Ninaomba Nione mkono wako,Roho wako Akae pamoja Nami ×4 Mwanga wa mbinguni Angaza maisha yangu,kwa Neema yako badili historia yangu×2 Yote Ninayohitaji ndani nitayapata,chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi×2 Nafsi yangu yakuhitaji bwana,kwa maombi ninakutafuta.
Hii nyimbo nimekuwa naisikiliza toka imetoka last year na inaendelea kunibariki hadi leo, nimeweza kuomba kwa muda mrefu kupitia nyimbo hii just playing the song on repeat. Powerful song looking forward to worship with you next time you visit Dar es Salaam, Tanzania.
Naomba hats mm nione mkono wako Yesu .Nimekosa kazi ktk maisha yangu kwa miaka 13 lkn ninaamini mkono wa Bwana sio mfupi ukose kunipa kazi.I will come back here with my testimony.B blessed my brother Patrick kubuya God bless you abundantly with all your team singers.
Nione mkono wako BwanaYesu Kristo aliyehai uliyeshinda vita pale msalabani kwaajiri ya vita ya roho ya mauti katika maisha yangu. Naomba neno lako katika Zab 23 : 3-6 na Zab 124: 1 -8 litimie katika vita hii
Naomba Baba nione mkono wako huu mwaka wa 2024. Nafsi yangu yakuhitaji, usiende mbali na mimi, moyo wangu wakuhitaji. Madeni yamenikaba koo, landlord na agents wanatishia kunifungia nyumba, sijui wa kumkimbilia.
Asante Mungu kwa wimbo mzuri kimbilio langu ni wewe nimeuona mkono wako juu ya operations yangu ya kifo niliotoka nilikuwa wa kufa mimi mwanga wa mbinguni angaze maisha yangu Asante yesu kwa kunijibu maombi yangu hakika nimeuona mkono wangu kwa nema yako badili historia yangu Asante Mungu
Eee MUNGU sikia maombi yangu siku ya Leo MUNGU usie lala kwa ajir angu naomba fungua tumbo langu limehalibiwa na adui bwana hukuniumba nikiwa tasa Bwana ila adui kapanda mbegu mbaya kama ulivyo weza kunipa mtoto mzur naomba nipe tena bwana nakusii YESU wngu usiende mbali nami nakusii roho mtakatifu sikia maombi yangu
God thank you for this song because when I shed my tears you wiped it out and took over 💯✅ to give me testimony. Continue taking charge of my life 😊. The number of times have cried even when driving listening to this song as a prayer when I didn't have strength to pray. You are indeed faithful oh God.
this is the most powerful worship experience! i cannot even imagine how the atmosphere was during this recording..bro kubuya upako wa mungu uko juu yako..unahisi uwepo wa roho kwa nyimbo zako..
Waooooooh glory to the LORD 🔥🔥 I love this songs,, thanks GOD you are good provider of me, hakika nami nmeona majibu yangu Mungu umejifunua zaid kwangu ♥️♥️🔥
Yote ninayo itaji ndani yako nitayapata Baba 😢😢😢😢 😢 Nafsi yangu yaku itaji Baba 😭😭kwa Maombi nina kutafuta usiende mbali na mimi Bwana jifunuwe ngwangu nakuitaji mwaka bado hujaisha 😭😭😭🙏🙏
Nina hitaji moja kubwa sana katika maisha yangu naamini kupitia huu wimbo mtaiona mkono wako na utanifungua Mungu wangu KWA imani utaenda maana nimelia sana lakin nikakumbuka kia nakuudhi KWA kulia kwangu , nimenyamaza na kusema sitalia tena bali ntakuomba na kusubir majibu yangu Amina🙏
Bwana naomba unijibu maombi yetu badili historia yetu bwana naomba nirudi hapa na testimony sooon lord that's my prayer things are changing for us for good and better baba usikubali tuaibiki lord please change our history and our lives lord let me come back here with a testimony 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲nione mkono wako👏👏👏🙌
19th of August 2024 pinning it here after my cousin who av been staying with my kids having squandered my money,thn taken them to my dad and refused to surrender all my belongings that av sweated for in gulf 😢😢😢😢#Nione mkono wako Baba usiniache
Thos is my first time to listen to this song n God has answered one of my prayers and I know next month a day like this I'll be back here for another comment...
Amen 🙏 Glory be to the most high even though I don't understand the language still I can feel the presence and power of God changing my life and story , before the year ends I pray for the hand of God to be upon me and my family 🙏🙏🙏 in Jesus Mighty name we pray Amen
Nnaweza kusikiliza nyimbo hizi kuanzia asubuhi mpaka jioni bila kuchoka Mungu awainue kwa utumimishi huu mkubwa
Mii piano nikiweka earphone hadi jioni
A great song it is.
Ninaomba nione mkono wako roho mtakatifu 2024😢❤❤
I leave this comment here today 1/4/2024 as a reminder i will come back with a testimony
Nione mkono wako Leo....Naomba uniheshimishe. 15. 0.24. nahitaji kubadilisha maisha yangu. Unipe ushuhuda Jehova!
After 4th May I will be here to testify....Amen
@@paulinekobags7374 Amen
Ninaomba Nione mkono wako,Roho wako Akae pamoja Nami ×4
Mwanga wa mbinguni Angaza maisha yangu,kwa Neema yako badili historia yangu×2
Yote Ninayohitaji ndani nitayapata,chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi×2
Nafsi yangu yakuhitaji bwana,kwa maombi ninakutafuta.
❤
Wangapi tunaomba kuona mkono wa bwana 2025?
Ninaomba nione mkono wako huu mwezi wa October 2022, American citizenship 🙏
Nione Mkono wako.... Barikiwa sana. Love from Kenya.
I you are reading this You are bleased type Amen.
Amen!! 😭
Hii nyimbo nimekuwa naisikiliza toka imetoka last year na inaendelea kunibariki hadi leo, nimeweza kuomba kwa muda mrefu kupitia nyimbo hii just playing the song on repeat. Powerful song looking forward to worship with you next time you visit Dar es Salaam, Tanzania.
Ninaomba nione mkono wako 🤲
Naomba hats mm nione mkono wako Yesu .Nimekosa kazi ktk maisha yangu kwa miaka 13 lkn ninaamini mkono wa Bwana sio mfupi ukose kunipa kazi.I will come back here with my testimony.B blessed my brother Patrick kubuya God bless you abundantly with all your team singers.
Amen
Mungu ajibu maombi yako
God will restore the lost years. He will wipe your tears. It is well.
Amen
Bado MUNGU n mwaminifu anaskia maombi
Nami ninalia kama wewe😢😢 lakini Yesu si mwanadamu hata akose kunihurumia!❤
Naomba nione mkono wa JEHOVAH
Ni naomba niuone mkono wako, na roho wako akae ndani yangu!
Yesu skia maombi yangu unijibu ,kwa neema badili historia yangu baba
🙏let me see your hand in my education until I succeed lord.
Mungu Asante kwa kuniondolea aibu nijifungue salama ❤❤❤
Bwana badilisha historia y’a maisha yangu Sikia Maombi yangu Déc 2024
Nione mkono wako BwanaYesu Kristo aliyehai uliyeshinda vita pale msalabani kwaajiri ya vita ya roho ya mauti katika maisha yangu. Naomba neno lako katika Zab 23 : 3-6 na Zab 124: 1 -8 litimie katika vita hii
Naomba mwaka 2025 Uwe mwaka wa kitofautii kwenye Maisha yangu
Nione mkono wako Yesu
Ninaomba nione mkono wako yesu katika periode niko mgonjwa usinipite yesu yesu wangu
Naomba Baba nione mkono wako huu mwaka wa 2024. Nafsi yangu yakuhitaji, usiende mbali na mimi, moyo wangu wakuhitaji. Madeni yamenikaba koo, landlord na agents wanatishia kunifungia nyumba, sijui wa kumkimbilia.
Baba badilisha historia yangu. Jibu maombi yangu, nakulilia. Usiniache nilivyo. Naomba nionee mkono wako.
Asante Mungu kwa wimbo mzuri kimbilio langu ni wewe nimeuona mkono wako juu ya operations yangu ya kifo niliotoka nilikuwa wa kufa mimi mwanga wa mbinguni angaze maisha yangu Asante yesu kwa kunijibu maombi yangu hakika nimeuona mkono wangu kwa nema yako badili historia yangu Asante Mungu
Eee MUNGU sikia maombi yangu siku ya Leo MUNGU usie lala kwa ajir angu naomba fungua tumbo langu limehalibiwa na adui bwana hukuniumba nikiwa tasa Bwana ila adui kapanda mbegu mbaya kama ulivyo weza kunipa mtoto mzur naomba nipe tena bwana nakusii YESU wngu usiende mbali nami nakusii roho mtakatifu sikia maombi yangu
Que le Saint Esprit te couvre et l'onction de ta saison te fasse prospérer à tous égards pour la gloire de Jésus-Christ.
Mungu nakataa kuhema kwa kushtuka
katika yote yesu wangu ninaomba usiondoke mbali nami; maana ndani yako ninapata vyote,wewe unaye jibu Maombi; tunakuja kwako mwamba wa maisha yetu
Hakika kwa Neema yake atabadilisha historia yangu. What a wonderful prayer!
Merci
Amen 🙏
Amen
Yesu, Skia maombi yangu. Unijibu eh Bwana ninakusihi 🙏 🙏 🙏
God thank you for this song because when I shed my tears you wiped it out and took over 💯✅ to give me testimony. Continue taking charge of my life 😊. The number of times have cried even when driving listening to this song as a prayer when I didn't have strength to pray. You are indeed faithful oh God.
God take charge of my life
waooo!!! uwepo wa Roho mtakatifu mtakatifu juu ya mataifa
i wish god to give you more gift of sing
BABA badilisha historia yetu 2025
Alléluia amen,,nabarikiwa sana Niki sikiliza nyimbo za mutumishi wako Mungu,Mungu aendeley ana kupaka mafuta,ubarikiwe sana homme de Dieu 🙏🙏🙏🙏
My heart's prayer currently 😭 this song is God sent and timely. Thank you ❤️🙏🏾 love from Kenya 🇰🇪❤️
I came across this song when I was going through a terrible experience..I sing it all day...God has truly been faithful 🙏🙏
Amen
Mungu akutumie Zaid Kaz yako nzuri
Naomba nione mkono wako Bwana katk miezi unayokuja Mwezi 5,6,7,8,9,10,11,12 🙏🏻2024 🙏🏻
Kwa neema yako badili historia yangu
Ninaomba nione mkono wako bwana ,badirisha historia yangu katika jina yesu Hill ndio ombi langu
this is the most powerful worship experience! i cannot even imagine how the atmosphere was during this recording..bro kubuya upako wa mungu uko juu yako..unahisi uwepo wa roho kwa nyimbo zako..
Blessed from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ninaomba nione mkono wako. Roho wako akae pamoja nami.
Ninaomba nione mkono wako JEHOVAH
Jan 2024 I am still here 😭😭 WHAT A PRAYER!!❤🙏🙏
Listening this while in labour room,bwana wacha nione mkono wako,my baby will be healthy no complications in Jesus mighty name.
Ninaomba nione mkono wako Mungu maishani mwanfmgu🤲🏽
This Song is a testimony to me!! After telling God my Prayers finally He answered 🙏.
😭🙌🙏maombi yangu 2023
Waooooooh glory to the LORD 🔥🔥 I love this songs,,
thanks GOD you are good provider of me,
hakika nami nmeona majibu yangu Mungu umejifunua zaid kwangu ♥️♥️🔥
Bwana Yesu apokee sifa, heshima na shukrani. Mfalme wa wafalme 👑
Le tout puissant je vais te voir, fait moi grâce seigneur ❤
Yote ninayo itaji ndani yako nitayapata Baba 😢😢😢😢 😢
Nafsi yangu yaku itaji Baba 😭😭kwa Maombi nina kutafuta usiende mbali na mimi Bwana jifunuwe ngwangu nakuitaji mwaka bado hujaisha 😭😭😭🙏🙏
Nyimbo zako hakika Zina upako , zinafungua,zinabariki, hakika ongezewa mafuta uendelee na hiyo uduma
Ee bwana naomba nione mkono wako🙏
Anyone please like......when God remembers me, I' ll come back to lift others!
Muongezeke sana watanzania
Amen man of God from Tanzania I'm so blessed with your ministry thank you
Roho wako akae pamoja nami.....very powerful song....i can't get enough of it...receive love from Kenya
Same here , from Mombasa , this song is lifting me high and high , may God hear this prayer
I know that God hears and Answers Prayer... I will come back to give a testimony for his faithfulness in my life and my family.
I have just discovered this song. I will leave this comment here. I'll come back with a testimony
Nimeunaona mkono wako kweli umebadili historia ya maisha yanguu...🎉🎉🎉
Nina hitaji moja kubwa sana katika maisha yangu naamini kupitia huu wimbo mtaiona mkono wako na utanifungua Mungu wangu KWA imani utaenda maana nimelia sana lakin nikakumbuka kia nakuudhi KWA kulia kwangu , nimenyamaza na kusema sitalia tena bali ntakuomba na kusubir majibu yangu Amina🙏
Patrick kubuya is something else in the world of worship.... What a wonderful live version of this song...
I can listen to this song time and again 🙏
This guy is another level
Unafanya kazi nzuri sana Mungu atembee pamoja nawe...
I have made this prayer today 25th January, 2023... I leave the date here as a testimony in advance
Amen shall it be delivered to you!
Badilisha Maisha yetu.🙌🙌🙌
Yote ni nayo hitaji, ndani yako nitayapata, chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi. Sikia maombi yangu eh Yahweh 😭. Usiende mbali nami Bwana wangu
SIKIA MAOMBI YANGU - Nione MKONO WAKO
Nione mkono wako uu mwezi wa june
Bwana naomba unijibu maombi yetu badili historia yetu bwana naomba nirudi hapa na testimony sooon lord that's my prayer things are changing for us for good and better baba usikubali tuaibiki lord please change our history and our lives lord let me come back here with a testimony 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲nione mkono wako👏👏👏🙌
Ninaomba, Nione mkono wako, Roho wako akae pamoja nami.
Nione mkono wake. Roho wako akae pamoja NAMI. I will graduate this December and will get a job from you and by you Lord 🤍. Nione mkono wako.
Wewe unae inua wanyonge badili history yangu❤❤😢
Est-ce qu'il y a quelqu'un qui a saisi la main de Dieu comme moi au travers ce chant?
Sio tu nyimbo,ni maombi ya imani,Mungu awabariki sana watumishi
Kwa neema yako Baba, badilisha historia yangu, naomba uyasikie maombi yangu na uniponye vidonda vya roho.
God you're faithful and merciful, Yes ujibuye maombi ninaomba nione mkono wako.
Hakika Kwa Neema yako atabadilisha historian yangu , what a wonderful prayers to us
Yesu ninaomba nione mkono wako na mwanga wako uangaze maisha yangu
In your might Lord change my story May I see your hand over my family and I. You are the lifter of men Jehovah 🙇🏾🙏🏾
Amen
This song is bringing a testimony in my life very soon 🔜🔜🔜 God thank you take control
my Lord change my story and fulfill my heart desires😢😢You know how much I need you Papaaaa 🙏🙏🙏😪😪usiniache Bwanaaa naombaaa🛐
Neema initoshe
Hii inauwepo Mwingi Mno
19th of August 2024 pinning it here after my cousin who av been staying with my kids having squandered my money,thn taken them to my dad and refused to surrender all my belongings that av sweated for in gulf 😢😢😢😢#Nione mkono wako Baba usiniache
The song was so anointing God bless man of God Patrick kubuya and whole team
Ninaomba nione mkono wako...Roho wako akae pamoja nami... Hallelujah 🙏🙏
I must say that he realized his gift and Patrick you are going far in Jesus name
Ninaomba nione mkono wako roho wako akae pamoja nani... Your songs have always been a blessing to me
What a wonderful prayer song!
By faith we shall overcome and God will answer our prayers accordingly in Jesus name 🙏
Thos is my first time to listen to this song n God has answered one of my prayers and I know next month a day like this I'll be back here for another comment...
God answered me
A true worshipper . His song bless my soul
It's my prayer that God is going to fulfill my heart desires and answer my prayers... it's not been easy for me...but I trust in Thee.
Ninaomba , nione mkono wako. Mwanga wa mbinguni, badili historia yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen,chini ya uwepo wako kuna jibu la maombi yangu
Amen 🙏 Glory be to the most high even though I don't understand the language still I can feel the presence and power of God changing my life and story , before the year ends I pray for the hand of God to be upon me and my family 🙏🙏🙏 in Jesus Mighty name we pray Amen
Unanibariki kupitia wimbo huu frère,from Goma Drc, CEBCE SIGNERS
Yaani huyu ndugu ananibariki na nyimbo zake Mungu akutunze
I pray to u God to open for me doors of heaven 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏l want a good job , don't leave me alone father 🙏🙏🙏
Ninaomba nione mukono wako Mungu wangu 🙏🙏👏👏🙌🙌 Mungu akubariki kaka patrick na Team yote🙏❤️❤️
We Kenyans we love your worship songs keep on worshiping the COMING KING JESUS CHRIST be blessed brother Patrick and all the team