OUR LOVE STORY W/ BSS S13 WINNER- ASAGWILE (WA NYIMBO YA NDOA) AND JACKLINE | EP 07
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
- Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love
Leo ndo nimegundua kua ASAGWILE ni muhuni alieokoka😂😂🙌❤️
😅😅😅😅
Ila Asagwile 😂😂😂😂😂😂
So muhuni aliye okoka ni muhuni aliyeoa
HHahahahha
@@FreeGod368 😅😅
Keep close this wife she is the best May God protect you against evil
This love story is so sweet….the girl is wow ❤❤❤mdumu adi mdumu tenaaa plus this season is very hot😊😊😊
Aliyetengeneza hiyo background beat ni nomaa
😂😂😂😂😂Kwenye Interview zote hii nimeipendaa snaa❤
hujaangalia ya Mwijaku wewe
Kweli mwanaume akikupenda anakutengeneza😊uwe kma anavyotaka na mkafika mbali Seim to women akikupenda atakuvumilia tu na lazima mfike mbaliiii🌹❤️🥰😍love is beauty thing this interview imenijenga pakubwa sanaaaaa😢😢😢😊🎉❤ Mungu awalinde mfike mbali zaidi
Kutengeneza ni swala lingine , na anae tengenezwa kukubari kutengenezwa/ kubadilika
For sure thiz couple iz amazing ❤😍
awesome mungu awape maisha yenye furaha tele
I really love this audition❤❤❤
Kila aliye muomba Mungu, Mungu hajaacha kumjibu😍😍
I wish to be here someday
Mdada anaongea kwa hisia kutoka deep from heart yani alafu mwana nae yuko na vibe daah its so interesting ❤
Wow Mungu anipe wakufanana nae kama hawa inavutia kwakweli MUNGU awalinde na kuwatunza muendelee kufurahia maisha yenu ya ndoa
Lovely story wallahi ❤️
May Almighty God lead this couple towards nice and favourable days❤🌹🥰
Am Elias from +257 Watching from +27 hilo swali la kucheat kajibu vizuri sana siyo eti amesema hakuachi nop but trust alionayo juu yako na anavyojua jinsi mnavyo mtanguliza MUNGU hivyo anaamini unahofu ya MUNGU na ukicheat basi utakuwa umaharibu kila kitu coz mnaishi kwa Neema ya yule utakuwa umeenda kinyume nae hakika umebarikiwa mke mwema amenifanya niendelee kuwa sahabiki yako and now ntakuwa shabiki wa familia yako siyo Asangwile wa BSS stay safe and blessed
Upo mji Gani SA Elias
Beautiful Love Story indeed 🥰
Lovely story ❤
Kijana usijisahau sana mmpendesana mungu nakumtegemea yeyetu maana mungu ndio mtoa uhai mtoa afya mtoa rizki pia mnyan'gaji wa rizki nayeye pekeyake ndio anajua atakuhifazi wapi siku utakayo kufa na kufufuliwa yeye ndio anajua kwamba utaenda peponi au motoni yeye pekeyake ndie atahukumu wewe na viumbevyake vyote wakiwemo malaika na mitume yake kwahiyo waaminitu tume wake na malaikazake ila usiwaabudu. walakuwategemea kwa chochote kwaniwao niviumbe kama wewe ila waami kwayele waliokuletea kutoka kwa mola wao hapo utauna ufalme wa Mungu kupitia wao yesu sio mungu wala sio mtoto wa Mungu. Mungu hazai wala hakuzaliwa wala hana anaefanananae hata mmoja yeye pekee ndio wakuombwa na kuabudiwa na kutegemewa na viumbe vyake vyote. Wabilahi taufiq assalamualaikum.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Moment moment moment moment moments.... mmh moments
= NA MAMOMENT😁😁
😂
😂😂😂😂
This is the best one
Neno" Moment" mtaanza kuitolea ada sasa mumeitumia sanaa aisee
But it's a good story ,so inspiring ❤
😂
😂
I like it❤
❤❤❤❤❤leo
Lovely
Mshike sana huyu mdada anahekima ya kiungu ❤
So nice ❤
Mwenyezi Mungu awatunze
Kabsaa ukicheat neema inaondok na kuitudishaa ni muda mrefu snaa
god bless you uuuu❤❤❤❤❤❤
Waooh
Duh ! Neno moment alipie Kodi huyu jamaa
Nawapenda sana🎉
hii nimeisubiria kwa hamu aisee...hatimaeee😊😊😊😊
Misuse of the word moments 😂😂anyways all the best
❤❤❤❤❤
🔥🔥
Mungu awatunze na kuwabariki sana
Jamani mpaka raha ❤❤❤❤
❤❤
Moment hii
Nimejua asagwile hawezi cheat❤️💯
Tuletee pastor rose na mumewe
❤❤❤❤❤❤
Daa hongelen mmetoka mbali mngu awabariki mfike salama
Napendag hiy couple kwakwel❤❤❤
Vina mudaaaaa# Kama Cristina
🙌🏽🙌🏽 ❤️💯
Good story but never call your mpenzi au mke wako “Baby” Never!!
Why??
duuuh koo kila siku waitane mke na mume tu
😂😂😂 Qmmakeee zenuu Vijana Naona mmeamua kunimalizia Bando ila sema Asagwilee wee nyoko sana kijnaa😂😂😂🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Sema jamaa linajua kuimba bhana
Aloooo huyu mwamba anapenda shoo hatari 😂😂😂😂
Nice
Unafeel the vibe😂😂😂
❤❤❤❤
❤
Kipaji chako kikawe baraka na faraja kwetu.
Dadeki hadi mnashawishi nioleke😅😅
🎉🎉🎉🎉
Nimeipenda sanaa hii I like it ❤️❤️🌟🌟⭐️⭐️💕💕😻😻👍👍
Wote walikuwa wa hovyo
Asee naoa 😂😂
MUNGU awabsliki sana
You can tell huyu dada ni mke haswa 👌😍
Mamoment na manini
Next year ntaiswa na babe wangu😂😂
Ni balaa na nusu 😂😂😂 baba meneja ulikua unamkera Asagwile 😅😅
Kiukweli Na mimi nataman Niitwe kwenye hii podcast Mimi na my wangu
Ata Mimi
hahahaha😂😂😂 Alooh anauwivu huyu kaka
kuogaaaa aaahhh😊😊😊
😂😂
Haka kadada ni kazuri ❤
Sanaa
Kameumbika 🌹🌹
Unamsifia mwanamke watakuchulia wahuni😂
Duuuh😢
Asagwile moment 🤣
😂😂😂😂 na vibes 😂
Hawa mbwa ukiwOmba hela wanaona unashida nazo 😂😂😂tunataka kujua je nikikwama mama mtu utanisapoti 😂😂😊
😂😂❤
Amepata mwanamke anahekima sana
Situmi tena neno moment limesha pitwa na wakat 😂
Watumie nn mwambie bas watumie neno gan🤔🤔
Daa alikua kijana wa ovyo😂😂😂
Walete wolper na mitindo awamu ijayo tena tuwasikie
I love it ❤
CHEMISTRY MATTERS
Exactly
Hii inakuja spotify lini??
Dah hii interview 😊😢🙌mng angekua anaitikia na kitutendea papo Kwa papo Leo ningeomba mume kama hyu anijie maishan mwang🕊️😎
👆
Usijal dear anasikia atakupa wako mzuri usiache kumuomba
2letee bestking na edith❤❤🎉
Iyo code ya kuoga ibaki ivyo asiikuingilie😂😂😂
😂😂😂😂
@@mangindule 😂😂😂
God bless us too
Nimecheka sanaa jmn eti toka pepo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muinjilisti aliye changamkaa😂😂😂
Mmnyakyusa ni mnyakyusa tu
Dada mjanja sana huyuuuu😂😂😂😂
asgwileeee😂😂😂
I love everything about it...but one thing i have learned about it is your wife's biggest fear is you cheating on her....
Nimemuisabia neno MOMENT Kalisema mara 156
😂😂😂😂
😂😂dah
😂
Hapo kwenye mzima mzima sasa ndo inatutesa wengi😂😂
53:53-54:53 only psychopath will understand
Maneno magumu
Ila asagwilwee ni comedian
Hallelluyaa 😅😅😅😅
😂😂😂 kumbe uliisikia pia
mtumishi alikua anapenda kufunua mathayo😂🤣
Na wakorintootoo
I wish to be here someday with my favorite person ❤
Bado ya rayvanny na fahyvanny🥰
Hao michoko