MZEE AMVURUGA DC SABAYA - ''Mimi Sio DC Wa Maboksi''
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 มี.ค. 2019
- MZEE AMVURUGA DC SABAYA - ''Mimi Sio DC Wa Maboksi''
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ameendelea na ziara yake katika Kijiji cha Kawaya na Kusikiliza kero za wanakijiji hao.
Katika kusikiliza kero hizo, DC Sabaya, ameagiza kuundwa kwa tume itakayosikiliza malalamiko ya wanakijiji cha kawaya wanao mlalamikia mzee mmoja anayefahamika kwa jina la Kimani kwa kuwadhurumu wananchi mashamba yao.
#DCSABAYA
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
Kazi Ipo Ndugu... Leo Sabaya upo kizuizini.
Sometimes unaweza kuletewa jambo ukajazwa maneno halafu wewe kama kiongozi ukaenda kama ulivyoelezwa, unakosea suluhu pekee be passion, cool down don't hurry to find solution, while huna enough background,hapo suluhu itafeli, so hapa alipo tengeneza tume ndo atlest ataweza pata ideas kutatua, Then atakuwa amejiondowa kwenye lawama ambazo hazikuwa za msingi.
Jmn Mungu akubariki bwana DC. Hata mimi ninakuombea katika jina la Yesu Kristo..amen.
Huyu Dc Mungu amlinde namkubali sana maamuzi yake ni ya haki much bless to him
Mungu akubariki mzee BUSARA ZINAHITAJIKA SANA KWENYE SOLVE YA MIGOGORO
Baada ya mzee kuuliza swali la msingi na kuonyesha confidence DC amepata busara ya kusolve huo mgogoro cos mwanzoni alikuwa anasolve vibaya
reward yesse kumbe na ww umeliona hilo sometimes hua wanakulupuka hawa, anasema unanifundisha kaz
Mzee kamtuliza sabaya Mimi sitingishiki Safi Sana..
DC much salute...keep it up
Wote waliokua wanamshangilia sabaya ni wahuni kwa MTU mwenye skill uwezi kumshangilia tapeli muhuni mkubwa kiasi kikubwa hivyo
Noma sanaa
Mung akubariki na akurinde na kila shal umejitolea km bba yetu maguful
Mzee safi sana,sabaya ulikuwa umeanza vibaya bahati nzr Mzee akawa ngangari
Ngangar sanaa 😅mmpenda bure
Safi
Jamani
waziri mwenye dhamana pia ashirikishwe
Mzee yupi sawa na huyu mkuu wa wilaya hana nidhamu kwa wazee shenzi wewe
Mzee kampa safi sana hata kama shamba kweli mzee sio lake ila Dc alianza vibaya
Dc gawanya haki usilalie upande mmoja kwa sababu ya kushangiliwa
Leo thamani yako haioni Kani pole Sana sabaya
Cheki ulipo weka kofia ulikua unajiona boss sana
Confidence kwa mzee
Katisha mzee
Nimecheka Sina mbavu yaani hawa wazee ...ukitaka hati nawe nipe yako kwanza haha sheria sio lazima ukabokue chuo...
Dic kuwa mpole utajikuta umelala juu ya bati hahaha kazi unayo
Siamini Leo wamemvua uongozi ama kweli mungu a tupe macho yatatu Aamin 😢
DC ana ufahamu mdogo sana kuhusu utatuzi wa migogoro
Rewaa Tesh kwa nn
Rewaa Tesh inatakiwa busala sana
Kwel kabisa
DC ananyoa kihuni kweli.
umeishia la ngapi ww?
Ndio vijana wenu hao
Unafanya kaz vizr ila hekima ya mazungumzo kwa wazee n vzr sana
Wazee mpo
Leo sasa ndy umekuwa DC wa matope kabisa
Hyo mliye kuw mnampgia vigere here kashaa olewa juz,
Matatizo ya ardhi ni mengi.right kama Ma DC wote na Ma RC wangekuwa wanafanya namna hii.migogoro ingeisha.
Hongera RC . Makonda kwa ubunifu huu
Freddy Mello agijvzmu
Hatakama ni DC hapo kumnyooshea kidole mzee umekosea kijana mwezangu
Hiyo ni katika maelezo, wala hakumaanisha kumnyooshea kidole mzee.
Kuna Kaz haziitaji kumwangalia mtu uson DC yuko alright Sana, DC anahekima sana japo umri Ni mdogo ,ngoja nikupe kisa chenye kufanana kidogo enzi suleman bin daudi huyu nabii alipewa hekima ya pekee ila siku moja alipata kesi ya mtoto Yan wa mama wawili wanagombania mtoto mmoja Kila mama anasema wake ila ukweli mmoja katika Mama wale alikuwa mwiz wa mtoto yule ,kwa hekima ya suleman akasema hivi mtoto huyu achukuliwe akatwe vipande vipande viwli ili Kila mmoja apate kiwili wili Cha mtoto yule basi mama wakweli akasema Ni bora nimuachie na mama yule mwiz akasema Ni awawe na akatwe vpande Kila mtu apate je ww ungeweza kupata kujua mtoto yule Ni wanani ila yeye alijua kwa majibu tu yaa wanamama hao mwenye alipewa mtoto na akakosa na mwiz alijulikana kiulaisi tu DC yupo sawa ongeza ufikili wako sorrry
Nimeshtuka sana sawa na babayangu
@@hassanjuma3982 haviendani
Kimani duuu
Mwisho umefikaa
Mlimuombea
DC uko makinisana hongera kwautendaji wako wakazi
Kimani kimani,nimekuita mara ngapi
Viktoria kimani aje
Safi mkuu sabaya, yani Raisi umechaguwa kweli, happi, sabaya, makonda, Hawa ni viongozi Raisi, wengine wamelala. Watoe, weka Kama Hawa.
SAFI SANA MUNGU AWASIMAMIE MTEKELEZE ILANI YA CHAMA KIUKWELI UKWELI SAFI ASANTE SANA MH RAIS KWA KUWATEUA VIONGOZI WAZALENDO.
Yuko kutekeleza gelezani ,
mungu Analipa kuanzia hapahapa Duniani.
Kheshima kwake DC anafaa kuigwa
Hili jambazi lilijikuta sana
Unasifa ww
Sabaya kumbe una laana
Siku zote wamama ni bendera fata upepo Sasa wanashangilia nn hapo
Nilidhani mahakama zetu ndio zingelisolve hii migogoro ya ardhii kumbe na wakuu wa wilaya nao ni mahakama!!!!!!!
Mamlaka za juu zisizichukulie tuhuma za DC huyu kijuujuu bali zifanye upembuzi yakinifu. Nahisi na masuala ya kisiasa yamo
DC njoo biharamulo naona were nizaidi ya ma DC wote tz
huyu kimani ni kikuyu ya central Kenya
Sabaya amaonewa kwa ajili sera za CCM anzifata kuwasaidia wanyonge hiyo mayo imekuwa Lisa jammmmmani Haruna hata Haya!!!!!?!??????
nampenda uyu mbaba
We DC ni mpuuzi, Sasa maana ya kumwambia kwamba ww sio DC wa maboksi ulikuwa na maana kwamba Huyo mzee Hana akili au? Acha dharau dogo kazi zenyewe zakubebwa hizo zisikufanye ujione mwamba. Jaribu kutenganisha mihemko na busara.
Aksh kwenye Hali hakuna umri Bali simamia haki
Huyu jamaa anakosa heshima kabisaa huyo ni kma baba
Tanzania bhana!!
ILA MADARAKA YAKIENDANA NA UMRI HUWA INANOGA SANA.
Kama makonda unafaa sana kikazi
Cheki lilivyopinda maguu anajiona yeye ndio basi haya mama kafanya yake sasa
Miungu watu hao
Lazima Hawa watu wasaliwe na kulindwa dada
Huyu DC atari
Dc nyoa kiheshima basi hicho kiduku km mwimba singeli
RCA kuwa mpole
Hawa DC uzalendo ukuu wa mkoa unakuja kwake
Watu hawaogopi kudhulumu watu daaa
sasa nyie hakna mama mnashangilia nini mama zangu?
Njia pekee ni mahakama c Dc,make sheria na hak ni mahakaman!.
babu ako na comfidec... mnataha hati kutoka kwa mzee mzee nae anataka hati kutoka kwa bibi mambo yameiva..
😂😂😂mzee nimemuelewa
Tunatak wachapakaz kama nyie magufuli hakukosea
Hata km uongozi sio kumnyooshea Mzee mzima kidole km mtoto mdogo
Wezee kwao hawapo wla milayao sjui haifaham kuwa mzee kampita umli palefu nimjukuu wake
Duh jamaa anapenda. Kiki wamasai nao duh kwa kufuata upepo wamejaliwa wameletewa Masai mwenzao akili zao zinafanana na DC wao
Duuu huyo Kimani kiboko....."nyoko yake"
Watanzania bado tunafikra za kiutumwa. Mzee yupo sawa
amos mabula ,kijiji kizima kumlalamikia MTU mmoja,ujue huyo jamaa ni shidaaa hapo
Wacha afungwe maana ana madharau sana kwa wazee
Huyo mzee ni mtu mzima tena babu yako sio baba yako et unanifundisha kufanya kazi hayo ni madaka tu tujaribu kuwa na hekima mbona jpm sijaona hata mahali pamoja anongea kama nyinyi wasaidizi wake
Massoud Salum busala hakuna hapo
Mzee nae hana busara yule Mzee ni mjinga ila kazeeka ni mjinga Mzee
Halafu acha kunyoa kihuni bwana.
Vp ww hunyoagi kihuni?? Hahahaaa
Nikweli baba yeye aonyeshe yakwake
sabaya kilaza sana mzee kauliza swali la msingi
yeye anatumia nguvu tunaongozwa domant sanaa
Huyu DC anafanya Kazi kama mimi aangalii mtu usoni piga kaz bro dar tunakusubiri uchukue mkoa
Mkuu unafanya kaz vzr lkn swala la kukosa busara kwa wazee ni ukosefu wa nidhamu kumnyooshea mzee kidole hivyo cyo pouwa vitu vingine inabidi uogope
Kijana ni kijana tu mzee lukuvi anasolve kwa hekima kubwa kubwa lkn jamaa Hana hekima kabisa huwezi kuongea na mzee kwa jeuri hiyo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa vitu vinaanza kufire back
Haya mambo ya macamera haya watu wataanza kumbuka soon...
We DC ni mpuuzi, Sasa maana ya kumwambia kwamba ww sio DC wa maboksi ulikuwa na maana kwamba Huyo mzee Hana akili au? Acha dharau dogo kazi zenyewe zakubebwa hizo zisikufanye ujione mwamba. Jaribu kutenganisha mihemko na busara.