I dedicate this song to my lovely husband,covid tore things apart, we are jobless with kids to feed and bills to pay but don't give up honey we gonna make together, may God bless your hustle wherever you are,
Iki ndico Kenny ame mzidi Hascana japokuwa ni yy kampa somo, Kenny Mungu kamjalia ubunifu wa video yani video za Kenny zinacapa uwalisia wamaandishi ya mziki atakama ujuwi kiswaili kupitiy video yak unatambuwa wanaimba nini, umewazidi duniani kote
Abba Arnaud oya hascana hapa Bongo hakuna wa kufananishwa nae. Harafu pia yeye die director ambae amepunguza safari za wasanii kwenda kuchukua madirector kutoka kwa madiba kiufupi hascana kauwa soko la madirector wengi walio kuwa wanategemea wasanii wa bongo
Ray Fredinand Kama hujui mziki kaa kimya Hascana amefanya Madirector wa Bongo wapate dhamani tofauti na kipindi cha nyuma. Kiufupi jina la Hascana litakuwa kwenye mstari wa mbele kabisa kwenye kitabu cha kumbukumbu kinacho husu madirector
Haijakaa sawa ndo imebeba maudhui kwasababu ni hali yake ya maisha anayopambana ili afikie malengo. Hali ya kiuchumi haijakaa sawa ni sahihi zaidi kuliko niombee, haijakaa sawa ni vision niombee ni mission
erico davido *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇 th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
Mbosso mimi ni #TeamKIBA 100% ila uyu mziki it's good song for me now mashairi inakaa sawa adi mbele za wazazi naupiga bila shaka ao uoga Am from#DRCONGO naomba like zenu basi wa tanzania
Nani mwengne alitamani kuona hii video? #MbossoKhan #Mbosso #MrRomantic Kijana unajua sana kuandika ngoma kali,,, #HaijakaaSawa Bonyeza like twende sawa mashabiki wa mbosso na wcb kwa ujumla
Julia Ayieta *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇 th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
Sijapata usingizi nafeel kurudia kuangalia hii Ngoma jameni nani anangalia hii ngoma mara ya 20ka mimi..muuch love from Kenya$Mbossso fun..nipeeeni.like hata moja ya Mbosso funs wetu
One of the best writers in Africa and also very creative in arranging his lyrics kudos mbosso........Hata ibraah wa harmonize akikucopy hawezi kufikia hata robo
As a Ghanaian MBOSSO IS MY FAVOURITE AFRICAN ARTIST. I even made a tshirt out of it😄 I want the whole world to know this mans music. he is absolutely fantastic and i am actively learning Kiswahili because of him
Wow! This is so beautiful to hear, as a Tanzanian I'm proud of you and your love for Tanzania. I invite you to Tanzania, I'll take you places all around
DENO KADOGO *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇 th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
I am a kenyan,shukrani kwako mbosso,this is the real life we r goin thru.....thanks tu all our wives or husbands who are understandin the situation right now,we shall overcome🙏🙏🙏🙏
Tatizo kenya bado hamjapata muziki wenu, bado mnatangatanga mara reggae changaya ragga chabganya gengetone changanya hiphop. Bongofleva ilipita hukohuko, lakini sasa imesimama, sasa hivi zinapigwa tune original. Huwa sielewi hata mkubwa diamond anahangaikaga nini na mzikinwa afrika magharibi, muziki wetu unajitosheleza sana sahv.
Dah, sitii naksh sana, ila kama wali basi ni wali kachumbali, au mkate wa kumimina, ika kama mke basi huyu ni yule mashallah#mbosokhan # king best love melody @ "siko juu, siko chini niko nusu sado"
IKO SIKU MKE WANGU NA SISI TUTAKULA KUKU NA NYAMA ZA KUCHOMA NA UGALI MOTO ❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KENYA TUNAKUKUBALI SANA MBOSSO
Huyu kijana anaweza nipe likes za mbossoo hapa tusupport na mita join me
Mbosso huku KENYA twala huo Mrenda™ ....Kibao safi tena sana..endelea na hio RIENG'
😂😂
Haha rieng ninini?
😂
Haijakaa sawa instrumental beat th-cam.com/video/Enb1QfUE8S8/w-d-xo.html
😂 tujibu sisi Watanzania hatujui RIENG ni nini.
I dedicate this song to my lovely husband,covid tore things apart, we are jobless with kids to feed and bills to pay but don't give up honey we gonna make together, may God bless your hustle wherever you are,
Nice
🙏🏽
@@erickmasao6932 brick 🧱 with the house today ya know ya know ya
Be blessed as you wait things to be good. There are so many doors out there ,try all ways
Things will be ok do not give up God will provide food for u
001 from Mombasa tunao mkubali Mbosso gonga like hapa Nyali 👍👍
Iki ndico Kenny ame mzidi Hascana japokuwa ni yy kampa somo, Kenny Mungu kamjalia ubunifu wa video yani video za Kenny zinacapa uwalisia wamaandishi ya mziki atakama ujuwi kiswaili kupitiy video yak unatambuwa wanaimba nini, umewazidi duniani kote
maandishi yann sas mzee 😂😂😂
Abba Arnaud me nimekwelewaa
Abba Arnaud oya hascana hapa Bongo hakuna wa kufananishwa nae. Harafu pia yeye die director ambae amepunguza safari za wasanii kwenda kuchukua madirector kutoka kwa madiba kiufupi hascana kauwa soko la madirector wengi walio kuwa wanategemea wasanii wa bongo
@@chigavatz7556 alichokifnya ni kipi zimekubalika mpka kimataifa au..?
Ray Fredinand Kama hujui mziki kaa kimya Hascana amefanya Madirector wa Bongo wapate dhamani tofauti na kipindi cha nyuma.
Kiufupi jina la Hascana litakuwa kwenye mstari wa mbele kabisa kwenye kitabu cha kumbukumbu kinacho husu madirector
If you beleave this guy gonna be lit in the coming days gonga like
#team_mbosso_from_kenya
Wanao angalia wimbo huu mwaka wa 2024 weka like
M
L❤❤❤❤❤@@BigandaFrancine
❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@BigandaFrancine
Nice song
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hii ngoma ingeitwa "Niombee"ingependeza kinoma☺☺....imebeba maudhui mazuri sana.😘😘😘
Haijakaa sawa ndo imebeba maudhui kwasababu ni hali yake ya maisha anayopambana ili afikie malengo. Hali ya kiuchumi haijakaa sawa ni sahihi zaidi kuliko niombee, haijakaa sawa ni vision niombee ni mission
Mbosoo anajua kiukwel mungu ambarik
Tena nafungaaaaa sana sunnaaaa
Mboso Haija kaa saw
Km umemuelewa like Tujuane....🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hiv ndivyo inavyodhihilisha kuwa WCB ndicho chuo cha muziki hapa AFRICA mashriki wapi like za MBOSSO KHAN @fundi wa mashairi🙏🙏🙏♥️♥️💯💯🔥🔥
😢😢. Ibb. Nol '
I’m Gyimah from Ghana...Mobsso thanks for telling my story to the public your song has really touch’s my heart
From Nairobi to dar......... mbosso is east Africa hot shot at the moment
th-cam.com/video/JpG5sVMpH_k/w-d-xo.html
Yap
facebook.com/alilantez/
100%
erico davido *Samahani kwa usumbufu*
*Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇
th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
@@hgdplatz6339I loved it especially the beat
Leo nimewahi na me kumcheki mboso khan usininyime hata like 10
Mbosso mimi ni #TeamKIBA 100% ila uyu mziki it's good song for me now mashairi inakaa sawa adi mbele za wazazi naupiga bila shaka ao uoga Am from#DRCONGO naomba like zenu basi wa tanzania
Mamb
Welcome wcb
Lllllllllllllllllllllllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllmllllllllmlnmll
1:54 hii verse nyinyi mshawahi isikiliza kwa umakini dah uyu jama fundi 2024🎉
And there is something special about mbosso,who else liked before even listening😂😂😂😍😍😍😍😍
Nani mwengne alitamani kuona hii video?
#MbossoKhan
#Mbosso
#MrRomantic
Kijana unajua sana kuandika ngoma kali,,,
#HaijakaaSawa
Bonyeza like twende sawa mashabiki wa mbosso na wcb kwa ujumla
Wakenya don’t forget Otile akona album pia......mbosso you’re something else iyo intro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Why so??
What album 😂😂😂
Acha kuleta ubaguzi wako hapa,!
Mbosso songs have deeper meaning in life for meditation. Who else agree with me???
I second dat
@@Hafidhat1 0000⁰
Can u explain all in English please....I wana full lyrics to understand the song ....I love the voice and beat it's seems very interesting ...
true
Una zani ata mimi n'a peda kila Siku mulenda 😭
Unajua sana mshedede 😘🥰🇧🇮
Tuko pamoja wakwetu Nakupata
Sweet Vanny m.th-cam.com/video/l7f2VuLssS0/w-d-xo.html
Mbosso I love this song 😍😍😍😍😍😍😍
Haya likes kwa Mbosso kisha chungulieni kule kwangu pia na ku support 😉 shukran 😘😘😘😘😘😘😘
facebook.com/alilantez/
Julia Ayieta nisha subscribe kwako...nawe pia subscribe kwangu.
@@officialflex1488 wewe pia kwangu nimekusub tayari
subscribe kwangu pia
Julia Ayieta *Samahani kwa usumbufu*
*Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇
th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
Mbosso never fails us,, weka like tukisonga
Swear that's true never disappoints
Lost my job during corvid time had a strong woman who stood by me,love you darling things working now
Kwenye utunzi mboso nambari 1....+254...
Wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 @Mbosso king Of Romance 💞✌️we love U 🇹🇿🇹🇿🔥
Sijapata usingizi nafeel kurudia kuangalia hii Ngoma jameni nani anangalia hii ngoma mara ya 20ka mimi..muuch love from Kenya$Mbossso fun..nipeeeni.like hata moja ya Mbosso funs wetu
Nice
Kitu safii..nimekubali..gonga like tukisonga
Nampenda sana Mbosso inshallah Mungu amjalie azindi kung'aa
I watch it every day, so sweet
Hakuna nyimbo za mbosso zenye sizipendi ju zote napenda
Hi song inanikumbusha mengi sana katika maisha yangu for real
One of the best writers in Africa and also very creative in arranging his lyrics kudos mbosso........Hata ibraah wa harmonize akikucopy hawezi kufikia hata robo
Tonnie kim m.th-cam.com/video/l7f2VuLssS0/w-d-xo.html
Ibrah mkali haezi kopi
Please wachana n ibraah he have his own way of writing songs
Exactly
Mme wangu akirud na mawazo hua namuwekea hii nyimbo tunacheka wenyew maisha yanaendelea
Daah huo ujumbe ni kama umetungia watu,daah imegusa moyo wangu
This song I dedicate to all ladies whom working in Iraq. Mungu atupe nguvu tusife moyo. Kuna siku tuta vuna 🥰🥰team strong 💪🇰🇪
Jesus christ fils de David un jour vous venira à n'aidez à n'irak, sont sang cris est s'auver encore... ❤❤❤
Am one of them lazima kujipa nguvu❤
Kenyan ladies you deserve flowers mko very survivers and strong strugglers god bless y'all mgagaa na upwa hali wali mkavu big up sster until next time
Tuko wengi uko jamani
Aiseee!! Hii ni hatar Sana mtandao umekataa kuplay vitu vingine vyote but baada ya kuona ngoma yako tu hahaha ukakaa poa wcb mboso hijakaa sawa
The guy that has more funs in kenya than his boss diamond.mbosso we love you so much
So true
May be Mombasa city and coast zone
Eric Ernest it’s because you don’t know anything about good music,
That is a lie,Erick speak de truth
@@sallyn9201 mzki mzuri lzma uusupport tuu Hanna namna
Team Mbosso from Kenya, Tanzania gonga like
Fundi Wangu Hukoseagi mboso💞💞💞💞
Mboso nakupenda,saana nyimbo zako zimetulia saana
Kabisa..
th-cam.com/video/Ega-ICQWOYk/w-d-xo.html
Mboso fundi wa mapenzi🔥
Brother anatisha jaman pigaa zaid bigg broo nakukubar sana
Nakukubali Mbosso Unauwa Sana Like Kama Unaamini Mbosso Ni Bora Kuliko tembo
th-cam.com/video/w38ExziTceU/w-d-xo.html
th-cam.com/video/w38ExziTceU/w-d-xo.html
The best real bongolist in africa Mbossocan
Way back since Maromboso to Mboso..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo katamu sana mbosso
Nipewe likes za mbosso.He never disappoints.I love this.
Bado Hali si sawa bila Ruto!!!!
chukua na comment
Wasomali mko wapi wa kenya 🇰🇪 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 ugaas wanjognaa
Poa bro za hali❤️
Mimi sio siri jameni mnipe likes as many as possible si huyu kijana anafunza watu sana na sanaah yake.JUST LIKE IT AND SUBSCRIBE.
My favourite part. "Baada ya dhiki mavuno, kila njema lina maumivu."❤😢
I just love this guy his voice ,songs and they way he is,,,
Likes from kenya..
"Ustahimilivu mnao wachache mno
Jua shida rafiki wa mbivu
Baada ya dhiki mavuno
Kila jema lina maumivu"🔥🔥🔥🔥🔥
Maneno makubwa mno hayo
So love the song from 🇦🇺 Australia 🇦🇺 we love you mbosso
th-cam.com/video/JpG5sVMpH_k/w-d-xo.html
Cool
We love him... Tizama kaa kimya, th-cam.com/video/TXNBAZi5vD0/w-d-xo.html
facebook.com/alilantez/
Cool..sometimes music triggers what you feel from inside
As a Ghanaian MBOSSO IS MY FAVOURITE AFRICAN ARTIST. I even made a tshirt out of it😄 I want the whole world to know this mans music. he is absolutely fantastic and i am actively learning Kiswahili because of him
Wow! This is so beautiful to hear, as a Tanzanian I'm proud of you and your love for Tanzania. I invite you to Tanzania, I'll take you places all around
@@josephguerino7416 im coming in Dec 2024. Im excited. I hope to meet my tanzanian husband.
Sawa yimbo ina furahi halissi 🇹🇿🇹🇿 Love sana Mzé
Haijakaa sawa instrumental beat th-cam.com/video/Enb1QfUE8S8/w-d-xo.html
Kwa wale tuopenda beat jipatie hiyo beat iko tayari
This Guy is a genius in that ,,anatunga wimbo utaskia more than 10 times na hauishi ladha,,,😄😄much love from 254
I agree.it has been on repeat. Totally love it
From Ghana 🇬🇭, I love this boy so much
Hakika maneno yenye busara ya maisha...saafi sana mboso give up...,nadhani huu ndo utakuwa wimbo wako bora wa maisha
Nkm hvo
This is why MBOSSO is so loved in Kenya. Likes za mbosso hapa
Well said
DENO KADOGO *Samahani kwa usumbufu*
*Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia TH-cam link*👇👇👇👇
th-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/w-d-xo.html
Mbosso ngoma inaniliza sanaaaaa! Nimeshapitia yote uliyo imba, kumbukumbu tu! Mungu akuinue zaidi kaka...
Nice
Pole xana
John et moi allons vous faire une visite 36mois et 3
Daaaaah wewe mi nalia mno pia nikiusikiliza
Pole sana kaka,
Mshedede mboso khani 💥💥 sijawahi kupata, hata likes 10 WCB for life
Nakubali xana bro
My love
Ninakubali
@@araphamjema4923 aipingwi team wasafi for life
@@henryatupele4533 😋😋
More Force my brother mbosso.
'Kama ibada naswali sana usiku wa manane,Tena nafunga na sunna'💥💥💥
Haya ndiyo Maisha yetu watoto tuliokulia Kitaa...HEBU AMBAO TUMEUSIKILIZA ZAIDI YA MARA TANO HUU WIMBO..GONGA LIKE...
Dahh! Yaani wimbo kuanzia Audio mpka video ni uhalisia wa maisha yetu sisi waswahili tulio wengi.
Shikamoo mboso umetisha kk
Nikirudi na hasira nizoee....hali haijakaa sawa
Khim Real cosa dovo dire
G
Manze sijawai Pata like ata tisa si Leo tufanikinishe tuki support love ya mbosso hapa 🇰🇪
NASEMA WALE WAKO HAPA NA MAMBO HAYAJA TIKI USIWAHI POTEZA IMANI IPO SIKU MAMBO YATAKUA SAWA 2024.NEVER GIVE UP💪💪💪💪💪💪
From uvira DRC nipo hapa 🇨🇩 mbosso khan 💪🏿💪🏿
Wa salim home kwa Mzee sadi musa kakugwe kwao na kayumba na soli karibu na nganda du grand luc. Poleni na mafuruko from 🇺🇸
Weka like yako ku show love al the way from kenya 🤩
Wakwanza comment
Like za mbosso hapa
facebook.com/alilantez/
Steven Munisi
mbosso
Steven Munisi uko sawabas
Niko hapa kila siku kuimba hii song hili mungu ajibu maombi yangu🤲🏼 God see my man🤌am a provider but i remember one day God will open is door's 🙏🏼🤗♥️
I am a kenyan,shukrani kwako mbosso,this is the real life we r goin thru.....thanks tu all our wives or husbands who are understandin the situation right now,we shall overcome🙏🙏🙏🙏
Well spoken bro...🤝
Its an emotional song 4 sure😴😴
@@mussakadikilo1140 the guy touches our heart deeply
@@mgenisuleiman56 yap..he is going far
kama ibada naswali sana kwa usiku wamanane tena nafunga na sunnah my favourite artist💖💖from🇸🇴🇸🇴mbosso🥇🥇🥇🥇
Actually he's ma best from Wasafi.. Dodosha likes za Mbosso hapa...
Kweli mapenzi inataka uvumilivu na msamaha,mistari ambao unatuliza nafsi kazi bomba mboso
Mbosso to the world...aujawai tuangusha...👏👏👏From 254 gonga like kaa umependa hii ngoma💗💖💜
This guy is something 🥰😍😍😍can't get tired of it(the song)
Hi
That's a big tune
I hope you don't use the same words to your wife too ,then that would be muggy😂. Joke mate👌
Mbosso is fwarkin legend ,no doubt
th-cam.com/video/w38ExziTceU/w-d-xo.html
😚😚😚😚😚😚😚😚
Wasio kuna na Tim Lakini wana sapot mzki mzuri bc gongeni Like tujiane😂😂😂😂😂😂😂
Haijakaa sawa instrumental beat th-cam.com/video/Enb1QfUE8S8/w-d-xo.html
Kwa wale tuopenda beat jipatie hiyo beat iko tayari
Haa
Tupoooo
Nyimbo zatanzania zikovizur
Mbosso just gives me goosebumps.... this Mbosso guy... i just can't get enough of your songs. Much love from Kenya
This guy is very talented, he's so real in his songs. I can never get enough of his beats. Keep it up. 🇰🇪 🇰🇪
Oopoo oo
Not like Sauti Sol that doesn’t have talents 😂😂😂
💐🌹💐
Sautisol si class ya huyu they are far above but Mbosso akitulia a natoa real music
Salim Mwakukana Sauti Sol is above? hahahha Zero talent hah
"Akili ikichoka Rizki nikosa najua kwako ntajiliwaza".....that really hit me
Same here
Wow another hit I love this dear keep it up may God bless your hustle sending you love from 🇳🇬
I can’t stay a day without listening to Mbosso much love from Ghana 🇬🇭
Usiwaze Sana my husband to be popote ulipo Ntakuvumilia ... Mbosso kanifunzaa..!
nashukuru sana my wife to be nivumilie iko siku tutapata tubadili tule kuku na nyama ya kuchoma
$uree!!!!!
Ok
O
@@ar-shadihashimu6729 $uree KABISA
Oman 🇴🇲 tulisha kufa Mbosso lini unarudi Tena uku? Love u Mbosso from Oman 😍😍😍😍💋💋💋💋💋
Mpka Corona iishe atakuja oman huoni wagonjwa wanazidi daily huku oman
King wa mashairi Mbosso Khan💥💥💥
MBOSSO NI POET NAMUENZI sana hakuna aliye na ubunifu kama yeye
254 ndani gonga like button kama umeipenda
This guy can write songs. Am team Aslay but Mbosso is the king of lyrics!
Mbosso takes the crown
team ASLAY
I'm team Aslay too
@Noel Walucho ...we are on the same alignment.
Kwa update zoooote 👇
.
th-cam.com/channels/0aur_3wDuzyvN50jLHVjtA.html
I’m a Swahili speaker and literally every single word spoken in all his songs touches my soul. 😍 Much love Mbosso!
Sa kwann usiandike kiswahili
@@lajnumzplatnumz2342 😂😂😂
Hali haijakaa sawa. Wimbo mzuri sana na Ujumbe wake umeshiba. Basi acha niendeleee kuuplay mara nyingi nyingi hadi pale hali itakapokaa sawa.
Mbosso hajawai niangusha wlai😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakuelewa sana Mbosso from south Africa keep going on
Ngoma nzuri sana hakika inaliwaza weka like kama unaikubali hii ngoma
Unafariji jembe
Mia mia nakukubali sana
This song reminds me how I begun life in marriage,God has been faithful and we are greatly blessed.Patience pays
amen
Amen God bless the song
Still looking for a perfect 👌 woman 👩🙏🙏
Same here ,but I bless the lord for everything
@@brayorichie2547 And you will never find one
Lovely message to those struggling with financial issues. Be patient. Surely after hardship comes easy.
Stay blessed, stay safe.
Ameenah Yaa rabbil Allamienah 🤲
It's fire..Imagine comparing this kind of music with our rubbish @ethics🥺🥺🥺.. Kenya tuko nyuma sana kimziki..Hali yetu haijakaa Sawa.
True
Kwann tusiwape baadhi ya wasanii kama kina baraka da prince, bushoke, matonya, h.baba n.k maana tumetosha kuwatumia wengne
😂😂😂
🇰🇪😂🤣
Tatizo kenya bado hamjapata muziki wenu, bado mnatangatanga mara reggae changaya ragga chabganya gengetone changanya hiphop. Bongofleva ilipita hukohuko, lakini sasa imesimama, sasa hivi zinapigwa tune original. Huwa sielewi hata mkubwa diamond anahangaikaga nini na mzikinwa afrika magharibi, muziki wetu unajitosheleza sana sahv.
Wapi likes za Nairobi,,,, always with mbosso forever
th-cam.com/video/JpG5sVMpH_k/w-d-xo.html
Yap
facebook.com/alilantez/
Iko poa
Iko poa sana
𝔼𝕩𝕔𝕒𝕝𝕪
Safi sana brother
Dah, sitii naksh sana, ila kama wali basi ni wali kachumbali, au mkate wa kumimina, ika kama mke basi huyu ni yule mashallah#mbosokhan # king best love melody @ "siko juu, siko chini niko nusu sado"
Wale wa USWAZI Kama VIDEO imekugusa LIKE hapa Twende Sawa♥️🙏🇹🇿🌹
kama unampenda mbosso from kenya piga like tukisonga
th-cam.com/video/JpG5sVMpH_k/w-d-xo.html
Sawa
facebook.com/alilantez/
Mkenya pala Americans got talent
th-cam.com/video/n6GJuf0EQ-s/w-d-xo.html
Kenya😍
th-cam.com/video/60nQ_bsZS00/w-d-xo.html
💜💜
Huu ndio wimbo wako bora kuliko kijana utakumbukwa kwa vizaz na vizaz. Hongera sana🤝
For the Love of your Music, This made even my bae calm down for me in this hard time... Mad Love from Kenya
Watching and listening straight outta Uganda, East Africa pamoja. Much love WCB
Haijakaa sawa instrumental beat th-cam.com/video/Enb1QfUE8S8/w-d-xo.html
Kwa wale tuopenda beat jipatie hiyo beat iko tayari
Dedication to my lovely wife. Nikirudi na hasira nielewe na mradi ujue nakupenda Sana.
Huuwimbo naupenda kweli hongera mboso