Patrick Kubuya - Nakupenda (Live Recording)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Yesu wangu nampenda kwajili yeye ni yote kwangu

ความคิดเห็น • 307

  • @josia8501
    @josia8501 6 หลายเดือนก่อน +52

    I really testify is most talented song wrighter and performing artist show some love Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @judithmueni8626
    @judithmueni8626 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huu si wimbo tu,ni zaidi, ni kukiri kwamba hata kwa kujua yote ninayo yajua na kuona mengi, ni YESU ndiye nimeamua kuchagua.Ni rafiki wa karibu,alinipenda hata wakati sikustahili.Akafa kwa ajili yangu yeye ambaye hakujua dhambi ili mimi niwe huru.Nimekuchagua wewe tu YESU❤

  • @dennisngalunga192
    @dennisngalunga192 6 หลายเดือนก่อน +14

    Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza.... 1 Yohana 4:19
    Yesu nakupenda kwa kuwa Wewe ulinipenda kwanza, twende kwa nani Bwana kwako kuna maneno ya uzima.
    Mbarikiwe sana wapendwa, kuna nguvu ya Mungu katika huu wimbo. Nabarikiwa kutoka Tanzania 🇹🇿🇨🇩

  • @Graclyna12
    @Graclyna12 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kenyans 🇰🇪love you❤ minister kubuya

  • @venerandamangore1384
    @venerandamangore1384 6 หลายเดือนก่อน +7

    Asante kaka Patrick Huu umekuja kuwa wimbo wangu pendwa Awali ilikua ‘TENDA’ na sasa huu wimbo unanibariki mno mno mbarikiwe sana ❤️🙏🙏

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 6 หลายเดือนก่อน +7

    Tanzania tunakupenda sana @patrickkubuya mungu aikuze huduma yako. ni shauku yangu one day we will be together in @tukuyufmtz . God bless

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hallelujah 🙌🙌....Baraka Mtumishi.....Huu Ni Zaidi ya WIMBO😭😭🙏🙏.... Powerful 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 MUNGU awazidishiye NEEMA Yake🙏🙏.

  • @AMISILUENGAMoïse
    @AMISILUENGAMoïse 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna maisha mema inje ya Yesu. Mungu akubaribi sana !

  • @wanzamwanthi4384
    @wanzamwanthi4384 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪 we love your ministration ❤❤❤

  • @MercyMwangi-m9n
    @MercyMwangi-m9n 6 หลายเดือนก่อน +3

    Powerful song NAKUPENDA SANA YESU
    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @vincentsungu
    @vincentsungu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kenyan watching from Doha Qatar i feel the vibe moved inspired big fun of kubuya band improvement in the team good job🙏

  • @amanikahathi6608
    @amanikahathi6608 6 หลายเดือนก่อน +6

    Aki nyimbo zako zanibariki♥️ sana, Mungu azidi kukinua kihuduma🙏

  • @sheilahmasilwa4643
    @sheilahmasilwa4643 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen...Yesu niwewe nakupenda.......🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @BeatriceLyatuu-w8j
    @BeatriceLyatuu-w8j 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉❤❤❤❤Nakupendaa Yesu... Wewe ni kila kitu kwangu... MUNGU naomba uzidi kuwabariki na kuwainua zaidi waimbaji Hawa uliowaita kwa huduma hii... Our brother Patrick MUNGU WA MBINGUNI AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUPA MAISHA MAREFU

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya  6 หลายเดือนก่อน

      Amen amen
      Glory to our Lord Jesus Christ

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe 6 หลายเดือนก่อน +21

    My brother 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 you are a blessing🙌🏾🙌🏾🙌🏾 thank you for obeying the call

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya  6 หลายเดือนก่อน +2

      Amen amen

    • @johndemunga2903
      @johndemunga2903 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@patrickkubuyabrodaa barikiwa Mtumishi kwa nyimbo zako ewe yesu mi NAKUPENDA UWE wangu milele❤❤

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki หลายเดือนก่อน

      AMINA.ASANTE MUNGU KWA KUINUA KIZAZI HIKI KIKUTUKUZE KWA ROHO NA KWELI.SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO.NINA KUPENDA NAOMBA UWE PAMOJA NA MIMI

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki หลายเดือนก่อน

      Dada Rehema ata wewe hunibariki kwanyimbo zako.MUNGU AZIDI KUWAINUA NI KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE

  • @lutonderebecca6150
    @lutonderebecca6150 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda yesuu wangu 🎉. Aksanti saana Papa Patrick na équipe yoote kwa nyimbo nziri. Mubarikiweee

  • @Lois_WN
    @Lois_WN 4 หลายเดือนก่อน

    Oh how I love this whole band 🙌🙌🙌
    May the Lord continue to use you guys ! Your service to the Lord He will sure reward !

  • @YolyanayeCatherine
    @YolyanayeCatherine 4 วันที่ผ่านมา

    Your song is powerful with blesse of God in my life i bless with your song i from 🇩🇪ug work in Kenya being sing like you

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tujuane ambao maisha yetu bila YESU ni kifo😢 YESU usiniache

  • @agnesshequey3719
    @agnesshequey3719 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda YESU 🇰🇪

  • @mylesmutira4504
    @mylesmutira4504 6 หลายเดือนก่อน +2

    Waa,true worship.Amazing

  • @jeanpierredjeli8177
    @jeanpierredjeli8177 6 หลายเดือนก่อน +1

    Que Dieu vous bénisse abondamment

  • @frgustavetshibangu3497
    @frgustavetshibangu3497 6 หลายเดือนก่อน +1

    Merci Papa pour cette belle chanson sans Jésus Christ nous sommes de vaut rien

  • @petermbugi2579
    @petermbugi2579 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ Mtumishi Mungu unae mtumikia akubariki sana mimi binafsi nafulahishwa na huduma yako,Mungu awainue kwa viwango vikubwa sana.

  • @meshackmushagalusa2501
    @meshackmushagalusa2501 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu azidi kuku bariki abariki huduma yako, na jamaa yako

  • @naomymacharia8955
    @naomymacharia8955 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha yangu ni bure bila wewe..nje yako ni kifo. Nakupenda

  • @sekelaisrael7675
    @sekelaisrael7675 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha yangu bila Yesu ni bure ,nakupenda Yesu nimekuchagua uwe wangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @JulesMbilizi
    @JulesMbilizi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Upendo wa moyo wangu ni wewe.yesu

  • @PltLuckyGedion
    @PltLuckyGedion 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nakupenda. Continue increasing in our lives as we decrease. God Bless you @Patrick Kubuya for this another masterpiece

  • @goodluckkihombo1882
    @goodluckkihombo1882 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful.. Thank you for The SONG Minister Patrick Kubuya,
    Hakika BWANA YESU WEWE NDIWE WANGU! ULIYENIPENDA KWANZA.. NAKUPENDA SIKU ZOTE MFALME WANGU, BABA YANGU, MUNGU WANGU..
    Glory to your Holy Name JESUS.

  • @patrickbwira6123
    @patrickbwira6123 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Yesu❤ ❤❤

  • @EmmanuelMero-lq7tt
    @EmmanuelMero-lq7tt 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu you guys you do it by spirit stay blessed more

  • @cedrickmugishobakenga638
    @cedrickmugishobakenga638 4 หลายเดือนก่อน

    Yesuuu nakupenda wewe ndiwe wangu 😭😭🙌🙌♥️♥️...

  • @evansmassawe160
    @evansmassawe160 6 หลายเดือนก่อน +1

    Brother ❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @israelmakunga914
    @israelmakunga914 5 หลายเดือนก่อน

    I just wanted to be the first to comment, I'm blessed a lot with his ministry hasa akiwa anaomba katikati ya wimbo, nahisi he speaks on my behalf. Is someone else blessed with his Ministry.?

  • @ruthmbugua9239
    @ruthmbugua9239 6 หลายเดือนก่อน +1

    All about God.❤

  • @ShadrackMusiqOfficiall
    @ShadrackMusiqOfficiall 6 หลายเดือนก่อน +1

    This is wonderful ❤❤❤❤❤

  • @awusibecker2586
    @awusibecker2586 6 หลายเดือนก่อน

    I Just bumpt into this Song ON the 1April‼️
    Asante Yesu ...ndani yako Nina yote.Ninakupenda Yesu....
    Kweli...wanitosha🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @christinamarco6124
    @christinamarco6124 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙇‍♀️🙇‍♀️🙌🏻 Nakupenda Yesu, bila wewe sifai, asante kwa kunichagua❤

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya  6 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you Tina

  • @gaspardimani917
    @gaspardimani917 6 หลายเดือนก่อน +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤲🤲🤲🤲🤲

  • @giginegipatho7349
    @giginegipatho7349 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏
    Sifa na utukufu himurudiliye mungu

  • @emeliakikungwe1937
    @emeliakikungwe1937 3 หลายเดือนก่อน

    Kati ya wengi nimekuchagua wewe peke Yako UWE wangu siku zoote za maisha yangu🇹🇿🇹🇿

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu Patrick! Namshukuru Bwana Yesu kwa ajili yako, unaniingiza kwenye kuabudu sana... Roho na Moyo wangu vinamuabudu Mungu kwa kutetemeka❤❤❤

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 6 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana😢na wimbo huu

  • @tipsxxl
    @tipsxxl 6 หลายเดือนก่อน

    Je suis congolais du KATANGA vivant au usa merci pour la bonne musique. reste simple comme ça avec jesus Christ . J’aimerai vous voir faire un featuring avec l’artiste du ciel le PASTEUR JOËL KABWE DE LUBUMBASHI

  • @samuelmemaushindi
    @samuelmemaushindi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Moyo wangu iku chague daima Baba...

  • @timothykilelo
    @timothykilelo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Glory be to Jesus so touching more grace sir

  • @piusmureri4811
    @piusmureri4811 6 หลายเดือนก่อน

    Be Blessed Patrick kubuya...much blessings from Nairobi Kenya

  • @Min_abednego_fabiano
    @Min_abednego_fabiano 6 หลายเดือนก่อน

    nimekuchagua Yesu uwe wangu milele

  • @corcybonneidee3020
    @corcybonneidee3020 6 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nipo hai ajili yako Bwana Mungu wangu mubarikiwe Sana Patrick

  • @janetmativo1050
    @janetmativo1050 5 หลายเดือนก่อน

    I you God,sitaki mwingine

  • @larosesidnay5627
    @larosesidnay5627 6 หลายเดือนก่อน

    This son is powerful

  • @PaulineNthangu
    @PaulineNthangu 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Yesu nmekuchangua wewe tu.....be blessed Man of God

  • @officialndegeboy2224
    @officialndegeboy2224 6 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🙏

  • @rocksamuel
    @rocksamuel 6 หลายเดือนก่อน

    Amen sana Mungu akubariki ❤❤❤

  • @chrisblessedson
    @chrisblessedson 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Yesu🙌🙌🙌🙌

  • @charlesamuyunzu9600
    @charlesamuyunzu9600 6 หลายเดือนก่อน

    Voices of Angels

  • @AdellaGabriel
    @AdellaGabriel 4 หลายเดือนก่อน

    Powerful 😢amen

  • @shiruk9228
    @shiruk9228 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sad in such a powerful presence of the Lord some people are just busy taking videos.

  • @joymumo6628
    @joymumo6628 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @esthergloryshine322
    @esthergloryshine322 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelluya

  • @adelaAndinda-ku8ex
    @adelaAndinda-ku8ex 6 หลายเดือนก่อน

    Hoh mon Dieu

  • @B.iku2024
    @B.iku2024 6 หลายเดือนก่อน

    Where is the brown girl mwenye ali backup the other song

  • @daisyeunice8772
    @daisyeunice8772 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @espoircibembe2277
    @espoircibembe2277 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @rosemwiti6295
    @rosemwiti6295 6 หลายเดือนก่อน +21

    Without you Lord I am nothing ... ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪thank you Lord for loving me... Be mine forever

  • @marthabenson1112
    @marthabenson1112 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ibrahimbaruch2743
    @ibrahimbaruch2743 6 หลายเดือนก่อน +11

    Ninachoona kwa kiongozi na kikundi kizima ni unyenyekevu. Nyimbo zenu zimejaa upako. Barikiweni na muinuliwe viwango vya juu.

  • @hanskidd2290
    @hanskidd2290 6 หลายเดือนก่อน +19

    Maisha yangu bila yesu bure.......this is classic one ❤❤❤❤❤ from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @purityngima7455
    @purityngima7455 6 หลายเดือนก่อน +22

    Kenya 🇰🇪🇰🇪 forever worship our father who at heaven

  • @Lusekelo98
    @Lusekelo98 6 หลายเดือนก่อน +6

    Utukufu mpaka utukufu
    Let songs be our prayer sound when we can't have a chance to talk any word, and in circumstances when tears overwhelm words.

  • @mypresident.kimani1891
    @mypresident.kimani1891 6 หลายเดือนก่อน +28

    High higher than expected. African rising in jesus name. from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Love love

  • @ElijahOchieng-tq4uy
    @ElijahOchieng-tq4uy 2 หลายเดือนก่อน +4

    wonderful song... God is so much pleased when we worship Him🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jamesrukwaro9876
    @jamesrukwaro9876 6 หลายเดือนก่อน +15

    From KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️💕♥️♥️♥️ much love 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @julienbamupende3940
    @julienbamupende3940 6 หลายเดือนก่อน +10

    Gloire à Dieu pour le boulot

  • @duncanmaina6407
    @duncanmaina6407 6 หลายเดือนก่อน +53

    Asante Yesu kwa kunipigania na kuniponya kutoka kwa vita vya kiroho. Adui alitaka niwe written off lakini kwa upendo wako nipo na ninazidi kuendelea. NAKUPENDA YESU.

    • @benjaminmaweu9125
      @benjaminmaweu9125 6 หลายเดือนก่อน +3

      Amen ♥️♥️♥️

    • @edwinmbwiri7806
      @edwinmbwiri7806 6 หลายเดือนก่อน

    • @peterondieki3652
      @peterondieki3652 6 หลายเดือนก่อน

      Bro this one is another big hit ,Jesus loved us first so need to reciprocate His love for us kudos man of God and your entire crew for nice work may God use u more and more to touch many hearts.

    • @shalinemusimbi230
      @shalinemusimbi230 6 หลายเดือนก่อน

    • @RoseLyimo-t1t
      @RoseLyimo-t1t 6 หลายเดือนก่อน

      Hakika bila Yesu mimi sii kitu,Mungu aendelee kukutumia nyimbo zako zina uwepo wa Mungu tunabarikiwa sana.Mungu akubariki.

  • @visionmartin
    @visionmartin 6 หลายเดือนก่อน +5

    Nakupenda🥰💗💓💗Bwana yesu nakupenda,,,yote ya thamani kwangu ni wewe Yesu
    Bwana Yesu nakupenda❤
    I am nothing without you my Lord

    • @visionmartin
      @visionmartin 6 หลายเดือนก่อน +1

      Much love from Kenya🇰🇪 💗

  • @violetmlawa7490
    @violetmlawa7490 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimenyeshewa na mvua ya baraka mmeimba vizuri na uvaaji wenu hata mungu ametukuzwa wapewe maua bila wivu🎉❤😅

  • @kishie5416
    @kishie5416 6 หลายเดือนก่อน +6

    Always longing for master pieces from you man of God
    Actually the lord is using you to uplift us through your music
    We love you jesus

  • @33gamer-te9el
    @33gamer-te9el 6 หลายเดือนก่อน +8

    if humans can sound this good think of what heaven will be 🤔🤔🤔🤔

    • @pascalndondji8815
      @pascalndondji8815 4 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉

    • @nyamburaphoebe3089
      @nyamburaphoebe3089 3 หลายเดือนก่อน

      His rhythms sound so much like what we will sing in heaven. Such a heart of worship

  • @Kelvin_Mutembei
    @Kelvin_Mutembei 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yote ya dhamani kwangu ni Wewe
    Nakupenda Bwana Yesu
    Umejaza moyo wangu na furaha
    Nakupenda Bwana Yesu
    Maisha yangu ni bure bila Wewe
    Nje yako ni kifo
    Ni Wewe Ndiwe uso ya uzima wangu
    Bila Wewe sifai
    Nakupenda Yesu
    Nimekuchagua Uwe wangu milele
    Ndani ya wengi
    Macho yangu yamekuona
    Sitaki mwengine
    Nimekuchagua
    Pekee Yako
    Ndiye moyo umependa
    Sitaki mwengine
    Nimekuchagua
    Yesu
    Yesu
    Yesu
    Wewe Ndiwe wangu

  • @thecareerschannel1523
    @thecareerschannel1523 6 หลายเดือนก่อน +3

    Patrick, you never disappoint. Authentic Worship for real. I thought Tenda was the best song for me in 2024 but hey it is being challenged already. PLEASE SHARE THE FULL LYRICS

  • @gloriaotieno9581
    @gloriaotieno9581 6 หลายเดือนก่อน +5

    I love you Jesus i have chosen you to be mine forever ❤🙏 amaizing and wonderful song thank you@patrick kubuya for the ministration

  • @joanjoy7242
    @joanjoy7242 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ooh Jesus raise my spirit again without you lord am nothing and totally dead... nakupenda yesu❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @graceblessing1591
    @graceblessing1591 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah Hallelujah, All Glory, Praise and Honour belongs to You Lord Jesus,
    My brother Kubuya stay blessed with your Ministry 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 You bless us beyond all the imaginations 🔥🔥
    UK 🇬🇧 🇬🇧Love U guys 👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾

  • @jenifamuia2286
    @jenifamuia2286 6 หลายเดือนก่อน +3

    NAKUPENDA YESU KWA MOYO WANGU WOTE🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josevumilia726
    @josevumilia726 6 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN, AMEN ROI DE L'UNIVERS SOIT TOTALEMENT ÉLEVÉ SOIT BÉNIS FROM DRC KINSHASA

  • @hebruniidonald282
    @hebruniidonald282 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hi

  • @sarahkatile1524
    @sarahkatile1524 3 หลายเดือนก่อน +1

    "Dunia ineniosha wengi lakini nimekuchangua wewe Yesu":the truth is that this world has so many gods and soo many majesus that i could opted for but i have chosen JESUS in this life and for the life to come,ooooooooooh,what a abling nd lovevly worship for our God the creator and JESUS our saviour

  • @nkathapamela5703
    @nkathapamela5703 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤wooow,,such a powerful song,,much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @giselendona8971
    @giselendona8971 6 หลายเดือนก่อน +2

    Le chant de ma destinée...qui a tout déclencher et réveillée ma conscience...Mon temoignage

  • @AmonFidele
    @AmonFidele 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha yangu ni bure bila wewe Yesu Kristo.❤ yote y'a samani kwangu ni wewe Yesu❤
    Hakika WAM mubarikiwe na Mungu katika huduma. Katika nyimbo nasikiya uwepo wa Mungu.

  • @victoriamoki8348
    @victoriamoki8348 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nakupenda, furaha yangu ni wewe, eeeeh thamani yangu ni wewe, dunia imenionyesha kilio lakini wewe Yesu upendo wako wa ajabu, Yesu nakupenda... Yesu nakupenda ❤❤❤

  • @jeanpierredjeli8177
    @jeanpierredjeli8177 6 หลายเดือนก่อน +2

    Félicitations
    Que la gloire revienne à Jésus-Christ

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Yesu nimekuchaguan uwe wangu milele,,Kati ya wengi macho yangu yamekwona sitakii mwinginee nimekuchagua ,peke yako ndiye moyo niweka sitaki wengine nimekuchaguaaa.

  • @getruderasi
    @getruderasi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki kwa kufanya jina la yesu kuinuliwa na watu wote .

  • @joancheptoo8447
    @joancheptoo8447 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you for expressing what's in my heart beautifully 🥹🥹🥹
    I love Lord Jesus

  • @Monicapaul-of9ze
    @Monicapaul-of9ze 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nje yako Yesu hakuna uzima,nje yako Yesu hakuna utajiri, nje yako Yesu hakuna aman❤️❤️ nakupenda

  • @cynthiamuriithi4678
    @cynthiamuriithi4678 6 หลายเดือนก่อน +1

    Such a blessed song with blessed vocals, thank you Patrick Kubuya for this masterpiece

  • @ndungujoy5571
    @ndungujoy5571 6 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful indeed ❤❤❤from Kenya