Mwanzo Mwisho Wakili Rugemelela Nshala Awasha Moto Kuhusu Utekaji na Sheria Kandamizi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- Amezungumzia kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo Serikali imekua ikipuuza kutoka kwa Mahakama ambayo yamekuwa yakiathiri moja kwa moja maisha ya watu.
wakili Nshala Amesema ku na haja ya kuwa na Sheria ambazo zitailazimisha Serikali kuwatafuta waliyopotea kulingana na mikataba ya kimataifa kama ambavyo Taifa limkubaliana na mikataba hiyo.
Wasichaguliwe watu kuwa viongozi kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika. Hapo msomi anafafanua kwa kutumia lugha zote mbili. Pata picha ya bunge letu 40% ya wabunge hasa wa viti maalum wangetoka kapa. Short and clear, understandable . Watu werevu wako kando. Hiki kikao ni very sensitive. Wangekuwemo serikalini hawa tungekuwa mbali sana.
Kweli ceci umeongea point
Hongereni sana mawakili wetu. Wasomi wanahitajika hata kwa viongozi wa vitongoni. Kipofu ataongozaje wenye macho kama sio kuwapeleka shimoni? Mungu wabariki watetezi wa uhai wa watu wetu.
Wametoa somo zuri sana......TLS msihishie hapo maana kuna viongoz wasiojua Mwisho wa majukumu yao
Wasomi wazuri tunao. Serikali yetu haitaki kuwatumia hawa watu. Inaona hawa watu ni maadui wa taifa. Come on.. ndio maana nchi nyingi za Afrika ziko nyuma kimaendeleo
Mm naona bunge letu alina manufaa saivi wemejaza tu madawati na kutapakanya pesa yetu 🎉🎉awa wazee waheshimiwe❤❤❤
TLS Iko kazini ❤❤❤❤
Dr lugemelela wewe ni mtu na nusu ila watu kama ninyi serikali haitaki kuwatumia
Hii ni haatua za kimapinduzi kuna siku kitawaka watu watalia kwa sauti kuu kudai haki zao maana wanajua sheria na haki zao hii ipite kwenye mambo yote mfano
1. Matumizi bora ya rasili mali aheria tukue inasemaje
2. Askari ili akamate rai anatakiwa awe na miaingi hipi
3. Mikataba na makubaliano ya kiuchumi baina yetu na mataifa mengine
Na mengi mengi juu ya sheria ,denocracy na utawala bora
Asante wanasheria wetu kwa kutoa elimu kubwa kwa watawala na Chama cha mapinduzi wanaodhani wako juu ya sheria siku Chama kingine kikichukua nchi wahusika wote watapekekwa mahakamani
Yaaan leo shule kamili kila mjumbe ametoa elimu ya kutosha
Semaa babaa yt 🎉🎉
Asante sana nshala asante sana raisi mwabukusi umekuja mda muafaka kuwasaidia wanyonge kuoitia tls na wanasheria wenye roho ya imani
Kuna shida mahali. Uhuru wa kujieleza umeminywa. Kwa sababu wataalam kama hawa hawajaweza kutoa mawazo yao kikamilifu. Leo kupitia podium ya TLS ndio tunawaona. Tunahitaji vyombo zaidi viwajibike vikiwemo vyombo vya habari na taasisi za kiraia
Maashaallah
TLS ndo hiii, Mungu awalinde sana👏👏👏
Kupitia huu mkutano serikali ijue kuwa wàtu wanao ipenda hili Taifa wapo na wanchukizwa na hizi Tabia za kupoteza watu kwa kutekwa
Kazi ipo
Real law phd.
Tusemeeniiiii
Polis wangekuwa wanafuata taaruma Yao tungeweza kufanikiwa pakubwa lakin hawapo huru wao wenyewe wanapangiwa chakufanya na wario wateua
Hi nayo ni hazina ktk Taifa
Kumbe nchi hii ina wasomi wa sheria kihivi
Kweli tupu tumekuelewa sana
Wanasheria ndio watatuokoa kwani ni wasomi polisi sio wasomi ni watu wa nguvu tu na kuna mgongano wa masilai ukiwa na pesa shida ukikosa oesa shida sheria kwao ni baati nasibu
Sasa wabunge viti maalum nani kaidhinisha ?hii ni kutia hasara tu nchi.Ufunywaji wa fedha