Worship Atmosphere - Neema Yako (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Tuna historia ndefu sana pamoja na Mungu.Tume ya pitia mengi, mara furaha mara kilio mara kukosewa lakini katika yale yote neema ya Mungu haiku tupungukia, na kama tumefika hapa ni sababu Baba alitu hurumia
    Boomplay : www.boomplay.c...
    Spotify:open.spotify.c...
    Apple Music: / anaweza
    Deezer:www.deezer.com...
    Amazon Music: music.amazon.c...
    .#PatrickKubuya#NeemaYako#OfficialVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

ความคิดเห็น • 359

  • @dennisnjoroge8924
    @dennisnjoroge8924 2 ปีที่แล้ว +107

    Kenyans let's all pass through here with a like🇰🇪🇰🇪

  • @ciliapaul3845
    @ciliapaul3845 2 ปีที่แล้ว +5

    Eeeh! Jamani! Mbingu zinajivunia kijana huyu jamani . Kubuya, Mungu akuinue viwango zaidi ya hivi

  • @wanjuguwangari2231
    @wanjuguwangari2231 2 ปีที่แล้ว +38

    Sijui mbona nalia na sijamaliza kuiskiza😭😭😭😭kwa hakika neema yake yanitosha🙏🙏..if you listen to both Yesu Mwamba wangu and this for sure the Holy spirit will guide you into a hours prayer🙏thank you

  • @ednamaro6945
    @ednamaro6945 2 ปีที่แล้ว +7

    Apa nimefika sikwa nguvu zangu ,Nimeona mkono wakoo chote ninacho sio akili zangu nimeishi upendo wako.Umejifunua kuwa yote kwangu , bila wewe mimi si kitu, hata nipate , hata nikose Neema yako yanitoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
    AMEN . AMEN

  • @sejoko
    @sejoko 2 ปีที่แล้ว +14

    Neema Yako 🙏🙌 Moja Kwa Moja Bwejuu Zanzibar Tanzania 🇹🇿

    • @jameslugandumbussa5872
      @jameslugandumbussa5872 2 ปีที่แล้ว

      Qq

    • @roseslaa3363
      @roseslaa3363 2 ปีที่แล้ว

      Neema Yako yatosha kabisa Asante sana Patric wimbo wako unanibariki mno
      Thanks Lord for mavalus gospel song

    • @devothagreven5316
      @devothagreven5316 ปีที่แล้ว

      Kwahan pia🖐️

  • @shirleenmusau47
    @shirleenmusau47 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chochote ninacho si akili zangu,nimeishi upendo wako😢❤🇰🇪🇰🇪

  • @fromgrasstogracekate1404
    @fromgrasstogracekate1404 2 ปีที่แล้ว +26

    The love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Eeh bwana wanitosha, wewe ni msaada wangu wa kila wakati na kimbilio

  • @mdawidatiki6960
    @mdawidatiki6960 2 ปีที่แล้ว +37

    From Kenya with love;
    Philippians 4:11
    Not that I speak in regard to need;
    For I have learned in whatever state I am to be content.
    I know how to be abased and how to abound.Everywhere and in all things I have learned both to be full and to be hungry,
    Both to abound and to suffer need.

  • @sharonwanjiru4784
    @sharonwanjiru4784 2 ปีที่แล้ว +1

    'hata nipate hata nikose neema yako yanitosha'.....

  • @lillianm.munyao7793
    @lillianm.munyao7793 2 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo zako zanibariki sana🙏🙏....love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jacquelineokoba
    @jacquelineokoba 2 ปีที่แล้ว +18

    Today when my friends and I were about to give He showed up. We didn't get there by our own but by His power

  • @faradjaelama7754
    @faradjaelama7754 2 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe

  • @carolyneakal4966
    @carolyneakal4966 2 ปีที่แล้ว +8

    Ni wewe tuu Bwana Yesu unatutosheleza🙌🙌🙌🇰🇪

  • @lukekibaliofficial8444
    @lukekibaliofficial8444 2 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu wakusifu bwana

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 2 ปีที่แล้ว +6

    Sauti na ujumbe Zimebeba nguvu ya Mungu , Neema yako yanitosha haijalishi napitia wakati gani, hata kama ahadi hazijatimia bado najua Neema yako inanitosha
    🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-wq1lq4cw1y
    @user-wq1lq4cw1y 4 หลายเดือนก่อน

    Neema yako Bwana yanitosha.eeh Bwana kimbilio langu.umenitosha Bwana

  • @mercywanjiru2356
    @mercywanjiru2356 2 ปีที่แล้ว

    Yesu neema yako yanitosha Baba

  • @user-te7dr2gk6w
    @user-te7dr2gk6w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako zanibariki AIS na zanifanya niendelee kusimama mbele za bwanaa ubarikiweee sanaaa Mungu aendelee kukufunulia uwatie nguvu watumishiiii wakee maana najua walokata tamaaa ni wengi sanaaa Mungu aendelee kukutia nguvu ubarikiweeee sanaaaa❤❤❤

  • @dianamakokha8535
    @dianamakokha8535 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna gumu kwa mwenyezi mungu..neema yake inatosha

  • @harrietmariah636
    @harrietmariah636 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo nimefika sio kwa nguvu zangu
    Nimeona mkono wako
    Chote ninacho sio akili zangu
    Nimeishi upendo wako
    Umejifunua kuwa yote kwangu
    Bila wewe Mimi sio kitu
    Hata nipate hata niko neema yako yanitosha
    God your grace is sufficient

  • @patrickbwira6123
    @patrickbwira6123 2 ปีที่แล้ว +3

    Sifa kwa Mungu

  • @davidmwami7031
    @davidmwami7031 2 ปีที่แล้ว +3

    Apo nimefika sikwa nguvu zangu ,Nimeona mukono wakoo
    Oooh Yesu neema Yako Yanitosha
    Oooh Yesu neema Yako Yanitosha
    Mungu aku bariki milele na milele Muzazi wangu je t'aime énormement mon papa😭😭😭

  • @beth2776
    @beth2776 2 ปีที่แล้ว

    Ni neema yako imenisimamisha yesu. 😭😭😭

  • @blandinasamwel3512
    @blandinasamwel3512 2 ปีที่แล้ว +7

    Ooh Yesu Neema Yako Yanitosha Baba 🙌🙌 mbarikiwe Watumishi wa Mungu kwa Wimbo mzuri umebeba ujumbe mzuri sana 🙏🙏

  • @rachelokwar2639
    @rachelokwar2639 ปีที่แล้ว +16

    This song blesses me in inexplicable ways 🙏🏾 with ❤ from Kenya 🇰🇪

  • @nicholausmwakalobo484
    @nicholausmwakalobo484 2 ปีที่แล้ว

    Eeeee! Bwana ahsante kwa neema hii

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah! Neema yake baba yanitosha🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @johnjuma2216
    @johnjuma2216 2 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up bro remember coming to kenya 🇰🇪 too we love you.

  • @user-tt9wn3xs8b
    @user-tt9wn3xs8b 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo nimefika sii kwa nguvu zangu nimeona mkono wako,Patrick MUNGU AKUINUWE SANA

  • @am_vinda
    @am_vinda 2 ปีที่แล้ว +19

    Representing +254..to the fullest. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya is blessed by your worship songs. May our good Lord continue working with you in your songs

  • @samkakoma3097
    @samkakoma3097 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen , mungu a wa bariki

  • @shedrackathanasio8001
    @shedrackathanasio8001 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nabarikiwa sana na huduma yako mtumish wa Mungu

  • @jeydee3037
    @jeydee3037 2 ปีที่แล้ว

    Neema zako zinanitosha eee bwana 🙏

  • @kenmugo5680
    @kenmugo5680 2 ปีที่แล้ว +14

    Beautiful worship!! Neema yako inanitosha!

  • @tabs6404
    @tabs6404 2 ปีที่แล้ว +5

    Only you Lord ❤️❤️❤️ oooh yeeees, thank you Jesus for your crucifixion, i love you Jesus forever 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bhokelinet8908
    @bhokelinet8908 ปีที่แล้ว

    1/12/2022 by the grace of God i gave birth to my baby boy,when all odds were against me. I can only say Yesu neema yako yanitosha, ahadi zako zote ulinitimizia.

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 2 ปีที่แล้ว

    Asante YESU ni Wewe tu. Nimebaeikiwa na huu wimbo.

  • @kelvinkakiko9475
    @kelvinkakiko9475 ปีที่แล้ว

    Neema yako yanitosha Yesu wangu

  • @maryshayo9574
    @maryshayo9574 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu wewe ni yote kwangu.bila wewe na wwokovu ulionipa kwa neema sijui ningekuwa wapi leo.asante Mungu neema yako yanitosha

  • @RitahTasmaniah
    @RitahTasmaniah 2 ปีที่แล้ว +24

    Yet another one🌠🌠♥♥the lines of this worship🌟🌟. God bless this ministry❤

  • @kenethmuthee5946
    @kenethmuthee5946 2 ปีที่แล้ว +22

    Getting blessed from state of qatar 🇶🇦 🙏. This man is a true blessings and heavenly sent 🙏.

  • @lindakasali8950
    @lindakasali8950 2 ปีที่แล้ว +2

    Wooooow, wooooow,wooooow,wooooow,wooooow,can get enough of this

  • @dorcahogeto1544
    @dorcahogeto1544 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 huu ni ushuhuda wangu

  • @marymutie802
    @marymutie802 2 ปีที่แล้ว

    Amen moyo wangu usikae kimya
    Moyo wangu msifu mungu

  • @ruthotenyi3783
    @ruthotenyi3783 2 ปีที่แล้ว +4

    Thank you Jesus this far is by your grace.Neema yatosha

  • @dianadidi6037
    @dianadidi6037 2 ปีที่แล้ว

    Ni wewe Jesus wow wow beautiful much blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 2 ปีที่แล้ว

    Neema yako Yesu yanitosha.

  • @davymagessa
    @davymagessa ปีที่แล้ว

    Ahsante Yesu kwa kazi nzuri ya mtumishi wako huyu....

  • @alainnduba9000
    @alainnduba9000 2 ปีที่แล้ว

    Hata ni pate, hata ni kose NEEMA YAKO YANI TOSHA💥💥💥

  • @elijahmutathi8611
    @elijahmutathi8611 2 ปีที่แล้ว

    Yesu neema yako yanitosha weeewe yesu ni yote kwangu

  • @agapegospelband
    @agapegospelband 2 ปีที่แล้ว +6

    The song is a blessing 🙌🏽

  • @esthermuchiri3812
    @esthermuchiri3812 2 ปีที่แล้ว

    Ni wewe Bwana .....thanks you God for your grace is sufficient

  • @africanhotbeast3425
    @africanhotbeast3425 ปีที่แล้ว

    Utafuteni uso wa Bwana .....kwa kweli neema yake yatosha milele❤❤❤❤❤❤

  • @felistusduke6004
    @felistusduke6004 2 ปีที่แล้ว +5

    Nice worship song🙏🙏🙏🙏 watching gracefully from 🇰🇪🇰🇪tumaini letu ni wewe bwana

  • @samsonchitalika9670
    @samsonchitalika9670 2 ปีที่แล้ว

    WIMBO MWINGINE TENA!!!!.....UMEJAA NGUVU NDANI YAKE....NEEMA YAKE YATUTOSHA.

  • @jennifernjoroge6950
    @jennifernjoroge6950 2 ปีที่แล้ว

    Bila wewe Baba,mimi si kitu ....you doing a great job.

  • @prophetfrankphilemon5539
    @prophetfrankphilemon5539 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa Mungu, nazisikiliza mara kwa mara na sichoki zina upako sana. Nipo Tanzania Arusha

  • @jackienkatha8447
    @jackienkatha8447 2 ปีที่แล้ว +7

    Wow❤❤❤ it's already on replay mood👐👐👐

  • @naomipraiseofficial3192
    @naomipraiseofficial3192 2 ปีที่แล้ว

    Napenda huu wimbo ,unanibariki sana

  • @reginanthiwa6288
    @reginanthiwa6288 2 ปีที่แล้ว

    Baba neema yako inanitosha wakati kama huu

  • @hopemongi2851
    @hopemongi2851 ปีที่แล้ว

    ni wewe wewe Yesu tumaini langu, unani tosha kwa yote

  • @sophiendunge1794
    @sophiendunge1794 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Neema ya Yesu ya nitosha Asantee Mungu akubariki sana

  • @ludapeps2196
    @ludapeps2196 2 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu usinyamaze kimwa mbele wa huyu mungu anayeishi milele.
    I like that

  • @jamesmuriuki3785
    @jamesmuriuki3785 2 ปีที่แล้ว +4

    Coming to Tanzania soon for this worship experience!!!

  • @clementamaniofficial
    @clementamaniofficial 2 ปีที่แล้ว +17

    Grace of the lord is sufficient
    On repeat 😇

    • @maudejoli6318
      @maudejoli6318 2 ปีที่แล้ว +1

      Jehova Rapha Jehova rohe amen

  • @profweshytv4879
    @profweshytv4879 2 ปีที่แล้ว +3

    Frère Patrick,Je suis vraiment béni en écoutant la chanson, j'espère que vous reviendrez au Kenya

  • @fridashemalamba4924
    @fridashemalamba4924 ปีที่แล้ว

    We ni yote kwangu Yesu 🙏

  • @rebeccakayita2403
    @rebeccakayita2403 ปีที่แล้ว

    God Blesses you so much vraiment nabarikiwa sana naiyi nyimbo yako,

  • @lutonderebecca6150
    @lutonderebecca6150 2 ปีที่แล้ว +6

    , vous êtes une bénédiction pour plusieurs, Allez de l'avant pour la gloire de Dieu💐💐

  • @ceciliakavishe3826
    @ceciliakavishe3826 2 ปีที่แล้ว +4

    Lord be glorified forever ....Yo Grace is sufficient

  • @camelineagoi7010
    @camelineagoi7010 2 ปีที่แล้ว

    Yesu Neema yako yanitosha🙏

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 ปีที่แล้ว

    Hata nipate na hata nikose Neema yko yanitosha

  • @dennis.m.kinyua5988
    @dennis.m.kinyua5988 2 ปีที่แล้ว +19

    A lot of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LolaBabe-vc2cl
    @LolaBabe-vc2cl 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu Najua unaenda kutenda

  • @johnkalenda
    @johnkalenda 2 ปีที่แล้ว +15

    Cette cantique c’est une prière 🙏 avec puissance, déclaration avec foi ! Tape AMEN 🙏

  • @beckydavid3247
    @beckydavid3247 2 ปีที่แล้ว +8

    Neema yesu yanitosha! So powerful 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tgworldimportsexports6396
    @tgworldimportsexports6396 2 ปีที่แล้ว +3

    Haleluya ..🙌🙌🙌Neema yako Yanitosha Yesu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bienvenu_oyimangirwe
    @bienvenu_oyimangirwe 2 ปีที่แล้ว +3

    Ta grâce me suffit mon Seigneur. Très puissant. Sois béni Patrick et tout le groupe aussi. Vive la rdc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ephiejackyakinyi7085
    @ephiejackyakinyi7085 2 ปีที่แล้ว

    Neema yako yanitosha yesu

  • @dorcasjumapili7884
    @dorcasjumapili7884 ปีที่แล้ว

    Hata nipate hata nikose…neema yako yanitosha!

  • @blessedazariahmusic
    @blessedazariahmusic 2 ปีที่แล้ว

    Bwana wanitosha... Neema yako ni ya milele... Amen

  • @jullierosekitui824
    @jullierosekitui824 2 ปีที่แล้ว +4

    Great worship🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @mercylinebosibori3268
    @mercylinebosibori3268 2 ปีที่แล้ว +2

    Ooh Yesu wangu nimeona mkono wako maishani mwangu.This song is my testimony😭 umenitoa mavumbini Mungu wangu

  • @cecymartins4133
    @cecymartins4133 2 ปีที่แล้ว

    Neema yako Baba inanitosha❤️

  • @fridadenis
    @fridadenis 2 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu usinyamaze kimya kwa huyu mfalme anifutaye machozi ....maana ujifunua kuwa yote kwangu

  • @mumaliangel6670
    @mumaliangel6670 2 ปีที่แล้ว

    Neema yako yanitosha bwana.. nahisi kubarikiwa.

  • @natrinemweha8625
    @natrinemweha8625 2 ปีที่แล้ว

    Halleluyah, Ni wewe tu Bwana wanitosh.🇰🇪

  • @primraphael1728
    @primraphael1728 ปีที่แล้ว

    Yesu neema yako yanitosha

  • @gervaiscreatifbass8761
    @gervaiscreatifbass8761 2 ปีที่แล้ว +1

    À partir ya Nairobi nwawaskiza vizuri mimi ni mtoto wa dego

  • @mercylintyra4888
    @mercylintyra4888 ปีที่แล้ว

    Wewe tu ndio unayenitosheleza ee Bwana

  • @AnneMarieNtagahoraho-vp9xn
    @AnneMarieNtagahoraho-vp9xn 5 หลายเดือนก่อน +1

    I couldn’t stop crying listening to this song.
    God can definitely use the broken vessels.
    Holy Spirit truly inspired this song.
    God has used their brokenness to heal and minister to many.

  • @kareenbrian3079
    @kareenbrian3079 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri unanibariki sana🙏🏽Hakika YESU Neema yako yanitosha maishani mwangu🙏🏽🙏🏽MUNGU awabariki wote kwa kumuimbia…

  • @ulitustv7601
    @ulitustv7601 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunasema Neema yako yatosha

  • @miriamchuma9096
    @miriamchuma9096 ปีที่แล้ว

    Hakika neema ya Mungu yanitosha

  • @godwinbii2260
    @godwinbii2260 ปีที่แล้ว +2

    The guy on the saxophone is doing a great job. God bless you all.

  • @elizabethmwawasi5078
    @elizabethmwawasi5078 2 ปีที่แล้ว

    Kweli bwana wanitosha... Asante yesu huniachi Kila siku Kila wakati🙏

  • @terryachieng3503
    @terryachieng3503 ปีที่แล้ว

    Asante yesu neema yako yanitosha

  • @danielmuramba1989
    @danielmuramba1989 ปีที่แล้ว +4

    Spiritual driven song, such lovely transitions, very well organised instruments, truely blessed every moment l listen to the lyrics.

  • @drizzyromeoscraface2442
    @drizzyromeoscraface2442 2 ปีที่แล้ว +1

    Neema yake Yesu yanitosha ❤️❤️ nabarikiwa na wimbo huu

  • @veronicahogaye9046
    @veronicahogaye9046 ปีที่แล้ว

    Patrick kubuya your songs are truly spirit filled we can relate with our personal prayers....