SHABIKI WA YANGA ABANANISHWA ASHINDWA KUJIBU MASWALI HAYA KUTOKA KWA SHABIKI WA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Mashabiki wa soka nchini Tanzania @allyyanga pamoja na @mzeewasalute wamefanya mahojiano na Mpenja TV, na kutambiana kuhusiana na usajili uliofanywa na vilabu vyao huku wakidai kila mmoja anamatumaini na timu yake.

ความคิดเห็น • 14

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +1

    Wenye SIMBA yetu tumelud tena dalili mputa na wengine tumelud SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @JamesHonore88
    @JamesHonore88 หลายเดือนก่อน

    Mtu asieenda uwanjani kwa buku anawezaje kuwa na hoja??

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 หลายเดือนก่อน

    MZEE wa Saluti Simba na Mazembe nani bora Africa

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx หลายเดือนก่อน

    Jibu swali

  • @alexashta515
    @alexashta515 หลายเดือนก่อน

    Mwana Yanga Hana Point Anabwatuka Tuu Ilimradi Aonekane Kwenye Camera

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx หลายเดือนก่อน

    Makoro hamna mafanikio

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa หลายเดือนก่อน

    Hivi mpeja mnaoji kupata views tu au huyo nao masaluti heti shabiki wampira au shabiki😂maandazi

  • @amanmarco5891
    @amanmarco5891 หลายเดือนก่อน

    Dogo france badae uje bandan co kwa kuhoji huko

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu หลายเดือนก่อน

    Tatizo la mashabiki wa yanga huwa awajuagi kuongelea mpira wao huwa ni wabwatukaji awaongeagi point honahapo mtu anashindwa kujieleza anahikalia kupiga mziki wameacha kutembea na magazeti kama wahuza chapati leo wameamia kwenye viredio kama wahuzadawa za mbu.

    • @johnnyambuya8671
      @johnnyambuya8671 หลายเดือนก่อน

      Kuandika Kiswahili fasaha tu kumekushinda, sasa huo mpira unaohitaji akili utauweza kweli.

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 หลายเดือนก่อน

      kwasababu hawajaenda shule japo madarasa matatu wameishia jangwani kuvuta bangi ndyo maana

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n หลายเดือนก่อน

    Dampu fc

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx หลายเดือนก่อน

    Bado hujajibu ww makoro