DC Sabaya alivyoondoka na waliokula MILIONI 126 "mmekula mafichoni"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameondoka na watuhumiwa watano wa chama cha ushirika cha USWAA baada yakubainika kula milion 127 za chama hicho baada yakuletewa malalamiko huku akiwataka viongozi hao kulipa fedha hizo

ความคิดเห็น • 173

  • @joshuasabasi3118
    @joshuasabasi3118 3 ปีที่แล้ว +1

    Kamsifie tena boya wewe

  • @rahmashabani6483
    @rahmashabani6483 5 ปีที่แล้ว +3

    Walizichukua mafichoni ,watazilipa hadharani.sawasaw!!!

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +16

    Mackin khery kufa Mackini kuliko dhulma.

  • @joeljoely2864
    @joeljoely2864 5 ปีที่แล้ว +9

    piga kaz sabaya

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 10 หลายเดือนก่อน

    UNAJISIFU KUWA MASKINI(UNYONGE)IVI KUMBE UMASKINI NI SIFA?
    YAANI UNAFUNDISHA NN WANANCHI?
    HUYO NDO ANAYEONGOZA NJIA AKIWA ANAKATISHA TAMAA WANANCHI JE TUTAFIKA?

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 ปีที่แล้ว +6

    kwa uelewa wangu mdogo huyo dada anakosa hata mbele za mungu yeye alitii mamlaka ya waliojuu yake so pambana na hao mh kwsb wapo

    • @benjaminreternyau30
      @benjaminreternyau30 5 ปีที่แล้ว

      sawa ila angejiuzulu au angelipeleka swala hilo juu zaid

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว

    Huyu huyu sabaya aliyeokoa pesa kwa mafisadi Leo hii a nateseka gerezani na kulia kweli Mungu wewe ni muweza Baba sabaya awe huru kuanzia sasa

  • @kennedyombewa7974
    @kennedyombewa7974 2 ปีที่แล้ว

    aliyeshuka au aliye maskini ni huyo muuza mtumba au sabaya asiyekuwa hata na mifuko gerezani, ety ukoo wa wanyonge na makofi yakulazimishana

  • @ambingileambingo2309
    @ambingileambingo2309 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mh sabaya natamani sana uje na mbeya huku watu wanyooke

  • @adamkaita3009
    @adamkaita3009 5 ปีที่แล้ว +13

    aisee mpaka namuonea huruma dada wa watu

  • @zumbaabiyah3184
    @zumbaabiyah3184 5 ปีที่แล้ว +5

    Kk ole sabaya, kwl ww n bg boss, naona mikono mfukoni haipungui! 😎😇😱,hebu huyo dada muangalieni kwa jcho la pili kulingana na maelezo yake, sukuma ndani mapapa/ waliokuwa wakimuagiza!! 😇😷😞

    • @mazengomussa4736
      @mazengomussa4736 5 ปีที่แล้ว

      Anatokea mjinga mmoja kwenye mkutano anamsifia mtu kwa kusema fisiem oyee kwan umeckia huo ni mkutano wa chama? Na kama ulikua wa chama kwann hamkuitana kijani wenyewe?

  • @rizikimfundo8897
    @rizikimfundo8897 4 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya jaman ni mtu ambay mungu amekushusha mlikuwaga wap jaman Mungu akubark mungu akutolee vkwazo vyote

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 5 ปีที่แล้ว +8

    Cheka sana yakimkuta jirani Omba yasikukute.

    • @esthertumbo3968
      @esthertumbo3968 5 ปีที่แล้ว

      u

    • @davidulenje1264
      @davidulenje1264 5 ปีที่แล้ว +1

      kama unakula jasho LA watu kwa kweli usijisumbue kuomba yasikukute yakukute tuu na mungu haskii maombi ya wazdhulumaji

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 ปีที่แล้ว

      @@davidulenje1264 sawa kabisa

  • @خالدالشقصي-ت2ك
    @خالدالشقصي-ت2ك 5 ปีที่แล้ว +8

    Wanyonge tupo oman tunateseka

    • @rostamkamazima1012
      @rostamkamazima1012 5 ปีที่แล้ว

      Allah atakusimamia

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 5 ปีที่แล้ว +1

      خالد الشقصي ndg ivi uko vp wanawatesa sana warabu

    • @juliusandrew39
      @juliusandrew39 5 ปีที่แล้ว +2

      mnafata nn oman ndugu zangu, kila siku mnapata taarifa za ushenzi wa waarabu lakin hamkomi... tulieni nyumbani ndugu zangu

    • @ayshasalim6118
      @ayshasalim6118 5 ปีที่แล้ว

      Up sehm gn mpnz

  • @andersonmshama9694
    @andersonmshama9694 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnamjaza upepo atawanyoosha kweli

  • @jamesjoseph7929
    @jamesjoseph7929 2 ปีที่แล้ว

    Jamani leo yupo ndani tena.

  • @jacksonkira7976
    @jacksonkira7976 3 ปีที่แล้ว

    Kweli anatetea wanyonge

  • @musamuhammedi7354
    @musamuhammedi7354 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbunge yupo dar

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani wakikosa kukosoa wanamtizama mambo madooogo eti katia mkono mfukoni.mada hii ni muhimu achilia mbali hata angepiga magoti kunyenyekea. Lakini angalieni hoja ya msingi hapa!!FEDHA ZA UMMA

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz 2 ปีที่แล้ว

    Ilikuaga noma sana

  • @movieskwakiswahili
    @movieskwakiswahili 5 ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE SASA WASAFI FM ILI KUONA WASAFI FESTIVAL BOFYA LINK 👉👇th-cam.com/channels/lfVNHbf228e8RGdC1wmCng.html

  • @lillianlucas5337
    @lillianlucas5337 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kuna mtu ana namba ya mkuu wa wilaya ya hai

  • @amanestomihi2599
    @amanestomihi2599 3 ปีที่แล้ว

    Unyonge Ni laana

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 5 ปีที่แล้ว +2

    Makofi yanalazimishwa???!!

  • @leilathango8411
    @leilathango8411 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani popote ulipo kaka kunywa soda lipa mwenyewe

  • @mwinjumathomas5132
    @mwinjumathomas5132 5 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mkuu wa wilaya naye ni CHUMA

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 5 ปีที่แล้ว +7

    ..Jafo akukute na issue kama hiyo utakoma!

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว

    Haya ndiyo yaliyomufunga Sabaya. Watetezi wa wanyonge. Watetezi wote wa wanyonge leo ndiyo wanawindwa.

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว +5

    Mbunge anapanga maandamano huko Dar

  • @innocentkitundu6637
    @innocentkitundu6637 5 ปีที่แล้ว +5

    Dah maskini Dada wa watu

  • @obedmwakalonge1372
    @obedmwakalonge1372 5 ปีที่แล้ว +9

    kama sasa watendaji wanashindana katika kuchapa kazi...nahisi tunaanza muelewa uelekeo wa Magufuli....enzi hizo mkuu wa wilaya unamsikia kwenye maafa akikusanya rambi rambi

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😂😂😂😂😂

  • @joshuajacob9487
    @joshuajacob9487 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada kaongea ukweli

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 5 ปีที่แล้ว +1

    Wilaya zipo 30 tz wangepatikana akina olesabaya 30 mambo yangekua mazuri.

  • @shijaemmanuel6525
    @shijaemmanuel6525 5 ปีที่แล้ว +5

    Sukuma ndani

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว +2

    Eee walimtafuta asiyejua kitu chochote ili awe ana sign

  • @kassimmnyamisi7461
    @kassimmnyamisi7461 3 ปีที่แล้ว

    Lkn wangefikiri jinsi alivyofanya kazi kuwasaidi wananchi wangemfunga hata mwaka tu

  • @ally2nyiii318
    @ally2nyiii318 3 ปีที่แล้ว

    Tunapochagua kiongoz lazima tuchunguze vizuri ole sabaya mbona katili hana hekima busara maarifa yupo unafikikir anavuta bangi naomba akapimwi akili

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 3 ปีที่แล้ว

    30 jela

  • @ally2nyiii318
    @ally2nyiii318 3 ปีที่แล้ว

    Rais samia huyu ole sabaya asirudi kweny uongozi kbs kbs

  • @MrAbdulrahmank07
    @MrAbdulrahmank07 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wakuu wa wilaya nilikua sijawahi kuwasikia yani sasa ivi kweli asante magufuli

  • @evawayesu5865
    @evawayesu5865 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sikomu Tanzania 🇹🇿 alakini nashukuru sana kwa kazi nzuri munayo ifanya kwa raiya wenu hata sisi tuna ichi yetu ila tunatamani selekali la Tanzania 🇹🇿 kabisa Mungu abariki Tanzania

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว

    Uyo kasema ukweli tafuta wale wakubwa ndio waliokula iyo pesa

  • @azashaban5846
    @azashaban5846 3 ปีที่แล้ว

    mlikula kifichon mtalipa adharannn pigen2 makofii safii sana sabayaa👏👏👏

  • @masumbukojoseph7522
    @masumbukojoseph7522 5 ปีที่แล้ว +2

    Nahicho cha ccm hoye kimetoka wapi

  • @ahmedjack4135
    @ahmedjack4135 3 ปีที่แล้ว

    nani yupo hapa bada ya huyu sabaya kutiwa mikononi mwa police na yy

  • @amanestomihi2599
    @amanestomihi2599 3 ปีที่แล้ว

    Eti Sokoine hii nchi ilipitia kipindi Cha vituko sana

  • @kasomamama4774
    @kasomamama4774 5 ปีที่แล้ว +4

    Wanyonge nn

  • @nicethamanonga5855
    @nicethamanonga5855 4 ปีที่แล้ว

    Maendeleo yatakuja kama yote Tz maana kila kiongozi anajitahidi kupiga kazi ili asitumbuliwe .tumbua2 imesaidia viongozi kuamka na kufanya kazi

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 5 ปีที่แล้ว

    Umenenepa bro c kipindi hicho nakubeba na toyo daah kweli maisha propaganda piga tuko pamoja sana my brother

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 5 ปีที่แล้ว +1

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃watazitapika sasa

  • @jazimsaid6862
    @jazimsaid6862 5 ปีที่แล้ว

    wanaolaumu kua hapo c mahakmn kabla ujajiuliza ivo jua kua hii awamu ya 5 jmn jmn acha wenye TH-cam tufrai self

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 ปีที่แล้ว

    Sabaya angechaguliwa kuwa Mbunge na kutetea haki ya Wanyonge

  • @marcokosei3474
    @marcokosei3474 5 ปีที่แล้ว

    nakuombea kazi njema huwa nakufuatilia xana lkn ww ni jembe ,,mm naomba uhamiswe uje wilaya ya kilindi kuna vitu vinavyo wakere watu bla kupata majbu

  • @mamyabdalah885
    @mamyabdalah885 5 ปีที่แล้ว +2

    Fekelea mbali wote

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 5 ปีที่แล้ว +3

    Fyekelea mbali mzee baba

  • @damascentkijebeli1601
    @damascentkijebeli1601 5 ปีที่แล้ว

    Nyie viongozi mmerogwa na nani...mnataka kuwaanisha watanzania kwamba umaskini ni sifa....

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 4 ปีที่แล้ว

    Sasa namuelewa huyu mkuu wawilaya uteuzi nisahihi huu

  • @lamanzanisenyagwa1523
    @lamanzanisenyagwa1523 4 ปีที่แล้ว

    Kweli wewe unafanyakaz kama sokoine

  • @emanuelmollel8010
    @emanuelmollel8010 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli huyo mzee kacheka kinafiki

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅nimecheka kifala pigeni makofi 😂😂

  • @jeffreyochii8292
    @jeffreyochii8292 5 ปีที่แล้ว

    Pia wewe utastyle up sababu huwezi kuongea mbele ya wanainchi mikono ikiwa kwa mifuko tabia gani hiyo sasa

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว

    Mmmm

  • @TheAlman
    @TheAlman 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa kweri mbona mungu angeibariki zaidi tanzania ila ukweri munaujuwa wenyewe

  • @rizikimfundo8897
    @rizikimfundo8897 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa sokoine amezaliwa tena

  • @irenelukumay877
    @irenelukumay877 2 ปีที่แล้ว

    duuh uko vizuri dc sabaya

  • @gidionkadaraja1403
    @gidionkadaraja1403 2 ปีที่แล้ว

    Sabayaaaa amelalaaa yoooooh

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA BIG UP MKUU WAWILAYA CHAPA KAZI MSAIDIENI RAIS WETU MCHAPA KAZI

  • @ibrahimmungure7493
    @ibrahimmungure7493 5 ปีที่แล้ว

    Hii awamu haifai mlizoea kupiga! .Na aliepiga asali isimpate hapa ni moto

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 ปีที่แล้ว

    mh sabaya kwahili natamani ungekua wilaya ya korogwe kuna watu wametuzulumu tumetapeliwa mpaka laki tatu mpaka Leo hatujapewa mikopo hiyo

  • @devybernardlaizer7713
    @devybernardlaizer7713 5 ปีที่แล้ว

    Kazi kafanya nzuri kama ni mikono kuweka mfukoni atajirekebisha tu kikubwa nidhamu ya kazi na pamoja nawananchi

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 5 ปีที่แล้ว

    Pesa za Tanzania nje nje hakuna njia nzuri za control

  • @jumakapora2691
    @jumakapora2691 5 ปีที่แล้ว

    Funga. hao. majambazi. sana. '''''''

  • @d-thepraise4150
    @d-thepraise4150 5 ปีที่แล้ว

    Sioni chamaana zaidi ya siasa tuu ya ccm ,

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 ปีที่แล้ว

    Diwani fala

  • @elinikomniko4411
    @elinikomniko4411 5 ปีที่แล้ว +6

    Hata kama ninyi ni watawala kuongea na watu umeweka mikono mfukono ni KWAMBA hukufunzwa vzuri,unawalazimisha kupga makofi?

    • @georgesamwelchacha7680
      @georgesamwelchacha7680 5 ปีที่แล้ว +1

      Eliniko nniko
      Kuweka mikono mfukon
      Haipunguzi taaruma na elimu
      Alio nayo wewe siulikimbia umande hahaha
      Nakutania tu bwana!!!

    • @zungumanmziray7659
      @zungumanmziray7659 5 ปีที่แล้ว

      safi San naomba muangaliye huyu dada

    • @unclesamtz6048
      @unclesamtz6048 5 ปีที่แล้ว

      eliniko mniko kabisa yan duh!!

  • @naomijeremiah1572
    @naomijeremiah1572 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe DC sabaya Masai

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 5 ปีที่แล้ว

    Rc amekukataza tabia za kuweka weka ndan kila mala we vp ww?!!

  • @fredykephacy9230
    @fredykephacy9230 5 ปีที่แล้ว

    jamaniii nakupenda mkuu was wilayaa

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 5 ปีที่แล้ว

    Kama ilikua una kubali washakutia ktk shimo hao

  • @humphreymalema3024
    @humphreymalema3024 5 ปีที่แล้ว

    Wanyonge gan gan mbona sehem nyingine mnawanyanyasa hao mnaowata wanyonge

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 5 ปีที่แล้ว

    Hiii serikhali alooooo.....chumaaa sanaa tunawaombeaa sanaa....

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanyooshe hao

    • @goodlucktarimo6170
      @goodlucktarimo6170 5 ปีที่แล้ว

      Apelekwe Mahakamani sio kuhukumu MTU huna uhakika

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว

    Safi dc.simama imara na Mungu atakupigania

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 5 ปีที่แล้ว

    Mbunge afanye izo kaxi?

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 5 ปีที่แล้ว

    nimecheka huyo aliyesema wanyonge wako oman .ndg hujachelewa muombe Mungu wako akurudishe kwenu haraka

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว

      😅😅oman hakuna wanyonge bali wachapa kaz

  • @issarajabu1386
    @issarajabu1386 4 ปีที่แล้ว

    Nimempenda sana uyo dada amekuwa mkweli

  • @mbalukutv7302
    @mbalukutv7302 5 ปีที่แล้ว

    Piga tu makofi

  • @emanuelmollel8010
    @emanuelmollel8010 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Dc

  • @obedmwakalonge1372
    @obedmwakalonge1372 5 ปีที่แล้ว

    mbunge wa jimbo hilo ni nani??

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 5 ปีที่แล้ว

    Msameheni jmn kasema ukweli

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว

    Awataje waliopo nyuma ya pazia.

  • @evawayesu5865
    @evawayesu5865 5 ปีที่แล้ว

    Shukurani sana kwa kukutetea wetu Mungu akubariki sana

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว

    Inaelekea kuna kausiasa hapo.

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 ปีที่แล้ว

    unajuwa vyeo vya kupewa busara mara nyingi zero kujiona mungu mtu sema ajakutana na aliyepida

    • @farajihassan5382
      @farajihassan5382 5 ปีที่แล้ว

      Afadhali. Umsifie. Mnyama fungo. Kuliko. Kumsifu. Tundulisu. Fungo. Anaakili. Mzuri. Angalia. Akili. Ya fungo.mfano. fungo. Anaeishi. Tandale. akitembelea. Tandika. Hawezi.akachafua. mazingira. Kule tandika. Akiwa. Na haja kubwa ndogo. Nilazima. Atafanya. Kila njia.arudi harakasana. Hata kwakukatiza. Shughuli. Muhimu. Arudi. Kwao. Tandale. Ili. Aweze. Kujisaidia. Sehemu. Maalum. Aliyo jipangia. Fungo bwana. staarabu. Sasa. Nduguyetu. Lisu. Anashindwa. Kuelewa. Kama. Unauchafu. Sii urudi. ukaumwage. Kwako. Kwanini. Uchafue. Mazingira. huko. Marekani. Na kwingineko. wakati. Unajuwa. Unakituo. Chako. Cha kunyea. Mavi. Unakwenda. Kunyea. Kwenye. Miji. Ya wazungu. Unachafua. Mazingira. anakushinda. Fungo fungo. Anaejuwa. Wapi. Pakuachia. Uchafu. Wake. Hata akimtembelea. Rafikiyake. tandika. Atarudi. Kwao tandale. Kunya. Nahuko. Kwao. Hachafii. Mazingira hovyo. Nilazima.afikiee sehemu yake aliyojiwekea. Sasa bwana. Antipaki. Lisu. Unaambiwa. Rudi kwenu. Ukashirikiyane vyombo vya dola. Ili upate. Mustakabali. Wa tatizo. Lako. Wewe unambwela mbwela. Tu huko ulaya. Tafadhali. Ujuwe hata. Wanyama wanahikima. Msome fungotungo. Uchafu. Wake haendi. Kuusambaza. Kwenye. Msitu. Wa wenzie. Anajua. Na wao. Wana maviyao. Yananuka. Kama yakwake. Au zaidi ya kwake. Sasa. Lisu. hatujasikia. Kama. Unavyo. Sema wewe. Mwenyewe. Unamkosoa. Raisi. Hukosoi. Taifa. Sisi tusiye. Soma hatukuelewi. wewe. Rudi. Kwenu.ujeulalamike. namalizia. Kwakuwa. Humjui myama. Fungo fungo. Njoo. Kwetu. Huku. Tutakuambia. Habari ya mnyama. Fungo. Anasifa. Kibao. Za hekima. zake. Fungo. Kwa mpunga. Usiseme. Ukimpika mtamu. Hata. Ukimuunga. Kwa nazi na nyanya. Anassifa. Nyanya. Anazishikilia. Mwenyewe mkononi. Hicho kibwagizo. Cha watu wa. Kusini. Tafakari.

  • @vincentsiame9566
    @vincentsiame9566 5 ปีที่แล้ว

    mbunge hakamati watu ww

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 ปีที่แล้ว +1

    Aiseeh Huyu dada unasahau awamu ya ngap looooh

    • @ayubundelwa9572
      @ayubundelwa9572 5 ปีที่แล้ว

      njoo handeni uwaokoe wanyonge wa kabuku

  • @piusmdoe3551
    @piusmdoe3551 5 ปีที่แล้ว

    naomba maana ya unyonge

  • @ericksamwel1657
    @ericksamwel1657 5 ปีที่แล้ว

    Hii kauli ya wanyonge itabidi ipigwe marufuku

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว

      🙄😁Kama wewe ni Tajiri jitoe kwenye unyonge acha sisi tuendelee naunyonge wetu 😂😂

  • @matayolaizer5734
    @matayolaizer5734 5 ปีที่แล้ว

    We2 nimasai tunakumbuka sokoine

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว

    Dada anaziwa huyo akienda jela atakuwa chakula cha Mkuu wa gereza