ASAGWILE AMKIMBIZA MASTER J JUKWAANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2022
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Tunaoendelea kuangalia perfomance ya Asagwile mpaka leo hii tujuane hapa
Am hear 2024 June
Huyu young legend amekuwa wapi,ajitokeze duniani mzima maana ana uwezo mkubwa, much love from Kenya
Kwa nini huyu asiwe mshindi wetu jamani ?? Like kama unakubaliana na mimi
Penda sana
Fund
Fundi uyo
Nakubal
Hahahahahahahahah wooooh ASAGWILE wew
Mungu wetu huketi katikati ya sifa ,ukiiimba naye hushusha uwepo wake🔥🔥🔥🔥🔥
Daaaaah!!!!! Huyu jamaa wa motoo sanaaa. 🙌🙌🙌🙌🙌
Asagwile anajua anajua tenA 💪👏🔥💯
Najikuta nalia Mimi jmn huyu Kaka namfaham nimefanya nae Kaz,,, huyu jamaa anajua
Asa my the Lord you're representing on that stage make you victorious.
Kijana anajua sana huyu🔥
2024 gather here 🎉
Anajua San asagwile 🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
Jamaa Ana jua Tena Ana jua Sana
Huyu jamaa anajua mpk anakera Yan
Amenifanya niupende huu wimboo
Really really Talented Man
Safi Sana Kaka nimesikia upako sana
Asingekuwa anashindana na saraphina season Ile angekuwa mshinde uyu asagwile🔥🔥
Ah wapi hamna kitu hapo
Kiukweli huyu anaweza sana kuliko sarafina
Moto bro💥💥💥💥
Jaman huy kaka anaimba vzr san anatakiwa kuw msindi
Aswagile!!
Round hii waenda ibuka no1 asee
My father Asagwile u did it keep going
This is the winner 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
jamaa anajua sana tena sana
Nomaa san
Kila la heri kakaa Mungu atimize malengo yako yoteee 🙏🙏🙏
Ni kweli kaka Asagwile ulipotoka mbaka hapo alijua🎉🫡🫡
Yani nimeupata huu wimbo ameimba Paul Clement lakin Mungu anisamehe Aswagile ameimba vizuri mara mia kuliko mwenye wimbo wake
Sio kwel ingawa kwel anaimba...Paul is Paul🙌
Usifananishe. Bro... Kuna scale kwanza analizopita paul hajazipita kabisa....
Hapana wote wanafanya vizuri tena zaid kwa7bu vyote amewapa Mungu na huo utukufu wanaurudisha kwa Mungu ukiachana na yote tunamuona Mungu kupitia huduma zao sion kama n vzr kuwafananisha kwa namna hiyo kwamba furan anajua kuliko mwenyewe mm sion kama ni vyema lakni wote Mungu awabariki said .Amen
Paul n Paul jmn 😁Tafadhali sana
Ulideserve ushindi broh💪
Ameeeeeeniiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani,hazina mpya Tanzania,hongera bss kwa kuvumbua kipaji hiki
This performance make me cry😢😢😭😭... Thanks my bro asagwile❤❤❤
Mshindib wangu asagwile
Sauti yenye mamlaka!
Mungu Azidi kukubariki my brother
Jamaa anajua Sana huyu.
Hongera
Nakuba mungu akuinue
Daaah assagwile wew mtuu Sanaa ni mshindi komaaa 💪💪
ASAGWILE huna baya wew
Nimependa sana kwa kwel
Bonge la Jimbo
Namshukuru Mungu kwa ajili ya kufika FAINALI🙏🏻🙌🏼 na kuwa MSHINDI WA ALL STARS
I like you
Wimbo huu umenitoa machozi umenikumbuaha mbali sana ❤❤❤
Makini mno so inspiring
My favorite 🔥🔥🔥
Your a winner
Mungu 🙏 Yu pamoja nawe ndug yang
You deserve man unyama sana
Watu wameshachnaganikiwa wamchague nani😊😊😂
Anaimba sana jamaaa
Aiseeee n hatar
Dah nomaaa sanaaa
Waooooo like
Nice kijana unaweza itafika mbali
Jamaa anaimba balaaa😭😭
🙏🙏🙏🙏🙏mungu akubariki sana asagwire
Noma
Much love 😍
Mliolia kama mimi tujuane haki 😪
Daaaah amaizing
Barnaba Version big uuuup 🔥🔥
Saut yake Kama barnaba kabisa😀
Umenye fijio🔥🔥
Huyu jamaa alikua mshindi 2018 sema waliamua kubalance wampe na mwanadada
Kweli kabisa
Kabisa kabisa 💯🔥💥
Nice perfomance
Sahihi
go go go home boy
🔥
fundi sana
Asagwile maombi yangu ufike FAINALI,Ili uuimbe huu wimbo,unanibariki saaana.
Kiukweli natamani awe mshindi wa bss
Safi sn, jamani wimbo wa nani huu
Paul clement-mwaminifu
@@joycecharles4719 Asante sn
Wooooooo
Ninoumaaaaa sana
Wali kudhurumu 2019 ushnd wako kisa muimba taarabu
Jina La Wimbo Please
Mungu awezi kukuacha Paul Clemente
🔥🔥🔥
wanyakyusa kwa Kuimba
Master Jay hating on Asagwile Mwasongwe kwa sababu he sings unique songs
Best performance 🔥🔥🙌🙌
Sad sana
wanyakyusa tujuane tafadhali
Amenye fijo Okwembaaaa 🔥🔥💥💥💯💯
Kangi ulwahasa, kyala antule fijo
Amenye fijo
Mwasongwe ujungi ujo
Amenye fijo
Mungu amejibu kile utakacho
👍
Tgun Tozz is WINNER
nimeikuta hii kweny status whtsoup kwa mtu nimeon niitafte ukwel ni anaimba vzuri
😊😊
🥰🙌
Kweli adamu
Wow
Kusema kweli mwaka huu mumpe hu jamaa kwakweli
If asagwile won't win i will never watch BSS again
Name of song please 🙆🏻
Paul clement Mwaminifu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu mwamba Toka mwanzo me namkubari sema ile season alikutana na sarafina lkn season hii ni yeyeeeeee🤩👏👏👏👏
Ninakuombea saana. Uko vzr mnoooo!!...
Anajitahidi Sana ndugu Ila bado Sana viwango vya kushinda wengine
Ulistahil kushinda
Huu wimbo ni ea nan na unaitwaje nisaidien
Paul clement
Love you
Master j na salama huwa watu wa chuki chuki mda ote kwa washirk sio poa dah.