Patrick Kubuya - Tenda (Live Recording)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ค. 2024
- Haya ni maombi mazuri kwa yule anae hitaji kuona mkono wa Bwana.
Ibrahimu alimuita Mungu Bwana anaetenda kwa maana hivyo ndivyo Mungu alivyo jifunua kwake
Musa alimuita Mungu Bwana fahari yangu kwa maana hiyvo ndivyo Mungu alivyo jifunua kwake
Na wewe, ambia Mungu ajifunue kwako ili umpe jina jipya kadiri na atakavyo jifunua kwako
Lyrics
Mda wako ni huu Bwana
Shuka na nguvu, shuka
Watu wako tunangojea
Shuka na nguvu, Shuka
Tusirudi jinsi tulivyo Kuja
Mkono wako utende tutambue uko hapa
Alama za uwepo wako
Zionekane ijulikane ya kwamba
Eh Bwana uko na sisi
Tenda oh oh oh tenda
Ujifunue hapa Yesu tenda
Sema oh oh oh sema
Utuongoze hapa Yesu sema
Tupe ushuhuda, tukupe jina mpya
Inayo fanana na jinsi umejifunua - เพลง
I’m leaving this comment here because this song has transformed my life. And every time someone likes this comment I’m reminded I’m not alone and one more life has been transformed. MY GOD THANK YOU FOR YOUR LIMITLESS GRACE AND MERCY!
Tusirudi jinsi tulivyo kuja
Hallelujah
Aseme ndani yetu Amen
Que Dieu vous bénisse abondamment❤
Shuka na nguvu shuka Mimi nangojea bwana
God me listening to this I've been given a target commission of 10000 by my managers or I'll be rendered unproductive in the businesses, shuka yesu na nguvu,😢 watu wakujue muda ni wako mimi Mtu wako nakungoja nisirudi nilivyo kujia alama za uwepo wako zidhihirike nitende katika biashara nakungoja😢
May Yahwe shine his light upon you and come back with a testimony 🙏
@@SamsonAnyumba Thank you
God is faithful trust in Him
AMEN 🙏
It is well🙏
Today being the forth day of the month...I dedicate this month for my prayer item....I will leave this comment here every time anybody likes it it reminds me of my prayer item ...shuka na nguvu..nangojea 😢😢😢🙏🙏🙏
Me too today being date 4th of June 2024 am looking and depending on God wholly !!!
Ooh I can't stop replaying this song. "Yesu nipe ushuhuda nikupe Jina mpya". May God visit everyone that's trusting HIM for a miracle this year 2024.
That's me..life feels hopeless😢😢
Amen.
Amen
Amen
Amen
Kenya represented here,lots of love❤
This is not a song. It is a prayer🙌. Thanks Patrick
Who else feels like this song is a big hug from Gold's assurance
I used this song as a prayer and surely God answered my prayer .
As I listen to this worship song I pray for my mum's healing, may you my Father in heaven give us a testimony testify about you. May my mum get healed completely in Jesus mighty name 😢😢🙏🙏
Quick recovery to her. God is faithful to put a new song in your mouth
This is my prayer for the year 2024 i had struggles in praying and i was wondering how am i going to get a breakthrough but thanks be to God for the heavens have opened through this prayer and God is going to act in JESUS NAME. If you believe say AMEN
Amen
🙌🙌🙌I refuse to move from here without a testimony Lord..Give me a testimony that I may give you a new Name according to how you'll reveal yourself to me🙌🙌🙏🙏
Hallelujah
He's the one and only to be trusted, He will faithful reveal His mighty power to you
Tenda bwana wangu nifute machozi mwaka huu 2024 ujulikane upo nami Yesu
Amen
Yeye ni mwaminifu na wa haki. Atajifunua kwako na kukutendea
Wooow!!! Patrick Kubuya is gifted differently. Kila wimbo wake una upako wa kipekee. So powerful! Mungu akutumikie zaidi.🔥🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪alama za uwepo wako zionekane kwa maisha yangu ❤
First time kuskia hii song nilishindwa kufanya kazi kw nyumba nilijipata tu napiga magoti nali...God bless you Patrick Kubuya please 🙏🙏🙏
Ooh I can't stop repeating this song.Mungu nipe ushuhuda...nipe mume,nipe wateja,nipe afya njema Mimi na mwanangu...nina aja useme nami siku ya leo Amen
Amen may the Lord vindicate you
Mecylin tyra God is able to do
I’ve listened to this song while driving and I couldn’t stop playing it the whole time, the presence of the holyspirit in this song is too heavy. May every soul that listens to this song be redeemed. Amen.
Amen ....Tusirudi jinsi tulivyo kuja 2024 is a prosperous year ...Lovely song 🙏
Ushuhuda unaofanana na jinsi umejifunua.Tupe ushuhuda Bwana..Thank you Jesus for such revelation
Naomba mungu anipe ushuhunda mwaka huu mama yangu apone kupitia huu wimbo katika jina la yesu.Amina
tupee ushuhuda nikupe jina mpya inayofanana na jinsi umejifunua ...I call you Jehovah raffa i have received my healing
As i listened to this song,i was fasting for financial breakthrough,summarising prayers with this song,i believe i will stand here to testify for what he has done,my team who we are praying and fasting together,i believe this is answered prayer to us
Tenda bwana hata nasi tupate ushuhuda. What a wonderful ministration full of prayers. Merci.
Nimejipata niko chini ya uwepo mkubwa wa Mungu..BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU #PATRICKKUBUYA
Ndio nimesikia tu asubuhi ya Leo nimejipata nimeacha kila nilikuà nafanya nikajiconect kwanza na upako huu hakika MUNGU nipe ushuhuda na Mimi 🙌
Me too..
This song is a blessing for the season in my life.. Let God be God , waiting on the evidence of your works O Lord
Nikafikiri ni mimi pekee nimesikia hii sauti ya mungu kupitia wimbo huu hakika umebeba unabii wote wa mwaka huu nimepitia mengi watu wa mungu hadi nilifika mahali nikakata tamaa ila namshukuru mungu kila leo ananikumbusha yakwamba yeye yupo nami 🤲❤️🙏
Playing it nonstop it's such a blessing to my soul
Mubarikiwe sana wandugu and more grace,Mungu wangu nipe ushuhuda ❤
Eagerly waiting for the evidence oohh dear Lord
Powerful song, Eee Mungu naomba utende jambo mwaka huu 2024 kwangu Amen 🙏🙏
This is a confirmation that God is in the business of fighting for His people!!! The arm of flesh will fail them because the hand of Victory holds us! He’s the God of possibilities!! What can’t He do?!!! 🙌🙌❤️
Hallelujah 🙏🙏
What can't He do??
This early morning went to prayers and Holy Spirit took over and the plea of my heart was God do a brand new crazy mega thing in every dimension of my life this year that God I need you differently this year!use me as an example that you can do exceedingly beyond human mind can comprehend!Then I find this song few minutes later!Prayers answered!!This God is amazing! Patrick God bless you for allowing Him to work through you bro!!!I love you ❤❤
Tenda bwana kwangu nipate ushuhuda😭😭😭sema bwana ninakungoja hapa 🙌
Anyone listening to this song now and have a relationship with Jesus, I pray that your life will not remain the same in Jesus' name. And if you want to receive the gift of salvation, this is your day! Congratulations.
I have been though thick and thin, experiences I never thought I would ever face. In my life serving God, I believed I would live to celebrate the goodness of God in my life. But now am tempted to doubt that God is with me and that He cares about me. The pain is too much to bear. I feel alone and lost. But even in the greatest turmoil, I won't quit on God, I don't think He has given up on me. I will hold on. Mungu wangu, Tenda. Nipe ushuhuda, nikupe Jina jipya, Linalofanana na jinsi umejifunua kwangu.
Shalom my brother.
Please do not quit on God, what you're going through will be a testimony of the goodness of God. There are things He is working on you and behind the scene... He will never leave you nor forsake you, keep leaning on Him🙏🏾
🔥🔥🔥🔥Nipee ushuhuda ,ili tukupe jina mpya ,inayo fanana na jinsi ulivyo jifunua🔥🔥🔥...
2024 God act ,Give me a testimony
Another Spirit filled masterpiece....Mda wako ni huu Bwana, Shuka na nguvu, Shuka, watu wako tunangojea.. A Man after God's own heart. May God keep soaring you high. As I listened to this song, I thanked God for all the things he has done upon my life, siblings, parents and all the loved ones.
Amen 🙏
Tenda Bwana 🙏
Tusirudi tulivyokuja
Mungu awainuwe tena zaidi nyimbo zenyu ninyimbo zaufufuko wa uamsho kuiyi génération. Amen
Powerful🙌
Tupe ushuhuda, tukupe jina ❤ oooh my God.
Shuka Mungu wangu katika mwaka huu maishani mwangu. Nisivuke jinsi nilivyokuja....
What a worship! I'm soaked in God's presence.
Bwana Yesu asifiwe sana kwa maisha ya hii bendi. Nyimbo za hii bendi zinanibariki sana. Asante Yesu❤🎉
A lot is going on in my life. I cry everyday😭. Shuka na nguvu zako Yahweh alama za uwepo wako zionekana. Yesu tenda🙏
Mimi mwanao nangojea Bwana. Shuka na nguvu Mungu🙏. Alama za uwepo wako zionekane maishani mwangu 🙌.
What a deep and beautiful prayer.
Tenda Baba yangu mwaiyi mwaka 2024 sitaki nirudiye vile vile, Aksanti mon mentor, je suis tellement Béni Papa
Bwana akubariki kaka endelea kugusa mioyo yetu
Hallelujah woooi powerful song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
The best worship song 2024❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Lord I'm coming to you this time with broken heart,,i don't have anyone who can pay my school fees,,i worked for 5 yrs after form 4 in order to get some many to join now have joined who will continue paying 😭😭😭😭😭😭send yours angels God
Alama za uwepo wako zionekane 😭😭ijulikane kwamba uko nasi
Tendaaaaa😘😘
Baraka Mtumishi 🙏🙏🙏, this is Powerful 🔥🔥, you are a blessing to me and this Generation 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏. Nawapenda Sana 🙏🙏.
I love all his songs ❤
Tenda bwana Yesu kwa Maisha yangu,🙏🏻Nipe ushuhuda Yesu.
What a song,God bless you for me
"God bless Patrick Kubuya and the entire worship team for me. Amen!"
Tumekuja kwako Bwana twaomba tusirudi kama tulivyokuja Glory to God touching song
Deep spiritual touching composition, Patrick and your team you are a big blessing to the church. From Rwanda we follow your songs. God bless you
Amen amen
Hi there is a french word Patrick is using when singing maybe to mean tusirudi jinsi tulivyo kuja what is that word ? I dont know french but feel its powerful at around 2.07 @@patrickkubuya
God of mercies intervene in our lives this year wonderful song it is❤
Tenda oh tenda ujifunue hapa Yesu tenda!!!!!! Sema oh Sema utuongoze hapa Yesu Sema! 🥹😭🙇🏽♀️🙇🏽♀️ What a prayer! The presence of God in this song is tangible. Tenda Yesu watu wakujue mwenye kutenda miujiza!!!
God bless your ministry Patrick Kubuya. More God give you more grace to raise sounds of God's power! May the Holy spirit fill you continually with His fire in Jesus Name ❤ Love from Nairobi Kenya 🇰🇪
Am leaving this comment here trusting God for the projects i want to start. Shuka na nguvu babaa
May God do it for you
GOD.THIS.IS.MY.PRAYER😇🙌🙌
Tenda Bwana...Tenda huu mwaka 2024. Tupe ushuhuda,tukupe jina mpya inayofanana na jinsi umejifunua🙏🙏🙏🙏💕
Amen. Nipee ushuhuda bwana jifunue zaidi na zaidi yesu. Lord when they see me father they see the Jesus working in me dear Lord. Reveal yourself baba this is my prayer Lord 🙏
Patric Kubuya i appreciate your minister you define the servant of God always when I'm driving i just park somewhere to Glorify the name of the Lord thanks thanks the Man of God
Nyingine inanyo nipa faraja sana na kunifanya nmkumbuke Mungu kila wakati mungu awabariki sana sana mmekiwa baraka sana
Jioneshe maishani mwangu tena baba😢😢😢
Lord put a testimony in my mouth ❤❤❤beautiful
Me listening to this and I have not paid my rent,my bills are pending ,my mum is sick...my finances are so down...Bana nipe ushuhuda ...nikupe jina linalofanana na jinsi umejifunua...Amen
Barikiwa ndugu Patrick kubuya.Nyimbo zako huinua mwioyo zetu.Merci🙏
This is absolutely a 2024 prayer
Powerful piece sir. More grace
What a worship!!!
Yes Baba tenda katika maishani mwangu mwaka huu. Nitakupa jina🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Powerful song,Bwana Nami naomba unitendee
Am blessed from TANZANIA
Tendaa,kwa maisha ya watoto wangu na familia yangu nikupe jina mpya 🙌🙌😭
What a powerful ministration
Glory to God @Patrick Kubuya
Give me a testimony this year oh lord
MUNGU aendelee kukutunza Minister Patrick kwa ajili ya watu wake
Glory glory glory!!ahimidiwe yahwe kupitia wimbo huu ...You are blessed,your voices are blessed,everything is blessed
Ewe Yesu wetu, tunaomba utupe ushuhuda☺️
Muda wako ni huu Bwana. Tenda,tupe ushuhuda,tusirudi jinsi tulivyokuja,Tenda bwana tenda🙏
Tenda bwana nisirudi jinsi nilivyokuja
Waouh 😭!!!
Sifa zikurudiliye ewe Bwana
Be blessed Man of God Papa Patrick
Tanzania njoo hapa tumwambie Mungu atupe USHUHUDA for his Glory
Wipe my tears oh lord
Shuka kwangu baba pia,, nakungoja yesu nisirudi bure 😭😭
Nipe ushuhuda nikupe ushuhuda nikupe jina mpya inayofanana na jinsi umejifunua🇰🇪
Asante Patrick na timu yako yote umetukubariki na wimbo mzuri kutoka dar es salaam tanzania
Shuka Ee MUNGU kweny maisha yetu
God is going to reveal something in us❤
Que Dieu soit loué et qu'il vous bénisse énormément pour ce bon travail mes frères et sœurs de WAM
This song has blessed my heart. may the lord continue using you to minister to your people
Tuna ku ngojeya Bwana. Shuka na nguvu Bwana. Asante sana kwa wimbo WAM. We love you
Huu n muda wako Bwana🙏
May your works be evident in my life. In Jesus name I will be a testament of God's providence, God's favour and His Grace. People will know God through my success and abundance and they will say "Truly God is in her" and all glory and honour will return to Him. 2024.
Utupe ushuhuda ili tukupe jina mpya inayo fanana na jinsi ume jifunua kwetu bwana 🙇♂️ WAM🔥
God listens, God is faithful. He is a great God.
Thank you Patrick Kubuya, your songs have helped me to get into the mood of prayer and pour out my heart in prayer.
God is a friend.
He is the GOD WHO KEEPS HIS PROMISES.
Tenda bwana, mdaa wako ni huu bwana shuka. Glory be to God..Tenda bwana kwa maisha yangu bwana Tenda.
Leo..asubuhi Jesus gave me a name in which He has revealed himself to me ..The destroyer of darkness...that who he is to me ...destroyer of all works of darkness...all the way from kenya
Very powerful.. Kenyans camping here Tenda
very powerful...halleliujah
Speak Lord Speak Lord ❤❤
This is so deep👌👏👏Nipe ushuda mwaka Huu Bwana,Itakayo nifanyanya Nikupe Jina mpya🤝Tenda kwangu Mwaka Huu, Jifunue kwangu Bwana👏