mimi pia singeweza nyakati hizo
My kenyans people show love tukishongo 🔥🔥🔥🔥the music is dope 💖
Qq
💕🥰🥰🥰🥰🥰🤣🤣🤣🤩🥳🥰😅😘🌷🌹🌹❤️LoeOYu🌹🌹🥑🍌🍌🍉🍓🍓🍓🍓🍔🧆🌮🌭🌭🥕🧇🌯🥪🧂🚖🚖🚖🚖
Again....2024 niko hapa @ this time 😢
Naona nasikiliza peke yangu ama?
The verse "Hongera kwa kuchukua usingizi wangu."
Tulioachwa acha tutulize nafsi zetu hapa 🤣🤣🤣🤣 like twende sawa
Ni kweli
Umeona eeee
Heartbroken n mbaya aki😭
🤣🤣🤣🤣
2024 nakumpenda siwezi kupunguza allah mbele
Huu mwaka 2024 ni wa maumivu sugu sitausahau kamwe Imani yangu kwake upendo wake kwangu leeooooooooh 😭😭😭 kupoteza mimba,,nyumba,,,muda???? Sina namna ILA moyo ndio sababu😢😢
Pole jaman 😢
@@fadhilsalim650 asante
Bado naangalia hii Ngoma 2024
Wenye tuko hapa 2024😢😢
Yani hauchoshi huu wimbo love nyingi kaka ake❤️❤️
Baraka huu wimbo umeniliza sana kila wakati nausikiliza nadondokwa machozi 😢😢😢,barikiwa sana
2023 new year still hear listening to a forever masterpiece!!
I'm still here too
🤣🤣😂😅BoyDjRodny😂😂🤼🏇
My favourite song always❤❤❤❤
Jamani goma kali ❤❤
Huu Wimbo kwangu mm Naurudiakilasiku maana umenigusa mno ubarikiwe bro upo juu nakupenda bure ulichezana mawazo yangu
Me pia
I love this song
Hongera kwa kuchukua ucngizi wangu, hatari
Siwezi choka na huu wimbo 😊 Baraka the Prince Yuko wapi..nyimbo zake ziko 🔥🔥🔥
🙏🏼 Namshukuru Mungu nilitimiza ndoto ya kufanya wimbo na huyu Justin Bieber wa Bongo kwenye hii hii studio AM RECORDS
mwanangu apa uliimba ✊🏾 this song inasaidia sana ukipigwa tukio asee helps kusaidia u move on asee🙏🏾 uliimbaaa
kiukwel huwa najihic km vle npo peponi mara tu nisikiapo hii ngoma!!!
Back in 2020 after breaking with my baby daddy....😢😢😢it was worse but who is God???
If you believe everything you going through you can conquer biga like
C nipate mtu mwenye mapenzi ya kweli nimechoka k heartbreakiwa😢 nitampata wapi 2024/23/04
Niko hpa der ata mm natafuta wakunipenda tupendane
Kwa kweli huu wimbo kwa waliopigwa kibut ukiusikiliza lazima ulie
❤️❤️❤️❤️♥️😢😢😢😢😢 da prince umeliza wengi kwa hii nyimbo 🙏🙏🙏🙏
Kweli kabsa😢😢😢
Here's 2024🎉🎉🎉
I don't understand why this song is underrated it deserves more than 10 millions views by this time... 🤔🤔🤔 I usually revisit here daily it touches me alot 😌
To someone who broke my heart THANK YOU 😣🙏🏾
😭😭😭💔
😂😂🤭 daah ndo maisha
We are together 💔💔💔
When to abroad I came and nikapata boy tulikuwa tumeplan future pamoja ameoa nliskia sijui aje after kuniwastia 7yrs😭😭😭😭
Sorry
Dah, really heartbreaking. Pole sana Katerina.
pole katarina
Ngoma za kiswahili n tamu sana, can't get enough of this song
Mzuri
naisikiliza kutwa nzima hiingoma ila haichoshi
Yanii kama kaniimbia mm HV.... Wakat sahihi kwangu kusikiliza bonge la ngoma
Natamani mwenye atahugusa moyo wangu unakidonda😢
2024 mwezi wa 9 mpoo gonga like kama zote
This song remminds me of kingwendu kingine he wasted my 5 good years and then he married, now he wants me back but siwezi nilimtapika sanaaaa
It's been a year since you commented this...I hope you gave him another chance..he has learnt his lesson...get married to him en live together
Poor promo... huyu jamaa hana pesa na ameshindwa ku sign big labels ime mgharim
Moto moto🔥🔥🔥
Baraka tunamis sana vitu vikubwa kama ivi plzzy come back 🙌🙌 since day1 SIWEZI SONG sijawai hichoka it's just like My National Song💛💛💛
Same 2me
@@faithkhamayo6989 salute mrembo
You're absolutely right,,,!!!
It's so touching!!!!!
2024 am here for this song😢😢😢😢
Huu wimbo ni fundisho kwa wanaume waliokosa penzi kutokana na changamoto za maisha hasa za kiuchumi.....Big Up Baraka The Prince!!!!!!
Hii ngoma hua inaniispire sana nakumbuka mpenzi wangu wa kitambo kupendwa usikopendwa
Nomal
2021 February who still dedicated to this beautiful song 🤗😄
Mwanza product ♥️🏃♥️
🔥 hatar
Hatari
2022 but the song still hits...first love is always the best moments
Me@@fatiahkerubo6399
Baraka mdogo wangu, jishushe ukubali katika maisha kuna kupanda na kushuka. Ukishuka usikubali kuzama mazima au kulaumu wengine. Jipange upya, bado una nafasi kwa mashabiki zako. Umetoa ngoma baada ya ngoma zinazokubalika mnoo. Soma soko urudi kwa nafasi yako. Una kila namna ya kuteka tena soko. Ila ushauri acha arrogance, huharibu sana karama ya mtu. Watu wanataka kufanya kazi na mtu humble. You can do it. Simama uendelee na mapambano.
Hongera kwa kuchukua usingizi wangu,,,,,,sisemi kitu
❤❤❤❤nyimbo nzuri ujumbe uko poa
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Tupo 2024 May, bd ana hit Baraka the Prince
Mpaka Leo 2024 naipendaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baraka,,, Where are you,,,,,,,!?
You know what,,,,This song made me feel alive,,,,, Whenever I listen to it oooh, is like,,,,huuuuhh!!!!!
It will remain the Best and on top!!!
April 14 2022,,,
Tatizo ni moyo,,,,,tunaolia 2024 wapi likes
Tulio rudia apa 2024 mwezi wa tano tujuwane kwa likes jameni.
Tuko wengi sana😢
Nipo apa
Tuko wengi 😢
Here we are
2024 jamani huu wimbo uwe wa taifa❤❤❤❤❤
Daaah hii nyimbo wakati inatoka nilikuwa kwenye maumivu makubwa ni miaka sita Sasa mbaya zaidi aliyeniumiza na yeye anaitwa baraka 😭😭😭 alinifundisha mengi Sana na kunipa akili ya kiutu uzima namshukur Kwa kunifundisha maaan halisi ya mapenzi
,pole
kuskiza wimbo huu 2024 after being heartbroken
2024 mwezi wa 9 mpoo mwezi wa hurt broken likes hapa tukienda
Tupo
Mwanetu ❤❤
Let us show love to this young man aki
Baraka Rudi mzikini
Dedicated to me, Ni ngumu kukusahau Fredrick omondi😢😢
😂😂😂
Dah an ngoma za huyu jamaa znanitoaga roho kabsa kila nikisiklzaga nakumbuka mbali 💯💯💯💕
Luv is a beautiful thing when u get a soulmate...luv u more and more mi luv whenever u ar
Huyu kijana alienda wapi?jamani Baraka Rudi bana you're talented
Wow!! Fans wa Kenya 🇰🇪 gather here. Kiss my comment 2024
Nyimbo hii inamaana sana kikubwa ni utulivu wkt wa kuisikiliza,ni faraja sana kwa waliotendwa ki mapenzi
2024 stil I'm here
Huu wimbo unanifanya nalia kilasiku😢😢
😢😢😢😢sijui niseme nni bt we moyoo poleee😢😢 nipeeni likes bana
Hugs❤
Nimerudi tena kusikiliza hii Hit Song leo tar 10.05.2024. na Mziki mzuri still soubd the same. ladga nzuri bado ipo pale pale
2023 who is still here?
Baraka is very underrated and it hurts me😢
Hii ngoma kal sana inanikumbusha alie kuwa mama mtt wangu anaitwa Rachel au mama Vivian nampenda sn na ctochoka kupenda ilove so much Rachel by David 💜💜💯💯
Raha ya goma kama hili ukute ndio vile wewe unapenda mwenzako anakuona mbuzi mmoja hivi hahaaa zinga la goma
Mwezi wa 8 Tujuane Tunao Sikiliza na Kuangalia
I love this song so much coz huwa inanikumbusha nilikuwa na msupa mwenye nilikuwa nampenda sanaaaaa but tukaachana i always remember her up to now i miss her so much
Khai how I used kukufia huyu jamaa🙆😂,, keep shining 🌟✨🌟✨
Eh mola nijalie nimpate mwenye ofu ya mungu aniondoe machungu
Atakujalia mumy
Nipo apa dear usiumize moyo zaidi ya apo mummy
Nikiskiliza kama ndo imetoka leo...ilove
on air kisscollabo💥💥
Daaaaa,umenikonga moyo wangu
inanikumbusha mbali xn
This song is touchy ,,continue with the same spirit, cudoz💪
Anajua sana huyu jamaa tulipoteza ladha yake kwa jeuri
😔😔😔 baada ya kuwa 4 year kwenye relationship jana ndio nimeachwa asee mapenz ni mapumbavu sana nimeona bora nije nijiliwaze hapa😢😢
Pole 😨😨
Umenivua utu uzima nikatoa machozi kama ya mtoto😢😢this song slaps me very sai kwanza vile nimepigwa heartbreak 😩😩tatizo uliopenda ni moyo🥺🥺